Huyu Slaa mhuni tu! Alikitelekeza Chadema kwa rushwa ya kupewa ubalozi (vipande 30 vya fedha kama Yuda). Leo anajifanya ana machungu makubwa na Chadema. Msaliti, mchochezi na mfitini!. Huyu ni mhuni tu kama wahuni wengine mtaani. Alishajivunjia heshima, hafai, hafai!
Huyu ndie aliye waleta watu chadema na kukipenda chama wakafwata tundu lissu zito kupitia bunge pamoja na mikutano yake mikoai misimami yake kutokuogopa Hakika chama kilikuwa imara Sana aliyekiharibu chama NI mfanyabiashara kuwafanya wenzake chambo pia na kuwafanya wenzake mbuzi za kafara
HANA MPAGO HUYO MZEE WATU WANAJARIBU KUMUWEKEA HISHIMA LAKINI YEYE HAJIWEKEI HISHIMA UMRIWAKE SIO WAKUSEMA SANA ANAFIKIRI ATARUDI UBALOZI AU ATAITWA KWEYE CHAMA AWEMWEYEKITI MWAMBIENI PROMISE DON T HAVE RESULTS AJIWEKE SHIMA SIKU YA KUODOKA WATU WAWE WANAMPEDA NA KUMKUMBUKA
@NiazonBukoke anaongea nini ??? Aliondoka Chadema kwa ahadi ya kupewa Ubalozi na pesa na CCM ......Baada ya Magufuli kufariki CCM wakamtupa, anajirudisha kwenye majukwa ya Chadema, harafu unaanza kuchafua hali ya hewa kwa waste propaganda zake. Propaganda zenyewe anazotumia ni za kizamani sana. Anachokifanya ni kujaribu kuvuruga wana Chadema, na kuonyesha chuki za wazi kwa Mbowe.
Sla alipotoka kanada Alia ikacha chadema nakuungana na you wakili kuanzisha chama kipya Ila wakikosa mvuto lkn slaa akitaka kuiua chadema. Alipoona chama kilichoitwa sauti yauma hakieleweki wote wakaja kujipendekeza chadema lkn slaa Ni adui wa chadema. Akitaka kuanzisha na mwabukusi wakashidwa lengo ilikuwa kuua chadema
Kama mtu upadre umemshinda siasa zimemshinda ndoa nayo, msimlaumu mwombeeni jamani ili afahamu kipaji chake ni wapi anapoweza ,Na ww mwkt wa chadema kama kweli umelamba asali alafu unajificha ili usichafuke ng'atuka mapema kabla ya fagio la chuma kukupitia ,na ww unayewalambisha watu asali yaani rushwa uwe kipofu ,pia lisu acha unafiki ww ni mwkt msaidizi kwenye chama maandamano ulishindwa nini kwenda na mke wako kama mbowe alienda na mwanae ,ulitaka aende nani kuandamana kwa upuuzi wenu, jitambueni kwanza ,nitaandamana kutafuta pesa ya wstoto wangu ,hiyo ruzuku yenu kama nina mgao. nitaandamana.
Unaonyesha ulitoka Chadema na kinyongo .....harafu hakuna aliyekufukuza, ulitoka kwa ahadi ya kupewa Ubalozi na pesa toka kwa Magufuli .... Sasa acha Umbeya ......Mbowe bado tunamtaka sana tuu
Nilidhani Chadema ni wasema kweli lkn comment nyingi hapa ni za kumlinda Mbowe Dr. Kaa Kimya acha watekwe ovyo ovyo wakiongozwa na mlinda tumbo àsiyechukua hatua akingojea tu ruzuku ya serikali. C CM wapeni hao wajinga Fedha nyingi muendelee kuwatawala na kuwapiga mabomu ya machozi
MBOWE PISHA na wengine why wewe tu? Na kila anayetaka kugombea tuanze kwa Chacha wangwe Zito kabwe Nasasa lisu Wewe mchumia tumbo waachie na wenzako waongoze
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Uyu mzee mbona kama ana changamoto kwenye ulimi au koromoe😢😢
Huyu chama gani? Mana si alitoka chadema?
