Vyakula vya KUONGEZA MAKALIO na HIPS kwa HARAKA sana!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • #kuongezamakalio #kuongezahips #growglutes #booty #butty #exerciseforglutes

ความคิดเห็น • 122

  • @gracepius9065
    @gracepius9065 ปีที่แล้ว +4

    Samahan ninataka kuuliza Kama mm nimunene tumbo nataka kupuguga tumbo ili Ni nenepe shepu nafanya kwa wakati mmoja mazoezi

  • @lovenessmuzdiddy1936
    @lovenessmuzdiddy1936 2 ปีที่แล้ว +3

    Hello dear
    Kuongeza makalio icho chakula unakitumiaaje kwa pamoja or?
    Na uwezi kitumia pasipo kufanya mazoezi?
    Mafuta ya olive oil unayatumiaaj?

  • @AishaAishajuma-eg2tz
    @AishaAishajuma-eg2tz 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nimepat matokeoo mazuri asant my

    • @JennyJe-w4h
      @JennyJe-w4h 8 หลายเดือนก่อน

      Naomba namba yako yawasape naomi

  • @ChristopharKhamis
    @ChristopharKhamis 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sam

  • @Pendogodfrey-m1f
    @Pendogodfrey-m1f 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mm nataji niwe na makalio makubwa

  • @grace-wu9dq
    @grace-wu9dq 3 ปีที่แล้ว +2

    Hello dear, Asante Sana kwa mafunzo zidi kutupa faida, hio mafuta ya olive oil jee unakunywa au unatia kwa smoothie na ni kiasi gani

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  3 ปีที่แล้ว +1

      Ni mafuta ya mboga

    • @jasiahaugustus1864
      @jasiahaugustus1864 3 ปีที่แล้ว

      i know I am kinda randomly asking but do anybody know of a good website to watch newly released movies online?

  • @user-se4zp7df6j
    @user-se4zp7df6j ปีที่แล้ว

    Me n mgeni nikitengeneza hiyo. Smooth . Naweza kutumia kidogo. Na nyingine nikatia katika jokofu kwa ajili y baadae kuitimiza . Ama kila nikitaka kuitumia bc ni tengeneza mpya naomba nieleweshe.

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  ปีที่แล้ว

      Tengeneza kiasi unachoweza kutumia kwa muda huo ni bora zaidi

  • @maryandrew5204
    @maryandrew5204 2 ปีที่แล้ว

    Asante mumy

  • @AsinathMathayo
    @AsinathMathayo 5 หลายเดือนก่อน

    dada unatoa elimu safiii❤

  • @lissalawrent5725
    @lissalawrent5725 2 ปีที่แล้ว

    Asante my

  • @yasintajames2214
    @yasintajames2214 2 ปีที่แล้ว +2

    Iyo pinut Bater mi sijui jmni

    • @cathymathew6088
      @cathymathew6088 2 ปีที่แล้ว

      Ni siagi ya karanga, yaani karanga zilizosagwa na kuwa rojorojo

  • @TumuNgota-y8x
    @TumuNgota-y8x หลายเดือนก่อน

    Naomba kuuliza mimi huwa natumia maziwa ya ASAS je nik sahihi au na kosea maana maziwa kwetu shida kupatikana

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 ปีที่แล้ว

    Vyakula hvyo watu wanakul🙆🙆🙆🙆Ila daaah hola

  • @salmasalim1586
    @salmasalim1586 ปีที่แล้ว

    Je n n vizur kutumia spices I mean zle za kupikia kma vle tangawiz ya unga cumin tumeric na n.k hta kma utachemsha kuku wko je naweza nkaeka izo spices

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  ปีที่แล้ว +1

      Yes ni nzuri zina faida zake pia

  • @irhadiddi94
    @irhadiddi94 3 หลายเดือนก่อน

    Kuhusu protein powder haina tatizo mimi nimenunuwa nataka nianze zoezi

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 3 ปีที่แล้ว +1

    Niko sehemu sahihi, nilipunguza uzito na unene wote Sai nataka kuongeza sehemu muhimu

  • @loveneslove-ks3xu
    @loveneslove-ks3xu ปีที่แล้ว

    Napenda sn mazoezi yako dada

    • @AbisaiSangoda
      @AbisaiSangoda 8 หลายเดือนก่อน

      Mazoezi ya kuto kuutumia. Vyakula plz

  • @fransiscamilimo7289
    @fransiscamilimo7289 3 ปีที่แล้ว +6

    Je kwa mtu mwenye umbo dogo tofauti na umri mfano miaka 26 umbo la mtoto antaka kuongeza makalio na hipx je anatakiwa afanye nini?

