Assalamu Aleykum warahmatullah wabarakatu Alhamdhulillah ALLAAHUMMA SALII WA SALIIM ALA SAYYIDINA MUHAMMAD WALA ALIHI WA ASS HABIHI WA JIMAIN ❤️❤️❤️ Jazak Allaahu kheri yaa sheikh Allaah akulipe kwa Nia yako yarabby 🤲❤️
Maa sha Allah. Tunafaidika sana na mawaidha yako sheikh. Hakika kazi unayoifanya ni ya faida kubwa sana kwetu. Nakuombea kila la kheri kutoka Kenya Mombasa Mtopanga.
Shukran Maalim .. Allah Akbar , Alhamdulillah ,Kwa kweli dua nyingi zangu shekh nakutakia Kila kher njema insha'Allah..muongozo wa mawaidha yako nayafaidi . Alhamdulillah
Assalam aleykum, Inshaarah ukipata wakati Naomba utuje utuwekee kisa Cha wale watu waliopewa usingizi kwenye pango zaidi ya miaka 300 waliposhituka wakakuta kila kitu kimebadilika Ila wao walipoulizwa waksema wanekufa Jana tuu, wakati Duniani wanaona Ni muda mrefu umepita toka wapoteee
Kuna jirani wengine wanakuja kula mrungi chini ya nyumba Yako na kuvuta bangi,na wengine wanawatongoza wanawake chini ya dirsha lako Sasa ukivumilia watafanyana hapo hapo SI Bora uwacharaze kwa viboko
ASALAAM WAALAEIKUM SHUKRAAN SHEIKH WETUU MIE NAOMBA NO YAKO YA WHATSUP NINKO NA SHIDA KUBWAA NATAKA KUONGEA NA WEWE PLZZ NINGELI KUFWATA ILAA NIKO MBALI SANA PLZZ🙏🙏🙏 SHUKRAAN
allah akujazi kila la kheri,hakika tuna jifunza mambo mengi tuna elimika alhamdullah,allah akupe umri mrefu wenye kheri ameen🤲
جزاك الله خير الجزاء ...شيخ عثمان معلم
Assalamu Aleykum warahmatullah wabarakatu
Alhamdhulillah
ALLAAHUMMA SALII WA SALIIM ALA SAYYIDINA MUHAMMAD WALA ALIHI WA ASS HABIHI WA JIMAIN ❤️❤️❤️
Jazak Allaahu kheri yaa sheikh Allaah akulipe kwa Nia yako yarabby
🤲❤️
MashaAllah hakika ni darsa mhimu nimelipata kwako Othman maalim Allah akujaalie kheri Leo na kesho Akhera.
Masha Allah! Allah amhifadhi Sheikh wetu Othman Maalim, ampe umri mrefu, na amzidishie kheri katika dunia na Akhera.
Amyyn yaraaby
Mashaa Allah. Jazzak Allah kheri sheikh.
Jazakallah khayran
Maa shaa Allah tabarak Allah yaa sheikh Shukran jaziila wa jazak Allah khayra
Masha Allah tabaraka Rahman
Shukran sana shekhe wetu
Wa alaykum salam warahmatullah wabarakatuh Jazak Allah khayran
Walaykm musalamu warahmatullah wabarakatu
Baarakallaahu Sheikh
Sheikh wetu Allah akuhifadhi.
MashaAllah Allah barik
Shukriyah jazakumullah kheir ya Sheikh...Allah akujaliie Afya,umri mrefu wenye Amali njema na akuzidishie elimu uzidi kutuelemiisha in shaa Allah..
Mansha Allah ya sheikh jzk
Mashallwah juzitta khaiyra wakufita sharra
Maa sha Allah. Tunafaidika sana na mawaidha yako sheikh. Hakika kazi unayoifanya ni ya faida kubwa sana kwetu. Nakuombea kila la kheri kutoka Kenya Mombasa Mtopanga.
Shukran sheikh othman
Allah barik swadakta
Shukran Maalim .. Allah Akbar , Alhamdulillah ,Kwa kweli dua nyingi zangu shekh nakutakia Kila kher njema insha'Allah..muongozo wa mawaidha yako nayafaidi . Alhamdulillah
Najifunza kwako sheikh asante
Swallallahu alayhi wasallam
Mashaallah shukran ya sheykh othman jazskallahu khayran
Masha Allah
MASHA ALLAH.
Shukraaan Allah Akuongoze wewe Shekh na sisi sote kwa pamoja
Asante Sheik Othaman kwa mafundisho mazuri
Mashaallah
Ishaalla
Shukuran kwa ujumbe
Assalam aleykum, Inshaarah ukipata wakati Naomba utuje utuwekee kisa Cha wale watu waliopewa usingizi kwenye pango zaidi ya miaka 300 waliposhituka wakakuta kila kitu kimebadilika Ila wao walipoulizwa waksema wanekufa Jana tuu, wakati Duniani wanaona Ni muda mrefu umepita toka wapoteee
Mashallah Allah azidi kkupa Rehema mja wake mafunzo mazuri
Ahsanteee
Shukran kwenu nyote nawatakia kila lakheri
MASHAA ALLAH
ALHAMDULLAH
ماشاءالله،تبارك الله
Kuna jirani wengine wanakuja kula mrungi chini ya nyumba Yako na kuvuta bangi,na wengine wanawatongoza wanawake chini ya dirsha lako Sasa ukivumilia watafanyana hapo hapo SI Bora uwacharaze kwa viboko
ASALAAM WAALAEIKUM SHUKRAAN SHEIKH WETUU MIE NAOMBA NO YAKO YA WHATSUP NINKO NA SHIDA KUBWAA NATAKA KUONGEA NA WEWE PLZZ NINGELI KUFWATA ILAA NIKO MBALI SANA PLZZ🙏🙏🙏 SHUKRAAN
Waalaykumu ssalam
Ukhty
No. Zake zinakuwa zinapita kwenye skirin ipige picha utaipata inshaallah ipige skirin shot badae utaitanua utaipata kiurahisi tu inshaallah