Ni upumbavu na ujinga wa viongozi wa Tanzania , siku 11 mpaka leo ndio taarifa inatoka? Ingekuwa mtoto wa rais au waziri sidhani kama ungefanyika huu uzembe shame on you Government
Tokea tar 18/10 walikuwa wanamtafuta kila sehem na taarifa zilikuwa zimetolewa mbona ila kwa Redio za hku kwetu ikiwemo Safar Redio ya mtwara na mess FM ya Tunduru.
Kitu Kama ndege haiwezekani kuruka na mtu mmoja mwendeshaji ni binadamu muda wowote chochote kinaweza kumtokea hata Kama ana uzowefu kiasi gani.lakini mungu amfanyie wepesi ishallah
@@lilianawah1946 Haikuwepo hali ya hewa mbaya wala Hakuna mapigano kwenye eneo, Kama hitilafu angezima injini iangukie juu ya mti, mawasiliano yangekuepo na hata ingepata ajali Ni rahisi kui-trace, lkn izimwe gps, mawasiliano yasipatikane hapo ndio unastukia
mtego wa nini? bwana Pascal...fahamu hiki kitu kuna kazi zingine ufanyi na group unapewa order ya peke yako ndio maana vipimo vya afya yako vinazingatiwa mara kwa mara kama unamatatizo ya kuzimia n.k uwezi kupewa nafasi ya kazi...kuna hivi vitu ni muhimu sana ktk kuajiliwa mfano...macho unaona vzr, masikio unasikia vzr na kushika unahisia nzuri na moyo uwezi kupata ajira kama utakutwa na kimojawapo kati ya hivyo nilivyo vitaja faulu mtihani wao max za juu lkn ukiwa unfitness tu basi uwezi kazi..kuna kitu kama stress unywaji wa pombe kupindukia awa jamaa ni ngumu kukupa kazi pia.
mimi rubani pia , air crash investigators na rescue services ziko chini sana Tanzania lakini uwezekano mkubwa kwamba imeanguka tayari otherwise kuna emergency procedure inaitwa precautionary landing angefanikiwa kufanya . Mungu amueke vizuri
Ichii hii bhana....khaa!haya lakini muonbe Allah arudi salama,Ila Mimi Nina wasiwasi atakuwa kaenda Ile sayaria mbayo ndege ikipotolea huko hata miaka mingapi ikija kuonekana MTU anakuwa vile vile Yani hazeeki.
Nyinyi mnajambo lenu siku 11 ndomtangaze alafu mnasema mnatafuta kuokoa maisha ya hiyo kijana binadam gani atakuwa salama siku 11 hamfikilii kuwa kuna njaa kiu na mahitaji mengine ya kiafya ninani anaweza kaa bila kula chakula siku 8 hapa sasa mnatafuta kuokoa maisha yake kwani aliwambia anakiwanja kwao cha kutulia ndege nyie sisi tunaakili kuliko mnavo dhani semeni ukweli
Siku 11 tarifa hata kwenye tv ama radio hakuna 😁bongo bwana kanyaga twende… Na swala la Ndege kupotea ilitakiwa ulimwengu ujuwe,maana hicho sio kifodi..
Ninauhaika mkiwapa wazungu hiyo kazi, watapata majibu fasta, kwa sababu wanajua. wanachokifanya, wazungu huwa hawachezi, pia wanajua ramani kuliko sisi wafrica,
Na bado apa nawasi wasi wamepunguza siku uwenda hata ni siku ya 21 na wameshajuwa kafariki ila wanaanza kama story kutuanda kiakili ili tukiambiwa amekufa tusishangae ila ukweli halisi atupo na huyu mtu kumbukeni kifo cha magufuli tulivyofanyiwa
Hivi watu wanao dislike ma video, huwa wana chukiya ma video kwa nini!! Kama hii video wana dislike why? Hii ni habari ya kifo cha mwana damu aliye pote na ndenge,,, sasa sielewi kabisa
Ubahili tu wa hiyo kampuni kwa nn isiajili malubani wawe wawili wawili akiumwa ghafla huko hewan anajisaidije??? Mbona wameweza kumiliki ndege wameshindwa kuajili malubani wawili kweli alafu eti wamekaa kimya siku kumi na moja kweli???
Inasikitishasana kuhusu habr za kupotea kwa ndege na rubani wake,Mungu amlinde awe salama sana,apatikane akiwa mzima wa afya njema.