    • @linahtz
      @linahtz ปีที่แล้ว

      😂😂

  • @AshuraMminge-l2n
    @AshuraMminge-l2n 22 วันที่ผ่านมา

    Penant banta husaidia nn dda

  • @ShekhatSeleman
    @ShekhatSeleman 5 หลายเดือนก่อน

    Jamn me parachichi tunda kbs linanishinda labda juice yake na karanga mbich zinanishinda labd za kuchemsha

  • @neutrineanzilimi9798
    @neutrineanzilimi9798 3 ปีที่แล้ว +2

    Mimi nataka kupunguza tumbo na kuongeza makalio na hips na vyakula ambavyo nastahil kula

    • @polinekilengelu9163
      @polinekilengelu9163 3 ปีที่แล้ว +1

      Kula njugu,yoghurt, mayai chemsha,ovacado.Mimi Niko na hips smart na tumbo ndogo.natesa wanaume.

    • @emmymwasyeba4820
      @emmymwasyeba4820 2 ปีที่แล้ว

      Mayai mazuri yapi,yakuchemsha au kukaanga

    • @polinekilengelu9163
      @polinekilengelu9163 2 ปีที่แล้ว

      @@emmymwasyeba4820 kuchemsha

    • @mwajumashomari5279
      @mwajumashomari5279 2 ปีที่แล้ว

      @@polinekilengelu9163 kwa hiyo umeipata kwa kula hivyo vitu au asili yako dear?

    • @user-wd6uy2uv8z
      @user-wd6uy2uv8z 4 หลายเดือนก่อน

      Mimi Nina makalio Ila tumbo daaa cjui nifanyeje

  • @gosbertabella9315
    @gosbertabella9315 ปีที่แล้ว

    Je kutumia vyakula bila mazoez haiwezkan?

  • @MaryMpandagoya-vj6rs
    @MaryMpandagoya-vj6rs 10 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba namba yako joan

  • @zukhramoriss4605
    @zukhramoriss4605 2 ปีที่แล้ว

    Hi madam naitwa zuu kilo 41 coz nimepungua sana urefu I don't know but nimekuwa mwembamba sana had najiogopa mpenz naomba npe program my

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  2 ปีที่แล้ว

      Usijiogope unaweza kubadili mwonekano wako wakati wowote

  • @AishaAishajuma-eg2tz
    @AishaAishajuma-eg2tz 10 หลายเดือนก่อน

    Napenda mafunzoyak nimepata matokeoo

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  10 หลายเดือนก่อน

      ❤️❤️ hongera deae

  • @sanisani5266
    @sanisani5266 3 ปีที่แล้ว

    Mie naomba iyo programs

  • @MaryMpandagoya-vj6rs
    @MaryMpandagoya-vj6rs 10 หลายเดือนก่อน

    Hallow nahitji program ya kupunguza uzito

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  10 หลายเดือนก่อน

      WhatsApp 0683836293

  • @aishaabdallah8558
    @aishaabdallah8558 2 ปีที่แล้ว

    Ukiachana mazoezi ukaendelea na mfumo Wa vyakula makalioo yatashukaa

  • @mamafalid3241
    @mamafalid3241 3 ปีที่แล้ว

    Karanga na parachichi nikila vinanitoa vipere usoni

  • @FettyAdam-s2p
    @FettyAdam-s2p 5 หลายเดือนก่อน

    Madam mm nafanya mazoez lakin chaajabu ninanenepa mwil wote had mashavu nifanyeje

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  5 หลายเดือนก่อน

      Unazingatia vyakula? Kwasababu vyakula vina mchango mkubwa katika matokeo unayoyapata

  • @fatumasimon2757
    @fatumasimon2757 3 ปีที่แล้ว +1

    Hy daa nakuuliza ivi hata kama umezaa watoto wanne kweli tumbo linaweza kurudi dogo kwa kufuata maangizo yako?