Mnafiki huyu mm naamini Mzee kakumbuka ⚰️⚰️
Hivi Mwenye harusi yeye ndie anayelishwa au yeye ndio anawalika watu
Huyu Slaa mhuni tu! Alikitelekeza Chadema kwa rushwa ya kupewa ubalozi (vipande 30 vya fedha kama Yuda). Leo anajifanya ana machungu makubwa na Chadema. Msaliti, mchochezi na mfitini!. Huyu ni mhuni tu kama wahuni wengine mtaani. Alishajivunjia heshima, hafai, hafai!
Sure
We mzee Chadema ulitoka mwenyewe na haukufukuzwa, ukaamua kwenda CCM ya Magufuli .....Leo unaonyesha tamaa zako na chuki kwa Mbowe
Wewe silaa mbona wesiyo mwanachama wa chadema unaugua nini?
Lissu aligodi ukumbi na fujo zote hamjaona ni rushwa kupenda ni upofu
HIYO NDO SIASA NA DEMOKRASIA YA TANZANIA NI RUSHWA TUUU INACHEZA.😢
Ila Dkt. Slaa hana credibility ya kuzungumzia rushwa na kuhongwa, yeye naye alihongwa na kosa dogo likajitokeza na wote wenye akili wanajua hilo.
Huyu ndie aliye waleta watu chadema na kukipenda chama wakafwata tundu lissu zito kupitia bunge pamoja na mikutano yake mikoai misimami yake kutokuogopa Hakika chama kilikuwa imara Sana aliyekiharibu chama NI mfanyabiashara kuwafanya wenzake chambo pia na kuwafanya wenzake mbuzi za kafara
Mtu alieifanya chairman kua chadema
@@GeofreySenka Bahati mbaya sana hujui usemalo!
Hawa ni watu tunao wahitaji katika kusimamia rasilmali za Taifa letu,,ni watu wanaoridhika na wasiao na tamaa,na wenye misimamo thabiti,,,
We Fala kweli, angekuwa karidhika asinge kubali takrima ya ubalozi kutoka kwa magufuri, zwazwa wewe😂😂😂
Mbona husemi Lissu ukumbi alikodi kwa msaada wa watu wa CCM, Msigwa na wenzake ??? .......sasa kati ya Mbowe na Lissu nani msafi !?
Wewe ndio hujala rushwa ya magufuli? Au kamdomo
Dk Slaa uongo umezidi.Nia yake haiujulini.Hivi Slaani Chadema au vipi.Acha awekwe ndani😮😮
HANA MPAGO HUYO MZEE WATU WANAJARIBU KUMUWEKEA HISHIMA LAKINI YEYE HAJIWEKEI HISHIMA UMRIWAKE SIO WAKUSEMA SANA ANAFIKIRI ATARUDI UBALOZI AU ATAITWA KWEYE CHAMA AWEMWEYEKITI MWAMBIENI PROMISE DON T HAVE RESULTS AJIWEKE SHIMA SIKU YA KUODOKA WATU WAWE WANAMPEDA NA KUMKUMBUKA
Yote unayatafuta ya nini na wewe sio chadema hata wewe ubalozi mbona hujakataa acha njaa babu
Mboye umemfanya nini huyu mzee😂?
Dr.unaongea sana baba.Sio wewe uliyeaminika tukiwa Katibu mkuu Chadema.
Sasa mzee wewe ni chadema? Mbona yanakuuma sana na wewe si uliwasariti chadema 2015
Mnampiga chura teke.
Mhuuu karudi chadema😂😂😂😂
🙈🦁🦁🦁🦁
Dr slaa ana la kuongea alitwambia watanzania ameachana na siasa kwahio ameombabkurudi chadema vinginevo hana makosa kuzungumzia chadema
Huyu katumwa maana umetangatanga za kutosha tulia mzee.
Mbona mzee ana tapa tapa yeye sialiondoka na kipindi ni balozi sialikana chadema hebu babu tulia nenda karatu kalime
kwani huyu mzee ni ccm au ni chadema?
awaache chadema wafanye siasa zao!!mbona wewe ulihongwa ubalozi ukawasaliti chadema!!
Mbona waandishi wengi hamuwagi na akili slaa ni nani ? Kumbe ukiwa unazeeka akili inahama
😂😂😂wamuulize ilo swali
Mbowe mtombe Lissu
Slaa acha chuki .....mambo ya Chadema wewe yanakuhusu nini ???
