LIVE: JIFUNZE KUKAA KIMYA // USIWAAMBIE MAPEMA 2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.พ. 2024
  • SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

ความคิดเห็น • 76

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 5 หลายเดือนก่อน +9

    Asante sana mtumishi hakika watu wengi kwa sasa wanataka kuishi maisha ya kujionyesha Mungu atusaidie atupe ufahamu wa kiroho🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @EstherBitengo
    @EstherBitengo 5 หลายเดือนก่อน +8

    Asante Yesu 🙏 umekua mwema kwangu,unazidi kunipigania kupitia mtumishi wako ninazidi kutoka , kwenye mambo ya Dunia na kukufuata ,ninaamini ninatoka kabisaaa,sema nami Baba don't reject me ooh God,🤲🤲

  • @user-yc5ej5ck4j
    @user-yc5ej5ck4j 3 หลายเดือนก่อน +1

    Usinipite mwokozi mm na watoto wangu pamoja na watoto wangu tunayo pitiable watoto wangu kukosa kazi pamoja na ndugu zangu nakuandamwa na roho za madeni amen

  • @evalynependo3824
    @evalynependo3824 5 หลายเดือนก่อน +3

    Asante yesu kwa neema yako yatosha juu ya maisha yangu kwa jina la yesu kristo amen and Amen 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @zamoyonandrew7239
    @zamoyonandrew7239 หลายเดือนก่อน +1

    YESU wangu kimbilio langu npe roho ya kukaa Kmya npe nguvu baba nkapate kukusiklza ww na kuu wako,niepushe na vishawish vya kutamka baraka zako🙏🙏🙏❤️🙏🙏❤️❤️🙏🙏🙏❤️Amen

  • @sarahfeni1866
    @sarahfeni1866 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ubalikiwe sana muchungaji wa MUNGU gupitia kwa mafundisho yako, ayo yote alinikuta , nikabebewa mali zoooote kwa sababu ya kutoficha mambo yangu😢😢

  • @lightouma477
    @lightouma477 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu nakusii unisamehee, uniumbe upya, nifundishe kunyamaza Jehovah wangu😭😭😭😭😭😭😭

  • @gladnesskulanga1462
    @gladnesskulanga1462 5 หลายเดือนก่อน +2

    Dah...kweli Mungu atusaidie sana..Mungu akubariki sana Pastor..Neno kubwa sana hili👏👏👏

  • @user-zg6ek5kk6z
    @user-zg6ek5kk6z 5 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU wangu nidhibiti mimi,familia, na ukoo tusinene ovyoovyo tuwe wakimya na wahekima

  • @NaomiBahat-bz6ri
    @NaomiBahat-bz6ri หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu asante kwaneno lako yesu kristo naomba uweze kunisaidia uweze kunijaria roho yakunyamanza pia unifungurie mirango ya mafanikio yangu

  • @neemakarisa1496
    @neemakarisa1496 5 หลายเดือนก่อน +2

    Amen Mtumishi Hakika umenena marifa yaliyo Bora katika Maisha yetu nimefurahi kuskia kwako mtumishi Wa MUNGU, Naomba mwenyezi MUNGU aniumbie moyo wa ukimya na asinipe moyo wakuamini Kila Mtu Kwa maisha yangu,Nisha wahi kukaa nikajiuliza Nini kinacho nifanya nisifanikiwe lakini nili gundua nikuongea kwangu. Nakuamini Kila Mtu, mtumishi mwenyezi MUNGU Anene nawe zaidi,uzidi kutufundisha mambo ya Rohoni zaidi Amen 🙏🙏🙏

  • @SYDEYLINET
    @SYDEYLINET 5 หลายเดือนก่อน +1

    HALLELUJAH NENA NAMI BWANA KWA SASA NA MAJIRA HAYA USINIPITE NIFUNDISHE KUNYAMAZA

  • @kapamevenas79
    @kapamevenas79 5 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu anipe na mimi hekima na kutembeya sawa sawa na mapenzi yake kiroho

  • @user-fh8ri5qy2g
    @user-fh8ri5qy2g 5 หลายเดือนก่อน +2

    Bwana yesu nzia ya ukwel nauzima nakuya kwako katika jilayesu Asante bwana baba nisaidiye niwejeshe kunyamanza kuw naupole sije kusumbua watu lakini baba niw nanyimbo zakukuabudu Asante Jesus

