RASMI MUDA HUU TFF WATANGAZA KUMFUNGIA TENA HAJI MANARA KWA UTOVU WA NIDHAM SIKU YA WANANCHI DAY...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 780

  • @boscomalangalila
    @boscomalangalila หลายเดือนก่อน +34

    Manara hafai kabisa

  • @loner_wolf
    @loner_wolf หลายเดือนก่อน +22

    Anaforce sympathy vile yeye special wala hana jingine , kanishangaza sana kuforce uadui na Mo Dewj tena hadharani ...... haoni hata aibu . Sijui Mo alimkosea nini .

  • @sethjohnson7266
    @sethjohnson7266 หลายเดือนก่อน +9

    Mwandishi safi sanaaaaa. Umejitahidi sana kumbana huyo jamaa. Maswali mazuri sana. Ila kiukweli Yanga walipania sana Hadi wakaharibu shughuli.
    Big up Kwa Ahamed Ally wa Simba sc maana amejua kuwapekeka

    • @user-ox1eg1ej6u
      @user-ox1eg1ej6u หลายเดือนก่อน

      Anausawa. Gani. Tatizo. Ukolo. Umekutswala. Na. Kwahali. Hii. Wabongo. Mtaishia. Kubweka. Tuu

    • @danielmwalufingo971
      @danielmwalufingo971 หลายเดือนก่อน

      Hakuteleza ila haji amepitwa na wakati maana ubunifu wote alimaliza akiwa simba

    • @EmanuelIzengo
      @EmanuelIzengo หลายเดือนก่อน

      😮😮😮😮😮77uuuuu​@@user-ox1eg1ej6u

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana binafsi mimi yanga ila.manara hapana afungiwe tu hajielewi

  • @jellyyatta7597
    @jellyyatta7597 หลายเดือนก่อน +7

    Wengine tulikaa sebleni tunaangalia yanga day sebleni na wazazi wetu hii tunajisikiaje mnapandshana majukwanj uzalilishajj sans

  • @mombasa0076
    @mombasa0076 หลายเดือนก่อน +5

    ASILAUMIWE MANARA PEKE YAKE BALI KAMATI YOTE YA YANGA DAY.
    SHEREHE ILIKUWA SHAKALA BAGHALA YAANI HOVYO.

  • @mussaenos3738
    @mussaenos3738 หลายเดือนก่อน +5

    Semaji la Dunia la hovyo acha ubwege wewe hiyo ilikuwa mobeto day,hovyoooo😂😂😂😂😂

  • @omanbarka1588
    @omanbarka1588 หลายเดือนก่อน +7

    Haji manala ni Simba damu tangu utoto wake. Hawezi kuwa yanga

  • @abusamir3612
    @abusamir3612 หลายเดือนก่อน +5

    Mimi napenda yanga napenda TANZANIA kuliko yanga.
    Haji manara Hana
    heshma ,Hana adabu,wamfukuze yanga.

  • @justussebastian4779
    @justussebastian4779 หลายเดือนก่อน +40

    safi sana. mimi naipenda Yanga ,lakini hii tabia ya uzinzi kuuonyesha wazi wazi ni uchafu

    • @VitalessGalus
      @VitalessGalus หลายเดือนก่อน +5

      binafsi mimi nilisema ii Aiko poa watu walisema mimi mshamba sasa ngoja nyinyi wezangu mhuongee

    • @suleimanmwenyemvua995
      @suleimanmwenyemvua995 หลายเดือนก่อน +2

      Hakuna uzinzi pale eee kolo moberto kaja kusilimu kutoka simba kuja Yanga msikuze mambo kuna kitu sex paleee acheni upotoshaji wa makusudi sherehe lzm iwe na vionjo kama vile acheni wivu😅😅😅😅

    • @seifmsabah4384
      @seifmsabah4384 หลายเดือนก่อน

      Mm pale nilichokisikia Manara alisema Hamisa yuko wapi aje kuvikwa jez ya yanga na Aziz? Hichi ndichonilichokisikia mm sasa inawezekana sikusikia vizuri apoo, kuwaambia wakumbatiane!

