Congratulations pastor daniel for ur songs with powerful messages alway to our maa people and nation continue with God works and educative Gospel songs 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hata Kama ni Elimu mzuri kwa watu ili wapate kujua umuhimu wa elimu ila kwa jamii yangu huu wimbo upo na ujumbe mtamu kwa sisi kusisitiziwa tupende kwenda na wakati uliopo katika ulimwengu huu mambo yamepitwa lakini bado tupo nazo Sasa ndiyo inafaa tuelewe tunafaa kuishi vipi hizi nyakati "bhana huu wimbo ni mzuri na umenibariki Mimi """
Nyimbo hii inayo ujumbe mzuri Kwa huyo wazaz wetu tujitahd xana kuwapa watoto wetu elimu tusiwabague kabisa wakike na wakiume mung akubark pst agustino
Congratulations 🎈👍👏 man of God,this is powerful,my all time song,mekitamayiani Enkai oleng,maisuma Ake inkera pookin nimikip ake olgela,maisuma ebaiki enenkirotet ebaiki ene ntinki amu miyiolo olipokie,oyooki aaku oloip lisaru✍️✍️📚📚
WOW wow I just lack words to describe this man of God he is one of the best Maa artist who has never disappointed his songs carries strong and educative message you are the one who iam always eager to hear his next song may almighty God bless you and continue impacting you more Wisdom to educate your people through songs the song has really touched me..
Huu wimbo umenitoa machozi ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
Mungu amemtumia huyu mtumishi kwa wimbo huu kuwakumbuka watoto wasichana ubarikiwe sana ❤
I advise all the maa folks to keep watching it is very relevant especially for maa who rarely take their children to school.
Kweli mungu akuongesee juhudi kama huu imenibamba muno wimbo zako sote Sina ujumbe msuri God bless you dad
Huu wimbo bila kujikaza unaweza lia kama mtoto. Mungu akubariki mtumishi wa mungu🎉
Napenda nyimbo zak kak Mungu akuzidishiye ufahamu zaidi na zaidi
Mtumishi wangu ninapenda sana wimbo huu wenye ujumbe mzuri sana Kwa jamii mungu akutie nguvu
A kalenjin but goosebumps doing my Masters currently from the pastoralist community!! Education is life 🙏🙏
Wimbo huu umefunga kazi tuwapeleke watoto shule
Congratulations pastor daniel for ur songs with powerful messages alway to our maa people and nation continue with God works and educative Gospel songs 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Duh! Wimbo Mzuri Sana Na Inagusa Kila Upande....... Ubarikiwe Mtumishi Wa Mungu!
Hakika ujumbe mzuri Sana daa kweli mungu katujia upande wetu wa kimasai
Hata Kama ni Elimu mzuri kwa watu ili wapate kujua umuhimu wa elimu ila kwa jamii yangu huu wimbo upo na ujumbe mtamu kwa sisi kusisitiziwa tupende kwenda na wakati uliopo katika ulimwengu huu mambo yamepitwa lakini bado tupo nazo Sasa ndiyo inafaa tuelewe tunafaa kuishi vipi hizi nyakati "bhana huu wimbo ni mzuri na umenibariki Mimi """
Very nice 👍
So powerful and encouraging to our maa people and at large everyone ,, let's treat our kids equally irrigardless of there gender 🙏
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu akutie nguvu
Mimi imeninguza mno tu angustino mungu akubariki sana kaka
Hongereni sana wote mlioandaa ujumbe huu hadi machoz yananitoka mungu akubariki sana mtumishi wa mungu akupe maisha marefu uendelee kutuongoza ameeeen
May God bless you man of God...the great message to our education life
Powerful always daddy Mungu akubarikii
Aish! Oi Sidai Tukul itisira Naleng' nitaranya Mikitamayana Olaitoriani Lomayana 🙏👏🏼👏🏼🎼🎶
A kalenjin yes but this song 🥺❤️❤️. Goosebumps ❤️...
Nyimbo hii inayo ujumbe mzuri Kwa huyo wazaz wetu tujitahd xana kuwapa watoto wetu elimu tusiwabague kabisa wakike na wakiume mung akubark pst agustino
congratulations man👊in all God is the way🙏🤲
MUNGU akubiriki umeimba vizuri hukuna kisicho wezekana kwa MUNGU Amen
Great job laizer thanks for Empowerment 🔥🔥 watoto wasome
such a good song
inspiring
Barikiwa mtu wa Mungu
Woooow i love this song ...ubarikiwe sana mpendwa
Wimbo huu umeniguza...ni ujumbe mzito sana
South Africa is also watching Laizer, keep up the good work
mungu akubariki kwaushauri wako wanawo sikiya wasikiye
I love this bro God is holding were future
Congratulations 🎈👍👏 man of God,this is powerful,my all time song,mekitamayiani Enkai oleng,maisuma Ake inkera pookin nimikip ake olgela,maisuma ebaiki enenkirotet ebaiki ene ntinki amu miyiolo olipokie,oyooki aaku oloip lisaru✍️✍️📚📚
Wao mtumishi wa Mungu laizer. Mungu akuinue zaidi ZAIDI.
