Wema Sepetu amelia sana | Sijui nimjibu nini | Nilifunga nikaomba - Tausi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 341

  • @uwezowamunguutendaokazi3043
    @uwezowamunguutendaokazi3043 4 ปีที่แล้ว +4

    Wema ipo siku Mungu atamjibu na madui wataibika. Kama siyo amani za dini zetu ningemsaidia wema. ilo jambo ni dogo sana mbele za Mungu. Mungu. Mungu akusaidie wema. Amen.

  • @maryamlmaryamwanje4334
    @maryamlmaryamwanje4334 3 ปีที่แล้ว +1

    Ongera Tausi INSHALLA MUNGU Akuekee

  • @janfermolenje3280
    @janfermolenje3280 4 ปีที่แล้ว +6

    Woow this is maturity response to the interview... nimekupenda mama ulivyo...all the way from
    Kenya

  • @agnesseiyan1460
    @agnesseiyan1460 3 ปีที่แล้ว

    Hongera tausi mwaya ... mtangazaji acha udaku halafu n hajasomea hii kazi ..mshenzi sana

  • @meddykalala3871
    @meddykalala3871 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sana tausi

  • @elizabethshanna6850
    @elizabethshanna6850 4 ปีที่แล้ว +6

    Hongera sana Tausi ,Kamwwne bee,Mungu amkuze mtt, pia akuwezeshe kumlea ktk njia impendezayo Mungu

  • @gaudenciamallya9779
    @gaudenciamallya9779 4 ปีที่แล้ว +10

    Hongera sana Tausi. Una busara sana. Hongera sana una mtoto mzuri sana.

  • @redemptorkennedy7936
    @redemptorkennedy7936 3 ปีที่แล้ว

    Naweza kumzalia wema...naweza mbebea mimba na nimzalie maana sipendelei akilia. Nakupenda sana wema

  • @gaudensiamganga1695
    @gaudensiamganga1695 4 ปีที่แล้ว +10

    Amina taus kweli unahakili, na ww mtangazaji wema kajaje sasa ulikosa maswali au kasome tena maana sikuelew.ata wema atazaa kwa wakati wa Bwana

  • @stadiusigination818
    @stadiusigination818 3 ปีที่แล้ว +1

    Jaman,Tausi ongera mama ,mzaa chema make wangu uyo mtarajiwa💝💃

  • @epifaniamponda2443
    @epifaniamponda2443 4 ปีที่แล้ว +15

    Hafu we mtangazaji unamaswali yakijinga unaboa bora tausi umemjibu vizuri jinga hilo nimekupenda

    • @abdalahkipeleka3156
      @abdalahkipeleka3156 4 ปีที่แล้ว

      Kwer nimeamini mmbea aukizwi ww yanakuusunini yote hayo

  • @irenegomanga8654
    @irenegomanga8654 4 ปีที่แล้ว +10

    Tausi nimekupenda sanaaa zaidi ya sana umejibu vzr sana sio kila kitu uweke wazi nakupenda sanaaaa

  • @annakattoa7502
    @annakattoa7502 4 ปีที่แล้ว +11

    Mtoto rahaa jamani hongera sanaaa mamii, Mungu akitunzie akue akuheshimu sanaaa na kuona wewe wa thaamni

  • @tvtv9581
    @tvtv9581 4 ปีที่แล้ว +1

    Her husband is so handsome. God bless you tausi and your marriage bby girl

  • @lilianlazaro4189
    @lilianlazaro4189 4 ปีที่แล้ว +2

    Happy for u Tausi wangu. Big up sana dear wangu.

  • @allymbwanamsagati1176
    @allymbwanamsagati1176 4 ปีที่แล้ว +3

    Masha allah walah raha nimeipata ukuona umempakata anko wangu...zawadi insha allah nikijaaliwa sijui naweza pata mawasiliano nitafurahi..penda sana wewe kiumbe mwenzangu...ila kitu moja tu sipendagi kukuona kichwa wazi wallah

  • @christinabenedict6718
    @christinabenedict6718 4 ปีที่แล้ว +1

    Mnadadisi life ya mtu undani sana jmn ..Duh hadi mnaudhi.

