Taarab: Linawachoma

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 27

  • @mwaka308said7
    @mwaka308said7 4 ปีที่แล้ว +2

    Thrown back ya hali juu,,,,dem days yaani wacha tu...!

  • @aloycemahaligewi7976
    @aloycemahaligewi7976 2 ปีที่แล้ว +1

    When I was at college, the lady classmate told me to listen to this song... in 2009 :-)

    • @RioIpo
      @RioIpo 2 ปีที่แล้ว

      But It came out 2006

  • @mwahijaismaily538
    @mwahijaismaily538 4 ปีที่แล้ว +2

    wanadiriki kwenda kwa. Mpenzi kumuambia eti Nina mwengine nampenda🤸🤸🤸💃💃💃🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️🥰🥰🥰

  • @RioIpo
    @RioIpo 4 ปีที่แล้ว +4

    Sina la kuwaambia ila pendo letu linawachoma siku wanatuhesabia
    Mwezi na mwaka mzima x 2
    Wapo walotuambia nyie hamna mwiaho mwema
    Na sasa wameamua kuleta nyengine njama x 2
    Pendo kutuvurugia kwa mana linawachoma
    Kwetu mtamaliza njia sisi tunawatazama x 2
    Labda Mola akiamua hapo sina la kusema In Sha Allah atatuvua husuda zenu na njama x 2

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 ปีที่แล้ว +4

    Huu Wimbo acha tuu 😍 😍

  • @husseinsaid4473
    @husseinsaid4473 3 ปีที่แล้ว +1

    My best friend super star zanzibar mzee yusuf is number one. MJOMBA ny city

  • @abdulhamidkificho5768
    @abdulhamidkificho5768 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtakwenda mbio sana,pendo lina ngao zake
    Mtaumwa na dawa hakuna,kwa wenu upekepeke

  • @gaonechinago5053
    @gaonechinago5053 2 ปีที่แล้ว

    Naisikiza tena na tena 2021 December 25

  • @husnabintathuman5746
    @husnabintathuman5746 2 ปีที่แล้ว

    Like kwa wale ambao hadi 2022 tunasikiliza litawachoma 🥰🥰💃💃💃

  • @abdulhamidsuleiman4953
    @abdulhamidsuleiman4953 4 ปีที่แล้ว +2

    Nashindwa kuwafahamu,azma na lengo lao
    Na moyoni sina hamu,ingawa nacheka nao
    Ama kweli wanadamu ama kweliii
    Halitawashinda wazikaanga sumu tuachane
    Wafurahi roho zao,kwakuwa tunapendana
    Wawili tumetulia,nyoyoni raha hawana
    Roho zinawaumbua,nawapasha kwa hapa nafasi hakuna na wala Hamna njiaaa
    Wanajichoshaa na litwachoma sana na maradhi mtauguaa

  • @gracekalama5805
    @gracekalama5805 3 ปีที่แล้ว

    Yaaani huu wimbo❤❤❤👌

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 ปีที่แล้ว

    Bass haya

  • @RioIpo
    @RioIpo 6 ปีที่แล้ว +6

    Nashindwa kuwafahamu adhma na lengo lao, Na moyoni sina hamu ingawa nacheka nao, ama kweli wanadamu halitawashinda lao wanazikaanga sumu tuachane wafurahi roho zao kwa kuwa tunapenda wawili tumetulia haha

  • @josephyearwood1179
    @josephyearwood1179 2 ปีที่แล้ว

    Nimpede babaramba mwazili ba zondo mfawu?

  • @rosemarymuchisa1497
    @rosemarymuchisa1497 8 หลายเดือนก่อน

    Super

  • @superstars9033
    @superstars9033 3 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo ajab

  • @Nuratfarid
    @Nuratfarid ปีที่แล้ว

  • @farryabdul5600
    @farryabdul5600 6 ปีที่แล้ว +2

    nimeipenda bure

  • @عبداللهالعازمي-ع3ش
    @عبداللهالعازمي-ع3ش 3 ปีที่แล้ว

    Apochacha

  • @fatmakiriud5620
    @fatmakiriud5620 3 ปีที่แล้ว

    roho zinawauguaaaa ???

  • @jumasuphiani36
    @jumasuphiani36 6 ปีที่แล้ว +1

    hatar

  • @zaynabali4952
    @zaynabali4952 5 ปีที่แล้ว

    Habari ndo hiyo

  • @abdulhamidsuleiman4953
    @abdulhamidsuleiman4953 4 ปีที่แล้ว +1

    Nashindwa kuwafahamu,azma na lengo lao
    Na moyoni sina hamu,ingawa nacheka nao
    Ama kweli wanadamu ama kweliii
    Halitawashinda wazikaanga sumu tuachane
    Wafurahi roho zao,kwakuwa tunapendana
    Wawili tumetulia,nyoyoni raha hawana
    Roho zinawaumbua,nawapasha kwa hapa nafasi hakuna na wala Hamna njiaaa
    Wanajichoshaa na litwachoma sana na maradhi mtauguaa