Dk 10 za Mazoezi ya Kuongeza HIPS wiki 01

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • #kuongezahips

ความคิดเห็น • 80

  • @sophiaothman9832
    @sophiaothman9832 ปีที่แล้ว +2

    Woooh nimependa sana mazoezi yako pia nitakuwa na ww sambamba kabisa

  • @JoanfitnessTV
    @JoanfitnessTV  ปีที่แล้ว +3

    th-cam.com/video/I038IRu7zaM/w-d-xo.html Mazoezi ya kuongeza makalio na mwili wa chini ya Wiki ya kwanza pia.
    Jumla ya video hizi mbili zitakupa jumla ya dk 20 na utafanya kwa kuruka siku moja moja usifanye kila siku mwili hautakua, pia ongeza kiasi cha chakula, nitaendelea kuupdate kadiri video nitakavyozidi kuupload 🥰

    • @stellansabi4422
      @stellansabi4422 ปีที่แล้ว

      Mi nataka nijue kanuni za mazoez na vyakula vinavyotakiw cjui napat no ako

    • @MariamShusho
      @MariamShusho 8 หลายเดือนก่อน

      Ungeweka group ya Whatsapp ingekua vzr sana

  • @DoreenNakundiwe
    @DoreenNakundiwe 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mazozi nimazuri namm nimejiunga❤

  • @user-kz1ww3mz9o
    @user-kz1ww3mz9o 11 หลายเดือนก่อน

    Asante san dada maan matokeo nimeshaaz kuyaona

  • @user-rk5ei1br8s
    @user-rk5ei1br8s 10 วันที่ผ่านมา

    Kwakweli nayitaji hisp ira binachokesha mwarimuwangi ira najitaidi nafanya

  • @ErickMhengesi
    @ErickMhengesi ปีที่แล้ว

    Uko vizuri

  • @alicemakala-fi8xd
    @alicemakala-fi8xd 7 หลายเดือนก่อน

    Mazoezi yako ni yauhakika matokeo nimeyaona barikiwa sana

  • @winniemwangome374
    @winniemwangome374 7 หลายเดือนก่อน

    Napenda

  • @MathaLashidi
    @MathaLashidi 8 หลายเดือนก่อน

    nakufatilia san ❤

  • @leilaibrahim8530
    @leilaibrahim8530 ปีที่แล้ว +1

    My dear mimi nimwembamba pote nahitaj kuoengezeka

  • @SARASAMSON-ll5ul
    @SARASAMSON-ll5ul ปีที่แล้ว

    Ningependa nitafuatilia

  • @user-kz1ww3mz9o
    @user-kz1ww3mz9o 11 หลายเดือนก่อน

    Nasukulu nishaaza kuona matokeo mungu akubaliki

  • @TinnaTheBosslady
    @TinnaTheBosslady 3 หลายเดือนก่อน

    Ansante

  • @Lovely3DModel-nl3hh
    @Lovely3DModel-nl3hh 7 หลายเดือนก่อน

    Nitakufatilia

  • @aquazoltd3770
    @aquazoltd3770 11 หลายเดือนก่อน

    Naanza xaxa

  • @user-dc2dm2fu4c
    @user-dc2dm2fu4c ปีที่แล้ว

    Nipo nawewe sambamba

  • @grashfordmwilondo9089
    @grashfordmwilondo9089 ปีที่แล้ว

    Jaman mi nataka kwenye kusimamisha Matt na kuongeza hipx hapo ndopananihusu dd

  • @ngwacahnyagwaswa9979
    @ngwacahnyagwaswa9979 ปีที่แล้ว

    Dada Joan mimi sitaki kupunguza mwili au kuongezeka yaan mwili wang ume balance nahitaji mazoezi ya kua fit na flexible kuepuka magonjwa

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  11 หลายเดือนก่อน

      Sawa, unaweza kufanya mazoezi yote ya viungo hata kama yameandikwa kupunguza mwili au kuongeza kisha ukabalance chakul, chakula ndicho huamua mtu aongezeke au apungue na mazoezi huimarisha mwili

    • @ngwacahnyagwaswa9979
      @ngwacahnyagwaswa9979 11 หลายเดือนก่อน

      @@JoanfitnessTV Ahsante

  • @Mariam-t5k
    @Mariam-t5k ปีที่แล้ว

    Nakua unafanya kula siku au laah

  • @Chicah-fancy
    @Chicah-fancy ปีที่แล้ว

    Mim mbn naskia maumiv sana had nashindwa kuchuchumaa

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  ปีที่แล้ว

      Ni kawaida dear sasa hapo kumbuka kula vizuri chakula cha kutosha ili uongezeke haraka