  • @NaomiBahat-bz6ri
    @NaomiBahat-bz6ri หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu naomba unisamehe dhambi zangu unatakase na damu yako

  • @user-rl6pu5hi3d
    @user-rl6pu5hi3d 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ba mtumishi,, Mungu akubariki sana kwa upeo wa ufahamu unatuongezea ktk maisha yetu🙏🙏 hakika usemayo wengi tunamuona Mungu kupitia wewe! Mungu aendelee kukupigania na kukupa ulinzi madhubuti uendelee kutulisha chakula cha rohoni, tupite njia sahihi ktk kumtumikia Mungu wetu!

  • @ElipendoMakuru-ie5bu
    @ElipendoMakuru-ie5bu 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante Mungu kwa kunishindia roho ya hofu na mashaka tayari ni mshindi 2024 ni Neema kubwa kwangu.

  • @evalynependo3824
    @evalynependo3824 5 หลายเดือนก่อน +2

    Very true pastor innocent mashauri

  • @anethteodos6208
    @anethteodos6208 5 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu naomba neema ya kukaa kimya

  • @VeronicaRugoyi
    @VeronicaRugoyi 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen Ameen Bwana nifundishe kunyamaza

  • @chikuamedeus8700
    @chikuamedeus8700 5 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana nifundishe kunyamaza🙏🙏

  • @easterfraha5008
    @easterfraha5008 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ee mungu Niko apa kwa niaba y familia yng ucnipite baba yng nhurumie n mm

  • @edithakimario3430
    @edithakimario3430 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nifundishe kunyamaza Mungu

  • @Kapandetv
    @Kapandetv 5 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani marafiki bora uwe pekeako Fanya Mishe zako mwenyew

  • @gabrielhonlat4043
    @gabrielhonlat4043 5 หลายเดือนก่อน +2

    Yesu.wangu bila kunichaka moyo wangu siwez kufika mbli nakuitaji yesu,niffundshe hekima kukaa kimya na kuskia sauti yako.

  • @elizabethndavuti8728
    @elizabethndavuti8728 5 หลายเดือนก่อน +2

    Amen🙏 Amen🙏

  • @chikuamedeus8700
    @chikuamedeus8700 5 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU nipe Hekima ya kukaa kimny

  • @kapamevenas79
    @kapamevenas79 5 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana ni fuze ku ka kimya. Bwana niko apa usinipite

  • @user-kj1tj1pv8y
    @user-kj1tj1pv8y 5 หลายเดือนก่อน +1

    Baba nakutekemea Kwa Kila.jambo

  • @thomasmuindi3276
    @thomasmuindi3276 5 หลายเดือนก่อน +1

    May God bless you.For sure you have made me know much.. Mungu tu akulipe

  • @rachaelngwatu7970
    @rachaelngwatu7970 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amina Amina Amina Mtumishi wa Mungu

  • @annnjeri4121
    @annnjeri4121 5 หลายเดือนก่อน +2

    Amina Amina Amina jina lako Mungu wangu lina nguvu tuned from Kenya

  • @chikuamedeus8700
    @chikuamedeus8700 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asantee Mungu. Jina lako Lina nguvu baba si kwa Neema yako baba mpka Sasa Niko hapa sifa nautukufu baba zikwendeee Ee baba 🙏🙏

  • @nicki1885
    @nicki1885 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hizi ni Siri kweli !! 🙏🙏

  • @AgnesKalinga-if3uf
    @AgnesKalinga-if3uf 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atusaidie

  • @elizabethndavuti8728
    @elizabethndavuti8728 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ndio Bwana ndio Bwana...thank you because of your Mercy.🙏🙏 Tuned from Saudi Arabia

  • @nicki1885
    @nicki1885 5 หลายเดือนก่อน +1

    Thank you father for the knowledge

  • @leonardmusole4622
    @leonardmusole4622 5 หลายเดือนก่อน +1

    UBARIKIWE SANA MUTUMISHI WA MUNGU .NIKWELI . MIMI NI LEONARD MUSOLE KUTOKA MOBA CONGO DRC .

