Saida Karoli - Omulilo ( Official Music Video )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024
  • Saida Karoli - Omulilo ( Official Music Video )

ความคิดเห็น • 774

  • @poncysulu1546
    @poncysulu1546 7 ปีที่แล้ว +156

    Old is gold aisee.Mama TZ unatesa sana hadi APA Kenya.wapi likes za wakenya aisee!!

  • @khamismasamki9366
    @khamismasamki9366 7 ปีที่แล้ว +40

    Dah mi mwenyewe kawimbo nimekapenda japo maneno mengne siyasikiii umetisha adi mgabe anakusifia

  • @ckukuu8404
    @ckukuu8404 7 ปีที่แล้ว +81

    Ulikua vzur umerudi vzur zaidi mama mm nazifagilia sana nguo zako na kwetu sote much Luv from 254 Mombasa

    • @anastaciaw9806
      @anastaciaw9806 7 ปีที่แล้ว +1

      Cku Kuu ya anavaa kiheshima huyu mama I love her too

    • @reginamchuno2382
      @reginamchuno2382 6 ปีที่แล้ว

      Mama yuko vzuri

    • @rhodamuhuti1516
      @rhodamuhuti1516 6 ปีที่แล้ว

      Heshema kwaanza

    • @josembuzi9068
      @josembuzi9068 5 ปีที่แล้ว

      Ahsante saida kaloli🇳🇿🇳🇿🇳🇿🇳🇿🇳🇿🇳🇿

    • @adammuki2831
      @adammuki2831 5 ปีที่แล้ว

      Kweli dadaa uyu.anavaa poa

  • @enjoomaliya1399
    @enjoomaliya1399 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo omulungi mno.wakolaaa saidaa.

  • @yaziduhusseinkwiro.sonicem842
    @yaziduhusseinkwiro.sonicem842 7 ปีที่แล้ว +52

    Hii nyimbo inapendeza ipigwe pale mwanaume anapo peleka posa I'll make wake ajiandae . hainaga ushemeji tunasema

    • @edwardmwita4586
      @edwardmwita4586 7 ปีที่แล้ว

      hujakosea 😁

    • @Mjukuuwanombo
      @Mjukuuwanombo 7 ปีที่แล้ว

      Dah, kweli kabisa aisee😂😂😂

    • @giftyalifa7509
      @giftyalifa7509 6 ปีที่แล้ว

      Yazidu Hussein Kwiro. so nice muve mama uko

  • @pathoryone4949
    @pathoryone4949 7 ปีที่แล้ว +83

    huyu mama hajawah kukosea kla nymbo aktoa n kal balaa kama vle n msanii wa kazaz kpy .kumbe mama wa zaman xana ...ebu mpe like yake tusepe na kijij

  • @victoramaro9373
    @victoramaro9373 4 ปีที่แล้ว +4

    She is my favorite 😍 😍 Saida karoli 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽🎵🎵🎵

  • @sjtamasial
    @sjtamasial 7 หลายเดือนก่อน +1

    Queen of kongo we all love mama afrika

  • @manning979
    @manning979 7 ปีที่แล้ว +70

    twende sambamba na ngoma hii kali ya saidi kama na wewe imekubamba gonga like hapa

  • @Richard_Range
    @Richard_Range 3 ปีที่แล้ว +20

    Chuma Huliwa Na Kutu, Cha Mtu Huliwa Na Mtu! Best line🤩

  • @isaacisingomaamooti3943
    @isaacisingomaamooti3943 4 ปีที่แล้ว

    Omuliro bojo .omuliro kuruga mukanwa kange
    Saida u the best African maama

  • @ClintonChisiangani-um9lx
    @ClintonChisiangani-um9lx หลายเดือนก่อน

    Please Saida si tunaeza kufanya collabo, alafu nko late but nmefika please likes naomba

  • @rebecaanania5863
    @rebecaanania5863 4 ปีที่แล้ว +4

    nilivomaliza kutazama interview yako na zamaradi ndio nimekuja hapa, nyimbo nzuri sana

  • @p.kasongot979
    @p.kasongot979 6 หลายเดือนก่อน +41

    Nani anasikiliza hadi 2024❤😂😂😂

  • @muamallgadaff79
    @muamallgadaff79 7 ปีที่แล้ว +3

    Kila mkoa nilazima msanii mmoja wa Asilia atambulike kama kigoma aimbavyo linex nasisi wabhukobha saida ni fahali yetu love you saida

