ELEWA DALILI HUZI KAMA UNAZO? - PR. DAVID MMBAGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 17

  • @MusicMomentsFun
    @MusicMomentsFun 5 วันที่ผ่านมา +7

    Mungu ni wa ajabu sana, hili somo limekuja kwangu kwa wakati sahihi sana, lately nmekua na dalili karibu zote zilizotajwa, napata huzuni bila sababu, nnaweza tu kuwa nmekaa naanza kulia hata kama nipo ofsini, nalala nmechoka, naamka nmechoka, najitenga na watu, nmepoteza hamu ya kufanya kazi, nnaweza fika ofsini na nisifanye chochote had siku inaisha ( wakati nnajulikana kwa kupenda kazi-workholic). Naona kama nazurura tu duniani sioni impact yyt nliyoileta had sasa. Hapa nmetoka kulia siku nzima na sielew kwanini, sina raha had watu wanaiuliza nna shida gan, kiukwel me mwenyew sielew. Nkasema ngoja niende youtube nskilize gospel nipate angalau amani, na hii ndo video ya kwanza nmekutana nayo ikiwa imepostiwa dkk kadhaa tu. Kiukwel nmehisi kuongeleshwa na Mungu. Pr Mbaga leo Mungu amekutuma kwangu na naomba nikuhakikishie ujumbe umefika, purpose ya hii video imetimia. Asante kwa maombi ya mwisho wa video yameniinua kwakwel. Mungu akibariki, kazi zako zifikie targeted audience, Amen!!

    • @asnathnyabagala9292
      @asnathnyabagala9292 4 วันที่ผ่านมา

      Pole sana
      Mungu akupe nguvu za kusimama ukiwa na nguvu upya

  • @TwazihirwaJosam
    @TwazihirwaJosam 2 วันที่ผ่านมา

    Wapendwa hiii Chanell ilikua ime hakiwaa na embu jaribuni kusikiliza hiyo sauti vizuriiii sio ya Pr hiii hii ni editing ninavoona mm jaribuni kuwasilian kwanza na Pr

  • @princessmbusiro
    @princessmbusiro 4 วันที่ผ่านมา +2

    vp mbona sina taarifa hii chanel imeisharudi kwa mchungaj mbaga au bado ?????

    • @JoMike-p8n
      @JoMike-p8n 3 วันที่ผ่านมา

      Tayari imerudi

  • @stevensamwel4854
    @stevensamwel4854 3 วันที่ผ่านมา

    Kwa ili maombi yanaitajika sana, ili kufunua ufaamu wetu.

  • @giriadichacha
    @giriadichacha 2 วันที่ผ่านมา

    Hii channel imerudi kweli mbona hiyo sauti kama ipo editing speend yake sio na saut???

  • @MariamBusele
    @MariamBusele 5 วันที่ผ่านมา

    Hata mimi nilikuaga hivyohivyo mchungaji asante sana kwasomo hili MUNGU akubariki sana.

  • @SaimoniSolomoni
    @SaimoniSolomoni 4 วันที่ผ่านมา

    Hyo dalili ya 5 ninapitia sana mimi, nimejaribu kushughulikia na hata hyo dalili ya 8 imekuwa ikinitesa sana. Yaan hyo ya 8 Mungu anisaidie sana

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 4 วันที่ผ่านมา

    Ameen asnte sana kwa somo hili naomba Mungu anidadie kutokuwaza mmbo mabaya aah nimechoka nhyo hali aky😢

  • @ThulaniPrince
    @ThulaniPrince 4 วันที่ผ่านมา

    Imenifundisha kumbe namm nina dalili, Mungu tenda maajabu kama ulivyo, Aminaaaaa

  • @BadiJimmy
    @BadiJimmy 5 วันที่ผ่านมา

    Asante sana Pastor kwa somo zuri,Mungu wetu akubariki sana.

  • @ednaednamillanzinia2826
    @ednaednamillanzinia2826 4 วันที่ผ่านมา

    Amen pastor ubarikiwe

  • @purity134
    @purity134 4 วันที่ผ่านมา

    Mungu na atusaidie

  • @RaphaelMusyoki-ov8lo
    @RaphaelMusyoki-ov8lo 4 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 5 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki sana pastor 🙏