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 หลายเดือนก่อน +3

      ​@@suleimanmwenyemvua995MPELEKE DADAKO NGURUWE USIYEKUWA NA WIVU WEWE

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@seifmsabah4384KWANI WACHEZAJI WENGINE MAHAWARA ZAO NI UTOPOLO KUTOKA ZAMANI??? AU MOBETO NI MCHEZAJI MPYA WA UTOPOLO??? USENGE UMEMZIDI ASHURA CHEUPE

  • @user-ph4ni1nn3v
    @user-ph4ni1nn3v หลายเดือนก่อน +5

    Yanga inatia albu kwanjili ya manara tu mmeingia uwanjani mapema mnatoka say saba ucku kwa ajili ya kutambulisha mtu na mpenz wake

  • @user-fz1xb4jc9v
    @user-fz1xb4jc9v หลายเดือนก่อน +6

    Kwer kabisa arituharibia uzinz tu anatuwekeanuksi kwenye mechi mapenz Yao huko mtaani

  • @JuhudiJotham
    @JuhudiJotham หลายเดือนก่อน +5

    Manara alitukosea sana kumleta mobeto,na amemkosea heshima Azizi key,

  • @kamwagamwanjale1575
    @kamwagamwanjale1575 หลายเดือนก่อน +9

    Kiprotocol HAJI MANARA hakututendea haki atuombe msamaha kitendo kile kilivunja maadili ya kuheshimu viongozi wa juu wa serikali. Inawezekana kama lingekuwa tukio la kuvuna uanachama nakubaliana kwani MABETO she can be used as influential kumpata

    • @suleimanmwenyemvua995
      @suleimanmwenyemvua995 หลายเดือนก่อน

      @@kamwagamwanjale1575 siyo kweli kabisa ile ni sehemu sawa ya psyachologia ya binadamu yupo kiongozi asiye fanya na mwanamke pls keep quiet.tuliza mdomo ile ni burudani tosha pia...

  • @ramadhaniabdulkadry288
    @ramadhaniabdulkadry288 หลายเดือนก่อน +7

    KIFUPI WAMEFELI RATIBA MBOVU HAKUNA MPANGILIO

  • @LindaMbilinyi
    @LindaMbilinyi หลายเดือนก่อน +1

    Mwandishi big up😂😂😂😂😂bila shaka we simba mwenzetu

  • @othmanmikundi1799
    @othmanmikundi1799 หลายเดือนก่อน +1

    Amisa ni Mtu muhimu sana Yanga hamlijui Hilo bila yeye Ageondoka Fanya utafiti utafamu Mapenzi Yana nguvu😅😅

  • @StanleyNkini
    @StanleyNkini หลายเดือนก่อน +1

    Unamtetea manyaraa ety msemaji wadunia mwambie akaeakiongea juani masaa mawili kama afii😂😂

  • @abdallahlibwela9761
    @abdallahlibwela9761 หลายเดือนก่อน +25

    Haji Manara bado sana. Hana uelewa juu ya uhamasishaji. Ni vyema aondolewe kwenye wazifa.

    • @dainamichael5624
      @dainamichael5624 หลายเดือนก่อน +2

      Kazi kaajiriwa yeye na Yanga... Sio Zailisa..

    • @dainamichael5624
      @dainamichael5624 หลายเดือนก่อน +1

      Aziz na Mobeto sio watoto wadogo... Hawahitaji refa kama haji manara kuwachezeshea game yao..

    • @dainamichael5624
      @dainamichael5624 หลายเดือนก่อน +1

      Kwenda kugonga magoli, kubusu ardhi ni vitendo vya ushirikina.... TFF chukuenI fine yenu mapema..

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 หลายเดือนก่อน +2

      MSENGE KUWADI MSHIRIKINA YULE 😂😂😂

    • @seifmsabah4384
      @seifmsabah4384 หลายเดือนก่อน

      @@dainamichael5624 kubusu jez?

