JINSI YA KUSHINDA ROHO YA UZINZI NA UASHERATI - kipindi cha 2 (Na. Askofu Dr. Fredrick Simon)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 19 มิ.ย. 2023
- Click Here: bit.ly/3aLVBZZ
JINSI YA KUSHINDA ROHO YA UZINZI NA UASHERATI - kipindi cha 2 (Na. Askofu Dr. Fredrick Simon)
#mahubiri #fredricksimon #pcct #uzinzi #uasherati
Amen 🙏
Ubarikiwe Sana Mtumishi wa MUNGU.
Baba MUNGU akubariki Kwa ufunuo huu maana ni somo adimu sana, siku hizi watu wanafundishwa kupokea na kukanyaga mafuta ya upako n,k ambavyo mbele za MUNGU sivyo alivyo tuiitia, kwani. MUNGU anataka tuwe watakatifu zabur 16.3🙏🙏🙏🙏
Amen mtumishi wa mungu umesema ukweli mungu akubariki
Ujumbe mzuri mnooo
Ukweli wa uwokovu,Askofu Mungu akubariki
Asante mtumishi wa Mungu kwa ujumbe mzuri...ni wahubiri wachache sana wenye ujasiri wa kufundisha juu ya Habari ya Uzinzi na Uasherati
MUNGU aendelee kukupaka mafuta yake ya kimbingu kabisa.asanti sana kwani révélation mtulishi wa mungu
Hongera sana Mtu wa Mungu, ujumbe mzuri sana sana. Mi umnifumdisha sana.🔥🔥🔥🔥
Mafundisho mema 🙏
Amina mtumishi wa Mungu
Good work pastor and my Lord God protect you 🙏
Barikiwa mtumishi.Kizazi kilichoharibika
Ameen
Good work
Ameen
Good 👍 one
Amen...God Bless You
Ujumbe wenye nguvu