"ANAKATA ROHO TULIKUWA PALE" MABEYO AFICHUA SIRI NZITO SIKU YA MWISHO HAYATI MAGUFULI AKIWA WODINI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • #OFFTRACKTV #offtracktv #mabeyo #magufuli
    VIDEO HII NI KWA HISANI YA - #DAILY NEWS DIGITAL @DailyNewsDigital
    Karibu kujiunga na Channel yetu ya WhatsApp kwa Habari, Matukio, Burudani
    BONYEZA LINK 👉👉 whatsapp.com/c...
    KWA HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA ELIMU,MAKALA NA BURUDANI KWA UHAKIKA MASAA 24,TUFUATILIE OFFTRACK TV.
    PIA USISAHAU KUSUBSCRIBE OFFTRACK TV
    / offtracktv
    Email | info@offtrack.co.tz
    🔴 JE, NA WEWE UNA HABARI AU UNAHITAJI KUTANGAZA NASI?
    🔴 WASILIANA NA OFFTRACK TV : (+255 769 612 166)
    🔴 Email: info@offtrack.co.tz
    Www.offtrack.co.tz
    𝙏𝙝𝙖𝙣𝙠 𝙔𝙤𝙪 𝙁𝙤𝙧 𝙒𝙖𝙩𝙘𝙝𝙞𝙣𝙜
    ...............................................................................................
    Subscribe: / offtracktv

ความคิดเห็น • 58

  • @Antelopeaccessories
    @Antelopeaccessories 3 หลายเดือนก่อน +4

    Dah HATUTAMSAHAU HUYU MWAMBA MAGUFULI 😢😢 MAANA SIO KWA TUNAYOPITIA SASA😢😢😢

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 4 หลายเดือนก่อน +5

    Ndugu Hadi watoto mke hawakujua ugonjwa Ni hatari sana

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 4 หลายเดือนก่อน +4

    Dr. Samia alipaswa kutangaza kifo Cha Rais JPM akiwa ameisha apa tayari kuwa Rais! Kuapishwa vipi mlitakiwa kusoma katiba sio kujadili na Kutumia busara! Pia mungeuliza Nchi zingine Kwa kupata UZOEFU, lakini nimegundua Mabeyo alitumia Hekima sana! RAIS anaugua Hadi kufa bila mwanafamilia yeyote hata mtoto wake kuwepo! Duh! JPM!

  • @Theironrod9373
    @Theironrod9373 3 หลายเดือนก่อน +3

    Unapolaumu kwa nini anacheka kumbuka huyu ni komando wa jeshi na aliyekufa ni mkuu wa majeshi.. na kifo jeshini ni jambo la kawaida na hivyo.. ni vyema mfanye Exegesis katika kumkoti mtu katika maelezo yake.. hapo ni background ndio inazungumza na sio tukio la msiba tu wa raisi

  • @KhadijaKhadija-zv8uo
    @KhadijaKhadija-zv8uo 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu hayupo sawa kinacho chekesha sikuoni

  • @Cubakah234Bujirire
    @Cubakah234Bujirire 2 หลายเดือนก่อน +1

    Simuamini general. Haionekani anasema ukweli.

  • @JamalKhan-le9ud
    @JamalKhan-le9ud 4 หลายเดือนก่อน +3

    Sasa anacheka nini
    Hayo niyakuchekesha
    Kweli jamani?

  • @azizmasaba
    @azizmasaba 4 หลายเดือนก่อน +7

    General you are a man who loves your country so much

  • @minaaluwilo78
    @minaaluwilo78 3 หลายเดือนก่อน +1

    mungu hapangiwi

  • @SillaStephano
    @SillaStephano 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kiukweli Mkuu upo vizuri kimafafanuzi, Mungu aiweke pema ROHO ya marehemu Rais wetu John Pombe Magufuri
    C

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nasubri sku niwe rais mimi watasema vizuri magufuli arikufaje na irikuwaje razima niware kichwa wote wario huska

  • @vannyk-jz7tf
    @vannyk-jz7tf 3 หลายเดือนก่อน +2

    Unafurahi kufa kwa mtu au una maana gani we baba

    • @RuthOmollo-e7y
      @RuthOmollo-e7y 3 หลายเดือนก่อน

      Pengine anacheka tu kwa machungu jamn 😢😢

  • @remiginatusmalale5336
    @remiginatusmalale5336 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mh,inaumiza sana.R I P,JPM

  • @AshuraIsa
    @AshuraIsa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kip chakukuchekesha unashangaza ulimwengu hujafisha au hujui maumivu yakufisha

  • @moshintagata100
    @moshintagata100 4 หลายเดือนก่อน +2

    Cheka hatawewe mdaukifka kunawatu watacheka

  • @robertzamani5612
    @robertzamani5612 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mbona taifa halikupewa taarifa ya kuugua kwake??

    • @YosiaYohana
      @YosiaYohana 4 หลายเดือนก่อน

      Eti bhana ndoapo

    • @EmmanuelLupoja
      @EmmanuelLupoja 3 หลายเดือนก่อน

      Siri kubwa

    • @SabasLuoga
      @SabasLuoga 3 หลายเดือนก่อน

      Kifo.cha.magufuli

    • @SabasLuoga
      @SabasLuoga 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@EmmanuelLupoja.

