kama waziri kajiuzulu kwa sababu ya upungufu wa Pombe hilo ni jambo jema kwetu Zanzibar. Mm nakuomba mh rais udhibiti uingiaji wa pombe Zanzibar mpaka ifikie bei ya chini ya chpa ya safari lager sh 20,000.
Baba ako mzee Mwinyi alijiuzuru uwazili wa mambo ya ndani huko nyuma kisa mauaji huko Shinyanga (not sure). Ni kweli huwezi kujiuzuru mitandaoni, sijui kwa nn watu wanapenda mitandao. Big up Mr president
@@R10_Rajab nilimfahamu akiwa daktari Muhimbili hosp very young! Alimuhusumia mtoto WA Kaka angu, sijawahi ona daktari humble kama huyu. Alikuwa anatusubiri muda WA kuangalia wagonjwa kutupa feedback nini nimefanyika au kitafanyika Kwa mgonjwa wetu, I was shocked, kibongo bongo sijawahi ona. Na nilimuomba Mungu amfikishe mbali Kwa roho yake na ufanisi wake WA kazi, namshukuru Mungu amenisikia. Ninaimani ataipeleka Zanzibar mbali sana labda watendaji WA chini wamuangushe.
Maana yake wanafki wanaolalamika huku wakibeza juu ya maendeleo yanayofanywa na raisi Mwinyi hapa Zanzibar wakijifanya hawayaoni huku wakusingizia eti kaleta maisha magumu watambue mambo bado Mwinyi atafanya makubwa zaidi wataumia na watalalamika sana@@miltonjohn9779
Na wewe ulikaa hapo kwa kunuka damu na umesaidiwa na makufuli kumwaga damu upo hapo kwa kunuka damu za watu jee shamte mbona aliofanyiwa hukusema jee hukusikia mengine unasema yako husemi na jumu juma jeee hakuhisu? Mbona husemi umeamua kusema useme na yako
This man is Genius...ni mkweli...Mungu akulinde
Safi sana
Mashaallah
Safi sana Mh Rais precise and concise.
Smart president..hongera mh rais kwa kuwa muwazi
ZANZIBAR MNA RAIS!! SIJUI KAMA MNAJUWA NDUGU ZETU!!
kama waziri kajiuzulu kwa sababu ya upungufu wa Pombe hilo ni jambo jema kwetu Zanzibar. Mm nakuomba mh rais udhibiti uingiaji wa pombe Zanzibar mpaka ifikie bei ya chini ya chpa ya safari lager sh 20,000.
Baba ako mzee Mwinyi alijiuzuru uwazili wa mambo ya ndani huko nyuma kisa mauaji huko Shinyanga (not sure). Ni kweli huwezi kujiuzuru mitandaoni, sijui kwa nn watu wanapenda mitandao. Big up Mr president
Wewe Umemfahamu Mr President hongera sana
@@R10_Rajab nilimfahamu akiwa daktari Muhimbili hosp very young! Alimuhusumia mtoto WA Kaka angu, sijawahi ona daktari humble kama huyu. Alikuwa anatusubiri muda WA kuangalia wagonjwa kutupa feedback nini nimefanyika au kitafanyika Kwa mgonjwa wetu, I was shocked, kibongo bongo sijawahi ona. Na nilimuomba Mungu amfikishe mbali Kwa roho yake na ufanisi wake WA kazi, namshukuru Mungu amenisikia. Ninaimani ataipeleka Zanzibar mbali sana labda watendaji WA chini wamuangushe.
Niko bara,ila nakupenda sana HUSEIN MWINYI,we ni jembe sana
Rais wetu tunakomba uingie kwa mashirika ya serikali watu wanaumia huko
Nice President
Wamekuchosha hivoo
Kama nimambo ya ulaji bas wazir yupo sawa maana ni nchi ya utalii
Boss uko sahihi ujumbe umefika kwetu wazanzibar na WA Tanzania wote
Na yako useme huyo tumesha jua kwamba pombe ndio chazo na yako jeeeeeee??????
Kama ana baaaa aseme ulevi tumeuzuia hongera mwinyi kwa kumchana huyu jamaa kajisahau sanaa
DR MWINYI UMEWAPELEKEA WANZANZIBARI NJAA NA MAISHA MAGUMU KWA LAANA YA KUTOA ROHO ZA WATU ILI UWE RAISI!
Bado haujasema 😂😂😂😂😂Muwache Raisi pendwa wa Wazanzibari walio wengi hizo chuki zako hazitokusaidia kitu
@@R10_Rajab Sasa hapo Bado hamjasema inatokana na nn
Maana yake wanafki wanaolalamika huku wakibeza juu ya maendeleo yanayofanywa na raisi Mwinyi hapa Zanzibar wakijifanya hawayaoni huku wakusingizia eti kaleta maisha magumu watambue mambo bado Mwinyi atafanya makubwa zaidi wataumia na watalalamika sana@@miltonjohn9779
wewe kweli unatafuta matatizoo😂😂😂
@@R10_Rajab upo nje ya mada