Asalam alaykum warmatullah wabarakatuh sheikh wangu jazakalah Khairan Allah akulipe Pepo ya firdausi,nimejifunza jambo kumbwa, nakupenda kwa ajili ya ALLAH
Eti shehe othman mimi baba angu amenikataa toka mdogo nina miezi minane adi leo simjui japo kua najua yupo morogoro ila sina mapenzi nae inakuaje hukumu yake ila nime mshamehe je hukumu yake ipi
Yarabby me wazazi wangu wa kiki kristo ila najitahidi kuwapa kuwalisha nikitaka bado radhi zao wananiombea sana nifaulu ili niwape maisha bora najitahidi sana huku huwa nalia wakija kufa bado hawana dini mimi uso wangu nitaweka wapi vipi nitawafanyia mazishi ila nawapenda sana . nashukuru Mungu kanijalia dini naswali nawatilia dua juu yake 😢😢😢🤲🙏
Allah akupe mwisho mwema sheikh wang pia akujalie pepo yake ya Firdausi kwa urama wake Amiin 🙏❤️❤️ napenda saana mafunzo yako from BURUNDI 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Atupe pepo sote inshallah
Asalam alaykum warmatullah wabarakatuh sheikh wangu jazakalah Khairan Allah akulipe Pepo ya firdausi,nimejifunza jambo kumbwa, nakupenda kwa ajili ya ALLAH
Mashaallah cheikh wetu Osman Michael, Allah akujaaliye kila laheri. Na mimi uniombeye kwa Mwenyezi Mungu
Adi naskiya wivu anavyo ongelea wazazi wake nanduguzake nami namsevu mama angu my janna❤😂😂😂 apo nime kupiga bao lamkono shekh😂😂😂😂 ma shaa Allah
MashaAllah ❤❤❤ shukraan sheikh Allah akulipe jannah
Masha Allah lecture
Mashallah Tabarakallah sheikh....
Masha Allah my sheikh Othman
Eti shehe othman mimi baba angu amenikataa toka mdogo nina miezi minane adi leo simjui japo kua najua yupo morogoro ila sina mapenzi nae inakuaje hukumu yake ila nime mshamehe je hukumu yake ipi
Mtendee WEMA unaouweza
Nakupenda kwa Ajili ya Allah
Mashalah
Yarabby me wazazi wangu wa kiki kristo ila najitahidi kuwapa kuwalisha nikitaka bado radhi zao wananiombea sana nifaulu ili niwape maisha bora najitahidi sana huku huwa nalia wakija kufa bado hawana dini mimi uso wangu nitaweka wapi vipi nitawafanyia mazishi ila nawapenda sana . nashukuru Mungu kanijalia dini naswali nawatilia dua juu yake 😢😢😢🤲🙏
InshaAllah Allah akufanyie wepesi Kwa mtihani wako amka swala za usiku Mimi Niko Kenya mombasa
@@anwarabdallah7095 inshallah me nipo uarabuni kutafuta ila naamini Allah atafanya wepesi wake
S.A.W,S.AW,S.A.W, S.AW, S A.W,. S.A.W.