  • @user-cq4mz8wn3b
    @user-cq4mz8wn3b หลายเดือนก่อน +24

    Alieona km amezingiwa mwandishi weka like hapa

    • @HarrisonFanuel-ir1kr
      @HarrisonFanuel-ir1kr หลายเดือนก่อน +3

      Mpira una taratibu zake kumbukeni nyie mnadai kuwa haji manyara hakufanya kosa kumbukeni kuwa kulikua na mechi ya kirafiki ya kimataifa zingatien hilo kimataifa Lafu muithinishe uzinzi akili zimo kweli mnatetea uzinzi hadhalani kweli mbele ya viongizi wa nchi hapana hamjielewi

    • @JoseHaule-tx7lu
      @JoseHaule-tx7lu หลายเดือนก่อน

      Anashindana na tajiri 😅😅😅😅😅

  • @Nazareth8119
    @Nazareth8119 หลายเดือนก่อน +2

    Kumuacha Haji Manara kwenye club ya Yanga ni kuruhusu migogoro ya kila wakati clubuni, kutakuwa na sitofahamu nyingi sana,kwa maoni yangu Ally Kamwe anatosha

  • @LindaMbilinyi
    @LindaMbilinyi หลายเดือนก่อน +1

    Yaan anaajiliwa yeye lkn yeye bize kupita na liawala lake utasema waliokuwepo pale hakuna mwenye mke,mshamba na sifa zimemzid

  • @festamwaibabile2190
    @festamwaibabile2190 หลายเดือนก่อน +1

    Mwandishi umenifurahisha Kwa kweli soda yako IPO umeongea point kbs

  • @user-tg6nf7sv4u
    @user-tg6nf7sv4u หลายเดือนก่อน +1

    Watu ushamba umezidi unauhakika gani km NI wapenzi😂

  • @MaryoPomoni-hh1rm
    @MaryoPomoni-hh1rm หลายเดือนก่อน +1

    Sijui mnafikilia nini huo mjadala,lipi baya alilolifanya haji mpaka aonekane kaharibu

  • @user-yl1ds8jh9j
    @user-yl1ds8jh9j หลายเดือนก่อน +2

    Achen ujinga Kwan walokua wanacheza mzikii wakiwa wamevaa vitop nao wafungiwe cyo 😂😂😂😂😂

  • @ibrahimmayoga8271
    @ibrahimmayoga8271 หลายเดือนก่อน +2

    hovyoooo sanaaaa Msemaji Mshamba mmoja tuuu

  • @LindaMbilinyi
    @LindaMbilinyi หลายเดือนก่อน +1

    Manara atoke kbsaa kwenye ulimwengu wa mpira,hafai mbwa hyu kwanza kugombana na watu anapenda sana na sifa zke nying

  • @LindaMbilinyi
    @LindaMbilinyi หลายเดือนก่อน +1

    Tuliambiwa pale ynga wenye akil wawil tu hvyo hatushangai😂😂😂😂😂😂

  • @joshuamollel4494
    @joshuamollel4494 หลายเดือนก่อน +3

    Kakosea sana sanaaa manara Bado hajtambui

  • @shabanizayumba5432
    @shabanizayumba5432 หลายเดือนก่อน +2

    Kutetea ujinga wa marara kuwaleta malaya kwenye jukwaa la sherehe huu ni umbumbumbu,manara hawezi kukubali kukiri kosa kutokana na nature yake,afungiwe maisha tu.

  • @drallan6879
    @drallan6879 หลายเดือนก่อน +20

    manara ni hopeless alituharibia hata ratiba ya mchezo WA mwananchi

    • @suleimanmwenyemvua995
      @suleimanmwenyemvua995 หลายเดือนก่อน +1

      Haja haribu lzm uwelewe moberto kaja kusilimu kutoka simba kuja Yanga...hakuna mtu yeyote aliye Panic. Wewe kijana mwandishi ni simba ana wivu anakuondoa katika njia😮😮😮 huyo mwandishi ni mpumbavu... wewe ni simba unatuharibia haijabadilika kenge WEWE😮😮😮😮

    • @WazugaMarimoti
      @WazugaMarimoti หลายเดือนก่อน +1

      Manara alihribu kabisa na NDIO ma'am mlokole was WATU akajiondokea MAPEMA maana kavunjiwa hesima hadharani UTOTO kabisa wa utopolo

