Kwa YESU KRISTO ndio sehemu sahihi kuliko zote duniani,YESU KRISTO ndio BWANA na mwokozi na zaidi ya yeye hapana Mungu mwingine.Asante kwa Kazi ya msalabani
Asante sana Mtumishi wa Mungu azindi kukulinda.. lakin naomba afundishe kwakina.. sikwakutaja vizimba hapa lakin kwakusema malagafi.. Kwamaneno Ya Sheik Omary Mnyeshani.. halafu kama mtu anaomba inabidi ajue ilikuomba sahihi.. Asante.. maoni yangu...
Humm hiyo yanitisha kweli yani ndugu ulitenda hauo yote naungali unaishi kweli mungu nimkuu sana. nangoja kuskusikia hadi mwisho wa storry am frome Kenya.
THIS TESTIMONY MAKE ME CRYING AND LOOKING MY GOD IMMEDIATELY. MY GOD PLEASE FORGIVE ME FOR ALL I'VE DONE WRONG FOR ALL I DID IN MY LIFE. I'M IN IN FRONT OF YOU MY GOD TO ASK FORGIVENESS AND REQUEST TO BLESS ME AND MY FAMILY.
Mr Jactan ninakuombea sana BWANA YESU KRISTO akulinde. Maana kama si mafunuo BWANA aliyokupa kuanzisha channel hii tusingeyajua haya. Hakika yanatupa kujidia KRISTO YESU. Vita yako sio ndogo lkn simama na BWANA na kila silaha itakayoinuka juu yako haitofanikiwa na kila ulimi ktk hukumu utahesabiwa kuwa mkosa. Isaya 54:17
Mr Jactan be wide in interrogation with this man don't stay silent, it is better to ask some questions and ensure that he talks everything. Usiwe mchungaji kupitiliza muulize mdadisi watu wanataka wajue ili wamgeukie Bwana Yesu
Story ya uongo hii..lengo ni kuuchafua uislam.. ..uislam unazidi kupeta,,uislam hauruhusu uchawi..na Moja ya madhambi makubwa Katika uislam ni mambo Katika uchawi na ushirikina...
Huyu jamaa ni muongo kupitia kiasi. Maneno ya kumsilimisha mtu hayapo ktk uislamu. Maneno ya kumsilimisha mtu ni maneno tu yasemayo Mungu ni mmoja na Muhamad ni mtume wake. Hamuwezi kuwapata watu kwa kusema uongo. Hao uliowataja kukutana nao akina Ngariba, Abubakar n.k walikuwa wahadhiri kwa kutumia Qur'an na Biblia leo unajifanya umekutana nao huko ulikopelekwa na wachawi. Muogope Mungu. Nia yako ni kuupaka uislamu matope. Hii imekuwa nil jukumu la kila mkristo kuutangaza vibaya uislamu. Lakini mmekwisha chelewa uislamu unakuja kama nyoka kwenye majani mabichi..
Oh...kama Jeshi la Shetani humwita Yesu kristo KAFIRUNA...hivyo sitikisiki wakinitambilisha kwa jina la KAFIRI kwani ni mfuasi wa huyo wamwitao KAFIRUNA na najivunia kufanya hivyo.
Mtumishi ni kweli huko kuzimu Kuna makanisa Kama ya dunian yaan Kama ni TAG na huko kuzimu lipo? Maana Kuna ushuhuda mmoja wa magakale anasema makanisa yote yaliyoko dunian na kuzimu yapo kasoro sabato tu ndo haliko kuzimu. Kama ni kweli mim nataka niwe msabato.
jaman wapenda wokovu karbun katk group la maomb ya sala na kufunga tujikabidhi mbele za mungu, weka namb yako hapa ila uwe na iman ya kwel na uwe mwamin wa kuacha dhambi kwl.
jamn jmn km shetan ndo hiz mbinu zoooot ni lengo la mwanadam na hatusali hatuna iman jmn mmmmmmmmh tuombe sana, leteni namb jamn nko na group la maomb tuwe tunaomb na kufnga
Kwa YESU KRISTO ndio sehemu sahihi kuliko zote duniani,YESU KRISTO ndio BWANA na mwokozi na zaidi ya yeye hapana Mungu mwingine.Asante kwa Kazi ya msalabani
kwa maomb zaid ya kwel na wokovu weka namb yako hapa
Amen
Aki Yesu kweli ndiye Kimbilio la mwanadam. Asante Jacktan
Daaaah, ulimwengu wa giza una mazito ya kutisha, Asante Mungu wangu kwa kunificha.🙏🙏
Hii inadhibitisha wazi kuwa uislamu ni dini ya Shetani. Njia ya kuingia mbinguni ni Yesu Kristo pekee. Ahsante sana Jacktan.
