ความคิดเห็น •

  • @azizimgaza8
    @azizimgaza8 2 หลายเดือนก่อน

    Big up dada akiri nyingi kwa ubunifu mungu abariki kazi zako,.

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 5 หลายเดือนก่อน

    Hii haijakaa vizuri kwa mtazamo wangu .☑️📌

  • @zawadichalale4047
    @zawadichalale4047 2 ปีที่แล้ว +5

    Kwa hiyo maana yake in nn? Ukianza kula inamaana una mla nani? MTU! Du sidhani kama ni nzuri kumtengeneza MTU hasa kiongozi mkubwa mawazo Yangu lakini ,acha nipite hivi

  • @magigejoseph255
    @magigejoseph255 2 ปีที่แล้ว +12

    Mifano yakutengeza keki imeisha mpaka mnathubutu kutengeneza sura ya MTU mnatufundisha kula watu sisi sio wachawi pelekeni mawzo yakishetani huko

  • @navongelysrlynsozsye8494
    @navongelysrlynsozsye8494 2 ปีที่แล้ว +1

    Eti hivi kumbe mungu alipata shida kutuumba....asee mungu awafungue na hiyo laana..mnatengenezaje sura ya mtu na mnakula....msifanye mchezo na shetani hiyo hata kimaandiko ni makosa

  • @sakinaamani1486
    @sakinaamani1486 2 ปีที่แล้ว +3

    Ssa ubinadamu gani mkate pua yake mule macho kisha mumemfanya wakuchoka zaidi kwenye mashavu mjue hawezi kufurahia japo hatowaonyesha

  • @sarahkelvin4845
    @sarahkelvin4845 2 ปีที่แล้ว +1

    Hao waturuk wamemuua kipendw we2 kuma wao,birthday yak nn anyokoo

  • @earthmoves_
    @earthmoves_ 2 ปีที่แล้ว +1

    Tutamuangalia rais wetu kama kama ni mtu wa Imani au hapana usile kabisa

  • @husnaameen9309
    @husnaameen9309 2 ปีที่แล้ว +2

    Iwe ukumbusho wake ila rais usile hiyo keki kwanza imeshikwa shikwahujaona maandalizi yake msijemkamsababishia foodpoinzening mama akahalisha rais wetu

  • @carlosmzena548
    @carlosmzena548 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu dada ni fighter yupo city mall

  • @mwanakombopopo5117
    @mwanakombopopo5117 2 ปีที่แล้ว +3

    Daa waharibu kazi yko kwakuchonga masanamu kama nguo tu ikiwa na picha ya mtu ama ya mnyama ukiswali nayo ni haramu Leo itawezaje kuna picha ya mtu??

  • @hadijamandanje6189
    @hadijamandanje6189 2 ปีที่แล้ว

    Du Eti Mungu alipata kazi daa Mwenyezi Mungu tusamehe

  • @rmaryp6269
    @rmaryp6269 2 ปีที่แล้ว +2

    Ataikubali!? Yaani mtu ajikule mwenyewe!!??🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

    • @aminamnyaruge8574
      @aminamnyaruge8574 2 ปีที่แล้ว

      Eti hata mimi nimewaza hivyo hivyo 😂😂😂Na Imani za kidini Tena ni mtihani kwa kweli 😔😔

  • @abeidmohamed9142
    @abeidmohamed9142 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwanza hiyo dhambi huwezi kutengeza mtu kwa chakula

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 2 ปีที่แล้ว +1

    Mmevuka mipaka.... Mmmh...
    Sanamu nayo eti keki....éee..
    Kibaya zaidi inashangiliwa eti chakula ..sura ya Mtu... !?.. mmmh..Mambo ya kuiga tusiyo jua maana yake..wacha Mungu tuyaepuke.. yatatukosanisha na Mungu.... éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz

  • @mwigaramadhani3687
    @mwigaramadhani3687 2 ปีที่แล้ว +1

    Eti hiyo keki ni expensive jamani kwani kumeongezeka Nini sasa hapo zaidi ya hicho kinguo 🙌😀☹️🤣🏃

    • @liliankessy1255
      @liliankessy1255 2 ปีที่แล้ว

      Mwenzangu😂😂Kma ingredients cyo ngano na mayai kma zngine

  • @josephemmanuel388
    @josephemmanuel388 2 ปีที่แล้ว +1

    Wachawi hawa mmebugi kutengeneza keki ya mtu mmekosea sana katika ulimwengu wa loho mnakula

  • @nzitogondwe9976
    @nzitogondwe9976 2 ปีที่แล้ว +1

    Anahusika rais kuwapa zawadi Hawa watu iyo kweri inafaa kuwa makumbusho lkn pia watu muache ushamba mnao tukana eti keki la sura mbona mnakula jina likiandikwa

  • @jamesponeca8912
    @jamesponeca8912 2 ปีที่แล้ว +1

    Wanawake huwa mnawaza kuliwatu,mlishindwa kubuni kitu kingingine,

  • @allykambi7687
    @allykambi7687 2 ปีที่แล้ว +1

    Asichukue na wala asile kabisa

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333 11 หลายเดือนก่อน

    Cjaipenda😢

  • @alexvenas2699
    @alexvenas2699 2 ปีที่แล้ว +3

    Hiyo hatuwezi kumlisha Rais wetu mpendwa,tutaiweka makumbusho .