  • @maimunahassan5047
    @maimunahassan5047 3 ปีที่แล้ว

    Tausi nakupenda,mwanamke jasiri na unajiaminia,endelea hivyo tausi

  • @asiamagogo9971
    @asiamagogo9971 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana apo umewafumbua macho watu weny iman potofu

  • @mariacassian7892
    @mariacassian7892 4 ปีที่แล้ว +3

    Umeniboa sana wewe dada kwani wema unamchukuliaje hauwezi kumhoji mtu mpaka wema aingizwe kwenyemazungumzo ndio story inanoga muacheni mtoto wa mwenzenu apumue

  • @danielngullu2876
    @danielngullu2876 4 ปีที่แล้ว

    Nampa polesana Wema Ila asikate tamaa zaidi naomba anitafute inbox nimwambie jambo ambalo hatahuzunika Tena maishayako

  • @keziahmwangi7796
    @keziahmwangi7796 4 ปีที่แล้ว +1

    Tausi uko poa ...Mungu awape uzima

  • @shukurumsemwa5992
    @shukurumsemwa5992 4 ปีที่แล้ว +1

    Yani Tausi kweri mhehe endelea kuwa namaadili yakihehe nakupenda bureeeee😱😱

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 3 ปีที่แล้ว

    Maarufu Watu Ni Fir'an Nimafta Na Wakorofi

  • @nashally6485
    @nashally6485 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazajiiii unahayaaaa kwako unaonaaa sawaaa kbs.Ila.ulitaka tausi ajitutumie kama alivosema au

  • @marybusinye4366
    @marybusinye4366 3 ปีที่แล้ว

    Uko fun Sana tausi, hongera!!! GOd bless you!

  • @annajawa7859
    @annajawa7859 4 ปีที่แล้ว

    Umefanya vizuri kutomjibu ju anakuuliza maswali y kipumbavu, anatak umtangaze kwa mitandao ndio mapenzi au upuzi yko n maswali y kipuzi sna uyo mtangazaji

  • @enjoykahama6611
    @enjoykahama6611 3 ปีที่แล้ว

    Hongera datausi

  • @myqween3538
    @myqween3538 4 ปีที่แล้ว

    Tausi nakupenda saana Ola uyo mutangazaji mujinga Sana aludi Shure kusoma mushenzi huyo

  • @jamaalali4564
    @jamaalali4564 4 ปีที่แล้ว +1

    Watangazi muwe nalimit ktk kazi zenu mnaivamia fani mpk mnakera ujuwe kuuliza maswali yanayoendana namaadini

  • @veronikandauka4447
    @veronikandauka4447 4 ปีที่แล้ว

    .hongera Sana tausi kuitwa mama rahaaaa

  • @carenkweyu2382
    @carenkweyu2382 4 ปีที่แล้ว

    Tausi run for your life..achana na huyo kijana atakula hela zako na kuenda zake

  • @zaynabali6109
    @zaynabali6109 4 ปีที่แล้ว +1

    Wema!! Wacha kurukaruka tulia NA umuogope mungu utajaaliwa mtoto si kitungu utanunuwa sokoni, NA uvae mavazi ya kufuraisha mola wako.