  • @muemadennis4365
    @muemadennis4365 7 ปีที่แล้ว +11

    She is back. The queen is BACK! Go Saida Karoli. Go Saida

  • @boscomunene730
    @boscomunene730 6 ปีที่แล้ว

    kwa sauti sidhani kuna mkali zaidiya saida afrika mashariki

  • @lucasmakiko2332
    @lucasmakiko2332 6 ปีที่แล้ว

    Huyu mama wa sayar nyngne kama ni soka ni Cr7 mungu amjalie na safar yake ndefu amalze salama

  • @athanasmkopi
    @athanasmkopi 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nakupenda sana, dadaangu, umetoka mbali sana nakumbuka unapiga Ngoma unacheza, mpka umefika hapo Mungu azidi kukuinunua haijalishi umepitia mangapi kwa vile Uzma upo utafika mbali maana kipaji chako nichtofauti, nahakuna anayeweza kuuiga sauti yako hongera mpz., Mama akulinde love you so much

  • @danielsungita2539
    @danielsungita2539 6 ปีที่แล้ว

    Huyu dada yuko makin sana... Kitu cha asili kilicho dum mda mrefu mpka leo....

  • @galubaalebobjimmy2461
    @galubaalebobjimmy2461 6 ปีที่แล้ว +6

    Its a nice song Saida keep it up dear,lam Bob from Uganda but am yr follower

  • @davidherman3375
    @davidherman3375 6 ปีที่แล้ว

    Umetisha mwana wa mae Saida...Wakola muno

  • @dicksonchavala7487
    @dicksonchavala7487 7 ปีที่แล้ว +25

    Saida mamyet munguakuzidishie uwezo zaidi ya hapo

  • @dullaboy9221
    @dullaboy9221 6 ปีที่แล้ว

    unatisha sana mamaa hatari sana ww nawe moto wakuotea mbari

  • @fanueliwiliam894
    @fanueliwiliam894 7 ปีที่แล้ว +20

    Umeamua saida uko vizur xna mungu akutangulie

    • @ramadhanibwitu4266
      @ramadhanibwitu4266 7 ปีที่แล้ว

      ramadhani bwitu,,,da kweli mziki sauti ukiwa na sauti nzuli muda wowote unaludi na una hit , kipaji akifi ila kama hauna kipaji kaza ukipumzika tu tunakusahau

  • @tizzomsafi4577
    @tizzomsafi4577 5 ปีที่แล้ว +3

    Dada nyimbo bomba xna kazi nzuli kazi nzuli saida%%%%

  • @officialamris7954
    @officialamris7954 7 ปีที่แล้ว +24

    Ww mmama ni nomaaaa Yani Ngoma iko 🔥 🔥 🔥 🔥

    • @joshuachirwa6496
      @joshuachirwa6496 7 ปีที่แล้ว

      mama kauwa jaman nice voice big up saidi kalori

  • @jeniphaelliasy3457
    @jeniphaelliasy3457 5 ปีที่แล้ว +1

    Dada saida umetisha sana hongera.

  • @kelvinnzilano6153
    @kelvinnzilano6153 4 ปีที่แล้ว +5

    One of the best traditional singer ever happened in East African countries. Maintain your niche mama!

  • @stephenphiri21
    @stephenphiri21 4 ปีที่แล้ว +8

    Old is gold, I came from Zambia but her songs reminds me of my late hero Lawrence Tembo

  • @rahmajumanne8438
    @rahmajumanne8438 5 ปีที่แล้ว

    Kiukwr ktk nyimbo za xaida kalor hii xong hua naikubari xana hua xichoki kuitazama 😘😘🙏

  • @jackyelecter1817
    @jackyelecter1817 5 ปีที่แล้ว +3

    Yaaaaaaap nakufananisha na mama Hayvon chakachaka special u'r behaviour ,,thank you mama

  • @aloyceshetui9
    @aloyceshetui9 5 ปีที่แล้ว

    Ingekuwa nchi za watu huyu mama angekuwa tajiri maana nyimbo zake sio utani ni nzuri kuna moja inaitwa Kyali Muto Acha kabisa,,,,