    • @winfredngaeje6969
      @winfredngaeje6969 หลายเดือนก่อน

      Kwani Mo kutamburisha dada yake inahusiana nn na Simba?? Mkipata jibu mwachen Aziz atutafunie mm na ww tutafute Hela🙃🙃🙃

    • @Leeeeeeee-96
      @Leeeeeeee-96 หลายเดือนก่อน

      @@winfredngaeje6969 dada ake ni mzamin sio hawala

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 หลายเดือนก่อน +4

    Haji hakui ana mambo ya kitoto sana! Tuna mpenda lakini kwa sasa viongozi wetu inabidi mtafakari, kama kunaulazima basi, mpangieni kazi ofisini tu!!!

    • @sophiemsuya6507
      @sophiemsuya6507 หลายเดือนก่อน

      Hakuwa na jipya bali alifanya lililoujaza moyo wake. Manara anaoa oa hovyo hivyo anatamani kila mmoja wenu aoe Kama yeye. Hakuteleza ni mpango wenu kwani mmempa mamlaka na jezi mliiandaa mapema.

    • @eliaskahory7116
      @eliaskahory7116 หลายเดือนก่อน

      ​@@sophiemsuya6507n

  • @user-xx8fb4ed5u
    @user-xx8fb4ed5u หลายเดือนก่อน

    💯

  • @user-po1bu4ed7l
    @user-po1bu4ed7l หลายเดือนก่อน +2

    Kiu kweli ni jambo la fedheha haipaswi kufanya vile ila alitukwaza baadhi yetu kuchanganya kaz na mapenzi.

  • @user-wl3sv2xn9e
    @user-wl3sv2xn9e หลายเดือนก่อน +1

    Afungiwe tu anaonyesha uhuni kwenye soka tena mbele ya viongozi wakubwa kabsa shame on you manara

  • @jamesmwilima1358
    @jamesmwilima1358 หลายเดือนก่อน +1

    Mtangazaji unaakili Sana uliona vizuri sherehe ya Simba

  • @JosephMbwile
    @JosephMbwile หลายเดือนก่อน

    Poleni wananchi Haji hawajawa sawa alihalibu sherehe ilifana vzurii

  • @freddymdassa
    @freddymdassa หลายเดือนก่อน +3

    Ndiyo matokeo ya kumkabidhi mlevi shughuli za maana.

  • @MohamediAsnali
    @MohamediAsnali 8 วันที่ผ่านมา

    Kiukweli akili fanya Manara si sawa kutangaza uzinifu mbele ya viongozi si sawa akumbukwe haji kubwa muislamu anafanya hivi si saw Mungu amsemehe

  • @hp2623
    @hp2623 หลายเดือนก่อน +2

    Ali KAMWE anatosha tuu. Huo manara hata akitolewa si hatupunguziii chochote

  • @ShabanAlly-my4rf
    @ShabanAlly-my4rf หลายเดือนก่อน

    Mm nadhan tuna viongozi werevu sana hata ile siku walimcheki tu Wakamtafakari nadhan kunakitu wanakichanganua akili mwao anything can happen kuhus manara

  • @user-hd5rn8fh5b
    @user-hd5rn8fh5b หลายเดือนก่อน +1

    Haji kaja kufanya mpasuko ndan ya yanga wana yanga kuen macho manara hana jipya kapaniki na kaliaribu tamasha la yanga,

  • @MatgrethCostantini
    @MatgrethCostantini หลายเดือนก่อน +2

    Hiyo takataka yenu mtakoma nayo,inatambulisha mahawala badala ya kutambulisha wahusika yaani wageni maalumu, na bado

  • @MussaKhalfan-pv9jj
    @MussaKhalfan-pv9jj หลายเดือนก่อน +1

    Mmefeli jamani ongera mobeto day

  • @chedielimrutu6955
    @chedielimrutu6955 หลายเดือนก่อน

    Aah ndugu Mwandishi mbona una kigugumizi. Hongera Mtagazaji.

