Mimi nimetendwa na wengi after kusaidia lakini Kwa yote namshukuru Mungu 🙏🙏 anazidi kunifungulia milango tu,wakenya🇰🇪wenye tunabarikiwa na nyimbo za chilolo nipeeni likes jamani
Guy's bible inasem Wanitafutao kwa bidii hao ndio watakao niona,hivyo bas siku ukiend mbinguni njia utakayopita hd kufika ukikuta kun watu wengi alaf yonah chilolo hayupo kimbia harak san ukekosea njia umeenda jehanamuu ..kitambulisho cha kwanza kujua upo mbinguni lazima umkute mtumish wa Mungu yonah....zingatien san maelekezo
KARIBUNI SANA TUENDELEE KUJIFUNZA NAMNA YA KUISHI NA WATU... WIMBO HUU NAAMINI UTAKUBARIKI SANA... SHARE LIKE NA COMENT ... NAWAPENDA SANA🙏🙏
N ukweli c Kila mtu atapenda mema yng naomba mungu anipe nguvu nitende mema kwA wore na nisilipishe mbaya kwa mbaya
Ubarkiwe San mtumishi
Ubalikiwe mtumishi
Umenifunza mengi sana mi naomba to nambari yako ya WhatsApp bado natamani kunifunza mengi kupitia kwako mtumishi wa Mungu
Kenya tunabarikiwa
Kenyans 🇰🇪 in the room kiss 💋 my comment and be blessed 🙏🤲 Amen
🙏🙏🙏🙏
Kaka huu wimbo wako ndio wimbo mkubwa kwa mwaka 2024. Barikiwa kazi kubwa sana 🎉🎉🎉🎉🎉
Ameen Ameen... Nashukuru sana 🙏
Big up bro,we remain blessed
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU MUNGU wa mbingu na nchi awe pamoja nawe siku zote nimebariwa sana sana🙏🙏
Ameen
Kweli kabisa, huwezi kupendwa na wote, tenda wema nenda zako
Kabisaaa
Kweli kabisa mtumshi MsgYako hiyo Rais Wetu wa Kenya Uwezi Kupedwa Na wote...😢😢Ubarikiwe sana Yona kipenzi Cha mungu 😍😍
Ameen Ameen
Great work.Receive much love from Kenya
Yona Ahsante Sana kaka kazi yako iendelee kubarikiwa
Ameen
Amen Mtumishi naomba Namba yako
Sana wimbo nzuri sana wenye ujumbe nzuri
Ameen
Kweli uwezi pendwa na watu wote wacha Mungu atupende mwenyewe ❤❤❤❤
Really touching. Be blessed ❤ 🙌 🙏
Ukweli huwezi pendwa na kila mtu
Thanks for the nice song. You are the best Brother Yona🙏🙏 keep going a man of God
Ameen
Mimi nimetendwa na wengi after kusaidia lakini Kwa yote namshukuru Mungu 🙏🙏 anazidi kunifungulia milango tu,wakenya🇰🇪wenye tunabarikiwa na nyimbo za chilolo nipeeni likes jamani
Servant of God your songs 🎵 really inspire me n I get revelation. Listening from Kenya. God bless you.
Ameen
Chilolo unaupiga mwingi ❤❤❤ we love what your doing 🙏🙏🙏
Ameen🙏🙏🙏
Amen amen ubalikiwe sana shujaa wa BWANA kwa ujumbe mzuri ❤
wimbo mzuri sana
Amen be blessed 🙏🙏🤲🤲🤲
God be with you my brother❤❤❤
Barikiwa sana 💪💪💪❤
Good work and nice messages 👍 ❤❤❤🎉🎉🎉🎉Ameeeeeen Ameeeeeen 🇺🇬 true
Ameen
No mala waa nikawa wakwanza hongera kazi nzuri
Hongera sana
Something I was waiting God bless you 🙏
❤❤❤❤❤ I love the song
Hakika! Asante kutukumbusha Chilolo. Noted, "Usiache kutenda mema" regardless ya nini
Ameen
Much Love From DJ DaboTrambo🙏💯❤🎉
🙏🙏🙏💥💥💥💥
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu umeningusa sanaa yaani! ❤❤❤
Hakika, Mungu akubarik kwa kazi yako nzuri
Ameen
Na Dio maan awanipedi😂😂wah bora mungu anipende peke Yake🙏🙏
🙏🙏🙏🙏
Amina kaka
Barikiwa sana kaka
So Powerful. Barikiwa ndugu yangu.❤❤❤❤
Kaka mungu azidi kuku tuza hakika nyimbo zako zanitia moyo sanaaa
Ameen
Wimbo wa baraka sana, this is a hit🔥
Asante Sana
Wow nice song am really blessed . keep it up 🙏 great massage
Guy's bible inasem Wanitafutao kwa bidii hao ndio watakao niona,hivyo bas siku ukiend mbinguni njia utakayopita hd kufika ukikuta kun watu wengi alaf yonah chilolo hayupo kimbia harak san ukekosea njia umeenda jehanamuu ..kitambulisho cha kwanza kujua upo mbinguni lazima umkute mtumish wa Mungu yonah....zingatien san maelekezo
😂😂😂 Tuombe Mungu tu
@@yonachiloloofficial😂😂❤❤❤amen amen homeboy dumila one
Ubarikiwe sana mwimbaji na Mungu awenawe daima.
