#LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Ujumbe: Mungu na Maisha
    Pastor: Innocent Mashauri
    Kwa maana yeyote anayetaka kuyaokoa maisha yake atayapoteza, lakini yeyote atakayeyapoteza maisha yake kwa ajili yangu atayapata.
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

ความคิดเห็น • 42

  • @MinzaMadilo-zf5yl
    @MinzaMadilo-zf5yl หลายเดือนก่อน +4

    Asante Roho mtakatifu kwa kutuma neno lako kupitia mtumishi wako kutufikishia ujumbe hakika nimejifunza mambo mengi ambayo nilikuwa sijh lakin sas nimeyajua .Mungu nisaiide nizidi kuishi kwenye kusudi lako,ubaliki uzao wangu uishi kwenye kusudi lako.ASante sana Mungu kwa mafundishi uzidi kumuweka na kuachilia mafundisho kwa mtumishi wako uliye mchagua kueneza neno lako.Amen🙏🙏🙏🙏

  • @EmmyKapessa
    @EmmyKapessa หลายเดือนก่อน +2

    Najiungamanisha na madhabahu hii kwa danu ya YESU

  • @SaraMpozi-nf1yk
    @SaraMpozi-nf1yk หลายเดือนก่อน +2

    Bwana tambulika kwenye maisha yangu na kwenye mangumu ninayoyapitia

  • @joycemwari2069
    @joycemwari2069 หลายเดือนก่อน +2

    Amen aeeeee Jesus mighty usiniaza baba unikumbuke unirehemu baba unisaindie 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @user-xo7ns7bc8c
    @user-xo7ns7bc8c หลายเดือนก่อน +2

    Ooooh Yes Lord tambulika katika maisha yangu

  • @dammyduro1643
    @dammyduro1643 หลายเดือนก่อน +2

    Ameen

  • @RachelLilanga
    @RachelLilanga หลายเดือนก่อน +2

    Asante mungu Kwa Neema hii na kibali hiki

  • @ErneusNdunguru-gu5hf
    @ErneusNdunguru-gu5hf หลายเดือนก่อน +2

    Amen

  • @pendomwampamba5221
    @pendomwampamba5221 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mungu Kwa ajili ya mtumishi wako mungu aendelee kutuponya kupitia mafundisho tunayoyapata Amina

  • @EmmyKapessa
    @EmmyKapessa หลายเดือนก่อน +2

    Roho mtakatifu nisaidie kuyafanya yale yanayokupendeza❤❤

  • @MarieMakiwa
    @MarieMakiwa หลายเดือนก่อน +2

    Asente mungu kwa kutuma mtumishi wako atufundishe tusiyo yajuwa

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 หลายเดือนก่อน +2

    Asante Asante MUNGU

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 หลายเดือนก่อน +2

    Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU

  • @user-li2ze2ws4l
    @user-li2ze2ws4l หลายเดือนก่อน +2

    Mungu .Niko hapa Na familia yangu

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 หลายเดือนก่อน +3

    Nirehemu Bwana,,naomba neema yako ya kutenda mema mbele zako,,,,kwa jina la YESU

  • @EmmyKapessa
    @EmmyKapessa หลายเดือนก่อน +2

    Natamani kuyaishi maisha matakatifu

  • @ZaiKihwele
    @ZaiKihwele หลายเดือนก่อน +2

    Namshukuru mungu mama yangu alilaaani kitendo cha kuwafungia watoto vitu mikono chingo miguu kiuno 😢

  • @gracengairo6214
    @gracengairo6214 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani huu jumbe Asante Mungu kwakupitia mtumishi huyu Mungu akutunze usiache kusema kile Mungu anataka tupone ubalikiwe

  • @dammyduro1643
    @dammyduro1643 หลายเดือนก่อน +1

    😭😭😭hili neno la kuhusu mtoto wangu kuwa kwa bibi ake imenigusa sana pastor 😭😭😭 ee mungu nirehemu karika hili imeniuma imeniuma imeniuma😭😭😭😭😭

