RAIA wazuia GARI la WATU WASIOJULIKANA kumchukua MTUHUMIWA wamtaka OCS aje. MWANZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 408

  • @BabaBabalili
    @BabaBabalili หลายเดือนก่อน +46

    Kazi nzur sasa tutafka watanzania lazima tujilinde

  • @gililwise
    @gililwise หลายเดือนก่อน +31

    Asante sana raia tujilinde wenye Kwa sababu wanaojiita walinda uraia wameshindwa.

  • @AlphonceGridius-v2b
    @AlphonceGridius-v2b หลายเดือนก่อน +17

    Ubalikiwe sanasana mbalikiwa endelea kupanza sauti mungu akulinde

  • @lugembesweya3288
    @lugembesweya3288 หลายเดือนก่อน +27

    Hafai kua Mkuu wa wilaya

  • @EricUbalijoro-x1l
    @EricUbalijoro-x1l หลายเดือนก่อน +17

    Huyu ni kiongozi anaeongoza wananchi hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi

  • @godwineliya4686
    @godwineliya4686 หลายเดือนก่อน +18

    Muandishi Upo vzr Sana kaka Lakini Hicho kiazi unacho kihoji Hakijui wajibu wake.....

    • @DavidSemu-gu6wp
      @DavidSemu-gu6wp หลายเดือนก่อน

      Ha ha ha hi hi hi😊 a potato. No comment.

  • @SamwelLotuno-xo1jy
    @SamwelLotuno-xo1jy หลายเดือนก่อน +10

    Nakukubali sana NABII wangu

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 หลายเดือนก่อน +16

    Mko vzr watanzania mwendo ndo huo huo

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u หลายเดือนก่อน +12

    Itajulikana tu siku moja.

  • @AGM19697
    @AGM19697 หลายเดือนก่อน +6

    Daaah bado tuna kazi kubwa sana

  • @JohMwita
    @JohMwita หลายเดือนก่อน +14

    mungu yupo

  • @matiredms917
    @matiredms917 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu DC ni UVCCM ambao wanapewa vyeo vya MaDC bila kuwa na sifa za kazi bali kama zawadi ya UCHAWA!

  • @marwamagere
    @marwamagere หลายเดือนก่อน +6

    Odemba achana na huyo DC mjinga hata alyemteua ni mjinga

  • @SuzannaNdege-pj9zg
    @SuzannaNdege-pj9zg หลายเดือนก่อน +25

    Huyu mtu hafai kuwa mkuu wa wilaya

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari หลายเดือนก่อน +3

      Anauwezo mdogo sana

    • @helsonjonathan
      @helsonjonathan หลายเดือนก่อน

      Ana uwezo mdogo wa kufanya nini?

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari หลายเดือนก่อน

      @@helsonjonathan wakucheza drafti

    • @HamisMghuna-fj3vz
      @HamisMghuna-fj3vz หลายเดือนก่อน

      @@SuzannaNdege-pj9zg Ana kiburi kama Farao, no comment watekaji,anachezea MUNGU, watekaji no comment yan hajali,

    • @emanuelpeter2489
      @emanuelpeter2489 หลายเดือนก่อน

      Kuna usalama gan hpo au haoni na kwann hataki mjadala wa hyo nyamera

  • @AnnaFelix-p1z
    @AnnaFelix-p1z หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana watanzania tuungane tuwe pamoja

    • @AnnaFelix-p1z
      @AnnaFelix-p1z หลายเดือนก่อน

      Yule ni shetani Tena lusifa watumishi nyinyi munawongea kweli ivi vitahii tuliyo nayo watanzania mchungaji akiongea wanasema ni siasa apana mungu anaongea kupitia wawo tutaisha

  • @edwinamos9734
    @edwinamos9734 หลายเดือนก่อน +6

    Mkuu wa wilaya umezingua leo onesha ukalimu upo na wenge arafu unaongea kama unashindana pia hio no comment is nothing jifunze kujibu maswali mzee

  • @KasimMamboleo
    @KasimMamboleo หลายเดือนก่อน +5

    Dah etty nae kiongoz ajui hata kujieleza kweli kazi aliyopewa kukamata makahaba tuu ndio anaona kazi kwake

  • @sebastianjacob8915
    @sebastianjacob8915 หลายเดือนก่อน +8

    Sasa no comment ndio nin sasa mbona hajitahidi hatakuitetea serikari mbona kama anajeuri sana anamtegemea nani kana kwamba hapo kajiweka mwenyewe kwani yeye kaziyake nin hapo sikuwatumikia wananchi hiyo no comment imeniacha hoi kabisa.