Iyo ndege yenyewe Ata ipotee Sio mbaya Ila uyo mtanzania mwenzetu mwenyez mungu atie wepes aptikane maana nyuma yake najua Kuna watu wanamtegemea
Mungu. Mungu tunakulilia wahurumie wazazi wake mrejeshe kijana wetu
Mwenyezi Mungu amlinde huko aliko na arejee salama
Amen
Amina
Oooh my classmate since primary jamn am so sad for this news for sure we need to pray with this guy
My God let do something for this 🙏
Pole sana
Tumwombee Mungu ataonyesha alipo
Inshaallah mwenyezi Mungu atafanya wepesi atapatikana
Subhanaallah ,Allah amfanyie wepesi apatikane
Mwenyez mungu amsaidie uko alipo ampe mzimaa inshaallah🙏😥
Dah! Kijana mdogo jamani. Mungu ajaalie na arudi salama.
Hata angekuwa mzee
Mungu saidia ili apatikane
Come back my brother in Jesus name,🙏
Watazania tumombee mtoto wetu apatikane
Mungu asaidie atokee salama huyo kijana. Inatisha hii habari.
Dah inasikitisha mungu ajaliye apatikane akiwa hai
Wale waganga wa kienyeji mnaotusumbua mitaani tunahitaji msaada wenu sasa kijana apatikane.!!? Poleni sana familia
😀😀😀😀
😂😂😂
Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi
Sam, Mdogo wangu nakuombea sana uwe hai aisee, naumia hata namba yako hupatikan tena
Daaah allah amlinde alipo arudi salama
Inshaallh atapatikn Salam kwa uwez wa Mungu
INSHAALHA
Amina
Mtiania inshallah atapatikana kwa uwezo wa Allah
Ni upumbavu na ujinga wa viongozi wa Tanzania , siku 11 mpaka leo ndio taarifa inatoka? Ingekuwa mtoto wa rais au waziri sidhani kama ungefanyika huu uzembe shame on you Government
Surely, U're right!! Shame to government!!
Hapana hii taarifa imetoka muda tu.labda umepishana nayo
Majungu Ni kama husda yakizidi maendeleo hayapatikan
Siku 11 ndo wanaanza kutafuta? 😳😳😳😳😳
Mungu afanye wepesi
Bwana Yesu tuambie.
Sasa siku zote izo walifanya siri au hawakujua kuwa amepotea
Uchunguzi ulikuwa ukifanyika kwanza
Hata iwe uchunguzi lazima taarifa itolewe sikuiyohaitakiw kuka sizote si raisi anataliws atolewe mapema
Tokea tar 18/10 walikuwa wanamtafuta kila sehem na taarifa zilikuwa zimetolewa mbona ila kwa Redio za hku kwetu ikiwemo Safar Redio ya mtwara na mess FM ya Tunduru.
Kitu Kama ndege haiwezekani kuruka na mtu mmoja mwendeshaji ni binadamu muda wowote chochote kinaweza kumtokea hata Kama ana uzowefu kiasi gani.lakini mungu amfanyie wepesi ishallah
kweli kabisa. inashangaza kuona ndege inaruka na rubani mmoja. Kawaida anahitaji msaidizi
Siku kumi na moja zote hizo, atakuwa ashapoteza maisha huyo, na ndege haionekani. Tumuombee Mungu amlaze mahala pema peponi.
WeeYsisemeHivyoMwenyezimunguAnamiujizaINSHAALHA.ATAONEKANA
Akili za Mungu hazichunguziki
Chukueni picha za satellite ya Planet scope, mtaiona kama imeanguka
Wana wazo hilo bc..watatafta kwa macho
Haijaanguka.. imeuzwa
Bongo tuna uwezo kweli
Au watumie drone kufanya msako kuliko kufanya kwa macho
@@lilianawah1946 Haikuwepo hali ya hewa mbaya wala Hakuna mapigano kwenye eneo, Kama hitilafu angezima injini iangukie juu ya mti, mawasiliano yangekuepo na hata ingepata ajali Ni rahisi kui-trace, lkn izimwe gps, mawasiliano yasipatikane hapo ndio unastukia
Dah polen sanaaa
KWANINI SIKU ZOTE HIZO 11 MPAKA LEO???????