  • @joycejuma3630
    @joycejuma3630 5 ปีที่แล้ว

    duuu wimbo naupenda lakni kaimba kilugha hatari kama na we we unaupenda comment hapa

  • @neliusananias5037
    @neliusananias5037 7 ปีที่แล้ว

    Omulilooooo,,,,, munywanyi aba mbalaluju, ekita empala kiluga omukanwa kayo, nikwo Mae tolabeiya, ahalwekyo ninkushabila aliluhanga akwebembele,

  • @kavishe2009
    @kavishe2009 6 ปีที่แล้ว +2

    video na wimbo vimekaa sawasawa.. Omulilo :) ntarudi kutizama tena

  • @abdallahally9082
    @abdallahally9082 7 ปีที่แล้ว +7

    Shikamoo mond, dada wa bukoba karudi😁😁😁

  • @RomwardWM
    @RomwardWM 6 ปีที่แล้ว

    Daa Mungu Ni Mwema Sasa Umerejea Rasmi komaa Mama yangu utoke ungende kemondo namahera

  • @goodluckplacid442
    @goodluckplacid442 6 ปีที่แล้ว

    Kuna kipindi nilikua nawazaga mwenyewe masikini saida ina maana wadau wa muziki wanamwacha ateketee nashukuru Mungu alisikia kilio changu leo saida huyu hapa

  • @aquariosmovies9013
    @aquariosmovies9013 6 ปีที่แล้ว

    Yan haka kasauti n kasheshe....had kausngz...mpaka raha.tokea 2004 namckia kal had now inazd kuvutia masikion mpaka moyon.saida hongeraaaaaaa

  • @evcloudjuma9790
    @evcloudjuma9790 7 ปีที่แล้ว +1

    jamani huyu mama anazingua hazeeki!! sio kwa sauti hii love you saidaaaa

  • @mtaninjegere6060
    @mtaninjegere6060 5 ปีที่แล้ว +17

    When I listen the songs from Saida , I salute her with lots of respect. It is only that the world praises the western music but Saida could have been given another level of profile. Even in Tanzania we don't recognize who is she until she passes. Saida is a Tanzanian flute. In +254 from +255

  • @vincentmudasia1263
    @vincentmudasia1263 3 ปีที่แล้ว +2

    I like the message Chuma huliwa na kutu na cha mtu huliwa na mtu big up the legend

  • @syliviabaruti4660
    @syliviabaruti4660 7 ปีที่แล้ว +1

    nzuuuur love u saida😍😍😘

  • @joramkasente3368
    @joramkasente3368 6 ปีที่แล้ว

    Ma saida masibootaige !! Boojo akaimbo karungi muno, chwena nitukashemelelwa muno munonga!

  • @TheDimba77
    @TheDimba77 ปีที่แล้ว +1

    Tunakupenda sana,Bi Saida!!!!

  • @fordtonny9548
    @fordtonny9548 5 ปีที่แล้ว

    Najua maeneo ya izigo,namigaju,kangantebe had kimbugu,katoke iyo nyimbo inafanya vizur sana

  • @dotodeogratias3400
    @dotodeogratias3400 7 ปีที่แล้ว

    asante sana said karori nyimbo nzr sana number 1

  • @goodluckolesolomon5931
    @goodluckolesolomon5931 6 ปีที่แล้ว

    welcome kwa game tena najua hukoseagi mama saida, Kali sana ngoma zako kama umeikubali gonga like twende sambamba

  • @kishakisha730
    @kishakisha730 2 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo mzuri Sanaa. Hii inatokeaga kweli.

  • @azizimtatiro4037
    @azizimtatiro4037 6 ปีที่แล้ว

    Watu wa kanda ya ziwa wanajua mana ya omulilo mana yake ni moto chuma uliwa na kutu chamtu uliwana mtu nikweli mm saida umetisha mama

  • @ruthychris5761
    @ruthychris5761 4 ปีที่แล้ว +2

    ambao wameikumbuka hili ngoma jamani ni nzuli sana nimeikubali sana

  • @joelnassari105
    @joelnassari105 6 ปีที่แล้ว +5

    Nice song...keep it Up ssta Saida

  • @KatoMayanja-v4k
    @KatoMayanja-v4k 3 หลายเดือนก่อน +1

    Omulilo nguluga omukanwa aka

  • @mbodzebemasika7477
    @mbodzebemasika7477 6 ปีที่แล้ว

    N'ngurupha mukanwaka umulilo...i love languages..saida my super mummy

  • @saleheinnocent7636
    @saleheinnocent7636 7 ปีที่แล้ว +3

    Chuma huliwa na kutu,cha mtu huliwa na mtu,ni kweli na linamana pana sana ukilidadavua neno hili binafsi nimekusoma..

