WAKE WENZA (SEASON 3) - EPISODE 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 372

  • @annaki318
    @annaki318 ปีที่แล้ว +71

    Tuliokua tumemiss wake wenza tujuane🎉🎉🎉

  • @olivermushy555
    @olivermushy555 ปีที่แล้ว +24

    Nilikua naisubiri kwa hamu🔥🔥Amka bora ukimbie tu mwili uchangamke😂😂😂

  • @UKWELIA-R-S
    @UKWELIA-R-S ปีที่แล้ว +15

    Jameni naomba like zenu ,mbona watu wana roho mbaya unaomba like unazani ni héla naomba jameni like zenu

  • @NathaSMART
    @NathaSMART ปีที่แล้ว +28

    Number 1 from BURUNDI🇧🇮 gong likes 5 Guys 🔥🔥🔥💪💪

  • @fedhaajasna5191
    @fedhaajasna5191 ปีที่แล้ว +58

    Mm wakwanza jamani munipe like zangu 🔥🔥

    • @Kamoste
      @Kamoste ปีที่แล้ว +3

      Naomba u subscribe kwangu jameniiiii

  • @MwajumaJ4-sg6gk
    @MwajumaJ4-sg6gk ปีที่แล้ว +2

    Kwenye hii move nampnda zaidi recho jmn nakupnda sana

  • @cathrynyoram4569
    @cathrynyoram4569 ปีที่แล้ว +20

    Aweeeeeeee🔥🔥🔥 my favorite series ever❤❤❤ wake wenza.

    • @VictoriaNkole
      @VictoriaNkole ปีที่แล้ว +2

      Waoooo mmejua kunikoshaa, nilikuw Nasubr kwa hamu saana, but good job

  • @GetrudaSanga-d7l
    @GetrudaSanga-d7l ปีที่แล้ว +2

    Waooooh Gumbo nmefurahi sana kukuona leo jaman nakupenda mimi mweeeeeeh ♥️❤️💝💝❣️💋💋

  • @HildaGerard-xv9jp
    @HildaGerard-xv9jp ปีที่แล้ว +6

    Mzigo mpya waooh!!!

  • @Uwamahoro-fefe.15
    @Uwamahoro-fefe.15 ปีที่แล้ว +1

    Movie yangu pendwa ,karibuni tena kwa Mara nyingine kutuburudisha tuko pamoja Season 3 ipo hewani ,hongereni sana

  • @NeemaObed
    @NeemaObed ปีที่แล้ว +2

    Nikajua ndo imeisha kumbee😂😂😂 apo Sawa love you wake wenza

  • @mgmgtheraper6679
    @mgmgtheraper6679 ปีที่แล้ว +3

    Jamani laha kwendambere tungali sambamba warundi nawatanzania tupeani linki!!!

  • @IrakozeNasra
    @IrakozeNasra ปีที่แล้ว +2

    Nilivyoisubir kwa ham bas naomb mnapotutilia hivy vimatangazo na kutuongezea midakika🎉😂😂😂😂Gumboo kw Recho lzm utaowa😂😂

  • @sandrineshurweryimana-vd4so
    @sandrineshurweryimana-vd4so ปีที่แล้ว +3

    Kabisa

  • @لويسلويس-ص6ر
    @لويسلويس-ص6ر ปีที่แล้ว +2

    Naomi ni mzur na pia uko na hekima❤❤❤❤ na kupenda san Naomi

  • @rebeccazagabe
    @rebeccazagabe ปีที่แล้ว +4

    nili subiria kwa hamu 🎉

  • @emmaa403
    @emmaa403 ปีที่แล้ว +8

    Wake wenza my favourite series ❤❤

  • @themalumbos4214
    @themalumbos4214 ปีที่แล้ว +17

    My favorite series ❤❤❤

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 ปีที่แล้ว +7

    Hakuna move niipendayo kama hii❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @gogoloveofficial5666
    @gogoloveofficial5666 ปีที่แล้ว +10

