CHAN 2024 | Utamu wa jiji la Dar es Salaam kama unavyooneshwa na Fatma Chikawe

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 30

  • @Donjesse1694
    @Donjesse1694 16 วันที่ผ่านมา +5

    hakika Tanzania imeweka mikakati,, hivi tunavyo Ongea nchi yangu bado inashughulikia viwanja 😂 Much love TZ

  • @ibrahimathiane2434
    @ibrahimathiane2434 14 วันที่ผ่านมา

    Nice pic proudly to the sahel Sahara and Nile region it's wonderful and incredible thank from senegal❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @SamsonSamsoni-q9s
    @SamsonSamsoni-q9s 16 วันที่ผ่านมา +2

    👏👏👏👏👏 simba bingwa 🏆🦁💪💪🙏🙏

  • @kamicorner
    @kamicorner 16 วันที่ผ่านมา +3

    Mjitahidi kuweka na subtitles za English ,

    • @tahirissa6579
      @tahirissa6579 13 วันที่ผ่านมา

      Mbona wewe unaongea kiswahili

    • @fredyjunior6961
      @fredyjunior6961 11 วันที่ผ่านมา

      Kwa ajili ya nani. Ajifunze

    • @kamicorner
      @kamicorner 11 วันที่ผ่านมา +1

      @@fredyjunior6961 hii ni content ya Chan, Sio kila mtu Afrika anajua Kiswahili, Jaribu kuwa na positive mindset itakusaidia

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 16 วันที่ผ่านมา

    Azam jitahid kupromte vyakula asili yan vile vya tamaduni zetu hasa kuanzia mavazi, chakula na makazi..Nyumba za misonge nk huongeza hamasa sana za watalii...Na andaeni makal nzur ya mbuga zetu itakayotumika ktk tangazo la chan na Afcon

    • @SamwelikazimbayaKitahenga
      @SamwelikazimbayaKitahenga 15 วันที่ผ่านมา +1

      Huku kwetu Dar hakuna hizo nyumba unazotaka wewe zioneshwe!mshauri aje huko kwenu uvinza ulipo avioneshe vivutuo unavyo vitaka!hapa inazungumziwa Dar sio kwenu Uvinza!!

    • @jumashedafa
      @jumashedafa 15 วันที่ผ่านมา

      @SamwelikazimbayaKitahenga mmh! Ulikosa hekima tu but kwa aliyenielewa inatosha si lazima wote wanielewe. Mathalani ww

  • @benN8835
    @benN8835 15 วันที่ผ่านมา +1

    The people who need this kind of information are from West, North and South Africa. Hawajui Kiswahili. Improve!

    • @Am77-007
      @Am77-007 13 วันที่ผ่านมา

      South Africans were there in 60’s,who do you think led the liberation movement in Southern Africa? North Africans speak Arabic which is wildly spoken in Dar? And so west Africans,they will figure things out. I have seen them working in Lebanon,Mew York city etc

  • @nassorhamadi
    @nassorhamadi 14 วันที่ผ่านมา +1

    Ni nzuri saana. Ila Ni vizuri mkaweka na 'subtitle' ya kiingereza kwakuwa wanaangalia na wasiokuwa waswahili.

  • @HabibHassan-g2z
    @HabibHassan-g2z 12 วันที่ผ่านมา +1

    Sisi sio wazungu wewe

  • @FrankNjagwa
    @FrankNjagwa 15 วันที่ผ่านมา +1

    Mji umejaa tu mabajaji na barara zenye nyumba ati BRT useless project ever. Truth be told Dars, looks like a village with old buildings everywhere.#MAKE DAR GREATE .

    • @JCMaxima
      @JCMaxima 14 วันที่ผ่านมา

      Mabajaji yanaharibu! Hayatakiwi kuwa mjini! 🤷🏾😅😅

    • @section8ight174
      @section8ight174 13 วันที่ผ่านมา +3

      Wacha bangi kijana! Let’s hear your suggestions on how to improve the city not everyday criticism..

    • @fredyjunior6961
      @fredyjunior6961 11 วันที่ผ่านมา

      Siku zao zinahesabika

  • @AL-WAARITHUUNTZtv
    @AL-WAARITHUUNTZtv 16 วันที่ผ่านมา

    ujenzi holela

    • @jeremiaaugustino7187
      @jeremiaaugustino7187 16 วันที่ผ่านมา

      Africa ni shidaaaaaMipango miji inaajili vilaza sijuiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

    • @section8ight174
      @section8ight174 13 วันที่ผ่านมา

      Leta suggestions sasa ..

  • @MASAGATV-s9m
    @MASAGATV-s9m 12 วันที่ผ่านมา

    th-cam.com/video/irvNAcDo9lM/w-d-xo.htmlsi=lO5x1vCpQIK5s3mE

  • @FrankNjagwa
    @FrankNjagwa 15 วันที่ผ่านมา

    Useless city

    • @section8ight174
      @section8ight174 13 วันที่ผ่านมา +1

      Just as useless as the mother that gave birth to you but here we are ..