    • @evaemil856
      @evaemil856 หลายเดือนก่อน +1

      No comment means boss wao kawatuma water watu na kuua

  • @SilasNdereka
    @SilasNdereka หลายเดือนก่อน +4

    Hawezi kujibu ni fumbo la Imani dcoyee

  • @philemonnestory4239
    @philemonnestory4239 หลายเดือนก่อน +8

    Hapo hamna kiongozi hapo

  • @JohnNgambeki
    @JohnNgambeki หลายเดือนก่อน +6

    Kweli kabisa mchungaji mbalikiwa

  • @DicksonJaphet-fq7ov
    @DicksonJaphet-fq7ov หลายเดือนก่อน

    AMINA kubwa Mtumishi
    Ubarikiwe Sana 🎉

  • @FrankasamisyeMwaiswasu
    @FrankasamisyeMwaiswasu 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ccm na serikali yeke ndo wauaji wakubwa mungu atuondolee utawala hu dharimu wa shetani

  • @paulojohn9608
    @paulojohn9608 หลายเดือนก่อน

    mungu wangu wewe tu ndo mlizi wa maisha yetu rekali uliyo sema iwepo imeshindwa kulinda amani yetu na ulinzi wa maisha yetu

  • @mariaanthoniangowi9376
    @mariaanthoniangowi9376 หลายเดือนก่อน

    Safi sana Wananchi, tukitaka tunaweza

  • @LensonMwaigombe
    @LensonMwaigombe หลายเดือนก่อน +9

    Huyu ni mkuu wa wlaya au kichaa wa wilaya?

  • @GodfreyMagembe-yw9or
    @GodfreyMagembe-yw9or หลายเดือนก่อน

    Hii nchi upumbavu ni mwingi nampenda Magufuli ❤❤

  • @Kwelihukuwekahuru
    @Kwelihukuwekahuru หลายเดือนก่อน +13

    Yaani shuleni unajifunza neno moja tu no comment very sad

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah หลายเดือนก่อน

      😢😢😢😢😢😢😢😢😢

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 หลายเดือนก่อน +1

    HUYU SI MKUU WA WILAYA SASA TUTACHUA MAAMZUZI PIA RAIS AMESHINDWA NA KAZI

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 หลายเดือนก่อน +4

    Wananchi wanapoamua jambo lao kuwazuia itakuwa ni ngumu.

  • @WazirBoy-fe5ew
    @WazirBoy-fe5ew หลายเดือนก่อน +6

    Huyu mkuu wa wilaya au ndondocha

  • @saimongilala8938
    @saimongilala8938 หลายเดือนก่อน +3

    Saf sana tz naomba tujilinde wenyewe make Sasa mambo magumu sana

  • @SimonPeter-j3r
    @SimonPeter-j3r หลายเดือนก่อน

    Safi sana wanaichi mm simon

  • @FadhiliMwaitete-ls2li
    @FadhiliMwaitete-ls2li หลายเดือนก่อน +2

    Huyoo awezi kujibu chochote kwakuwa yeye anajuwa kila kitu huyoo ni mkuu wa wilaya ndiyo haohao unapoeza muda wako amnausalama wowote

  • @saimongilala8938
    @saimongilala8938 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu ni kiongoz kweli mweshimiwa rais haya majibu yanatosha kweli kujibu watu mbona jeur sana

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 หลายเดือนก่อน

    Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama,watu wake wanatekwa..akiulizwa..majibu: no comment!! 😢😿😹😭.. ajira ya vimemo