Kwanini taarifa mpaka leo siku 11bado hamjasema ukweli, lakiniii Mungu atusaidie kwakweli ,huo ni uzembe, kwanini yuko mwenyewe??huo ni mtego
mtego wa nini? bwana Pascal...fahamu hiki kitu kuna kazi zingine ufanyi na group unapewa order ya peke yako ndio maana vipimo vya afya yako vinazingatiwa mara kwa mara kama unamatatizo ya kuzimia n.k uwezi kupewa nafasi ya kazi...kuna hivi vitu ni muhimu sana ktk kuajiliwa mfano...macho unaona vzr, masikio unasikia vzr na kushika unahisia nzuri na moyo uwezi kupata ajira kama utakutwa na kimojawapo kati ya hivyo nilivyo vitaja faulu mtihani wao max za juu lkn ukiwa unfitness tu basi uwezi kazi..kuna kitu kama stress unywaji wa pombe kupindukia awa jamaa ni ngumu kukupa kazi pia.
Hakuna ndege inayoruka na mtu mmoja tu ambae ni rubani hatakama ikiwa haina abiria lazima muwe wawili ndani
@@samiahmlimanzila6406 inategemea na aina gani ya ndege unazo zisema wewe pia zipo.
@@samiahmlimanzila6406 kbsaa, umeongea sana!
Mbona pilot mmoja jamani😢😢
Mungu saidia kaka yetu apatikanike akiwa mzima
mimi rubani pia , air crash investigators na rescue services ziko chini sana Tanzania lakini uwezekano mkubwa kwamba imeanguka tayari otherwise kuna emergency procedure inaitwa precautionary landing angefanikiwa kufanya . Mungu amueke vizuri
Unaongea vitu gani hata hueleweki. Unathani kwa mtu asie rubani anakuelewa???
Kwaiyo atakua alituaa kwa emergency au ilidondoka???
@@makutaoficialtz9512 uwezekano mkubwa ameanguka
Samahani sana kuna baadhi ya maneno napata tabu kutafsiri kutokana na mafunzo yetu
@@galvanizedsquaresteel86 je anaweza kuwa hai? Inaniuma huyu ndugu yangu jamani
Ichii hii bhana....khaa!haya lakini muonbe Allah arudi salama,Ila Mimi Nina wasiwasi atakuwa kaenda Ile sayaria mbayo ndege ikipotolea huko hata miaka mingapi ikija kuonekana MTU anakuwa vile vile Yani hazeeki.
Siyo story za kina faru John zimeanza mkuu?
Yarabi tunakuomba kwa uwezo wako kijana wetu umfanyie wepesi apatikane
Inawezekana
Subhannallah, mtihani kwakweli 😭😭😭😥
Mungu amjaalie apatikane yaeza kuwa alitumbukia baharini au msituni
Dah!🙆🙆Mungu saidia
Angekua faru joni bunge lingesimama
ISHALLAH mola atamsmamia
Ivi ndege inapotea siku kumi na moja zotee Ndiyo mnatangaza hilii ni tatizoo
Roho mtakatifu waonyeshe huyu kaka alipo Ni ww tu uwezaye .Mungu wape utulivu wazazi wake
Why report after 11 days?
ni Bongo bana..hamna haraka mwanangu😂😂
Kwa mwamposa waende atapatikana na ndege yke
samweli mungu akulinde huko uliko
Dah..huyu jamaa nimesoma nae milambo sec tabora...ee Mungu mnusuru
Mie nipo nae eneo la kaz uku matemannga
Mungu saidia
Eee mungu amsaidie kijana wetu
Mungu tusaidie kijana wetu apatikane
Mbona siku zimepita sana kama ni kupona kweli atakuwepo kweli.
Ohoo my Good 😳😳😢😢
Atakuwa amepaki sehemu labda anafanya service garage
Ndege imepotea siku 11 zilizopita,mnatuomba tuwasaidie kuitafuta Leo.K
Nyinyi mnajambo lenu siku 11 ndomtangaze alafu mnasema mnatafuta kuokoa maisha ya hiyo kijana binadam gani atakuwa salama siku 11 hamfikilii kuwa kuna njaa kiu na mahitaji mengine ya kiafya ninani anaweza kaa bila kula chakula siku 8 hapa sasa mnatafuta kuokoa maisha yake kwani aliwambia anakiwanja kwao cha kutulia ndege nyie sisi tunaakili kuliko mnavo dhani semeni ukweli
Jamani clip hii ya leo tarehe 29/10/2021 au?
Yes
Maskini daa mungu amujalie awe hai
Kuludi hata Rudi tu mungu mkubwa
Na akipatikana mtujuze
Ilikuwaje peke yake kwenye ndege au ndoo utaratibu!!