  • @jameskayunguya7824
    @jameskayunguya7824 5 หลายเดือนก่อน +1

    Isha nitokeya

  • @nicki1885
    @nicki1885 5 หลายเดือนก่อน +1

    Learning about the secrets of HEAVEN !

  • @joankalegi
    @joankalegi 5 หลายเดือนก่อน +1

    AMEN,, ASANTE SANA KWA MAFUNZO YAKO BARIKIWA SANA WW NA FAMILIA YAKO

  • @Michellenestory
    @Michellenestory 5 หลายเดือนก่อน +1

    Week hii Mungu amenitendea muujiza mkubwa ,nimeendelea kuniona Mungu akinitendea katika Maisha yangu

  • @ScholarKadaso-ch3jx
    @ScholarKadaso-ch3jx 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ameni Bwana nifundishe kunyamaza nyakati zote

  • @JustinaKambimbi
    @JustinaKambimbi 5 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana yesu niko apa naomba usinipite na maitaji yangu yote amene

  • @mapenzimapenzi3619
    @mapenzimapenzi3619 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu nipatie hekima ya kukaa kimya

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ee Yesu kutana na mahitaji yngu usinipite

  • @lucyjuma3960
    @lucyjuma3960 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mtumishi kwa mafudisho mazuri

  • @nicki1885
    @nicki1885 5 หลายเดือนก่อน +1

    Thank you for the wisdom

  • @Dhore-jb5pb
    @Dhore-jb5pb 5 หลายเดือนก่อน +1

    ndio bwana asante yesu eee bwana nifundize nijifunze kukaa kimya ee baba

  • @leonardmusole4622
    @leonardmusole4622 5 หลายเดือนก่อน +1

    AMEN !!! AMEN !!! AMEN !!!

  • @user-ew2ko2zx7n
    @user-ew2ko2zx7n 5 หลายเดือนก่อน

    Nifundishe kunyamaza eeh mungu😢😢😊

  • @gabrielhonlat4043
    @gabrielhonlat4043 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen past🙏🙏

  • @irenekidada3327
    @irenekidada3327 5 หลายเดือนก่อน +1

    😢rafik mimi hmn 🖐🏽😅

  • @gabrielhonlat4043
    @gabrielhonlat4043 5 หลายเดือนก่อน +1

    Yes

  • @kapamevenas79
    @kapamevenas79 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen !!!

  • @evelinemusanga621
    @evelinemusanga621 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @elizabethndavuti8728
    @elizabethndavuti8728 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen🙏🙏

  • @evelinemusanga621
    @evelinemusanga621 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli

  • @lonmaria23
    @lonmaria23 5 หลายเดือนก่อน

    Kweli mungu atusaidie

  • @Lilian989
    @Lilian989 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen amen 🙏🙏🙏🙏

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen

  • @user-tx7yd4jo2m
    @user-tx7yd4jo2m หลายเดือนก่อน

    Jina lako lina nguvu bwana😢

  • @user-zu2dc2bj6z
    @user-zu2dc2bj6z 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amina amina🙏🙏

  • @Lya-pl3vk
    @Lya-pl3vk 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ameni 🙏🙏

  • @gideonwambua9498
    @gideonwambua9498 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🙏🙏🙌🙌🙏🙏

  • @ungwamastajabu-3375
    @ungwamastajabu-3375 5 หลายเดือนก่อน +1

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏

  • @julianarichard920
    @julianarichard920 4 หลายเดือนก่อน

    Amina Baba

  • @irenekidada3327
    @irenekidada3327 5 หลายเดือนก่อน +1

    🙏🏽

  • @benadethamlay3395
    @benadethamlay3395 5 หลายเดือนก่อน +1

    🙏🙏

  • @winfredmuthui9707
    @winfredmuthui9707 5 หลายเดือนก่อน +2

    Bwana nifundishe kunyamaza.

    • @Kapandetv
      @Kapandetv 5 หลายเดือนก่อน

      Winfred hi

    • @Kapandetv
      @Kapandetv 5 หลายเดือนก่อน

      Winfred hi❤

  • @mapenzimapenzi3619
    @mapenzimapenzi3619 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu nipatie hekima ya kukaa kimya

  • @tabithampinga4606
    @tabithampinga4606 5 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @jameskayunguya7824
    @jameskayunguya7824 5 หลายเดือนก่อน

    Amen