    • @BeatriceChua-nf6ff
      @BeatriceChua-nf6ff ปีที่แล้ว

      Naitaji namba yak

  • @mwanamgenimohammed7904
    @mwanamgenimohammed7904 ปีที่แล้ว

    Napenda mazoezi yako dada ubarikiwe sana lakin niulize je sis yukouku inchizawenyewe naivo vakula itakuaje mana utakachopewa ndio utakula😂😂😂

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  ปีที่แล้ว

      Asante dear, hakika mazingira tunayoishi natambua kuna wakati yanatulazimu kuishi vinginevyo, kwa kushauri jaribu kutumia vitu vingine vya nyongeza unavyoweza kutumia tofauti na vyakula vya nyumbani mfano kutumia protein powder ni suluhisho zuri

    • @KanadeMrangu
      @KanadeMrangu 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂❤❤❤

  • @zulfakimolo
    @zulfakimolo 4 หลายเดือนก่อน

    Joan mimi tako moja kubwa tako jingine dogo makosa yapo wapi

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  4 หลายเดือนก่อน

      Hellow Zulfa jitaidi kufanya idadi na kiasi sawa cha mazoezi kwa kila tako, kwakua moja limeshazidi lingine nakushauri ongeza uzito wa zoezi kwa upande ambao ni mdogo na upate muda wa kutosha kupumzika ili ukue pia

  • @qarg_i
    @qarg_i ปีที่แล้ว

  • @halimakenya3632
    @halimakenya3632 ปีที่แล้ว

    Hata mimi naitaji kuelewa ni kila siku ama vp

  • @ernestmbwana1062
    @ernestmbwana1062 ปีที่แล้ว

    Me BDO sjaelewa mumy Yan kwa cku inatakiwa kufanya mara NGApi

  • @saidajuma6812
    @saidajuma6812 ปีที่แล้ว

    Nahitaj no yak 🙄 dear ili niwez kukufuatilia kw kwel nimeyapend❤

  • @AngelaNgaya
    @AngelaNgaya 10 หลายเดือนก่อน

    Nmeanza mazoez my dear ila nafany asbh na jion nisawa au najiovadoz mpanz nambie

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  10 หลายเดือนก่อน

      Mazoezi ya mwili wa chini unafanya kwa kuruka siku moja na ni mara moja kwa siku kuanzia dk 30

  • @user-kz1ww3mz9o
    @user-kz1ww3mz9o 11 หลายเดือนก่อน

    Samaan niwez kufanya mazoez kilasiku na kwasiku marangap

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  11 หลายเดือนก่อน

      Mara tu kwa wiki kwa kuruka siku moja moja sio kila siku

  • @HadijaAbdallah-o2p
    @HadijaAbdallah-o2p 9 หลายเดือนก่อน

    Mazoezi ya kupunguza tumbo

  • @zuhurajaruphu9525
    @zuhurajaruphu9525 ปีที่แล้ว

    Joan mie nikifanya mazoez ya kuongeza makalio na hipsi nanenepa mwili mzima shida nin nanenepa hadi tumbo

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  ปีที่แล้ว

      Jitaidi kubalance vyakula na kipindi unaongeza makalio na hips usisahau mazoezi ya tumbo na sehemu zingine za mwili ni kila siku ili uzuie zisiongezeke, makalio na hips mazoezi yake yasiwe chini ya dk 30 jumla na ufanye kwa kuruka siku moja moja

    • @zuhurajaruphu9525
      @zuhurajaruphu9525 ปีที่แล้ว

      Asante mpenz

  • @LightnessCharlseKimaro
    @LightnessCharlseKimaro 10 หลายเดือนก่อน

    Joan mm hips zangu zilikuwa 52 now 48 natami kuacha zoezi nifanyeje

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  10 หลายเดือนก่อน

      Kama umepungua baada ya kuanza mazoezi jitaidi uongeze kiasi cha vyakula hususani protini

    • @LightnessCharlseKimaro
      @LightnessCharlseKimaro 10 หลายเดือนก่อน

      @@JoanfitnessTV ndio naendelea kula kwa wingi protein na ntakuagiza protein powder

  • @HappyAchimwene
    @HappyAchimwene 7 หลายเดือนก่อน

    Dada nifanye nn ili dmpoz zitoke

  • @marryarnest2880
    @marryarnest2880 ปีที่แล้ว

    Nimefanya haya mazoez lakin najihis hd kichefu chefu shida nn

    • @ImraniHamisi
      @ImraniHamisi 7 วันที่ผ่านมา

      Wewe tuko sawa sijui shida Nini yaani nakosa amani kabisa😂😂😂

  • @Happy-fg2nr
    @Happy-fg2nr ปีที่แล้ว

    Naomba kuuliza haya mazoezi ukiwa unayafanya kila siku kwa dakika izo 10 matokeo utayaona baada ya muda gani??