Usimwangalie Silaa bali sikiliza anachosema
@NiazonBukoke anaongea nini ??? Aliondoka Chadema kwa ahadi ya kupewa Ubalozi na pesa na CCM ......Baada ya Magufuli kufariki CCM wakamtupa, anajirudisha kwenye majukwa ya Chadema, harafu unaanza kuchafua hali ya hewa kwa waste propaganda zake. Propaganda zenyewe anazotumia ni za kizamani sana. Anachokifanya ni kujaribu kuvuruga wana Chadema, na kuonyesha chuki za wazi kwa Mbowe.
Sakata hili linadhirisha Dr. aliondoka kwenye chama akiwa na kinyongo+hapa ongea yake inaonyesha amejirudisha chamani kinyemela !
Sla alipotoka kanada Alia ikacha chadema nakuungana na you wakili kuanzisha chama kipya Ila wakikosa mvuto lkn slaa akitaka kuiua chadema. Alipoona chama kilichoitwa sauti yauma hakieleweki wote wakaja kujipendekeza chadema lkn slaa Ni adui wa chadema. Akitaka kuanzisha na mwabukusi wakashidwa lengo ilikuwa kuua chadema
@EmmanuelMlowe-u1v hawezi
Mzee yuko Chadema Kwani?
watu wa usalama tunawaona huku na sera zenu. mtachoka sana
Mzee kwani wewe ni mwanachama wa. Hadema?
Slaa anaongea kama nani?
Kilichochelewesha chadema kushuka Dola ni hii fukuzafukuza kwasababu ya kuhoji uwenyekiti
Slaa hajawahi kufukuzwa yeye aliahidiwa ubalozi ili kupunguza nguvu ya ukawa kipindi kile
Huyu mzee ni mnafiki
Sana
huyu mzee yupo sahihi kabisa
Kama mtu upadre umemshinda siasa zimemshinda ndoa nayo, msimlaumu mwombeeni jamani ili afahamu kipaji chake ni wapi anapoweza ,Na ww mwkt wa chadema kama kweli umelamba asali alafu unajificha ili usichafuke ng'atuka mapema kabla ya fagio la chuma kukupitia ,na ww unayewalambisha watu asali yaani rushwa uwe kipofu ,pia lisu acha unafiki ww ni mwkt msaidizi kwenye chama maandamano ulishindwa nini kwenda na mke wako kama mbowe alienda na mwanae ,ulitaka aende nani kuandamana kwa upuuzi wenu, jitambueni kwanza ,nitaandamana kutafuta pesa ya wstoto wangu ,hiyo ruzuku yenu kama nina mgao. nitaandamana.
Unaonyesha ulitoka Chadema na kinyongo .....harafu hakuna aliyekufukuza, ulitoka kwa ahadi ya kupewa Ubalozi na pesa toka kwa Magufuli .... Sasa acha Umbeya ......Mbowe bado tunamtaka sana tuu
Hili lizee linazeeka vibaya
Hiyo si busara wala si haki wewe si mwanachadema unagombanisha kuzungumza hivyo
Nilidhani Chadema ni wasema kweli lkn comment nyingi hapa ni za kumlinda Mbowe Dr. Kaa Kimya acha watekwe ovyo ovyo wakiongozwa na mlinda tumbo àsiyechukua hatua akingojea tu ruzuku ya serikali. C CM wapeni hao wajinga Fedha nyingi muendelee kuwatawala na kuwapiga mabomu ya machozi
HUYU JAMAA NI CHAMA GANI
Kapakaa lipstik
MBOWE PISHA na wengine why wewe tu? Na kila anayetaka kugombea tuanze kwa
Chacha wangwe
Zito kabwe
Nasasa lisu
Wewe mchumia tumbo waachie na wenzako waongoze
Wewe umemuona mbowe humu acheni uropokaji
Nyie kina nani? Kwan wee Dr Slaa ni nani CHADEMA?
Dr slaa ni mtu muhimu sana chadema coz anahijuwa tawi hadi misisi
@@AliMasudi-td7gyhuyu si akitoka chadema mana hakuwa mgombea wa uraisi 2015!
@@sarahgaula2220kama alitoka ni sawa,lakini ni mshabiki wa chadema. Kuna kosa hapo?
@@AliMasudi-td7gy ana umuhimu gan
@@kokombwana8625 shabiki?