  • @aishashaibu4772
    @aishashaibu4772 2 ปีที่แล้ว

    Kwani rais wetu kataka keki

  • @joyceassey2347
    @joyceassey2347 2 ปีที่แล้ว

    Hatariiii

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 2 ปีที่แล้ว

    Keki sio vitu vya kula mara kwa mara ni inaongeza sukari mwilini na kunenepeana ovyo ovyo , ni sawa na soda kama diet soda na majuice

  • @alhmdulilah1187
    @alhmdulilah1187 2 ปีที่แล้ว +1

    Wow nice ☺️☺️👍

    • @gadyetheboss8738
      @gadyetheboss8738 2 ปีที่แล้ว

      Yaan anastahil pongez asee rais akiiona hii amuarike hata ikulu maana amefanya kaz kubwa sana

  • @d.a.t3383
    @d.a.t3383 2 ปีที่แล้ว +1

    Kuna CAKE ZA KIUTAMADUNI ZA WACHAGGA ZINAITWA SHIROO NA INGINE INAITWA NGANDE ATAPENDA HIZO ZA KITAMADUNI ZA NCHI YETU GHARANA KUTENGENEZA ELFU ISHIRINI TUUUU HAZINA SUKARI WALA BUTTER KUJIFUNZA BURE

  • @d.a.t3383
    @d.a.t3383 2 ปีที่แล้ว +1

    Cake zina sukari na butter mnooo kuna ugonjwa wa ki sukari

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 2 ปีที่แล้ว

      Kwanza mchanganyiko wa sukari na butter ndiyo hatari kabisaa

  • @mamalaozphilemon.8800
    @mamalaozphilemon.8800 2 ปีที่แล้ว

    tena eti mmetumia akili🤣🤣

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 2 ปีที่แล้ว

    Huyu mtengenezaji wa keki ya mama ni ukorofi huo anamchokoza mama , itabidi tuendamane

  • @brycemoshi2122
    @brycemoshi2122 2 ปีที่แล้ว

    Iyooo cake

  • @husnabow8662
    @husnabow8662 2 ปีที่แล้ว

    Mmhh hii sasa kufuru hii

  • @alimakame9215
    @alimakame9215 2 ปีที่แล้ว

    Mnakufuru sana hamjujuwitu

    • @zulfaissa7814
      @zulfaissa7814 2 ปีที่แล้ว

      Huo niuharibifu wapesa 2

  • @earthmoves_
    @earthmoves_ 2 ปีที่แล้ว

    Yani nitashangaa sanaa rais akila keki ya sura yake kwa kama ni mtu mwenye Imani Haina haja ya kufikilia sanà ni kwamba akila bas utakua umekula binadam mwenzio sio nzuli labda kumbukumbu

  • @apostlebonnyjames5426
    @apostlebonnyjames5426 2 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @d.a.t3383
    @d.a.t3383 2 ปีที่แล้ว

    Cha ajabu hapo ninii kuna cake already watu hapa wanatengeneza za ma bus za eroplane za pikipiki nyingi tuuu

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 ปีที่แล้ว

    Anaetengeza leki za kisanamu ya mtu halafu analisha watu, uislam unasemaje ?

  • @fahmaali8945
    @fahmaali8945 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamani keki ukatie sura ya binandamu jamani tumuongope mungu da tunakwenda wapi jamani.ewemwenyenzi mungu tusameh makosa yetu tuyafanyayo kwa adaa as ulimwèngu

  • @theeyechannel8601
    @theeyechannel8601 2 ปีที่แล้ว

    Kwahiyo vijana watamula rais?

  • @nancyhassan8290
    @nancyhassan8290 2 ปีที่แล้ว

    Huyo baunsa sasa, anavo taka camera immulike...

  • @hassanjongo4309
    @hassanjongo4309 2 ปีที่แล้ว

    Like

  • @alhmdulilah1187
    @alhmdulilah1187 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante Esha buheti❤️❤️

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 2 ปีที่แล้ว

      Mungu atunusuru na hii dunia hawa ndio watu qariotengeza keki siku ya maulidi ya mtume s.a.w ni kufuru kwakqwri

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 ปีที่แล้ว

    🙄🙄🙄🙄🙄Saw

  • @erickimambo4544
    @erickimambo4544 2 ปีที่แล้ว

    Wacha watu wamle

  • @khalossalim3723
    @khalossalim3723 2 ปีที่แล้ว

    Mbona hafanani nayo

  • @selemaniselemani2863
    @selemaniselemani2863 2 ปีที่แล้ว

    Eti vido watu wanakukata na wanakukula😅😅

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว +1

      🤔😏🤪🤭🤭🤭🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

  • @sharmelasaif47
    @sharmelasaif47 2 ปีที่แล้ว

    Dada hongear namm nichoree 🍰 yasur yangu

  • @drmussa1220
    @drmussa1220 2 ปีที่แล้ว

    DAWA YA KULIPWA MADENI
    m.th-cam.com/video/NzCJvpVkxHI/w-d-xo.html

  • @d.a.t3383
    @d.a.t3383 2 ปีที่แล้ว

    Atapikiwa Machalary

  • @nzitogondwe9976
    @nzitogondwe9976 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimeipenda ilo darasa hongereni sana

    • @zainabmapezi5730
      @zainabmapezi5730 2 ปีที่แล้ว +1

      Mbona Keki zinatengenezwa hata za kiatu, gari, Ng'ombe nakadhalika.

    • @rosemneney3244
      @rosemneney3244 ปีที่แล้ว

      Mbona haifanani kabsaaa

  • @allykambi7687
    @allykambi7687 2 ปีที่แล้ว

    Ujinga tu msile keki iyo upuuzi tu