Ningekuwa najua ratiba zake nikwenda TEMEKE VETENARY msikitini kwake nikamwambia kuwa mm nampenda na nikisilikiza mawaidha yake nalia sana hata kama nipo mbele za watu nashindwa kujizuia
Mashallah tabarakallah allah akupe kila la kheri hapa dunian na kesho akhera na atupe khatima njema kwa sote na allah atupe furaha za dunian na kesho akhera
Natamani kumuona sana USTADHI KISHK ALLAH amlinde na kila husda sheikh wetu
Kama Mimi natamani kumuoma
Ningekuwa najua ratiba zake nikwenda TEMEKE VETENARY msikitini kwake nikamwambia kuwa mm nampenda na nikisilikiza mawaidha yake nalia sana hata kama nipo mbele za watu nashindwa kujizuia
Mashallah tabaraka llah Allah adumishe mapenzi yenu 😍😍😍
Wallahi Nampenda sheikh kishk kwajili ya Allaah❤
Aaaalllah tujaliye mwisho mwema yarab
Amiin
Allahumma Amiiyn
Allahumah Amiin yaa Rabbil alamiin 🤲🤲🤲😭
Mashaallah tabarakallah
Allah atujalie mwisho mwema
Mashaallah Allah Akulipe shek wetu Nuridin kishki
maashallah tabarakah wata'a'la long life my lovely sheikh nikupendae kwa ajili ya Allah
Shukuran jazaka Allah khairan Allah akuhifadh akujalie kher duniani na akhera
Yarrab tujalie mwish mwem inshallah 🤲🤲
Mashallah tabarakallah allah akupe kila la kheri hapa dunian na kesho akhera na atupe khatima njema kwa sote na allah atupe furaha za dunian na kesho akhera
🤲🤲🤲
Allah akujaliye wepesi wa maisha na mwisho mwema
MashaAllah ❤❤❤
Mashallah sheikh shukran kwa mawaitha nzuri
Ma sha Allah Tabaarakallah 😍
Mashaallah tabarak llah akuzidishie kheri ❤
Masha Allah
ALLAHUMMA AMIIN
Alhatu jalie mwisho mwema yarab
Mashallah... Allah awahifadhi mashek wetu...
Mashallah jazakallahu khair ❤
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
Will go through It Insha Allah..
Seem Something New.
🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Ewe Allah tujaliye mwisho mwema
mashaAllah
MashaAllaah mashaAllaah
Mashallah
❤❤❤❤
Allahumma ameen ya Rabby 🤲🤲🤲
Asalam alaykum,,ninaswali shaikh,,na je lugha ya pepon itakuwa lugha gani?
Pole saana Lugha zote zipo peponi,Mmedanganywa eti Kiarabu ndo Lugha tu ya Wanaomwamini Mungu,Mungu anasikia Lugha zote
Sheikh Muhammad Bahero umemkosea Allah hapo umesema“Sauti yangu kama nimemeza Chura“ Nani alokua Sauti hiyo?Najua umeghafilika kwa Furaha
Nifuraha tu, nikweli anampenda sana kishki. Na pia mm nasema kishki ni kipenzi cha watu wote, na asiye mpenda kishki anamatatizo, akapime akili.
@@myunaniniahmad6463😅
Mashallllah❤❤
MashaAllah ❤
Mashallah ❤