Ubarikiwe sana mutumishi wa MUNGU kwa izi shuhuda zinajenga watu wengi kwa imani🙏🙏🇰🇪
Learning alot
This reminds me of sheikh Omari Mnyeshani
Following from Kenya🇰🇪🇰🇪
What about him?
OF COURSE PEOPLE MUST LOOK FOR REAL GOD
Waa! dunia hii tunakaa inamaovu mingi sana,,Eeh Bwana Yesu KRISTO turehemu.
ukiw tyr kwa maomb na sala na kufunga nijulishe nikuunge kweny group la maomb, whtsap
Asante Bwana Yesu kwa kuniokoa!
Yoh 3:16
Amina amina amina mungu wetu wambinguni asifiwe sana.
Shuhuda yako hiyo unaelezea vizuri sana
Asante sana Mtumishi wa Mungu azindi kukulinda.. lakin naomba afundishe kwakina.. sikwakutaja vizimba hapa lakin kwakusema malagafi.. Kwamaneno Ya Sheik Omary Mnyeshani.. halafu kama mtu anaomba inabidi ajue ilikuomba sahihi.. Asante.. maoni yangu...
Waa ushuhuda mzito sana,still following from 🇰🇪🙏
Humm hiyo yanitisha kweli yani ndugu ulitenda hauo yote naungali unaishi kweli mungu nimkuu sana. nangoja kuskusikia hadi mwisho wa storry am frome Kenya.
Ameeeeeeen barikiweni ndugu watumishi wa BWANA
Shuhuda hii ni ya kutisha,Mungu aturehemu na atupe nguvu za kumshinda shetani
You have blessed me and you have make me to love jesus more
THIS TESTIMONY MAKE ME CRYING AND LOOKING MY GOD IMMEDIATELY. MY GOD PLEASE FORGIVE ME FOR ALL I'VE DONE WRONG FOR ALL I DID IN MY LIFE. I'M IN IN FRONT OF YOU MY GOD TO ASK FORGIVENESS AND REQUEST TO BLESS ME AND MY FAMILY.
Powerful, asante kwa taarifa
Waah makubwa haya kusilimishwa na kupokezwa swala kwa maji hii story inasisimua kwa kweli
MUNGU akubariki mkurugenzi wangu wa idala ya Uinjilisti, inatisha.
kw maomb na kufunga kwa mwenye iman kbsa ya kuacha dhambi nitext
Umeyapitia San Kaka mungu nikuu kuliko huo hata hivyo nijasili San na mungu nilikua upande wako
YESU nisaidie Dunia Ina mambo mengi magumu Baba bila wewe mm siwezi
ukiw tyr kuach dhamb kabsa na kuish kwa iman ya mungu nijulshe ntakuunga group la maomb na kufunga
Am really blessed, thank you man of God for teaching us. People need to see and hear the truth. Thank you for the revelation
Hakuna Mungu ila Yesu kristo mnazareti anaestahil kuabudiwa
Kama huyu alisamehewa hata mimi leo nimeamini toba yangu yesu amesikia
Mathayo 11:28 isaya 1:18. Hakuna la kumshinda Yesu na hqkuna dhambi isiyo samehela
Mmmh nimeamini kuna mapepo yanayovaa umbo LA binadamu.
Ahsante sana promover tv
Mungu akusaidie sana ktk safar ya kumtumikia yesu
Kaka yangu jactan mungu akubariki kwa kazi ya Bwana
Amen
Kwa jinsi inavyo sisimua, muda unaonekana mchache nusu saa kama dk5.
Sheikh Omar mnyeshani aliwahi kuongelea Kipimo cha ACD
Baba mchungaji na mama mchungaji muombe bila kuchoka kwasababu watoto wenu wanawindwa na chetani
Amen God bless you brother God is awesome 🙏
Nimeshukuru sana kwa ushuhuda wako kaka
Mr Jactan ninakuombea sana BWANA YESU KRISTO akulinde. Maana kama si mafunuo BWANA aliyokupa kuanzisha channel hii tusingeyajua haya. Hakika yanatupa kujidia KRISTO YESU. Vita yako sio ndogo lkn simama na BWANA na kila silaha itakayoinuka juu yako haitofanikiwa na kila ulimi ktk hukumu utahesabiwa kuwa mkosa. Isaya 54:17
Amen
Mmmh. Mungu tulinde
Toba ya lazima daa hii nayo ni kali sana
Dah!!!
Dunia bila kuwa na YESU KRISTO ni balaa
Ulinzi wa YESU NI HAKIKA.
