Mji wa pemba unazidi kuteketea watu wengi wanahama wanakuja unguja na dar na nchii nyengine ukiangalia nyumba nyingi ni zazamani ni magofu lakini watu wanaishi ushauri watu waijengee pemba ili iweze kukua na pia biashara hakuna hakuna mzunguko wowote wa biashara yani nahirumiaa sana pemba
Mimi sitoki Pemba ,Ila ndugu zetu wa Pemba wana maisha magumu, na ndio mana wanakimbia kwao kwenda sehemu nyengine kutafuta maisha,haya Mapinduzi na Muungano hayajasaidia kuleta usawa, kwa visiwa vya unguja na Pemba,kuna Ngosha mmoja kule kazi yake kununua madege ,halafu watu wakashangae airport, halafu anasema muungano ataulinda kwa gharama yoyote wakati visiwa vya zanzibar hali dhoofu yaani inasikitisha sana
Kumechangamka tumbe Ahsante sana pemba tv kwa jitihata zenu kutukumbusha kwetu love pba
Mwashallah jamani pemba haswa nikuzuri hadi raha
Pemba tv iko vzr xn kumbe
Kazi safii ..pemba tv. .
love pemba jamani
Safii sikunying sijaona mwanamke kuendesha basket pemba duh safiii pemba .tv
Mji wa pemba unazidi kuteketea watu wengi wanahama wanakuja unguja na dar na nchii nyengine ukiangalia nyumba nyingi ni zazamani ni magofu lakini watu wanaishi ushauri watu waijengee pemba ili iweze kukua na pia biashara hakuna hakuna mzunguko wowote wa biashara yani nahirumiaa sana pemba
Safi sana muandish unaotupa habar mzur Sana ya Pemba
Mimi sitoki Pemba ,Ila ndugu zetu wa Pemba wana maisha magumu, na ndio mana wanakimbia kwao kwenda sehemu nyengine kutafuta maisha,haya Mapinduzi na Muungano hayajasaidia kuleta usawa, kwa visiwa vya unguja na Pemba,kuna Ngosha mmoja kule kazi yake kununua madege ,halafu watu wakashangae airport, halafu anasema muungano ataulinda kwa gharama yoyote wakati visiwa vya zanzibar hali dhoofu yaani inasikitisha sana
Wewe nibwege njaa sio pemba tu sehemu zote hata bara na unguja
Mwambie haswa ,basi pemba maisha nimazuri kuliko bara
Musiongee tu nendeni pia muishi miezi miwili tu mtajua hali iliopo
Maisha magumu kwamba watu wanakufa na njaa hawali ama vip? Kazi kuongea upuuzi, km Pemba maisha magumu hapa unguja ama dar tuseme vp?
Assalam alaykum hogerini pemba. Tv kilalakuwahanamwenyeji mm nipo kwajili ya lailaha ila Allah karibuni
mashaallh pemba tukijaliwa nitakiuja
Mashallah kumbe pemba kuzur inshallah ntafik mwak wowt ntakao pata mwenyej 🙈
Karib sana wenyeji wapo wa kutosha
Kumbe Mashaallaah kuzuri sijawahi kufika voo
Woow nakumis sana uku sehem
Mashallah hayo madodo nayamezea mate
Mashaa llaah jaman nakutamani pemba lakin sikujuwi na sina mwenyeji wala ndugu ss mtanisaidiaje jamani😘😘😘
Mm nitakuwa mwenyeji wako
Halima Hamadi njoo nikupeleke
Mnjoo
Hongera ila sijawah kufika
Nime miss nyumbani
Shukuran #nimesikilza nikiwa kimbiji tarehe 26/4/2024
Pemba TV usisahau kwetu maziwangombe michewen
kondo kaza bab we ndo unatutembeza pemba
Sio mzarau bali ni mdharau..asante
Miss kwetu jamani miee😭
Kweli Home sweet home
I miss you pemba
Dah nimeimis iyo mipweza
Dah! Umenikumbusha mahola
Mtu angalau aona kwao kidg japo hawaoni watu wake ila inshaallah ipo cku tutaonana na watu wetu
Karibu pemba bibie
Pemba
👍
lakini sina mwenyeji pemba
Njoo Mimi nitakuwa mwenyeji wako
nawapenda nyote wapemba
Asante kwakutupenda my
Hammad mbungo apa asante othman kondo kufika nyumban
au kwa jina jengine ustadh Ahmad, abuu farhat a, k, a ulamaa one day one time
kutafuta maisha kwa watu wa Zanzibar hassa kisiwa cha pemba hayo ndo maisha yao ndo mana popote utamkuta mpemba Duniyan anafanya kaz
hongera SMS kumbana mpemba kisiasa akawa Na muono wa kibiashara duniyan
Keep it up
Jamani kwetu kuzuri tunashkuru naskwakuwa twakimbia kwakutaka nikuuliwa kiuchumi wanamaneyao wapemba ao tusiendelee tuombeni duwa tu alokuwa aoni afumbuke macho aone iliajuwe mzarau kwao mtumwa namzarau biu ubeuka yy
Sijawahi kufika kumbe kuzuri
Ipo poa sn