*SHEREHE ZA KUSIMIKWA VIONGOZI WA KABILA LA KIMASAI WILAYANI KOROGWE*

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • #Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe.Basilla Mwanukuzi ambae leo akiwa mgeni rasmi katika sherehe za kuwasimika malaigwanani wa mila ya Kimasai katika kata ya Mkalamo Kijiji cha Makayo Wilayani Korogwe,ambapo aliwashukuru Viongozi na Wakazi wa Makayo kwa kumpa heshma ya pekee ya kua mgeni rasmi katika Sherehe hizo za kusimikwa kwa Viongozi hao wa kabila la Kimasai..#

ความคิดเห็น •