  • @AbbasPuyaga
    @AbbasPuyaga หลายเดือนก่อน

    Acheni unafki Manara alisema aondoki jukwaani kwa sababu ya Pakome nawala sio Mobeto

  • @NeymantBoy
    @NeymantBoy 25 วันที่ผ่านมา

    manara bangi sana huyo aend jijijin akalim boya huyo umalay wak anauonyesh mpak kwa wakubwa zetu❤😂🎉😢😮😅😅

  • @user-kp9ig3uz9s
    @user-kp9ig3uz9s หลายเดือนก่อน

    Hii kulazimisha sana heshima kwenye jamiii kuchambankwingi hukooo wazee wanajuwaaa leo baada ya Darby kila mtu na lake

  • @elikananzibanka4186
    @elikananzibanka4186 หลายเดือนก่อน

    Ametudhalilisha sana, tunaomba Uongozi wamkanye, isijidudie

  • @user-oz6zp8fr1c
    @user-oz6zp8fr1c 27 วันที่ผ่านมา

    Siyo sawa

  • @henryntella7741
    @henryntella7741 26 วันที่ผ่านมา

    Tatizo huyo Albino tatizo misifa nanyi mkampa kichwa bila kuheshiimu viongzi wa Taifa awe anawaza zaidi analotaka kulifanya..Asikurupuke kiutaka misifa na hata wao wenyewe hawakupendezewa na hiyo hali.

  • @jamesmwilima1358
    @jamesmwilima1358 หลายเดือนก่อน +1

    Unamatatizo wanasimba wamejaa uwanjani tokea saa Moja asubuhi

  • @VeronicaAdam-lx8yd
    @VeronicaAdam-lx8yd หลายเดือนก่อน

    Manar alimuig Mo Kwahiy anajifananish nayey nitajir😂😂😂😂😂

  • @issamakweto2969
    @issamakweto2969 หลายเดือนก่อน +2

    Sherehe mmefanya sawa ila mnatambulishaje madem zenu bhana

    • @jumakibasame3210
      @jumakibasame3210 หลายเดือนก่อน

      Huyu muandishi mpunbavu na anaehojiwa pia hawajitambui, muhoji vitu vya maana ratiba ya hao yanga uliijuaje,? Watu walitambulisha dada zao na watoto hamjahoji, Kama walikosea, Ila Haji Tu why,

  • @jumakiduka4625
    @jumakiduka4625 7 วันที่ผ่านมา

    Tatizo haikuwemo ktla Ratiba ya siku yanga Day, Ngenga sikizidi mmeharibu ratiba ilkuwa sherehe iishe saa4:45 watu wa protocol mmemuodoa Makamu waRaisi nje ya wakati

  • @user-lp4xk7qw3t
    @user-lp4xk7qw3t หลายเดือนก่อน

    mlishindwa kuipangilia nando maana mlikaa kwamda mlefu mpaka ledialozi walitaka kuwasusia mechi

  • @bmkaskazinib4363
    @bmkaskazinib4363 หลายเดือนก่อน

    Kufunguluwa kwa Manara kumampa mdadi hasi.Ali Kamwe aachiwe Yanga aivushe Yanga

  • @makamelila
    @makamelila หลายเดือนก่อน +3

    Kwahiyo mlikuwa na mahaba day mnajiona wakubwa mnatangaza mapenzi hadharani mmefeli kweli

    • @yusuphsomba3062
      @yusuphsomba3062 หลายเดือนก่อน

      Muacheni MANYARA wa YANGA chuki binafsi nyooo

  • @SalomeHamisi
    @SalomeHamisi หลายเดือนก่อน

    Manara hafai tena kwenye Tim yoyote ile akapumnzike

  • @JohnValle-xn1dx
    @JohnValle-xn1dx หลายเดือนก่อน

    Yanga wakimchekelea manara atawapoteza yule anavisasi na yanga

  • @JacksonMelakiti-gn5mf
    @JacksonMelakiti-gn5mf หลายเดือนก่อน

    Wewe Hannah akili mangling hamna mpaka mmnawaomba Wageningen wasikasirke waking wanasusia mechi