  • @CristinLyanga
    @CristinLyanga หลายเดือนก่อน +1

    Daah! Ukuu wa wilaya wewe broo,bado sanaa,mama mheshimiwa raisi wangu Samia ,huyo mkuu wa wilaya hao mmmmhhh ,

  • @briankatani6770
    @briankatani6770 หลายเดือนก่อน +2

    Usiwahoji hao odemba Hana majibu huyo,kumbuka DC wa longido aliyeondolewa alichosema

  • @knight6757
    @knight6757 หลายเดือนก่อน +6

    "No comments"🙆‍♂️

  • @SophiaSteven-nc1li
    @SophiaSteven-nc1li หลายเดือนก่อน

    Mungu weee tuhurumie kweli mtu mkuu wa wilaya anasema nokila kitu

  • @isakhamisi8923
    @isakhamisi8923 หลายเดือนก่อน +4

    Hakuna chochote hapo ni drama tu ya CCM

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 หลายเดือนก่อน

    Mmmmh huyu ndiye mkuu wa Wilaya, Aisee hatari sana

  • @LitoDossani
    @LitoDossani หลายเดือนก่อน +2

    Yani iyo dar es salaam ingekua na wila 3 km zamani awa wakina no comment sijui wametokea wapi

  • @DanKanyange
    @DanKanyange หลายเดือนก่อน

    Safi sanaa!

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh หลายเดือนก่อน

    Safi sana wananzengo tukienda hivi tutawaokowa ndugu zetu huyo mkuu wa wilaya hana lolote yeye na watekaji nipipa na mfuniko wanalin

  • @aiyaavibes7610
    @aiyaavibes7610 หลายเดือนก่อน

    Hafai kuwa mkuu wa wilaya.... anajibu kama mtoto mdogo hayo maswali...

  • @StewartUkason
    @StewartUkason หลายเดือนก่อน

    Sijaelewa kitu alichokijibu. Mambo haya yanawafanya Viongozi washindwe kujibu maswali. No comments!! Sijui Lina maana Gani hapo.

  • @veronicanabina3380
    @veronicanabina3380 หลายเดือนก่อน +7

    No comment, anakimbia maswali hana lolote.

  • @Burange666
    @Burange666 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo mkuu wa wilaya anaonekana ni kibaka pia ni muuwaji wa kundi la watekaji inafaa akamatwe huyu mkuuwa wilaya apigwe akiwa uchi mbwa huyu.

  • @kulwankuba2785
    @kulwankuba2785 หลายเดือนก่อน

    Ujuaji tu huna hadhi ya nafasi hiyo,no comment hujatekewa mtoto Wala ndugu Yako yeyote.kama mnalinda Amani hiyo no comment inatoka wapi?

  • @Ba63828
    @Ba63828 หลายเดือนก่อน

    Sasa atafuatilia DC kwani yeye ndio detective police? Huyu mtangazaji bure kabisa.

  • @jumakisailo8496
    @jumakisailo8496 หลายเดือนก่อน

    Safi sana, wananchi tuamke sasahivi tusiwe kafara wa club ya mabilionea...tumechokaaaaaaa...😭😭😭😭😭😭😭

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri sana, Amani itafuteni wananchi mwenyewe maana serikali imeshindwa kulinda watu wake

  • @shakaurembo477
    @shakaurembo477 หลายเดือนก่อน +1

    Kiongoz ajitambui msiba mkubwa sana kwa taifa 😢😢

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 หลายเดือนก่อน

    no comment safi sana

  • @maryammMaryamm-p4s
    @maryammMaryamm-p4s หลายเดือนก่อน +4

    Kwanza si mnamuona kimejaa km kijishoga

  • @MonicaTimotheo
    @MonicaTimotheo หลายเดือนก่อน +4

    Pole sana odemba kumuhoji mkuu huyo wa wilaya ambaye ni mteule wa rais si mteule wa raia wa wilaya ambamo huyo ni mkuu wa wilaya ndiyo maana anajibu no comment, yani kiburi ndicho kinaongea ndiyo maana hawezi hata kusema pole kwa sativa mkazi wa wilaya yake kutekwa na kuumizwa