  • @monalisamshana4983
    @monalisamshana4983 4 ปีที่แล้ว +1

    Raha Sana kuitwa mama mungu hamnyim mjawake ipo sku atampa

  • @famitonawanda4831
    @famitonawanda4831 4 ปีที่แล้ว +12

    Huyu dada mtangazaji, ni mwanga maneno yake, sio mazuri!!!!!!!, tausi anamkunjia sura hapendi ila bado anazidi tu, eti umeadapti Mara mtaachana ndo nini sasa?!!!, Kama sio uchawi laana wewe dada; tausi huyo dada ni mwanga live niamini Mimi huyo dada ni mwanga,

  • @leonardmdegela4258
    @leonardmdegela4258 4 ปีที่แล้ว +7

    Kamwene mnyalukolo,penda anko wangu mungu amjaalie afya njema ili akizi furaha ya mama semdegela

  • @irenenaomi435
    @irenenaomi435 3 ปีที่แล้ว

    Ongera sana kabisa

  • @rosemarykaroli9572
    @rosemarykaroli9572 4 ปีที่แล้ว +8

    Usikae sana kiuno hakijakomaa mama yangu

  • @فاطمةفاطمة-ك6ث
    @فاطمةفاطمة-ك6ث 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah hongera Tausi

  • @mariacassian7859
    @mariacassian7859 3 ปีที่แล้ว

    Hivi wewe mtangazaji umemuona wema tu kina tanzania yoote wamezaa hebu mpumnzishe wema wetu mpuuzi mmoja wee

  • @ashaswaleh7797
    @ashaswaleh7797 4 ปีที่แล้ว +4

    jamani watangazaji mjitahidi msomee, nimaswali gani yakumuuliza dada tausi yaani pole my mutafika.

  • @alalwialalwiii8194
    @alalwialalwiii8194 4 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana tausi kumpata habbty

  • @anithaisraely5808
    @anithaisraely5808 4 ปีที่แล้ว +1

    Tausi ww ni muongo hujawahi wwakati ww mpenzi wako alikuwa masele acha uongo nilikuona mwenyewe kwa macho yangu na sikuambiwa na mtu

  • @luswetichetekeilusweti2879
    @luswetichetekeilusweti2879 2 ปีที่แล้ว

    Tausi na Dorah wamenifunza vitu vingi...kulingana na busara nyingi walio nayo...

  • @rosemarykaroli9572
    @rosemarykaroli9572 4 ปีที่แล้ว +14

    Watangazaji munabowa kasomeni tena nyoo maswali gan hayo

  • @neemaratib6810
    @neemaratib6810 4 ปีที่แล้ว

    Topic ni ya wema au kumpa hongera tausi udaku mwingine umepitiliza

  • @husseinabadullah7139
    @husseinabadullah7139 3 ปีที่แล้ว

    Atoe tu sadaka na mungu mbariki

  • @carenalphonce5013
    @carenalphonce5013 4 ปีที่แล้ว

    We mtangazaji mjinga sana nais umepata iyo kazi kwa bahat fyuuùyuu au unamtaka mme wa tausi nin

  • @suzietradings3476
    @suzietradings3476 4 ปีที่แล้ว +1

    Beautiful tausi

  • @potinaemanuel2552
    @potinaemanuel2552 4 ปีที่แล้ว +1

    Ila wee kadada nakupenda bureee kabisa,Hasa ukicheka na unajielewa sana hongera kwa hilo

  • @sabrinasab2910
    @sabrinasab2910 4 ปีที่แล้ว +8

    Kweli tausi watu wafupi wakorof ata na mm najielewa upo sw

  • @vailethmtemekele3810
    @vailethmtemekele3810 4 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana'a Dada akee,tochi1 iringa nzimaa

  • @kerencikuru6039
    @kerencikuru6039 2 ปีที่แล้ว

    Love you ❤❤❤

  • @tunnaika
    @tunnaika 4 ปีที่แล้ว +2

    Wenda sepetu sister doo alilia na kutambua kweli MOLA NI MKUBWA

  • @munuoisaack418
    @munuoisaack418 4 ปีที่แล้ว +1

    Ila tausi una sura nzuri hadi raha

  • @aminafuraha1645
    @aminafuraha1645 ปีที่แล้ว

    nakupendakasana dada

  • @نااوتتت
    @نااوتتت 3 ปีที่แล้ว

    Ongera.sana.mpz

  • @rehemamhuhi3081
    @rehemamhuhi3081 4 ปีที่แล้ว

    Hongela

  • @monicamtuga1371
    @monicamtuga1371 4 ปีที่แล้ว

    Ni kweli wahehe ndo zetu.