Jamaa kauza ndege huyo
Sasa wanafichaje taarifa, hakuna chombo chochote cha habari kilicho rpot hii ishu, mpaka mnatafutwa kuulizwa!!!!! Duuu hii kali
Jaman habr inasitikisha hiii, sasa masikin huyu kaka atakuwaa mzima kwelii siku 11
Siku 11ndio mnatoa taarifa Leo ??????
Yupo Gest huyo
Siasa nyingi maneno mengi utaalamu mdogo
Siku 11 tarifa hata kwenye tv ama radio hakuna 😁bongo bwana kanyaga twende…
Na swala la Ndege kupotea ilitakiwa ulimwengu ujuwe,maana hicho sio kifodi..
Jinga kabisa
Atali Sana
Kuna MTU anatakiwa kukaa pembeni uchunguzi ufanyike.Bila ivyo hatuwaelewi
Kwani satellite planet scope zinakazi gani tumia izo picha kama imeangukia nchi kavu itaonekaw
Allah mjalie mjawako arejee salama
Ninauhaika mkiwapa wazungu hiyo kazi, watapata majibu fasta, kwa sababu wanajua. wanachokifanya, wazungu huwa hawachezi, pia wanajua ramani kuliko sisi wafrica,
We ni fala .. Eti mzungu!? Kwao zinapoteaga bila majibu au upo duniagani?
Jiangalie na ufikirie unachokiongea
Nmtanzania.rubani.huyo
Inna lillah wa inna illah rajiun..!!!
Sasa mbona mlisubiri mpaka siku 11?
Mungu amrejeshe Salama
Inawezekana kweli ndege isifike inapotakiwa kwenda then ninyi mnyamze How comes wajemeni??
R.I.P.
Isjekua kaelekea marekani uyo kaona chance ndo iyo yakuitumia au Sausafrica
Duh mbona siku nying zimepita jaman?
Kwa kweli tumuombee hyu mtoto wa watu apatikane tu jmn! Sasa nashangaa jmn kila kona wametafuta hawajapata na why aliruka pekeyake?
Imetekwa hio msitutudanganye hapo , lazima kulikua na magaidi humo ndani😃😃😃
Kama yuko hai Mungu ambakishe salama na amrudishe kwenye jamii aliyo izowea.
Mungu yupo
Ccm kazi Yao kupoteza watu
Inawezekanaje rada ipo na huwa wanacontrol ipotee kwenye rader?It means kuna watu wanatecnologia ya kuingilia mawasiliano?
Ndege ipo marekan
Jamn kaka angu
Poleni Sana
Na bado apa nawasi wasi wamepunguza siku uwenda hata ni siku ya 21 na wameshajuwa kafariki ila wanaanza kama story kutuanda kiakili ili tukiambiwa amekufa tusishangae ila ukweli halisi atupo na huyu mtu kumbukeni kifo cha magufuli tulivyofanyiwa
Hivi watu wanao dislike ma video, huwa wana chukiya ma video kwa nini!! Kama hii video wana dislike why? Hii ni habari ya kifo cha mwana damu aliye pote na ndenge,,, sasa sielewi kabisa
Mtihani
Mbona siku nyingi, wewe unaetoa ripoti uhojiwe, kwanini mda wote huo upo kimya?ndege acha ipotee, sisi tunataka mtanzania wetu
Duuuh samweli, Mungu akulinde wana kiuma tushakumiss mungu akulinde
mpaka leo siamin kaka samu
Ndiyo maana sitaki hiyo kazi
Ya Rabby
Ubahili tu wa hiyo kampuni kwa nn isiajili malubani wawe wawili wawili akiumwa ghafla huko hewan anajisaidije??? Mbona wameweza kumiliki ndege wameshindwa kuajili malubani wawili kweli alafu eti wamekaa kimya siku kumi na moja kweli???
dah 😭😭Sam
Maalubani wenyewe wachache alafu mnafanya sili, no hili haliWezekani😏😏
Taifa zima lina muhitaji ee MUNGU,kama taifa tunamuombea awe salama sababu.wataalam au.marubani hapa nchini tunao wachache sana.
Watanzania tutamkumbuka jpm Kama alikuwepo alikuja ashapatikana magu kweli ???
Mung Wang mung afanyewepes apatikane
Sasa siku zote muko wapi leo ndio mumuokoe pole sana bwana mdogo
Ssa kama mwataka kumuokowa kuna siku ngap zime pita jaman mpaka mwatuambia sai
Duuh siku ya 11 mko kimya sio vizur jamani lakni Allah atabless