    Turi wa miss sana.love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI

  • @alfredtebeka2497
    @alfredtebeka2497 ปีที่แล้ว +8

    Historia ndefu sana, ila Rachel niko upande wako tangu ep ya 1 mpaka sasa❤

    • @Kamoste
      @Kamoste ปีที่แล้ว

      Namboa subscribe

    • @sameraakhf5605
      @sameraakhf5605 ปีที่แล้ว

      Itakuwa ww ni jambazi kama recho

  • @BIGSTAROGTZ
    @BIGSTAROGTZ ปีที่แล้ว +1

    Nice🎉🎉

  • @DorcusLyambilo-ks5fp
    @DorcusLyambilo-ks5fp ปีที่แล้ว +2

    Gumbo changamka ban maswala ya kupelekeshwa sio mazuri

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 ปีที่แล้ว +2

    Kazi ipooo......mambo ndo kwanza yaanaazaa

  • @EzyPesa-d9r
    @EzyPesa-d9r ปีที่แล้ว

    Usikskilize maneno ya watu kikubwa uzima na kumsukuru mungu, acha na hawa wanao ongea ovyoo kubwabwanya maneno tu, na kuombea kwa mungu uta kuwa sawa kipenzi hata apo ulipo fikia ni mkono wa mung🙏🙏

  • @CarrenMtotowamama
    @CarrenMtotowamama ปีที่แล้ว +8

    ❤❤❤❤❤❤❤ very nice and touching ... much ❤❤ from 🇰🇪🇰🇪

  • @idrisadjuma9322
    @idrisadjuma9322 ปีที่แล้ว +1

    Nipo zangu natizam wake wenza season 3, episode 1, bonge moj ya movie, hongerani Benham gang kwa kazi nzur

  • @NeemaAbdalla
    @NeemaAbdalla ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah ndo tulikia twaisubiria❤

  • @Mwanamkasi-s5e
    @Mwanamkasi-s5e ปีที่แล้ว

    Tumeridi kw mara nyingine,mwaka mpya hoyeeee😂😂,tumefurai kurudi kw wake wenza tuone moto unao kokwa n fa2ma,w madili feki kw jojo n kw maua,nmemiss bba mang'anya,:;:;:;shimoo bba mkwe😂😂😂.kzi nzuri ❤❤❤❤nawapenda bure nyote

  • @arthemonniyibizi9947
    @arthemonniyibizi9947 ปีที่แล้ว +3

    Wow like jameni

  • @MariamRashidi-n7u
    @MariamRashidi-n7u ปีที่แล้ว

    Moto moto kbs 🎉🎉🎉🎉🎉 asant ni san kwa kutuletey mautam🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @neemajohn8636
    @neemajohn8636 ปีที่แล้ว +1

    Kwahyo huyu bhailam hakusikia maneno ya baba akee mhuuu🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽

  • @Minjum-j5m
    @Minjum-j5m ปีที่แล้ว +1

    Wa mwisho ila sio mbaya

  • @RukiaHamisi-m9q
    @RukiaHamisi-m9q ปีที่แล้ว

    Wow, nlikua nmesubir kwa ham🎉🎉🎉

  • @pur-ple-girll-304
    @pur-ple-girll-304 ปีที่แล้ว +1

    😊leo fungua kaz asante mwenyez mung kwa afya njema ❤

  • @NeemaObed
    @NeemaObed ปีที่แล้ว +1

    Wake wenza oyoooooo❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @BahatiKadenge-n5r
    @BahatiKadenge-n5r ปีที่แล้ว +7

    🎉🎉🎉🎉much love from kenya

  • @sophiashamimah5895
    @sophiashamimah5895 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤nlkua nmeisubiria sana kwa kweli thanks alot comedy plus

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 ปีที่แล้ว +1

    Makubwaaaaa😂😂😂😂😂 jojo huyoo mama yake amekuja kumtafuta wakati rachel kamuozesha ndoa yamchongo iliafanye jambo lake

  • @Keke-m6d
    @Keke-m6d ปีที่แล้ว +1

    🇧🇮🇧🇮💕💕💕💕tukopamoja na nyinyi

  • @HadijaMashishidoba
    @HadijaMashishidoba ปีที่แล้ว +1

    Duuh nyie mlikua mnaisubil sanaa

  • @eunicegerminus193
    @eunicegerminus193 ปีที่แล้ว

    Jamani nawapenda sana mimi bac msikawize❤❤❤❤❤hii ndy series yangu pendwa kwa sasa