  • @radhiaoman2454
    @radhiaoman2454 4 ปีที่แล้ว +4

    Nikweli kabisa sisi wafupi hatupendi ujinga

  • @claudebuhake6025
    @claudebuhake6025 3 ปีที่แล้ว

    Kaza mwendo dada yangu

  • @joycekokunula9137
    @joycekokunula9137 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana Tausi
    Songa mbele

  • @venicespice5323
    @venicespice5323 3 ปีที่แล้ว

    Mtoto hatak kumuonyesha ila watu wanaopenda kupokea wananchoshaga

  • @neemamadenda3224
    @neemamadenda3224 4 ปีที่แล้ว

    Kwahiyo we unagombanisha wema na tausi siyo?? Watangazaji acheni uboya

  • @halimasleimani6530
    @halimasleimani6530 4 ปีที่แล้ว +2

    Vumilia mpenz wema sepetu mung bad hajapenda il akipenda atakup mtt wal usichukie wal kua n mawaz usichoke muomb mungu dada ang

  • @husnashahame8528
    @husnashahame8528 4 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema

  • @jackyjudah5354
    @jackyjudah5354 3 ปีที่แล้ว

    Too many questions. I wish i was de one.u can. regret why u enter in my house

  • @مارياكافشى
    @مارياكافشى 4 ปีที่แล้ว +3

    Hongera saaana tausi kwamajibu mazuri🇧🇮🇧🇮

  • @eugenearplascidor8246
    @eugenearplascidor8246 4 ปีที่แล้ว +1

    Tausi ungemng'ata kabisa uyo mtangazaji ndo maswal gan hayo

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 3 ปีที่แล้ว

    Kwahiyo Mmezaa Kabla Ya Kuowana ?

  • @carolinewakio4146
    @carolinewakio4146 4 ปีที่แล้ว

    Mwanahabari ana maswali ya kipuzi sana. Mahali anapo Fanya kazi Mme wa mtu inakuhusu Nini?

  • @kdloon2030
    @kdloon2030 4 ปีที่แล้ว +7

    Tausi mpige kichwa cha mdomo huyo mtangazaji na maswali yake ya kiumbea.

    • @hadijasalimu1808
      @hadijasalimu1808 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @khadijaomar8427
      @khadijaomar8427 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣

    • @Ms.mulambe
      @Ms.mulambe 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @jescabrown7499
      @jescabrown7499 4 ปีที่แล้ว +1

      Kd umefanya nimecheka kwa sauti kubwa japo nipo pekee yangu

    • @kdloon2030
      @kdloon2030 4 ปีที่แล้ว

      @@jescabrown7499 pole sana jessy,yaani huyo mtangazaji anazingua,hapo ye kakaa chini,tausi akisimama atakua yupo straight na mdomo wa huyo mtangazaji,so akiruka kichwa lazma kitue kwenye domo hilo linalo uliza upuuzi

  • @mwajunassibu4192
    @mwajunassibu4192 4 ปีที่แล้ว

    maskini tausi ana imani kwa msanii mwenziwe

  • @marrymotto9758
    @marrymotto9758 4 ปีที่แล้ว +1

    Muache mwenzio anyonyeshe,,kwanza mgongo haujakaza,,nyokonyoko na maswali yako

  • @janethjonson7652
    @janethjonson7652 4 ปีที่แล้ว

    Duh pole mway mchukurie hatua

  • @goriabito9014
    @goriabito9014 3 ปีที่แล้ว

    J'aime bien cette femme wema

  • @agathadenis3207
    @agathadenis3207 4 ปีที่แล้ว +1

    😘😘😘😘nakupenda sana tausi

  • @leyanadd9421
    @leyanadd9421 4 ปีที่แล้ว +1

    Congratulations pretty @tausi,may the Almighty God tightened ur marriage

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah hongera kwa kupata mtt inshallah mola hazidi kuwapa upendo wenu mtt hapate malezi bora pasipo na msukosuko wa haina yoyote. #254