    • @HamisMghuna-fj3vz
      @HamisMghuna-fj3vz หลายเดือนก่อน +2

      Asante Monica mkuu wa wly ana kiburi kama Farao yukowp aliishia bahar ya sham hawezi pole,

    • @MonicaTimotheo
      @MonicaTimotheo หลายเดือนก่อน +2

      @@HamisMghuna-fj3vz Kwa sababu ya watawala wakoloni weusi wabaya kama huyo mkuu wa wilaya wametapakaa madarakani kuanzia juu mpaka chini ndiyo maana Tanzania na nchi zingine za Afrika hakuna amani ya kweli wala haki wala maendeleo bora endelevu makubwa kisayansi na kiteknolojia

    • @juliusmakula1659
      @juliusmakula1659 หลายเดือนก่อน

      O​@@MonicaTimotheo

  • @SaidaliKhamis-v4p
    @SaidaliKhamis-v4p หลายเดือนก่อน +2

    Watanzania tumeregeya hapo hao walikuwa wapate kichapo tena cha kuwajeruhi vibaya lakini tunawatazama bado sana

  • @ibrahimame9805
    @ibrahimame9805 หลายเดือนก่อน

    Hahahaha msenge wa wilaya sio mkuu wa wilaya no coment

  • @miletuskgmiletus1563
    @miletuskgmiletus1563 หลายเดือนก่อน +1

    What a leader, no comment leader, dhahiri kabisaaa hawezi kuwa leader.

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle หลายเดือนก่อน +1

    Wasiojulikana tutaanza kumalizana nao wenyewe yaani akikatwa mtu bila utaratibu wa ukamataji itakuwa shughuli.Yaani sasa hivi mtu skichukuliwa tutakuwa tunaeskoti mpaka kituo cha polisi mpaka OCD tumkanidhi tumechoka kuonewa

  • @lothanathanael2286
    @lothanathanael2286 หลายเดือนก่อน

    Sawa prophet ROLINGA uko.sawa

  • @AlhajiIssa-jb9hr
    @AlhajiIssa-jb9hr หลายเดือนก่อน +1

    Mkuu wa wilaya asie ielewa nafasi yake.
    He's talking nonsense.😮

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mkuu wa wilaya hajui wajibu wake yaani hamnazo.Sasa unalinda raia na mali zao wakati watu wanatekwa

  • @johnstony4938
    @johnstony4938 หลายเดือนก่อน +4

    Yani huyu mkuu wa wilaya..............!?????????????

  • @ElizabethFabian-pn8bv
    @ElizabethFabian-pn8bv หลายเดือนก่อน

    Safi san tukiendelea hivi hakika matukio yatapungua

  • @bourybouryslov3927
    @bourybouryslov3927 หลายเดือนก่อน

    Unalinda Raia Na Mali Zao Wakati Raia Wanapotea Naona Unalinda Ccm Na Polisi Wao

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 หลายเดือนก่อน

    Jamani tuisaidie serikali kujilinda ni muhimu....

  • @lindajoycecharles3635
    @lindajoycecharles3635 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmmh. Uyu mkuu wa wilaya vp mbona kama hajielewi dah...

  • @IsraelUrasa
    @IsraelUrasa หลายเดือนก่อน +5

    Wewe ni mwenyekiti wa ulinzi na usalama mbona unajikanyaga kaka?

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi หลายเดือนก่อน

    Mwandish nimekupenda sana kipenzi

  • @BenardSambilo-h2h
    @BenardSambilo-h2h หลายเดือนก่อน +1

    Hao ndio wanaotakiwa kutekewa family zao ili wajuwe kuwa kila binadam anathamani ya kuishi

  • @jescajohn6619
    @jescajohn6619 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwandishi balaa😄😄😄

  • @shugakombo9683
    @shugakombo9683 หลายเดือนก่อน

    Duh wawatu wengine huangaliwa vigezogani kupewauongozi

  • @wilisonmikate1652
    @wilisonmikate1652 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani jina lenyewe linamtambulisha msiba

  • @pendobruno111
    @pendobruno111 หลายเดือนก่อน

    Mungu fanya jambo usinyamaze

  • @evaemil856
    @evaemil856 หลายเดือนก่อน +2

    Anajeuri ovyo Sana no comment

  • @myself4128
    @myself4128 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa Watanzania Tunaanza Kujitambua!!! wanakuja kukamata wanampeleka kituo gani????kafanya Kosa gani?

