CHEKECHE | Ushindani wa Kama’la na Trump uchaguzi marekani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Unaweza kusema imekuwa ni wiki ya Kama’ la Harris katika siasa za Marekani baada ya mgombea huyo wa urais kutawala vichwa vya habari.
    Hii ni kutokana na kufanyika kwa kongamano la kitaifa la chama chake cha Democratic kwa juma zima ambapo makamu huyo wa Rais wa Marekani ameridhia rasmi kuwa mgombea urais wa chama hicho.
    Pamoja na kambi hiyo kutawala kwenye vyombo vya habari, haijamtia unyonge katu Donald Trump ambaye ni mgombea urais kupitia chama cha Republican naye akishuhudiwa kwenye mikutano yake akijinadi vilivyo huku pia akiungwa mkono sasa na mgombea urais wa kujitegemea Robert F. Kennedy Jr.
    Haya yote yanatengeneza ushindani wa aina gani kwenye uchaguzi wa Marekani?
    #AzamTVUpdates

ความคิดเห็น • 5