Mitaa kuzunguka chuo cha Jordan na barabara inayotokea Arc Hotel kuna vibaka wengi sana. Wanapora simu na Laptop za watu, wanafunzi wa kike na kuwachoma kwa visu na bisibisi. Yafaa polisi wafanye patrol maeneo hayo.
Wale wanaombeza huyu nawashauri wajiulize mara mbili mbili kuna siku tutakuja kumkumbuka, huyu hafanyi siasa anachosema ndicho anachokiamini. Leo hii kila mtu tajiri kwa maskini, mwanaccm na mpinzani wote sasa wanaweza kujivunia nchi yao. Rais ambaye anaweza akakusudia kufanya jambo lkn watanzania wakipiga kelele, mfano mzuri ni swala la bei za mafuta pamoja na hali kuwa mbaya huko yanatoka lkn amejitahidi kuweka ruzuku ya serikali kwenye mafuta. Tusijisahaurishe kuna wakati watanzania walikuwa wanalalamika vyuma kukaza wakaambiwa watie grisi, hakukuwa na vita vya Ukraine wala ukame.
Hilo jitu lilifanya hivyo kwa uangalifu mkubwa ndio maana upo hukudhurika na kukosa hiyo nyongeza .Mda si mlefu tutalia kupamda kwa bei za viwandani ili kufidia ya nyongeza ya mishahara ya watumishi wao.vyakula soko liatamua tuende vipi
Mnaongezeana wenyetu sekta binafsi takataka kwenu maitaji muhimu yako juu jifunze kwa magufuli awamu ya tano maitaji muhimu vyakula vilikua chini sana ukaliwamaisha ulikua hamna
All is just narrative 😢 Na hapo ndo ameharibu zaidi. Amewachomea wafanyakazi kwa wenye nyumba, maana wao hawatasita kuongeza Kodi za pango maana wanaelewa wameongezwa ki silencer hata Kama nyongeza yenyewe kumbe ni ya mdomo tu funika kombe mwana haramu apite 😢
Asante sana mama na nakuombea kwa mungu akulinde na akupe maisha marefu na uendelee kuupiga mwingi
Ubarikiwe sana Mama samiaaaa🙏🙏🙏🙏🥰🥰🥰🥰🥰
Mama kama mama. Asanteeeeeee
Jamaniii T-shirt... Mama KASEMA..Mambo ni Moto..mambo ni 🔥 FIREEEE., Asante mama Yetu mpendwa 🙏
Hongera mama tunachohitaji niutekerezaji
HILI NDO KOSA LA WABONGO; kusifia ujinga
Mamaa nakuelewa sanaa
Good work my presedent
MUNGU wa mbinguni azidi kukupa Hekima na Maarifa.Mh.Rais wa Tanzania
Mnashangilia nyongeza ya mishahara yenu subrini mtalalamika kupanda kwa garama ya bidhaa na maeneo ya huduma zinazo lipiwa
Na asingeongeza kama magufuli,mngesema pia.kueni na shukurani.
Kwa hiyo unatakaje njoo na hoja mezani
Hizo kofia na fulana, zimetumika B ngapi???😂😂😂
Asanteee Mamaaa
Mama angeangalia Sana na sekta binafusi inawafanyakazi wengi.tanzania lkn mambo ya mshahala.yapo chini Sana mama tuangalie na SS.
Mitaa kuzunguka chuo cha Jordan na barabara inayotokea Arc Hotel kuna vibaka wengi sana. Wanapora simu na Laptop za watu, wanafunzi wa kike na kuwachoma kwa visu na bisibisi. Yafaa polisi wafanye patrol maeneo hayo.
Arudishe kikokotoo Cha zamani watupe hela zetu Kila mmoja afe na chake
Mama tukumbuke na sisi wastaafu tumesahauliwa kabisa #
Seketa binafu waendereee kuteseka sababu wenyewe sio watanzania peke Yao,
Hata mvua ikinyesha mama anaupiga mwing
Ni uongozi kuwadanganya
Good work my presidaaa
🙏🙏🙏🙏Mamama
Wale wanaombeza huyu nawashauri wajiulize mara mbili mbili kuna siku tutakuja kumkumbuka, huyu hafanyi siasa anachosema ndicho anachokiamini.