  • @shamiruswalehe8306
    @shamiruswalehe8306 5 ปีที่แล้ว

    Nakupenda dada angu wewe unaweza sanaa komaa sana dada hakuna wakukufuata kwa sauti afrika dada uko vizuri, nimi shamiru swalehe wa bulembo kyaka kwa bi zena.

  • @sarahkabuguzi4736
    @sarahkabuguzi4736 6 ปีที่แล้ว +1

    sana tuu,nice song my sister.

  • @rahablujelo9262
    @rahablujelo9262 6 ปีที่แล้ว

    umetisha umetisha mama waletunao panda new force kila wiki ngoma hii huwa mnajua tuna anza kuisikiliza wap

  • @mikidadiligogi4311
    @mikidadiligogi4311 6 ปีที่แล้ว

    sstr kazi mzuri unajua

  • @pearsonphiri7836
    @pearsonphiri7836 4 ปีที่แล้ว +14

    Though I can't interpret the language , am enjoying the song and I think I am getting the concept.. beautiful song. 🇿🇲🇿🇲

  • @joanithawillingtone6565
    @joanithawillingtone6565 5 ปีที่แล้ว

    Ni kweli mama uko vzr, kumbe kuna marafk vinyonga aise

  • @fraiscarkaruho5970
    @fraiscarkaruho5970 6 ปีที่แล้ว +2

    bojo omulilo, nguruga, omukanwa,, penda sana wimbo huo, hongera sana

  • @hassankasigwa477
    @hassankasigwa477 7 ปีที่แล้ว +3

    Aaaaa Kweli unajua nyimbo ina hisia zoteee inatekenya mpaka rohoni sauti iyooo haipo apa duniani ni kwako tu 😘😘😘😘😘😘

  • @mwesigapaul2497
    @mwesigapaul2497 7 ปีที่แล้ว +3

    ahsante sanaaaa nyimbo nzuri kwel

  • @uwesuwakufanya4033
    @uwesuwakufanya4033 7 ปีที่แล้ว

    Mama dah naumia sawa na saut yako inanitoa chozi nakupenda cn

  • @rahelkidana3907
    @rahelkidana3907 ปีที่แล้ว

    Bonge la ngoma Saida

  • @pendojeremiah1023
    @pendojeremiah1023 ปีที่แล้ว

    Jamani saida yuko wapi siku hizi❤

  • @wisekingtony6370
    @wisekingtony6370 7 ปีที่แล้ว

    Duh!..."omunywanyi mbalaluju" kweli kabisa

  • @neemamasolwa3310
    @neemamasolwa3310 6 ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzuri sana mungu aendelee kukusimia mama kwa ujio wako mpya

  • @martinemsenga692
    @martinemsenga692 4 ปีที่แล้ว

    Sautii ako tyu saida naielewaa balaaa

  • @sophianolle4007
    @sophianolle4007 5 ปีที่แล้ว

    penda sana saida japo maneno mengne sielew lakini nafarijika kwanza na sauti yako dada

  • @antidiusmugashe5991
    @antidiusmugashe5991 7 ปีที่แล้ว +14

    Big up saxa mama ngoma iko vizuri muno unatisha

  • @rosulakamugisha3732
    @rosulakamugisha3732 7 ปีที่แล้ว

    Wakora muno ngoma nzur sana, Omuliro nguluga omukanwa

  • @jackiemoki3378
    @jackiemoki3378 6 ปีที่แล้ว

    Chuma huliwa na kutu, cha mtu huliwa na mtu....... Omoliro, wande kanda mbelowa

  • @honoratusbenjamin2765
    @honoratusbenjamin2765 6 ปีที่แล้ว

    Kiukweli dada saida uko vizuri, mungu akutangulie kwakazi nzur unayoifanya,, omukama akwine otatinai.