  • @AbelAnthony-sw8si
    @AbelAnthony-sw8si 3 หลายเดือนก่อน

    Kuna kitu pale kimenipa mashaka sana

  • @AshuraIsa
    @AshuraIsa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Unacheka nn ww mwenyewe utakufa huna hata huruma

  • @irenekalinga323
    @irenekalinga323 4 หลายเดือนก่อน +1

    Natamani kuhama nchi ya Tanzania
    Walitutangazia raisi alikuwa na tatizo la moyo Leo Na wewe unatueleza kitu tofauti sana ukweli uko wapi hapo?

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 4 หลายเดือนก่อน

    Umefafanua vizuri sana

  • @cylousjeremiah3768
    @cylousjeremiah3768 6 หลายเดือนก่อน +2

    Jpm alijuwa kwasababu alikuwa mcha MUNGU malaika walimuletea taarifa

    • @Khmediy3241
      @Khmediy3241 6 หลายเดือนก่อน +2

      Mchamungu anamjua mungu peke yake Wacha kujidanganya nyau ww

    • @waltersesuru43
      @waltersesuru43 6 หลายเดือนก่อน

      Mwenyezi mungu.azidi kumubaliki.mama yetu samia suluhu asani.%%

  • @AlickMulambia-vd7nt
    @AlickMulambia-vd7nt 4 หลายเดือนก่อน +2

    Magufuri arkua kabira gani

    • @EdiTulawuthwa
      @EdiTulawuthwa 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mbena

    • @EdiTulawuthwa
      @EdiTulawuthwa 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mbena wa njombe Wanging'ombe usuka

  • @mchugajikinyambo
    @mchugajikinyambo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Matukio kahama

  • @Peter-z5f6l
    @Peter-z5f6l 3 หลายเดือนก่อน

    Au ni ndugu mwafann

  • @ElneySheddy-is1dv
    @ElneySheddy-is1dv 3 หลายเดือนก่อน +1

    Washenzi wanafk

  • @mudhihirugara8845
    @mudhihirugara8845 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanini mlifukuza watotowake namkewae nani anabaswakuwakalibu katiyamke nawatuwengine hamkuwasahihi katikohilo

  • @FadhiliMtiri-zk5ne
    @FadhiliMtiri-zk5ne 4 หลายเดือนก่อน +1

    tunakushukuru cdf

  • @Eva-mn8ns
    @Eva-mn8ns 4 หลายเดือนก่อน +1

    But you could have informed his family

    • @copmbogo3694
      @copmbogo3694 4 หลายเดือนก่อน +1

      He said very well that they informed the family, learn to listen before you start unleashing your stupidity

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 4 หลายเดือนก่อน

    Yaani mlibaki bila kujua kuwa JPM angeweza kufa! Mungeuliza if the president dies, what do you think could happen? Mungetengeneza shadow transition hapo mungejua kuwa baada ya JPM kufa haraka alitakiwa kuapa haraka mno! Ili atangaze kifo Cha RAIS

  • @HamisiMgwigwi
    @HamisiMgwigwi 2 หลายเดือนก่อน

    nyimbo ya besiti nas

  • @FatmaLyego
    @FatmaLyego 3 หลายเดือนก่อน

    Cyo kila kicheko kinamaanisha furaha

  • @mudihussein-ce8hp
    @mudihussein-ce8hp 4 หลายเดือนก่อน +1

    jpm2takukumbukami
    milele

  • @RatifaHamisi-oe9py
    @RatifaHamisi-oe9py 3 หลายเดือนก่อน

    Polen san

  • @marypartson8409
    @marypartson8409 4 หลายเดือนก่อน

    mbn mnafanana na magufuli

  • @scollantandu2350
    @scollantandu2350 3 หลายเดือนก่อน

    Mh 😭😭😭😭

  • @SophiaMshwahiri-rg5zs
    @SophiaMshwahiri-rg5zs 3 หลายเดือนก่อน

    Mgufuli

  • @moshintagata100
    @moshintagata100 4 หลายเดือนก่อน

    Anikatu menoyako ukumbuke hiyo nidhamana uliyo kuwanayo ilakunawatu unawakela bla kujuwa

  • @RajabuAlly-nt9zs
    @RajabuAlly-nt9zs 3 หลายเดือนก่อน

    Hutuba za j p m

  • @JOSEpHUMASUKA
    @JOSEpHUMASUKA 4 หลายเดือนก่อน

    Kismi

  • @AgustineBernado
    @AgustineBernado 4 หลายเดือนก่อน

    Duuuuuh

  • @mjinyaismail7742
    @mjinyaismail7742 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kilio 😢😢

  • @dominickchristopher1669
    @dominickchristopher1669 3 หลายเดือนก่อน

    Unatukumbusha machungu

  • @ainnakabalimu880
    @ainnakabalimu880 3 หลายเดือนก่อน +1

    Maguli alikuw jembe

  • @mudhihirugara8845
    @mudhihirugara8845 4 หลายเดือนก่อน +3

    Sasa unacheka nini

  • @yusufkisome639
    @yusufkisome639 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kama Jenerali Mabeyo Anaukubali Utendaji wa Rais SAMIA nakusema Utendaji wake ni Mzuri Sana, Wengine wote Mnaobeza utendaji wa Rais SAMIA ni MBWA au NGURUWE

    • @joachimlema
      @joachimlema 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kulingana na nafasi yake Ni Sheria kukubali Uongoz uliopo madarakan ili kuzuia machafuko

    • @abdallahmmary8591
      @abdallahmmary8591 2 หลายเดือนก่อน

      Mmmmm unajipa mamlaka na ulimi kuwapa watu majina ya viumbe waliombwa na wanatii kwa kumbwa kwao je wewe nimtu wa aina gani qu unaubora gani je ulitaka wewe kuwa mwanadamu au umejikuta umeumbwa na ALLAH