Leo hii kila mtu tajiri kwa maskini, mwanaccm na mpinzani wote sasa wanaweza kujivunia nchi yao. Rais ambaye anaweza akakusudia kufanya jambo lkn watanzania wakipiga kelele, mfano mzuri ni swala la bei za mafuta pamoja na hali kuwa mbaya huko yanatoka lkn amejitahidi kuweka ruzuku ya serikali kwenye mafuta. Tusijisahaurishe kuna wakati watanzania walikuwa wanalalamika vyuma kukaza wakaambiwa watie grisi, hakukuwa na vita vya Ukraine wala ukame.
asanteee
Kikokotoo cha sasa kinawaliza wastaafu waangalieni sana,Hawa watu
Safi sana mama tuna shukulu sana
😢sisi secta binafsi sio watanzania au🙄
❤
Mbona sector binafsi kimya
Good speech my presedent
Unaisifia kwa kuwa umeongezwa
Kikokotoo maanake nin?
Wewe usihofu utajikadilia mwenyewe nyongeza yako
Bei ipi mama mchele kg 3500
Mbona hata Suma JKT mishahara iko chini japo inaendeshwa na serikali?na je vp kuhusu bei Za bidhaa
Suma ni jeshi waliapa hao ,sasa kuapa kwao ndo kunawabana kuhoji hayo mengine
Mama sijaielewa hiyo sera ya matumiz mazuri ya pesa re CAG kasemaje au uzuri ndo kula nyie
Hongereni sana
Lkn mtupunguzie mizigo ya kodi na tozo sie watu wa kawaida
Hilo la kupunguza kodi lingekua suruhisho badra ya kupadiaha mishara kwa sh 50,000
Mfumko wa bei utaanza tarehe 2.5..
Rais wetu mbona Sisi sekta binafisi atuongezwi
Kuna jitu lilinyima nyongeza za mishahara kwa miaka 5 kwa ukatili tu.
Mama wasitaafu wamesahalika na pia waongezewa Pesheni zao pia wamesahaulika kabisa na wao walikuwa wafanyakazi pia.
Na kikokooo ndo balaaa.
Hilo jitu lilifanya hivyo kwa uangalifu mkubwa ndio maana upo hukudhurika na kukosa hiyo nyongeza .Mda si mlefu tutalia kupamda kwa bei za viwandani ili kufidia ya nyongeza ya mishahara ya watumishi wao.vyakula soko liatamua tuende vipi
Wastaafu wanasahauliwa hawaongezewi japo wamelijenga msingi wa Taifa hili
jamani tuliotolewa huku kale kadogo tulikoambiwa bado kuzungumkuti au ndo kilio cha samaki jamani tulifanya kazi tena katika mazingira magum sana
Tunaombea Kwenda vema Zaidi MUNGU Atusaidie Ubarikiwe Raisi MUNGU Akusaidie na Serikari Yetu Yote
Huku kwenye sekta binafsi waajiri wanajifanyia wanavyotaka , yaani hatuna mtetezi.
Mnaongezeana wenyetu sekta binafsi takataka kwenu maitaji muhimu yako juu jifunze kwa magufuli awamu ya tano maitaji muhimu vyakula vilikua chini sana ukaliwamaisha ulikua hamna
Wakulima wakipandisha mazao vilio kilakona wakati nchi ni ya wakulima na wafanya kazi
Tumekuelewa mheshimiwaTeaching allowance pia ni muhimu,itawatia moyo zaidi walimu kufanya KAZI,jitahidi katika hili
INFLATION / MFUMUKO WA BEI/ UCHUMI?
All is just narrative 😢 Na hapo ndo ameharibu zaidi. Amewachomea wafanyakazi kwa wenye nyumba, maana wao hawatasita kuongeza Kodi za pango maana wanaelewa wameongezwa ki silencer hata Kama nyongeza yenyewe kumbe ni ya mdomo tu funika kombe mwana haramu apite 😢
Mwenye nyumba anaongeza kodi kwa kipi alichofanya kwenye hiyo nyumba?
Alafu nyumba ya kupanga siunachagua akipandisha simtu anatafuta nyngine woiiiii
@@hellendaniel3809 iyo ni hakikaa wapangaji tutakoma
@@hellendaniel3809 utahesabu ma dalali rafiki yangu, labda kama wewe nyumba yako dizaini ya sh 30-40 kwa mwezi 😜
Mbona sielewi
Mama sema kerweli