MAMBO YA KUZINGATIA KABLA NA WAKATI WA MFUNGO WAKO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Mathayo 6:16-24
Tena mfungapo, msiwe kama wanafiki wenye uso wa kukunjamana; maana hujiumbua nyuso zao, ili waonekane na watu kuwa wanafunga. Amin, nawaambia, wamekwisha kupata thawabu yao. Bali wewe ufungapo, jipake mafuta kichwani, unawe uso; ili usionekane na watu kuwa unafunga, ila na Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
linktr.ee/siri...
Instagram Account
/ siri_za_biblia
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI
Asante Mtumishi wa MUNGU wengi hatuelewi maana ya Kufunga; Kufunga ni Siri ya mtu Moyoni mwake sio tangazo kwa watu🖐️🖐️🖐️
Asante mungu yesu aendelee kukutumia mtumishi
Naomba mungu maombi yangu ya mfungo yakajibiwe amina
Asante sana mtumishi wa Mungu nimefundishika sana Leo🙏🙏
Ooh yes! Hapo kwa bidii ndio siri..
Barikiwa
Mungu ni mwema kwetu. Utuzwe na bwana mtumishi 🙏🙏🙏🙏🙏
Amina mtumishi Kwa mafundisho mazur
Ee MUNGU Naomba Nisaidie Natamani Nikutumikie Zaidi BAdo Cjakutafuta Bad Cjakujua Nisaidie🙇🙌
Amina
Mungu akubariki mtumizi
Amen Amen, nimekusikia YESU 😭😭😭😭
Amen
Asante Mungu
Ee Mungu Wangu naomba unionyeshe namuna ya kufunga Kwa maombi
Asante sana mungu Kwa nguvu na uweza wako nifundishe kuomba mtakatifu 😢😢😢😢😢😢
Nakuomba baba nisaidie niweze kupata kazi na mchumba niepushe na magumu ninayopitia
Mungu akulinde uzidi kutufungua kiroho mtumishi.
Nmesaidika sana be blest
AMINA ubalikiwe 🙏🙏🙏
Amen
Nashukuru sana kwa kunitia moyo mtumishi
Amen mtumishi mungu wa mbinguni akubariki.
amen mtumishi wa MUNGU
Amen amen amen amen 🙏🙏🙏🏾🙏🏾
Nakuombea Kwa Bwana Yesu Azidi kukutumia
Ameen, Mungu akutumie mtumishi kama apendavyo yeye nasi tupokeee kutoka kwake❤
Nashukuru kwa elimu nzuri ya kimbingu ubarikiwe mpendwa
Ameni,, ubarikiwe mtumishi nimejifunza kitu ,, Mungu zidi kujiimarisha nizidi kukutumikia wew
Amen
Naomba mungu maombi yangu ya kufunga yakajibiwe
Ameen ameeen mtumishi
Asante mtumishi wa Mungu, amen amen amen.
Mtumishi ince 👏👏ubarikiwe kila mstari unaosoma yananigusa nimeumizwa sana ince mungu nisaidie
Amen and Amen 🙏 🙌 👏
Nashukuru nimejifunza kitu kikubwa sana😭😭😭
Mungu naomba huruma zako😢😢😢
Barikiwa mtumishi wa MUNGU
AMEN thank you for your knowledge
Asantee mtumishi
Amen,,Mungu naomba unisaidie kwa huu mfungo ,, ndo mara ya kwanza kujiunga
Amen mtumishi ubarikiwe
Amen 🙏 🙏
Hakika mungu ni taa ya maisha tu siku zote 🙏🙏
Amiin mtumishi wamungu
Amen🙏🙏
Asante kwa mafunzo yako mazuri kwenye yutb asante sana psta mungu akupe mwaka mingi Sana vya kuhichi hapa duniani
Kweli kbsaaaaa.hii n kweli...
Amen amen🙏🏻
Ameen
Mungu nisaidie😭😭
Amen and amen mtumishi wa mungu ubarikiwa
Asante sana mtumishi wa Mungu barikiwa sana mtumishi 🙏
Ameen🙏🙏 asante sana kwa ujumbe mzuri nami nimeupokea 🙏
AMEN AND AMEN 🙏 unatufuza vizuri sna may God in heaven bless u man of God 🙏
Eee Mungu Mimi binti yako naja mbele zako sikia maombi yangu
Amen🎉
Amen.
E mungu Naja mbele zako naomba unipokee ❤❤
Amen mtumishi wa mungu ubarikiwe sana
Amina Amina
MUNGU azidi kuangoza. Barikiwa sana mtumishi
Ameeeeeeeeeen
Ameni mtumishi wa Mungu
Ubarikiwe Mtumishi Mungu aendelee kukuinua
Amina mtumishi
Amina mtumushi wa mungu 🙏
Amen😥🙏 MTUMISHI
Baba innocent maharishi amen mchungungaji.
Amen asante yesu
Ubarikiwe sana Mtumishi
Hakika mungu ni mwema
Barikiwa baba barikiwa mnooo
Asant Mungu..nimepata kitu kizuri
Ameen 🙏 Mtumishi wa MUNGU
Amina
Mungu wangu nisaidie kufunga kwangu kusiwe kwa hasara
Amen nimejifunza kitu leo be blessed 🙏
Ni mara kwanza kufunga naomba mungu anisaidie
Asante mtumish wa mungu Sasa nimeanza kuelewa
Santé sana mutumishi wa Mungu
Amin mtumish
Ubarikiwe sana
Nikweli kabisa kufunga nisiri ya mtu na uso uwe umechangamka, barikiwa🙏
Asante mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana
Amina MUNGU akubariki sana mtumishi kwa mafundisho
Mungu anipe neema ya kumjuwa zaidi
Ameen🙏🙏,be blessed mtumishi wa Mungu 🙏🙏
Amen mtumshi wa mungu
Amena
Wasafiri wa Mungu ni siku yakwanza kuanza ninafaa kula jioni saana
Emeeen
Naombaongezamaombi.
God blees more
Ameèn
Aminaa Mungu nisaidie
Asante mungu wangu
Waooh! Wonderfully, GOD bless you man of GOD
Mngu akubaIiki sanaa
Amen asante 🙏🙏🙏🙏
Amen mtumish
amen i have understand now
Ameni unazidi kufungua akili yangu ubarikiwe sana
amina amina amina naomba husinipite bwana mungu
Amen mungu ni mwema
MUNGU azidi kukutumua mtumishi iliusaidie na wengi ambao walikuwa hawaelewi.