Imagine unaenda kwenye interview ya kutafutwa mtu wa kumlea mtoto, baada ya kuingia kwenye chumba cha interview unakutana na mtoto ambae kanuna, sharti umfanye acheke ndo utapata kazi..😂😂😂. Naona jinsi utakavyojizima data uwe kama chizi😂😂😂😂
Mbona hii simulizi ni kama unakatia katikati ilienda vipi na mama wa huyo mtoto ni nani alikua aje mpaka James akabaki na mtoto mdogo lakini poa tu nauliza nizuri sana ❤
Imagine unaenda kwenye interview ya kutafutwa mtu wa kumlea mtoto, baada ya kuingia kwenye chumba cha interview unakutana na mtoto ambae kanuna, sharti umfanye acheke ndo utapata kazi..😂😂😂. Naona jinsi utakavyojizima data uwe kama chizi😂😂😂😂
😂😂😂😂
Duuuh aisee mambo ni Moto moto kweli 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂 weeee hiyo kali yaani hiyo siku interview itageuka uwanja wamapambano mi sinaga uvumilivu wakubembeleza mtoto😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
😅😅😅😅uyo baba c mzima aki
Wow nimewahi pia mm 🎉🎉🎉❤❤
Basi twende nalo mulemule❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉😊😊😊😊
One soul❤
Vizur sana Simulizi tam tam mpaka raha sana 😂😂
Nice simulizi kaka lukas 🎉🎉
Woyo woyoooo ,Ahsante Lucas kwa kigongo kipya tunaenjoy sie mashabiki zako 🎉🎉
❤❤❤❤🎉🎉😢
Haswaa
Wapili🎉🎉🎉
Shukrani kaka lumbasi 🙏🇨🇩🪑🎧
Asante sana Lucas kwa kutuletea simulizi hii mpyaa 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao 😢😢😢😢
❤❤❤vip
👍👍♥️♥️♥️♥️
@zenaathumani8144 Zenaa amka sikuoni my wangu kukwesha changamka😁😁
Simulizi mfupi natamu ahsante sana Kaka Lucas ❤❤❤❤❤ ila jina la Siwema kweli siomwema maana ana kiherehere 😂😂😂😂
🎉🎉🎉🎉😂❤❤❤❤❤ nimewahiiii
KakaLumbas. Nakuaminia mzigo lazina uwe na ujazo kamili
🎉 thank you 😊
🎉🎉🎉🎉🎉 Lucas
Leo nimewahi Sana,likes zangu jamani,kazi nzuri kaka.
😂😂😂😂😂😂simulizi tamu yachekesha
Nimewai jmn
Woyooo🎉🎉🎉
Tnx kaka lucas lumbas ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤😂
Nice story 🎉🎉🎉
Ahsante
Apo Katy anaenda kuwa mama mjengo😂😂😂😂😂
Ila watu waluca nyie hamchezi mbali na simuzenuuuu
Maan jamani sijawai kuwa wakwanza akiiiiiiii😢😢😢😢
Kweli chanzo ni Katy lkn pia mungu Ako na sababu ya kuwakutanisha Hawa wawili love story
Simulizi time 🎉❤next time mnitag nisijelewe mie😂
Huyu siwema mm cmpend kaz yke kihere here tu kwn James humfukuzi helen kushakuw mama mjengo sas ww siwema tukuone icho kiherehere chko 😅😅😅😅😅
❤❤No1 Toka mida yetu nilkuwepot sas like zinanipta daah , Haee kunyimwa unchokipenda kusikiet, inuma et😁😁kaka lucas chukua💜💜💜huna baya🎉🎉🎉
Ee uko ndani kama kawaida
@هايلينل weachatu🤣🤣
Pamoja sana.dear❤
Huyo Siwema naona ameletwa kwa dili la kuolewa na baba Katy nini 😂😂😂maisha haya yakupigania keki ya maisha ni hatari 😂😂😂😂
😅😅 Lucas hiyo sauti ya siwema imeniacha hoi
Najua mm ni wamwisho sawaa basi ndio msinipe likes bwana😂😂😂😂😂
Hey guys mkuje ile biryani iko kwa meza ❤