Glory to god 🙏
This song it's for me. Nilala jini nikawachia kitanda ila malipo ilikuwa majungu kwangu 😢😢😢.
Pole sana
Waaa thank you alot inanikuza sana
Ameen
Amen barikiwa sana mtumishi ❤
Ameen
❤umesemq ukweli mtupu binadqmu awajuwi kushukuru ni umsaidie yeye akikupatq na shida anakukanyaga anapita binadamu awo
Hongeraa sanaaa Mtumishi kwa wimbo mzurii barikiwa sanaaaaaaaaaa Mungu akukumbukee kwenye Huduma yakoooo
I love you songs chilolo, following from Denmark, huwa nabarikiwa sana❤
Ameen
Amen 🙏 nimebarikiwa na huu wimbo YESU Akubariki sana brother chilolo
Ameen
Hii umeua kaka, ujumbe umefika
Wow nice song brother be blessed 🙏🏼
Ameen
Mungu atuzidishie Imani, hongera kwa mafunzo mema Mtumishi🙏
Ameen
tamu kama Kawa mkubwa 🎉🎉🎉❤❤💯❤️
Asante Sana
Que Dieu te bénisse Fréro
Nice song ❤❤
Absolutely 💯
Huwezi kupendwa na wote,know this and have peace✌️
Kabisaa
Wimbo unaobariki na kutia moyo❤
Ameen
Hallelujah. More blessings bro 🙏 🙌 ❤ ❤
Hezi kupendwa na wote nimezifunza mengi mungu akubariki mtumishi wa mungu❤❤❤
Ameen
Barikiwa sana ndugu ,nyimbi zako Sina mafunzo tele.
Be blessed 🙏
❤❤❤Love from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Baba nyimbo Kali saana ubarikiwe
Amen amen
Nimeanguka uku,kama kawa,barikiwa zaidi.tenda wema uende zako,utalipwa na mungu
Ameen Asante Sana
Nice 👍👍👍🎉
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Great work mtumishii ❤❤❤❤❤
Mungu Akubariki san kwa ujumbe muzur wenye Ushauli Mtumishi🙏🙏🙏🙏
Amina mtumishi
Wau! Great message
Ongera sana mtumishi
Mtumishi naomba korabo
Kaz nzur,,wewe ndg kikabila hongera chabahano nikutegeresa mkulu,,kazana mundewa kowa nagwe.
Asante mkulu
Hahahaah na kuna wengne 🙈🙈🙈🙈
BINADAMU NDIVYO WALIVYO
Umebarikiwa ndugu Mungu hakupe maisha marefu
Ameen
@@yonachiloloofficial ukija Kenya nipate habari ndugu.
Pongezi sana kwako ndugu chilolo
Ubalikiwe mtumishi wimbo mzuri mno nimebalikawa sana
Ameen
Curus nimependa
Kila mtu akielewa hii tutasonga mbele..kihuduma,na maisha haya ya kawaida
Kabisaa
Hapo sasa bt acha mungu peke yake anipende sio lazima wanadamu wanipende juu najua kunamalipo mbele yake kutoka kwa Baba
Ameen Ameen
Hodari ❤❤❤mungu akubariki
Amen
Nikweri umesema yariyopo Mimi yamenifikiya ubarikiwe 100%
Ameen❤❤
Kwimage gololo ❤❤❤
Ndio bro inauma sana
Hongera mjomba
❤❤❤ barikiwa 1:03
Sawa kaka
Barikiwa sana
😥😢😢😢ukweli tenda wema uende zako wala usikumbuke maana inauma sana ,baada yakuwatendea mema umeisha unatupwa na ķukua adui
Kabisa 😢😢
What a nice songs❤
Kali❤
Ujumbe umefika sema vichwa vya binadamu kwa vile tu vigumu kuelewa
Ameen
hakika umenibariki sana
Asante sana na BÀRIKIWA bro
Barikiwa
""Hakika❤
Yaani wewe chilolo unaimba ukweli kabisa ,naiona picha ya BONNY MWAITEGE NDANI YAKO HONGERA SANa kaka
Ameen Ameen
Good song
❤❤❤
Ni kazi nzuri sana
Asante Sana