  • @PeterJustin-ke5mk
    @PeterJustin-ke5mk หลายเดือนก่อน +1

    Eti anasema bado ndoa eti ndoa lini manara fara kweli mbele ya wageni rasmi makamu wa rahisi

  • @MichaelMagige
    @MichaelMagige หลายเดือนก่อน

    Tabia zake manara za kubadilisha wanawake analeta mpaka kwenye shughuli Kama hiyo,

  • @RajabuMkonje
    @RajabuMkonje หลายเดือนก่อน +1

    Zeru zeru mshamba sana

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 หลายเดือนก่อน

    Huyu Haji Manara Inafaa Kufungiwa Maish Mambo Ya Michezo Kutoshiriki Haifai Kwakweli

  • @RamadhaniNgwena-x6m
    @RamadhaniNgwena-x6m หลายเดือนก่อน

    Tamasha la mapenzi sio la mpira yanga mmebugishwa na manara

  • @user-rf9vn7lz1n
    @user-rf9vn7lz1n หลายเดือนก่อน

    Mbon wew kak mbon kuongea hat ujuw shereh gan ile bwan amna unachojuw bwan shereh ya yang mwak huu ijapendez kabisa

  • @Abely-k4o
    @Abely-k4o หลายเดือนก่อน

    So vizuri ameacha kutambulisha wachezaji anawatambulisha wa mama xaxa hiyo utambulusho gani maajabu

  • @user-me2yw7ys8e
    @user-me2yw7ys8e หลายเดือนก่อน

    Kweli haikupendza kweli

  • @abuuaisha9095
    @abuuaisha9095 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga hawakuwa na mtiririko wa matukio ndo maana hata kuna wakati Manara alikuwa anapingana na Mc wa shughulini..!! Matukio mengi yalionyesha kuwa yalikuwa nje ya ratiba..!! Manara alivuruga..!! Yote kwa sababu Manara ni mshamba anaekaa Dar

  • @user-tt7ub5ky1c
    @user-tt7ub5ky1c หลายเดือนก่อน +2

    Je kulikwa naratiba ya mahawara

    • @LilianChisina-k4i
      @LilianChisina-k4i หลายเดือนก่อน +1

      Hahahs swali zuri

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@LilianChisina-k4i TIMU YA MASHOGA HAINA RATIBA AKIWASHWA ANAJIKUNA 😂😂😂😂

  • @PeterJustin-ke5mk
    @PeterJustin-ke5mk หลายเดือนก่อน +1

    Mtangazaji upo sahihi

  • @user-xm5xg1tt6d
    @user-xm5xg1tt6d หลายเดือนก่อน

    Wazinifu day

  • @hafidhhabib7116
    @hafidhhabib7116 หลายเดือนก่อน +2

    Yanga bado sana

    • @GodfreyErnest-r6o
      @GodfreyErnest-r6o หลายเดือนก่อน

      Kwa akili inavyowaza😂😂😂😂

  • @user-yn1jb4iu8e
    @user-yn1jb4iu8e หลายเดือนก่อน

    Mm naipenda YAnga sana lakini haji manara kakosea sana. Na huyo Hamisa hakukataa kupanda maana Hana aibu kabisa sijui yukoje huyu Hamisa.

  • @khatibmako3500
    @khatibmako3500 หลายเดือนก่อน

    Kwa ufupi manara kakosea tena ule ni ujinga mbele makamo wa raisi anahalalisha zinaaa duuuuuu😢😢😢

  • @kefangendwa3336
    @kefangendwa3336 หลายเดือนก่อน

    Safi sanaaa TFF 🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 หลายเดือนก่อน

    Ukweli Ni aibu kumbwa Sana hii imeifanya yanga day kukosa hadhi lakini mwenyenyewe Manala mnambembeleza wa Nini?