Lucas ungekua do siwema james asige choka 😂😂😂😂😂 unalalamika adinacheka kwa sauti🤣🤣 unajua kusimlia asate💯🔥👍
@@TeklaNdekeja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 harafu hapo penye siwema alikuwa analalamikia Jackson nimecheka kwa sauti eti Helen ni malaya kamufungia James chumbani 🤣🤣🤣🤣🤣
@@Evelynmoreen3655 Lucas anawenza kufanya mtu chinz mwenyewe leo nimecheka ad naambiwa sio bule hazitoshi🤣🤣🤣
@@TeklaNdekeja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kweli leo Lucas katuweza maana sio kwakulalamika huko kwa Siwema 🤣🤣🤣
Tupo pamoja sana
🤣🤣eti usiku kucha wamekesha chumbani😅😅mm hoi
Fupi ila nzur sana
Kwan Huna habari ya kwamba kadogo kanatekenya😅😅
Utunzi mzuri ila mwandishi ame summerize sana....angeirefusha kiasi ingenoga zaidi
haya jamani mee wamwisho kabisa simlizi ninzur 🥰🥰 sanasana nawapenda wote mnao sikiliza jamani 🥰🥰🥰 nipen likes hata 5 😜😜
Me nilitak.uyo madam aumbuke mbna imeisha.vbya
Simuliz tam ila kafup
@@TeklaNdekeja uyo mwndish kakifupisha wla hakijaishia vzr
Kweli kabisa ilitakiwa huyo mama aumbuke ila ndoo hivyo tumeishia hewani😂😂😂😂😂
@@Evelynmoreen3655 wambea mmeumbuka💕 🤣🤣🤣🤣
@@TeklaNdekeja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣haijaish utam asaa
Na mm Leo wa 13 jmn ila watu mnawahi xnaa aisee Lucas maua ykoo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤umewahi pia🎉🎉🎉
❤❤❤❤
Haya CHANZO NI KATY KAFANYANINI TENA TUNASIKILIZA HILI TUJUWE LIKE 10 FAMILIYA YA LUCAS ✌️💐
Asate Mmungu akupe maisha marefu hadithi nzuri
Tamu sana jamani uwiii weka mbali na watoto
🎉🎉🎉🎉🎉
ameen
Nimepokea hii ni yakwangu
❤❤❤❤🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Ee leo nimewahi niko top 10😂😂
Umewahi San Rafki angu🍒🍓🍓
Ee leo nilikuwa na bahati @@TeklaNdekeja
❤❤❤❤❤🎉
❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🧃🧃🧃🧃🧃🎂
Mbona hii simulizi ni kama unakatia katikati ilienda vipi na mama wa huyo mtoto ni nani alikua aje mpaka James akabaki na mtoto mdogo lakini poa tu nauliza nizuri sana ❤
Me 12🎉❤
❤❤❤🎉🎉😂😢22
Kwanikunanini kiluchomkuta mpakaawe kwamdogo
Kasimulizi kafupi bc katamukweli hata nimekamaliza kukasikiza na nmekarudia tena
😅😅Wewe tena umerudia saa ngap?
Hapa narudia nimeimaliza kitambo nairudia tena
❤😂😂😂😂🎉🎉
😂😂 ❤
Makubwaa kumbe shangazi alimtuma katy atafute hati zanyumbaa luuuu shangazi mubayaa aisee.. pili huyu wema naona nikama sandra🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mish aisee mapezi hayalazmishwi
😮❤❤❤🌹🌹🌹🌹🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🔥🔥🔥
Na mm Leo wa 13 jmn ila watu mnawahi xnaa aisee Lucas maua ykoo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤😂nayako umewahi pia🍇🍇
Huyo Siwema naona ameletwa kwa dili la kuolewa na baba Katy nini 😂😂😂maisha haya yakupigania keki ya maisha ni hatari 😂😂😂😂
❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉
❤❤🎉🎉👍
❤❤❤
❤❤❤❤