MAMBO SABA YATAKAYOMUENDEA MAITI KABURINI MWAKE MUHADHARA MTOA MADA SHEIKH KISHK
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2019
- Mambo saba yatakayo muendea Maiti kaburini mwake ni Muhadhara uliotolewa na Sheikh Nurdeen Kishk Masjid Haqq Kionda uliopo Magomeni Mapipa Jijini Dar es Salaam Tanzania Tarehe 13 / 12 / 2019, Mada hii imegusia maisha ya mwanadamu upande wa imaani juu ya kuwekeza katika akhera yake, sikiliza hadi mwisho uweze kupata kuyajua hayo mambo saba.
Mashallah Allah akujaalie umri mrefu wenye kheri uzidi kutuelimisha
ALLAH atunusuru na atupe mwisho mwema🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mashallh allh akuewezeshee uzidiy elimuu natuwezeshe nasadak hizoooo
Shukran, jazzaka Allah kheir, yakhfadhuka Allah, biidhni Allah
Ameen
Aamiin.
Aamin
MashaAllah sheikh
Mashaallh
I really like this man
Yaaraby mwenyezimungu tu jalia ktk duniani na ahera inshaallaah
Mashaallah
Mashallah
Mashalaah
Allah akbar
Sheikh kishk dua zako kwa waislam angalau kwa mambo yamaisha hasa kweny ridhk iwe nyepes japo nasis tuna jiombea ila yaweza kua makuburi yako yaweka wepes
Mashallah 💝💝💫🇾🇪
Shukran jadhaakallahu kher
Yarabi utupe mwisho mwema
🤲Allah
mashaallah
Alhamdulillah ❤
Yaarab
Shukran shekh masha Allah
Allah atuongoze ktk kher waja wake tupate kufauru siku ya mwisho
M.a
Salama aleykum naomba munijibu swala langu mawaidha wanaotoa maustadh wengine wasema swala ya adhuhuri kabliya rakaa 4 baadaya rakaa 4 hapo kanasema sheikh kishki kabliya rakaa 2 naomba niwelesheni kwa anayejuwa
Baadia ya adhuhuri ni rakaa mbili
rakaa nne za kabliya ya swala ya adhuhuri, hii sana inatumika kwa wanaomfuata imamu ANAFI. rakaa mbili za kabliya ya swala ya adhuhuri hii sana hutumika kwa sisi tunaomfuata imamu SHAFİSHAFI.
Asalam alekum nataka kusaidiwa jamani mnipangie iz swala za sunna cjui kabiya wala baadiya nisaidieni tafadhali ALLAH Atawalipa
Mashaallah
Mashallah