Mungu awabaiki kwa Kazi ya kumpendeza mungu waimbaji kwa kweli wanajitaidi kutugurahisha kutuweka karibu na mungu kutufariji wakati wa raha na shida jina la bwana liinuliwe.tychicas keret nyimbo xake zina ujumbe mkubwa wa kibibilia na kimaasai sahihi.
pia maasai songs hua zinabless sana. kwa wenye wanazitaka hiz waeza ingia tena U-tube seach majina yao utabarikiwa hatakama huelewi lugha ila Mungu haez acha kukubless.🙏🙏🙏
Timothy opoti kwakweli nimekua nikifatilia nyimbo saidi y miaka 6 nimejifunza mengi kutoka kwake pia ningependa cku moja nipatekuongeya nae japo maneno machache nyimbo zake cmenikuxa sana kiroho abarikiwe sana
Shalom MAASAI Channel!! Hongereni kwa Ubunifu huu, Hongereni sana. Ila naomba marekebisho kidogo, Wimbo namba 5 ENASHE wa Jamsi Selembo umetazamwa na watu Laki moja na Elfu 28 ndani ya Mwezi mmoja na mmempatia nafasi ya 5 wakati wa Timoth Opoti una miezi miwili na umetazamwa na watu Laki 1 na Elfu 8 mkampatia nafasi ya pili. How? Be Blessed abundantly!!
Ndani brother

Charity my dada anafanya vzr xn♥️♥️♥️♥️♥️
Vp sanino bless metamayian intai
Hongera sana maasai Channel
🙏🙏Asante sana
Endelea kufuatilia Maasai Channel
Timos opoti iko vizuri sana
mungu awabariki sana sana maasai channel
hongereni sana maasai channel mko vzr
Lesikari sarunga mollel mungu awabarik masai,wetu
🙏Amen
Endelea kufuatilia Maasai Channel
Tychycus Big ups🔥🔥🔥
Barikiwe sana na Mungu
Hongereni sana
🙏Asante sana
Good work penda nyinyi sana🙏🙏💪
All the best,, congratulations 🎉🎉
Aki mungu awabariki lalashara lainien be blessed 🙏
🙏🙏🙏Amen
Pia mm ni mfuatiliaji wa nyimbo za kimaasai lakini waimbaji wetu wa Tz wanabedi sana kupamba miili yao kuliko kuteneneza ujumbe .
Maasai channel members nawapenda sana mungu awabariki ❤❤❤❤❤
🙏Amen
🤝🤝Endelea kufuatilia Maasai Channel
@@MaasaiChannel hii ndio Chanel yangu naipenda sana sana
Bat Mimi ni Masai pia kutoka Tanzania🇹🇿🇹🇿
Tuko pamoja ndugu yetu
@@MaasaiChannel 🙏🙏🙏
Pongezi sana ndugu zangu
🙏🙏Tunakushukuru sana
Endelea kufuatilia Maasai Channel
Great work 🔥🔥
Wow good work maasai channel love from kenya
Endelea kufuatilia Maasai Channel
Barikiwa sana wenzangu....
Kazi safi
Pamoja sana
maasai channel mungu awabariki sana mnafanya kazi nzuri sana
🙏Asante sana
Endelea kufuatilia Maasai Channel
Mungu awatunze my relatives
Kanyoo too pemiroro teñkutuk ormaasae ?
asateni sana massai chaneli
Mubarikiweee
Atasisi apapo tupo iiji zaijee tumetasama iyo wipo mekimenu edomononi aaii
Endelea kufuatilia Maasai Channel
God bless all .
Keep it up guys you are doing a great job Brothers 🙏🙏🙏 may God bless you 🙏🙏
🙏🙏🙏🙏
Wapi izzoh kores
Shalom MAASAI Channel!! Hongereni kwa Ubunifu huu, Hongereni sana. Ila naomba marekebisho kidogo, Wimbo namba 5 ENASHE wa Jamsi Selembo umetazamwa na watu Laki moja na Elfu 28 ndani ya Mwezi mmoja na mmempatia nafasi ya 5 wakati wa Timoth Opoti una miezi miwili na umetazamwa na watu Laki 1 na Elfu 8 mkampatia nafasi ya pili. How? Be Blessed abundantly!!
🙏🙏🙏Asante sana Kaka kwa ushauri huu, tunaahidi tutafanyia kazi maoni yako.
Endelea kufuatilia Maasai Channel ili tuijenge jamii yetu kwa pamoja
Mateshet olosho lang' taa
Olemuje supa wou loitokitok
Esipta oleng
Oi ngerepapa sidan , metudumu ndai Engai,, kanyoo ejoki yook intipati kiata ndai ilmuran sidan ooyelo igutukie pookin,,, Oi matonyok olosho lai pee megiroo yook intipati
🙏Amen
Ole partetuka leshan frm rmbo kenya metudumu ntai engai elmaasai lang
Mngefanya interview kwa kimasai kama jina la Chanel Masai chanel inavyosema coZ mngepiga tu kimasai fully story na kuacha kutumia lugha zote2
kwakweli umnajitaid San masai chanel
metamayana intai engai
🙏Amen
Paul