  • @user-wh2mm1eq2x
    @user-wh2mm1eq2x หลายเดือนก่อน +2

    Ni Rehemu ee bwana Mimi na uzao wangu, sawa sawa na mapenzi yako

  • @dammyduro1643
    @dammyduro1643 หลายเดือนก่อน +2

    Barikiwa sana mtumishi wa bwana ❤

  • @WinfridaMakina
    @WinfridaMakina หลายเดือนก่อน

    Asante YESU ASANTE YESU ASANTE YESU

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 หลายเดือนก่อน +2

    Giza ondoka kwa Jina la YESU KRISTO

  • @neemakarisa1496
    @neemakarisa1496 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu Kwa kuruhusu kuskia hii..inani huzunisha sana lakini nijifunza MUNGU Naomba Nianze na wewe sasa unirehemu Kwa makosa yangu hakika Roho mtakatifu anatulisha chakula kizuri🙏🙏❤️

  • @laurentndowa2304
    @laurentndowa2304 หลายเดือนก่อน

    Jamani Haya mafundisho, maombi na maombezi ni roho Mtakatifu kabisa, kuna vitu roho Mtakatifu anaviachilia unaweza ukawa hujasikia popote , tusikilize kwa makini , kuna code nimezipata humu niza High level, code za kutoka mbinguni moja kwa moja Mpaka kwenye hii madhabahu. MUNGU aendelee kukubariki pastor na akupe maisha marefu Zaidi

  • @DelaneyWambui
    @DelaneyWambui หลายเดือนก่อน +2

    Amen amen pastor Asante kwa madini haya MUNGU azidi kukutumia kwa ajili yetu kama ameruhusu maana yake ni kwamba ana mpango mzur kwangu
    Barikiwa sana mchungaji

  • @SurprisedDaisy-lq8sh
    @SurprisedDaisy-lq8sh หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu naomba ubavu wangu ulio sahihi kwangu

  • @EvelyneNdabunga
    @EvelyneNdabunga หลายเดือนก่อน

    Amina naomba Yesu aniinulie mtu wakunivusha kiuchumi nifunguliwe

  • @WinnerAtieno
    @WinnerAtieno หลายเดือนก่อน

    Natamani kuixhi maixha yanayompeza mungu amina

  • @obeidvenasi7132
    @obeidvenasi7132 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu

  • @MutambalaSelemani
    @MutambalaSelemani หลายเดือนก่อน +1

    asante bwana kwa upendo wako

  • @MutambalaSelemani
    @MutambalaSelemani หลายเดือนก่อน +1

    asante kwa wema wako bwana

  • @florencenshimi9353
    @florencenshimi9353 หลายเดือนก่อน

    Hakika madhabahu hii sijapotea. 🙏 🙏🙌☺️

  • @SaraMpozi-nf1yk
    @SaraMpozi-nf1yk หลายเดือนก่อน +2

    Usinipite bwana

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 หลายเดือนก่อน +2

    Asante YESU KRISTO kwa kumisamehe

  • @user-xo7ns7bc8c
    @user-xo7ns7bc8c หลายเดือนก่อน +1

    Kweli kabisa mtumishi wa Mungu hapo kwa hirizi umeongea point ya ukweli kabisa mm mwenyewe nko na ushuhuda juu ya hilo nlikua nayo nkiwa mdogo na ilinitengenezea mazingiza ya magonjwa kila mara mpaka wakati ilipokatwa na mchungaji nkaombewa ikachomwa ndio magonjwa yalipokoma

  • @user-xo7ns7bc8c
    @user-xo7ns7bc8c หลายเดือนก่อน +1

    Muda mwingi ila umetumika kwa jambo la maana mtumishi

  • @vannyk-jz7tf
    @vannyk-jz7tf หลายเดือนก่อน +1

    Kuota unapaaa Kuna maana gani sijasikia😢

  • @EmmyKapessa
    @EmmyKapessa หลายเดือนก่อน +1

    Namimi nipo.mbele yako usinipite

  • @EmmyKapessa
    @EmmyKapessa หลายเดือนก่อน +1

    Nahitaji kukombolewa ee bwana

  • @Linda-hv9ll
    @Linda-hv9ll หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @MerryMwailoka
    @MerryMwailoka หลายเดือนก่อน +1

    Amen