  • @mujunibikombo764
    @mujunibikombo764 หลายเดือนก่อน +1

    Manara alichemka sanaa,ilitualibia siku kutambulisha huyo demu

  • @user-tt8ew7tf8e
    @user-tt8ew7tf8e หลายเดือนก่อน

    Dar Kuna watu wengi wanavaa suluali ila sio wanaume ni jamii ya huyu mama

  • @AsuntaSad
    @AsuntaSad 16 วันที่ผ่านมา

    Huyo kaka nae akapimwe akili hana utofauti na bugati

  • @CornenciaFaustine-pd2rc
    @CornenciaFaustine-pd2rc หลายเดือนก่อน

    Timu kubwa kama yanga inaajili chizi kama lile kuwasemea mbele ya mesh. Sana looh . Ona sasa lilivyowachizisha club nzima inaonekana hamnazo.

  • @lekinyaurey5772
    @lekinyaurey5772 หลายเดือนก่อน

    Kavunja ndoa ya azizikiii mkewa kazalilishwa sana

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 หลายเดือนก่อน

    Manara hana akili kuna Makamu w Raisi unaingiza ujinga Manara amelewa sifa aibu sana

  • @MariamAlly-tr8hw
    @MariamAlly-tr8hw หลายเดือนก่อน

    Ukweli hata mim pia sijapenda hata kidg ukweli ni aibu kubwa sana

  • @YohanaEnock-e1v
    @YohanaEnock-e1v หลายเดือนก่อน

    Jamni sawa msameheni

  • @RHOIDAKALUKWA-bw4jo
    @RHOIDAKALUKWA-bw4jo หลายเดือนก่อน

    Sherehe Yao haikuwa na ratiba ilikuwa ya kienyeji sana Simba tulienda kisomi

  • @beatricemlay4801
    @beatricemlay4801 หลายเดือนก่อน

    Huyo aliyetambulisha dada zake yupo sahihi?????hii nchi ina vioja

  • @ramadhaniabdulkadry288
    @ramadhaniabdulkadry288 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe unasema saa 3 mpk saa tisa ucku hawo watu watajila wenyewe ule ni kero cyo starehe tena upuuzi fanya kitu kiasi na muda sahihi

  • @luciangole6876
    @luciangole6876 หลายเดือนก่อน

    Mimi ni mama hili la Mobeto sikulopenda

  • @OmarRupia-w6t
    @OmarRupia-w6t หลายเดือนก่อน

    Safi sana tff

  • @godfregiiti8327
    @godfregiiti8327 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa anaejibu nae ni sawa na haji manara sherehe ya aikuwa na mpangilio ilikuwa mbovu na anatakiwa kufungiwa tena hana adabu haji hafai kuwa msemaji

  • @johnsenzighe4086
    @johnsenzighe4086 หลายเดือนก่อน +1

    Mwakajana ilikua mama j day, mwaka huu ni amisa mobeto day.😅😅😅

  • @michaelkisesa3959
    @michaelkisesa3959 26 วันที่ผ่านมา

    Niliamini atafungiwa, kichwa kibovu kile, we unatangaza mtu asiehusika mbele ya rais kabisa, maana makamu rais wa nchi nae ni rais tu lazima aheahimiwe.

  • @haleemaali731
    @haleemaali731 หลายเดือนก่อน

    Manara afungiqe na sifunguliwe tena ana usemaji mzuri ata mimi nafurah kufungiwa

  • @user-io6yj9fs2h
    @user-io6yj9fs2h หลายเดือนก่อน +1

    Watu wameenda na watoto wadogo tokea asubuhi watu wako uwanjani wanawatoto ivi watoto wadogo tokea asubuhi mechi inaisha saa 6 usiku kisa kutambulisha malaya

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 หลายเดือนก่อน +1

      NJAMA ZAKUWACHOSHA RED ARO WASENGE WALE

  • @joelmichael9752
    @joelmichael9752 หลายเดือนก่อน

    Mgema akisifiwa Tembo hulitia maji...Manara anajiona anajua sana kumbe ujinga tu umemjaa

  • @NicolousJange
    @NicolousJange หลายเดือนก่อน

    Ndio maana ikaitwa sherehe ya yanga hlf kwn walikosea nn kumvalisha jez

  • @Maryc2G
    @Maryc2G หลายเดือนก่อน

    Haji mnara asipewe nafasi kama hiyo tena, ameaibisha sana, wana yanga hatukupendezewa kabisa.