  • @SophieCareenkimario-qs8jy
    @SophieCareenkimario-qs8jy ปีที่แล้ว +1

    😅😅mbona mambo ya recho yanaanza kubuma😢

  • @salomeblack0
    @salomeblack0 ปีที่แล้ว

    Hongereni kazi nzuri

  • @HafsaAbdallah-kp2wb
    @HafsaAbdallah-kp2wb ปีที่แล้ว

    Masha’Allah nilikuwa naisubiria kwa hamu zote

  • @soldiersforchrist-s4c912
    @soldiersforchrist-s4c912 ปีที่แล้ว +3

    Ohhhhhh Moto unawakaaaa🔥🔥🔥🔥

  • @charitemanirakiza1200
    @charitemanirakiza1200 ปีที่แล้ว +6

    Leo wakwnza mimi naomba like zangu jamani❤

  • @MercyKahindi-go2nr
    @MercyKahindi-go2nr ปีที่แล้ว +5

    My favourite series 🎉🎉

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 ปีที่แล้ว +1

    Olaaa team strong hoyeeeeeeeeee tumechelewa lkn stl tumewahi km wapenda mke mwenza tukutane kwa comment n useme imekifunza nn tukutane kwa comment 🇰🇪🇸🇦 Niko Riyadh please 🙏

  • @zamdauseni9787
    @zamdauseni9787 ปีที่แล้ว

    Kweli ibada joyalazima lusiya mwanawo

  • @chemsahakizimana
    @chemsahakizimana ปีที่แล้ว

    Nimekuwa nimewamiss from 🇧🇮❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥

  • @samirahabibty8365
    @samirahabibty8365 ปีที่แล้ว

    Kazi iendelee

  • @UKWELIA-R-S
    @UKWELIA-R-S ปีที่แล้ว +2

    Jameni naomba like zangu 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @dorineodipo7964
    @dorineodipo7964 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana ❤

  • @AdmiringBamboo-pf5sd
    @AdmiringBamboo-pf5sd ปีที่แล้ว

    Naipenda Hii move LA kin I mnachelewa kutowa episode

  • @fetymnyatu3461
    @fetymnyatu3461 ปีที่แล้ว

    Kazi nzr xn nilikua naisubr kwa hamu

  • @aishabilali7105
    @aishabilali7105 ปีที่แล้ว

    Mko vizuri sana napenda movie zenu❤

  • @Edwin_automotive-spareparts
    @Edwin_automotive-spareparts ปีที่แล้ว +2

    Duuu nimechelewa wap mm❤❤ comedy plus

  • @issaathuman2447
    @issaathuman2447 ปีที่แล้ว +6

    Aluuutaaaa continueeee🎉🎉

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 ปีที่แล้ว +1

    Movie ya wake wenza hua unakuaga taamuuu sana ❤❤❤❤

  • @bigfive8334
    @bigfive8334 ปีที่แล้ว +3

    series ya kishua jamaa hii

  • @anetmajura6651
    @anetmajura6651 ปีที่แล้ว

    Kazi nzur

  • @maryammaryam1560
    @maryammaryam1560 ปีที่แล้ว

    Baba Bairam fanya KAZI Yako kipenzi mie hua nakubali sana

  • @IzkiOamn
    @IzkiOamn ปีที่แล้ว

    Waoooooo hatiye mmeruda tuliwasubr kwa ham sana

  • @gseh9277
    @gseh9277 ปีที่แล้ว +2

    Wakwanza jamn naombeni like zanguu vipenzi

  • @EdinaShaban
    @EdinaShaban ปีที่แล้ว

    Nawapenda sana

  • @FrolenceRock-c6r
    @FrolenceRock-c6r ปีที่แล้ว

    Jamn shemeji mbn ham2pi kazi yenu nzur sana

  • @jolieniyokwizera2564
    @jolieniyokwizera2564 ปีที่แล้ว

    Nawapenda sana wakali wangu

  • @BizimanaAbdoul
    @BizimanaAbdoul 7 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda sana Kwa kazi mnayo ifanya❤❤❤

  • @DishaniDisha-zm2gm
    @DishaniDisha-zm2gm ปีที่แล้ว

    Kazinzuri sana 🙏 🙏 🙏

  • @EdwardDismass
    @EdwardDismass ปีที่แล้ว

    Ukoo wa bairamu noma sana wenyewe nikuowa tu kirasiku ee jamni

  • @musaluvembe9090
    @musaluvembe9090 ปีที่แล้ว

    Kama kawa msimu wa Kwanza wa pili Sasa watatu tunaanza kw kishindo Hadi tamati,much love from Kenya❤❤❤❤❤

  • @AmeirhajjRamadhan-e1h
    @AmeirhajjRamadhan-e1h ปีที่แล้ว +3

    Mapema wapi wataftaji wenzangu from oman🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SuleimanSalim-q9j
    @SuleimanSalim-q9j ปีที่แล้ว

    Wow! Ndio maana hamtuboesh nkisem k2 Kiko soon ndo Ivo all the best ndugu zang hak