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  ปีที่แล้ว

      Hayafanyiki kila siku bali kila baada ya siku moja

  • @halimakenya3632
    @halimakenya3632 ปีที่แล้ว

    Please naomba unifahamishe

  • @user-th6zv3tg7h
    @user-th6zv3tg7h ปีที่แล้ว

    Dada unafanya kila siku au vp

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  ปีที่แล้ว

      Hapana unaruka siku moja moja ili mwili upumzike na kukua

  • @user-hx8wc4dj4y
    @user-hx8wc4dj4y ปีที่แล้ว

    Hata mm Huwa nafanya mazoez sipat majibu kwa harak a mwezi sasa shida nn

    • @user-gv3si2mv3l
      @user-gv3si2mv3l ปีที่แล้ว

      Angalia mwili wako na type yako size yako kwa mda huo sio kila zoezi linamfaa kila mtu mfano mazoez ya huyu mm yananpumguza kalio yana ongeza hips ttzo hilo bora niwe NA kalio nkose hips😂😂 nlianza 42kalio 38 hips kumaliza mwezi nna 40 kalio 42 hips m. Nataka kalio kubw😂😂

    • @LightnessCharlseKimaro
      @LightnessCharlseKimaro 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-gv3si2mv3lboraww mm hips 52 sasa hivi 48 natamani niache tu zoezi mm napenda hips kubwa

  • @aminaally4618
    @aminaally4618 ปีที่แล้ว

    Sorry dada ukitak kujiung na mazoez taarif Zak zikoj au utaratib wak

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  ปีที่แล้ว

      0683836293 unatuma ujumbe WhatsApp

  • @evelyneniyonzima2525
    @evelyneniyonzima2525 ปีที่แล้ว

    Sasa dada mbona mimi nikifanya ninahisi maumivu muungine Muguu?

    • @WaridyJoseph-ru2pj
      @WaridyJoseph-ru2pj 10 หลายเดือนก่อน

      Labda unaanza unafanyq kila sk maumiv utskia

  • @mwajumashomari5279
    @mwajumashomari5279 ปีที่แล้ว

    Mhmm mie hapo ndio nachoka ukiacha tu na shape inaondoka....
    Kwani kama nikiendelea na mpangilio wa mlo bila ya mazoezi napo bado shape itaondoka?

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  ปีที่แล้ว

      😂😂😂 hamna namna, ukijenga misuli unatakiwa kuilinda iendelee kukua, unaweza kupunguza Mazoezi lakini kuacha kabisa si sawa

  • @Happy-fg2nr
    @Happy-fg2nr ปีที่แล้ว

    Na je nafanya mazoezi kila siku??

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  ปีที่แล้ว

      Hapana ni kila baada ya siku moja

  • @user-sp7jp2to9m
    @user-sp7jp2to9m 3 หลายเดือนก่อน

    Natumia ck ngap napata matokeo

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  3 หลายเดือนก่อน

      Mabadiliko huonekana kuanzia baada ya wiki mbili

  • @tabithamichael3854
    @tabithamichael3854 ปีที่แล้ว

    Kwa wiki natakiwa kufanya mara ngapii

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  ปีที่แล้ว +1

      3 hadi 4, ruka siku moja moja

  • @sophiaothman9832
    @sophiaothman9832 ปีที่แล้ว

    My dear lakin mm ni wakawaida tu na nahitaji kuongezeka

    • @sophiaothman9832
      @sophiaothman9832 ปีที่แล้ว

      Mm ni wakaida tu na nahitaji kuongezeka

  • @priskajames3673
    @priskajames3673 ปีที่แล้ว

    mazoez ya juz naumwa mpaka siwezi kutembea 🙄 nasaiv unasema tufnye na haya mweeeeh

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  ปีที่แล้ว +1

      Pole na hongera 😂

    • @maryjosephat9797
      @maryjosephat9797 ปีที่แล้ว

      Me magot yananiuma hd mood ya mazoez inakata

    • @mwajumashomari5279
      @mwajumashomari5279 ปีที่แล้ว

      @@maryjosephat9797 Jitahidi hivyo hivyo mwisho wa siku utazoea kabisa ....hivyo basi ukizoea utahis maumivu wakati wa zoezi baada ya hapo huhisi maumivu kabisa