I love this song, l will sing during my graduation 😭😭
Keep it up it wll happen God time
I love this song so much is relect to me thanks so much mr laizer
Ujumbe muhimu sana kwa jamii yetu ya kimaasi mungu akubariki sana mutushi wamungu
Congratulations man of God
This songs touches me alot
Since am passing alot simply I want to study 😢
But God is above everything
Amen,mtumishi wa Mungu
Very couraging God bless you
Amemaliza yote Mungu akulinde
Bishop mungu akubariki sana
Good song be blessed entaguo
Mungu.akuongesee
Kaz
Mungu akuongesee upendo huuu
Mungu ni mwingi wa rehema wimbo huu umebeba ujumbe mkubwa sana wazazi na walezi
Kweli kanyoo pijo maidim kake idima ingulieki mungu akubariki pastar agustino
Be blessed man of God
Nice song Education is the key of our children.
Hakika nimebarikiwa ns mungu
I'm in tears😭a very touching song🙏😍😍
It taught me of seeing myself on the graduation day icried😭😭😭😭inever new iwill be there,God is our great God blessed up on this song😘😘😘😘😘😘😘😘♥️
Guuud song mkuu barikiwa
Amazing bro
Thanks Augustno ujumbe mzuri ❤❤
Powerful message osinka lenkai barikiwa keep going
Daddy God bless you.
You are blessed man of God
Great message to our community .....so touching Man of God.
With God am furthering my studies due to this song,,I 💕
WOW wow I just lack words to describe this man of God he is one of the best Maa artist who has never disappointed his songs carries strong and educative message you are the one who iam always eager to hear his next song may almighty God bless you and continue impacting you more Wisdom to educate your people through songs the song has really touched me..
God bless you laizer aman of god.congratulation song yayutia wakenya thank you brow am lenny nkisia ole nkaanku from loitokitok kuku sub
Well done brother..... so powerful 🙏
may God bless you man of God 🙏🙏🙏🙏
Touching song,,,,,on top 👍 God bless you man of GOD
May God bless you brother ❤
Voice man of God 🙏
nice one and i love 💕💕 more
Very impressive,may God keep you to strength his nation day by day.Be bless man of God
i love your songs so much inspirating i can't stop listening to them growing up i still love God bless you soo much Laizer 🙏🏻😍
🙏🌹🌹🌹
🙏🌹🌹🌹
Injoo kiimayan engai osinga le ngai
What an encouraging message...
May God take you to another level
Absolutely beautiful and has the perfect message on top of it. God bless you man of God.
Beautiful Daniel kimayian enkai oleng nimetoka kenya
GOD bless you laizer
Hongera Kwa kututia Moyo na kutujulisha ya Kuwa lipo tumaini katika Elimu
Kweli inagusa kwa wenye jitiada
Most respected people in maasai gospel singers who always have a good message to all that can get to here the maa vibes🎧
Hasa kwa jamii ya Wamasaiujumbe huu ni kwn
Replies
Amazing!!!!
I love the message in the song 🙏
Kimayian enkai osinka lenkai🙏
Hongereni sana wote mlio andaa ujumbe huu muhimu sana
Very touching song i love it it carries a huge message to our Maa community 😢😢💪
Ivi kuna mzazi asiye sikia
Absolutely amazing , will sing during my graduation 🎉
Agustino laizer
Thanks for the encarragement
Hongera sana mtumishi wa MUNGU.
Soo amazing what a good massage to the world more grace man of God
Very nice message mutushi wa mungu.
Amina barikiwe Sana brother wangu powerful song
Mekitamayana olaitarriani osinga LENGAI. Indabawua orkilikwai omayana
Barikiwa sana
Hongera sana mungu akubariki sana kwa ujumbe huu.kweli elimu ndio urithi wa mtoto sio ngombe wala Mali zingine.
One good thing about music , when it hits you, you feel it...this is soo touching...have been listening for 2 weeks
Hapa ndio funga kazi
Hapa ndio kazi
Mikitrivo engahi mlele
Wimbo wa kufungia mwaka.
Ubarikiwe sana mwalimu!!
Congratulations sir 💪💪💪💪
Blessed song
Such a great song with an auspicious and intuitive message ❤
Blessings!🙏
This song motivates me to work more harder 🤗
The song is verynice ❤❤❤
Hongera sana askofu
Nice song
Poa, 🙏❣️