  • @samiramdachi7101
    @samiramdachi7101 4 ปีที่แล้ว

    Amina tausi🙏🙏🙏

  • @suzanalyoto6901
    @suzanalyoto6901 3 ปีที่แล้ว

    Hongera sana

  • @bashaermobile7521
    @bashaermobile7521 4 ปีที่แล้ว

    Hongera taus

  • @alexkilumile1689
    @alexkilumile1689 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaj unakeraa😬😬😬😬😬😡😡 kama unajijua hii fan huiwez bhas muwe mnafanya rehasal before interview😏😏

  • @ednabartholomew556
    @ednabartholomew556 4 ปีที่แล้ว

    Mzuri sna mtoto hongeraaaa.. Ila acha maswali yakijinga mtangazaji

  • @zaynabuchimpele7606
    @zaynabuchimpele7606 4 ปีที่แล้ว

    namkumbuka kwenye gumzoo jomon

  • @annakattoa7502
    @annakattoa7502 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwako Ndugu mtangazaji haiko sawa kwenye uendeshaji wako wa interview

  • @aminasalum1954
    @aminasalum1954 4 ปีที่แล้ว +1

    EATV Huyu mtangazaji hafai atawaharibia nikam hajielew

  • @jehovamunuo4808
    @jehovamunuo4808 4 ปีที่แล้ว +2

    Wema apataj mtoto akati hajaolewa?? Aolewe ndio aombe Mungu amope mtoto

  • @pendomichael3815
    @pendomichael3815 4 ปีที่แล้ว

    Dada hongera sifa za mwanamke mtt

  • @yxng.rayy_1605
    @yxng.rayy_1605 4 ปีที่แล้ว

    Na mtoto wake mrefu kweli

  • @amishawatif8222
    @amishawatif8222 4 ปีที่แล้ว

    Asante tausi maneno tam

  • @maggefrank1982
    @maggefrank1982 4 ปีที่แล้ว

    Sanaa mhehe

  • @gloryjane4147
    @gloryjane4147 4 ปีที่แล้ว +1

    Maisha marefu tausi
    I proud of you

  • @tausigermani6402
    @tausigermani6402 4 ปีที่แล้ว +2

    Yani wewe mwandishi wa habar inabidi ukasome uongeze elim uko na nonses questione ningekutukanilia mbali

  • @tausigermani6402
    @tausigermani6402 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana mpenzi mkuze mtoto

  • @wahiduitsverycommentmane5421
    @wahiduitsverycommentmane5421 4 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji labda anataka kujua mume Wa tausi anakazi gan ili amuibie tausi sio kwa maswali hayo jmn dah yani uyu anaefanya interview sio kabisa nikwakuwa tausi ni mwanamke anae jielewa mwanamke Wa viwango Kama ni star mwengine angemjibu vibaya sanaa 🤔

  • @yaqoobwahibi2905
    @yaqoobwahibi2905 4 ปีที่แล้ว +2

    Fatuma wahabi ,tausi mi nafanya kazi arabun,nakupenda tausi ingela ,KUNA zawadi ntakuletea zawadi kwa mtoto wako nakupenda Sana tausi ishaalhaa.

  • @Lilianlyn675
    @Lilianlyn675 4 ปีที่แล้ว +3

    Umejibu maswali vzr 🔥....ur so strong 😍

  • @nuruurio8319
    @nuruurio8319 2 ปีที่แล้ว

    Huyu dada kumbe mjeuri kweli ee

  • @azenathnyaway2328
    @azenathnyaway2328 4 ปีที่แล้ว

    Ghai hii ndo sura yake naturally