Thank you Jacktan
Thanks too
Huyu jamaa usiende naye speed hana siri nyingi kwenye hile dini itakayowaelela motoni waumini wake wote
Yesu tusaidie
Yesu tuokoe wanadamu kwa huruma zako
Mr Jactan be wide in interrogation with this man don't stay silent, it is better to ask some questions and ensure that he talks everything. Usiwe mchungaji kupitiliza muulize mdadisi watu wanataka wajue ili wamgeukie Bwana Yesu
Asante, endelea kufuatilia utasikia maswali na majibu
Ohhhhhhhh my God help us and our children.
Waaah
Jamaa atakuwa alipata div 1 ya point 7. Ni ana knowledge
Yani this man of God has a good memory
Jamani vina tisha
No. 4 Leo
Ushuhuda mkubwa jamani huu yani jamaa huyu alipotea hivyo hivyo tu
Amina
Story ya uongo hii..lengo ni kuuchafua uislam..
..uislam unazidi kupeta,,uislam hauruhusu uchawi..na Moja ya madhambi makubwa Katika uislam ni mambo Katika uchawi na ushirikina...
Wewe ni mkweli sana
Mimi hapo kwa majina ya kichawi
Laaa hii ni yamwaka kabisa
Homa ya bonde la ufa iliua ng'ombe na binadamu, mafua ya ndege nao ulikuwa tishio.
Hiyo time yote hakuwa ameamka ama alipotea jumla??
Je inamaana uganga upo na unafanya kazi mtumishi na ufafanuzi.
🤣🤣😂 safi xna
Duh Duniani luna mambo
Tuonyeshe Hilo kovu basi
Atavua shati na ameshaokoka??
Majina yote hayo unayakumbuka duh kiwukutu🤔
Huyu jamaa ni muongo kupitia kiasi. Maneno ya kumsilimisha mtu hayapo ktk uislamu. Maneno ya kumsilimisha mtu ni maneno tu yasemayo Mungu ni mmoja na Muhamad ni mtume wake. Hamuwezi kuwapata watu kwa kusema uongo. Hao uliowataja kukutana nao akina Ngariba, Abubakar n.k walikuwa wahadhiri kwa kutumia Qur'an na Biblia leo unajifanya umekutana nao huko ulikopelekwa na wachawi. Muogope Mungu. Nia yako ni kuupaka uislamu matope. Hii imekuwa nil jukumu la kila mkristo kuutangaza vibaya uislamu. Lakini mmekwisha chelewa uislamu unakuja kama nyoka kwenye majani mabichi..
Oh...kama Jeshi la Shetani humwita Yesu kristo KAFIRUNA...hivyo sitikisiki wakinitambilisha kwa jina la KAFIRI kwani ni mfuasi wa huyo wamwitao KAFIRUNA na najivunia kufanya hivyo.
Mtumishi ni kweli huko kuzimu Kuna makanisa Kama ya dunian yaan Kama ni TAG na huko kuzimu lipo? Maana Kuna ushuhuda mmoja wa magakale anasema makanisa yote yaliyoko dunian na kuzimu yapo kasoro sabato tu ndo haliko kuzimu. Kama ni kweli mim nataka niwe msabato.
nilikuwa wakala wa shetani tangu nikiwa na miezi 3 don't forget
Mmmm
Tafadhari mtafute kaka jactan utoe shuhuda tujifunze kitu
Mchungaji alikulaani pole saana
😷😷😷hilo jina ulilopewa
On ne sait plus que Dieu soit pas encore de Dieu que
Soda???? Nimekataa ulikunywa damu ya binadam
kwa wokovu wa maomb ya kwel kwa iman ya kuacha dhamb, nitext nkupe namb yang ili unipe namb nikuunge group la maomb
Hee ni mashekhe tuu Jamani jehanamu ni yao moja kwa moja
Wewe umepata wapi ruhusa ya kuhukumu?
@@fridahmulongo2697 Yan siy mashehe 2 hta waislam Ni jehamu 2
@@graceshayo1347 heri ww unayejua wa Jahamu na wa Peponi
jaman wapenda wokovu karbun katk group la maomb ya sala na kufunga tujikabidhi mbele za mungu, weka namb yako hapa ila uwe na iman ya kwel na uwe mwamin wa kuacha dhambi kwl.
😢
weka muendelezo
Coca Cola ndiyo soda yao? Mmmh ndiyo hii tunayokunywa nini?
He speaking like shehk omar
Zodiac signs Jesus have mercy
Mmh
Hayo yanaukweli kabisa nimekuelewa vizuri Ila kuzimu ni wapi kwa kumbukumbu zako? Ni aridhini au angani
jamn jmn km shetan ndo hiz mbinu zoooot ni lengo la mwanadam na hatusali hatuna iman jmn mmmmmmmmh tuombe sana, leteni namb jamn nko na group la maomb tuwe tunaomb na kufnga
Simama na Imani yako mwamini Kristo Yesu