  • @mbumbulicomedians3286
    @mbumbulicomedians3286 7 ปีที่แล้ว

    kazi nzuri, saida ulikuwa unajichelewesha mwenyewe tu.Tanzania hakuna mwimbaji mwingine mwenye style kama yako, ulikuwa unatunyima burudani kwa kweli

  • @joannakkazi7851
    @joannakkazi7851 4 ปีที่แล้ว +1

    Saida 👌💝 Omururo 🔥

  • @emanuel1990ism
    @emanuel1990ism 4 ปีที่แล้ว +1

    Nc saida kaloli

  • @makuzashuka4788
    @makuzashuka4788 6 ปีที่แล้ว +2

    HUYU MDADA YUKO JUU NAWEZA SIKILIZA SONG HILI KUANZIA ASUBUHI ofisini, kwenye gari na nyumbani BIG UP MAAAAAAAAMAAAAA SAIDA

  • @Chrishenryson-beats
    @Chrishenryson-beats 7 ปีที่แล้ว +2

    Ngoma kali mama me huwa nakukubali sanaaaaaa,,,,ila naomba kilugha punguza me napenda niimbage na nielewe unachoimba jaribu kutumia sana kiswahili

  • @barakasarungi4720
    @barakasarungi4720 7 ปีที่แล้ว +1

    Mugabe kajihuzuru urais aje kuusikiliza ngoma hii ya Saida...ni noooma

  • @francisfarayo7903
    @francisfarayo7903 7 ปีที่แล้ว

    nyimbo nzuri (chuma huliwa na kutu cha mtu huliwa na mtu)

  • @jacobbirori8595
    @jacobbirori8595 6 ปีที่แล้ว

    Kama hauta mshukuru diamond utakuwa hauna shuklani Saida nakumbuka mbali sana ulipokuwa umefikia but sema asante mond kukuludisha kwenye game.

  • @dianajovin1564
    @dianajovin1564 4 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana aunt saida jaman

  • @deogratiasrugangila3100
    @deogratiasrugangila3100 6 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kuna marafiki ni vinyonga hivyo chunga sana.Hongera dada Saida

  • @timothymkhwana5087
    @timothymkhwana5087 5 ปีที่แล้ว +4

    Hello Saida,your songs are always awesome,i love then day by day,long live dada and give us even more!

  • @roseshiombo1450
    @roseshiombo1450 7 ปีที่แล้ว +3

    Loveeeee it Karoli Mama

  • @ajuayemahenge8445
    @ajuayemahenge8445 7 ปีที่แล้ว

    hongera sana mama waukwee nakukubal sana

  • @wailesmunuo6344
    @wailesmunuo6344 7 ปีที่แล้ว

    umerudi tena kwa nguvu Mpya

  • @LevidiaScarion
    @LevidiaScarion ปีที่แล้ว

    Love you 😘😘 saida

  • @muhaspader3593
    @muhaspader3593 หลายเดือนก่อน

    Much ❤ from here Salima Malawi 🇲🇼

  • @kibakibamondisorry7293
    @kibakibamondisorry7293 6 ปีที่แล้ว

    Penda sana saidu kwakuimba nyimbo za kikabila. Japo sielew. Mazipenda 2 lov

  • @babycharles9090
    @babycharles9090 7 ปีที่แล้ว +4

    chuma uliwa na kutu cha mtu huliwa na mtu napenda hiyo sehemu

  • @tiongenyondo1106
    @tiongenyondo1106 6 ปีที่แล้ว +1

    I like this hit saida you remain my best,tionge malwi

  • @fatumahamisi1970
    @fatumahamisi1970 6 ปีที่แล้ว

    Hongera mamy nyimbo tamu sana chuma huriwa na kutu chamtu huriwanamtu

  • @angelayona6077
    @angelayona6077 4 ปีที่แล้ว

    Nyimbo zako nzul umerud kwenye fomla yako mungu akupe akil nying uzd kuleta vt vipya mama wa africa

  • @janhuisman4752
    @janhuisman4752 4 ปีที่แล้ว

    Sauti yako nzuri itapendeza kwenye gospel

  • @moreenkanaiza1175
    @moreenkanaiza1175 6 ปีที่แล้ว

    karoli ako juu tu sana

  • @mkubayamalelo6863
    @mkubayamalelo6863 6 ปีที่แล้ว

    mungu akuzidishiye mahisha yamziki wako kazi nzuri unayo ifanya