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  3 ปีที่แล้ว

      Uhakika 100%
      Ni mazoezi na chakula tu dear one

    • @babyhamisi5331
      @babyhamisi5331 3 ปีที่แล้ว +1

      Ndio Dada linarudi vizuri Sana

    • @mwakahassan8742
      @mwakahassan8742 3 ปีที่แล้ว

      @@babyhamisi5331 tufahamisheni bs maana hali sio shuari uku

  • @dorahmwambungu5929
    @dorahmwambungu5929 2 ปีที่แล้ว

    Asant mamy

  • @GodfreyKombe-oo2xo
    @GodfreyKombe-oo2xo 2 ปีที่แล้ว

    Punguza matangazo

  • @RoseTheonest-nx1px
    @RoseTheonest-nx1px ปีที่แล้ว

    Na dagaa je?

  • @aminasija8441
    @aminasija8441 ปีที่แล้ว +1

    Mumy naomb namba zako

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  ปีที่แล้ว

      0683836293 kwa mahitaji ya program, jiskie huru kuuliza maswali hapa hapa yt ntajibu

  • @MagrethMagori
    @MagrethMagori หลายเดือนก่อน

    Na mapaja je

  • @priscillalukas3899
    @priscillalukas3899 2 ปีที่แล้ว

    Nahitaj kunenepa sehemu za kufuani mwili kwa ujumla coz sijawahi nenepa tokea utotoni nimekula ingawa matokeo sipati kilo haziongezeki nahitaj unipe ratiba nzur ni nenepe

    • @MohammedJaxksonlee
      @MohammedJaxksonlee 6 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe utakuwa umetengenezwa na saflet😂😂😂

    • @irhadiddi94
      @irhadiddi94 3 หลายเดือนก่อน

      Nunuwa protein dear ikupush

  • @getrudejamal3936
    @getrudejamal3936 3 ปีที่แล้ว

    Thanks

  • @josephmarwa7212
    @josephmarwa7212 2 ปีที่แล้ว +1

    Kiukweli me nimefanya ila nimeongeza mashavu tuy

  • @salmasalim1586
    @salmasalim1586 ปีที่แล้ว

    Na vpi je kuku wa kuchoma nxawa ama si xawa

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  ปีที่แล้ว +1

      Ni sawa, kukaanga katika mafuta mengi ndo kitu kisichoshauriwa

  • @zakhiamsuya4922
    @zakhiamsuya4922 2 ปีที่แล้ว

    Ivii kukaa sehem moja kilasku kama officin kunaeza kusababisha kupunguza makalio yako nawewe hutak yapungue

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  2 ปีที่แล้ว

      Ndio inaweza kuchangia ila kama baada ya kazi walau siku tatu kwa wiki ukafanya mazoezi ya makalio utakuwa poa

  • @lyssahmichaely7111
    @lyssahmichaely7111 3 ปีที่แล้ว

    Lov u babe

  • @zukhramoriss4605
    @zukhramoriss4605 2 ปีที่แล้ว

    Kama m2, ana umbo dogo na hana tako na Hips inatumia nn

  • @zahrinasleyyoum1354
    @zahrinasleyyoum1354 2 ปีที่แล้ว

    Je kuna maziezi ya kujaza miguu kua mguu wa bia

  • @gracepius9065
    @gracepius9065 ปีที่แล้ว

    Mm napenda kuuliza unategeneza matiti ukiwa umevaa brezia

    • @gracepius9065
      @gracepius9065 ปีที่แล้ว

      Hayo mafuta ya olive oil unayapaka au unayatumiaje

  • @mwajumashomari5279
    @mwajumashomari5279 2 ปีที่แล้ว

    aina ngapi ya mazoezi mtu anatakiwa afanye kwa kuongeza makalio na hips?

  • @verdianabanabi5943
    @verdianabanabi5943 3 ปีที่แล้ว +1

    Tuone yako

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  3 ปีที่แล้ว

      Asante kwa kuangalia video zangu,, Kama haya maelekezo yanaweza saidia kuelewa sayansi ya chakula na mwili wa binadamu nitashukuru!! Na pia Instagram natumia @joanfitness_ maana napost vingine vingi mbali na TH-cam.