  • @bellairakoze2769
    @bellairakoze2769 ปีที่แล้ว +2

    Nimewaiii jamaniii❤❤from burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @LeaEtonyema
    @LeaEtonyema ปีที่แล้ว +4

    Wa Kwaza nipendi like zangu ❤😂

  • @GalaxyA-ve8tu
    @GalaxyA-ve8tu ปีที่แล้ว

    Mambo yameanza naipenda sana hii movie

  • @khadijaomar7015
    @khadijaomar7015 ปีที่แล้ว +1

    Khaaa jmn😂😂nimekuwa wa kwanza Leo team strong 🎉🎉🎉😂😂Recho mamaa unautendea haki nafas yako 😂😂😂Leo niko mod raha yaan bailam unamikos jmn ukaoge maji ya bahar ila nawapenda nyote adi naumwaa❤😢😂😂🤣🙌🙌🙌🍯😹😆😆😛😜🤪😋😋🫣🤗😷😎🙈🙉🙊💪💪💪bailam kitakulamba kitu wew humsikiliz baba ako shaur yako😂😂😂

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 ปีที่แล้ว +1

      Wala sio mikosi sihataki kuskia

  • @AidathRweyongeza
    @AidathRweyongeza ปีที่แล้ว

    Yaani mambo ni 🔥🔥🔥🔥 hongera kwa kazi nzuri

  • @WinfredKendi-fj1ui
    @WinfredKendi-fj1ui ปีที่แล้ว +1

    nilikua nimemiss sana jamani ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @hamisahamisa5896
    @hamisahamisa5896 ปีที่แล้ว +5

    Bailam hana hata kumi 😂😂😂😂

  • @Rehema2
    @Rehema2 ปีที่แล้ว +2

    Mimi ndo wa kwanza

  • @magdalenew.mwanyota5901
    @magdalenew.mwanyota5901 ปีที่แล้ว +1

    Dinyooo leo umenifurahisha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @KhadijaJacob
    @KhadijaJacob ปีที่แล้ว +2

    Apo Rachel anafeli jmn Yan atembee nae then amuoe mdogo wake khaaaaaaa umezid mwanamke mwenzetu

  • @jumasultani8611
    @jumasultani8611 ปีที่แล้ว

    Naipenda Sana hiii

  • @SalomeNgonyan
    @SalomeNgonyan ปีที่แล้ว

    Nikuwa na isubili kwa hamu Sana wake wenza

  • @faizaally6453
    @faizaally6453 ปีที่แล้ว

    Jmn mnajua kunikosha walah nawapenda bure

  • @kilizajumainn826
    @kilizajumainn826 ปีที่แล้ว +1

    Recho muamad fatma muamad cjuw utavuna nini haiyah mwisho wako😂😂😂😂

  • @monysanga7516
    @monysanga7516 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri sana kwa inayofuata jaman ❤❤❤❤❤❤

  • @neemajohn8636
    @neemajohn8636 ปีที่แล้ว +2

    After one hour tujuane hapaaaaa🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽

  • @fatumakidoa4006
    @fatumakidoa4006 ปีที่แล้ว

    DINHO 😂😂😂😂😂yaaani sio kwa kukimbia kule ungesimama basi uchapwe yaishe na mapema 😂😂😂😂😂umenifurahisha sana bwana

  • @NiceMugishawimana
    @NiceMugishawimana ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤ hasanteni jameni nilikua nimeisubiri kwa hamu nyingi

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 ปีที่แล้ว

    Waaaaah kazi ipo sana 😂😂😂

  • @nishawangaiwangai9765
    @nishawangaiwangai9765 ปีที่แล้ว +2

    Watching from Madina munawalah saudia Arabic ❤

  • @AnitaWamboi-l2b
    @AnitaWamboi-l2b ปีที่แล้ว

    Hii ni moto moto naipenda sn

  • @SaudaUwimana-tv4yr
    @SaudaUwimana-tv4yr ปีที่แล้ว

    Tulisubiri sana leo imefik hhhh tunawapenda sana

  • @rukyomar1955
    @rukyomar1955 ปีที่แล้ว +1

    naomba hii iwe last season 😂😂😂

  • @HalimaAdam-v7e
    @HalimaAdam-v7e ปีที่แล้ว

    Sema mnatuchelewesha bhan

  • @HabibaAmani
    @HabibaAmani ปีที่แล้ว

    Kutoka OMAN muscat nawapenda sana na kufatilia movie zenu

  • @Zainab-sq1tc
    @Zainab-sq1tc ปีที่แล้ว +1

    Wow thanks kaka bairham