  • @NdekejaKamuli-sh5pe
    @NdekejaKamuli-sh5pe หลายเดือนก่อน +4

    Mmmmh huyu mkuu vp tena

  • @waltermbungu8783
    @waltermbungu8783 หลายเดือนก่อน

    Huyu ndiye mkuu wa kitongoji ni sawa na balozi wa mtaa

  • @ConnieJohn-ts9rp
    @ConnieJohn-ts9rp หลายเดือนก่อน

    Wewe hufai kuwa Mkuu wa wilaya Daah!! Jamaa huyu hajali watu wanaotekwa Dahhh,!!!

  • @davidjohn8908
    @davidjohn8908 หลายเดือนก่อน

    Anafikiri yeye sasa Ni mungu

  • @rogersiddy
    @rogersiddy หลายเดือนก่อน +3

    Polisi wa nini nyie hapo malizeni kbs

  • @miletuskgmiletus1563
    @miletuskgmiletus1563 หลายเดือนก่อน

    Mkwepaji, hajibu hoja si kusema no comment. Hata ukuu WA wilaya si lazima

  • @ndevuemcee3000
    @ndevuemcee3000 หลายเดือนก่อน

    Huyu bwege sio kiongozi dhabiti, alipaswa kurudisha ofisi haraka sana kabisa

  • @rajabumtuga7372
    @rajabumtuga7372 หลายเดือนก่อน +2

    Kigezo cha kuteua mkuu wa wilaya ni kipi. Maan huyu jamaa hana sifa za uongoz

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 หลายเดือนก่อน

      Hizi kazi ni za kutangaza watu stahiki waombe

  • @veronicanabina3380
    @veronicanabina3380 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna Amani hapo, kwa kukamatwa na kuuwawa kwa watu wasiojulikana

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa na wanasema eti amani kwasababu watoto wanalindwa na bunduki

  • @FosterBwalya-rh9lh
    @FosterBwalya-rh9lh หลายเดือนก่อน

    Hivi ukiona mkuu wa wilaya anasema no comment anamanisha nn?

  • @pendobruno111
    @pendobruno111 หลายเดือนก่อน

    Nimewapenda bure

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj หลายเดือนก่อน

    Kwani kumekosekana wa kuu wa wilaya mpaka akapewa huyo ,alifaa awe mlinzi wa shule because kingereza anacho jua ni no comment tuu.

  • @paulojohn9608
    @paulojohn9608 หลายเดือนก่อน

    ndamu iliyo mwagika ya ndugu zetu mungu ingilia kati

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 หลายเดือนก่อน

    Safi sana hongereni wa Tanzania kwa maamuzi haya mazuri

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op หลายเดือนก่อน +1

    Ugali unalindwa kuliko uhai wa wananchi!

  • @SikujuaEmmanuel-fj4mg
    @SikujuaEmmanuel-fj4mg หลายเดือนก่อน

    Duu!!!Mungu itazame Tanzania wanao tunaomba,

  • @ramadhanimrungu5806
    @ramadhanimrungu5806 หลายเดือนก่อน

    No comment ndio jibu

  • @ashakomba8034
    @ashakomba8034 หลายเดือนก่อน

    No comment angetekwa mama yako ungesema ivyo

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 หลายเดือนก่อน +1

    Yakipatikana nawso wauwawe huyo anasema no comrnt watekwe na watoto wake alafu aonje joto ya jiwe pumbavu

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ndiyo sasa inahitajika wananchi tusikubali watu kuchukuliwa na watu wasiojulikana

  • @HezronAlexander
    @HezronAlexander หลายเดือนก่อน

    Mkuu wa wilaya gani hajui majukumu yake ya kiserikali,inatia shaka sana.Hafai kuongoza hata wanyama.