  • @elickaprosper5277
    @elickaprosper5277 3 ปีที่แล้ว

    Na kupunguza unapotaka

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  3 ปีที่แล้ว

      Ni rahisi kupunguza mafuta mwilini lakini si rahisi kupungua sehemu moja tu, utapungua sehemu zote zenye mafuta yaliyokithiri

  • @ashamaalim1804
    @ashamaalim1804 2 ปีที่แล้ว

    Nambayako napataje

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  2 ปีที่แล้ว

      0683836293 kwa mahitaji ya program

  • @aminaiddyiddy2516
    @aminaiddyiddy2516 3 ปีที่แล้ว

    Sasa mbna hutaki kujibu text watsap na nnahitaji hiyo program

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  3 ปีที่แล้ว

      Samahani dear, nitakuwa nimechelewa kujibu tu siwezi kukataa kuna muda chat ni nyingi ila lazima nipitie zote.

  • @isherlove5083
    @isherlove5083 3 ปีที่แล้ว +1

    almond ni mbeg gan

    • @zainabuhussein8741
      @zainabuhussein8741 2 ปีที่แล้ว

      Je nilazima usikie maumivu ukitoka kufanya mazoezi

  • @aminasija8441
    @aminasija8441 ปีที่แล้ว

    Nina maswal muhimu natk nkuliz

  • @mariammbise6770
    @mariammbise6770 2 ปีที่แล้ว

    Dada Mimi nanenepa chin sana ila shingon Nina makorongo sana niganyaje ili nijazie

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  2 ปีที่แล้ว

      Kwakua ni asili ya mwili (genetics), ongeza tu kiasi cha chakula na ili upate matokeo mazuri fanya mazoezi ya mwili wa juu yanayohusisha mabega ili uyajenge yakae katika nyuzi 90 sio tu kuongeza mafuta maeneo yake bali misuli mizuri

  • @suzanamgalula4917
    @suzanamgalula4917 2 ปีที่แล้ว

    Unaongea sana

  • @rahmandegeulaya3927
    @rahmandegeulaya3927 3 ปีที่แล้ว +1

    Km mie mvivu kula na c unajua pesa nayo tihan

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  3 ปีที่แล้ว +1

      Kula vinavyopatikana love

    • @rahmandegeulaya3927
      @rahmandegeulaya3927 3 ปีที่แล้ว

      @@JoanfitnessTV Asant my na je karanga gram tu inatosha kuzila au kunakias chake

    • @rahmandegeulaya3927
      @rahmandegeulaya3927 3 ปีที่แล้ว

      @@JoanfitnessTV karang nukazim kuzifanya km diz Kuwait mar 3 au nara moja tu inatosha

    • @VeronicaNtali
      @VeronicaNtali หลายเดือนก่อน

      My dear tafadhari nisaidie mmewangu anapenda sana makario namimi kwa Sasa mwili wangu umeshuka sana sijui nifanyeje

  • @malakiyazidu0080
    @malakiyazidu0080 3 ปีที่แล้ว

    kuku yeyot t au kuku wakienyej😘😘😘najee unamchemsha t au

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  3 ปีที่แล้ว

      Wakienyeji ni bora zaidi ila akikosekana tumia aliyepo

  • @fransiscamilimo7289
    @fransiscamilimo7289 3 ปีที่แล้ว

    Je mtu mwenye miaka 26 umbo la mtoto je anatakiwa kutumia chakula gani ili apate hpx na Tako

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  3 ปีที่แล้ว

      Kula nishati lishe nyingi zaidi ya mwili wako unavyotumia na kwa kiasi kikubwa itoke katika vyakula vyenye protein nyingi

  • @minaahs695
    @minaahs695 3 ปีที่แล้ว

    Mbn ujib txt watsap

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  3 ปีที่แล้ว

      Najibu mpedwa ila chat zikiwa nyingi kidogo naweza kuchelewa kujibu, unaruhusiwa kupiga simu kwa uharaka zaidi

    • @minaahs695
      @minaahs695 3 ปีที่แล้ว

      Naitaj program bei Gan

    • @careenemanuel3865
      @careenemanuel3865 3 ปีที่แล้ว

      @@minaahs695 nitumie sms kwa njia ya kawaida

  • @pamelakagendo5879
    @pamelakagendo5879 3 ปีที่แล้ว

    Mambo dear asante kwa ushauri wako naomba number ya WhatsApp plz🇰🇪🇰🇪

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  3 ปีที่แล้ว

      +255683836293 kwa mahitaji ya program

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  3 ปีที่แล้ว +1

      +255683836293 kwa mahitaji ya program

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  3 ปีที่แล้ว

      +255683836293 kwa mahitaji ya program

  • @maryandrew5204
    @maryandrew5204 2 ปีที่แล้ว

    Asante mumy