Hii ni confession kabisa. I agree with you Jalas mwanaume hawawezi kukupatia pesa bila kutarajia kusoma katiba as soon as possible. Huyu mama ako very lucky she met a guy who didn't bother to ask for katiba before mpesa iende through. Imagine how many people goes through this in Kenya and don't have anyone to confide with for such situations. Ladies listen what Jalas said. Don't take a man's money if you're not ready kusoma katiba. If you take his money it's a green light kuingia heaven kusoma katiba. If you ask money from a guy know the terms and read between the fine prints. Grace start your journey before Friday and let the guy know umepata emergency nyumbani .
Daktari uko sawa tu... Hakuna mwanaume atakupea pesa bure... Huyo mwanaume ako na mzazi pia na madada mbona asiwapeee akakupea wewe😂😂😂 utavunjwa kiuno kabisaa... Na pia akiambia landlord hakuna katiba akue na mzee hapo bure atapata taaabu Sana😂😂😂😂
Jalas, for ones you have given this lady the best advise. Families are going through so many issues man. Its so sad. The husband should man up and help his wife..... lakini hapo kwa kunyoa ... nimeshukaaa....hahahha
am edwin fanya haya ambia landlord nimesikia vibaya naomba hunirusu niende hospitali halafu anytime nitakushitua. make sure one day when the landlord is not there uame either Kwenda nyumbani audience mtaa mwingine mbali na kwa landlord
Nikusaidiye mrembo toka kwa hiyo nyumba pole pole bila huyo landlord kujuwa, na ukubali kwenda nyumbani ukae tu huko. La sivyo tutakusoma kwa vyombo vya habari. Hata usiambie hata bwana ko.
I understand where this lady is coming from I really pity her. It's the up and downs of life that made her do this. I don't she is a bad lady at all. We all make mistakes in life. She should just come clean with her husband and tell the landlord this can't go on
wanawake wenye bahati za kuolewa nao wako na shida why cheat on your husband,kumdhalilisha mwanamume coz hutaki kuishi maisha ya chini,nani alikwambia bwanako hatajibidisha kulipa rent,na if maisha yameenda chini hameni tu life is like that kupanda na kushuka
Hahaha Daktari jalas wale wenye hawako kwa ndoa viuno vyao havina maana 🤣🤣🤣kama umecheka hii gonga like 🤣🤣🤣
😂😂😂😂
Valmes Comedian hahaha huyu jalas atakuja kurumaliza jamani 🤣🤣
Mimi shida zangu siezi kuambia jalango juu utachekwa tuu
Wale wamekam kusoma comments pita na like ukisonganga👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
Naona umeanza kusoma comment pitia na salamu. Usicheke nakuona pitia na like
Just when i thought i had bigger problems i get to hear this story and i just thank God. *taking a deep sigh of relief*
Kama ume skia Jalas akimwambia aji tayarishe jumamosi na anyoe gonga like 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli jalas you're the best ,good advice.
Number one listener zima kelele washa milele
Mwakideu and Jalas hii doze mmepatia huyu mgonjwa iko sawa kabisa kivyangu ninafanya kazi pharmacy na ninaona dawa itafanya kazi
Hahahahaha
😁😁😁💃💃💃jalas waaah apange Safari na anyoe🤸🤸🤸
😂😂😂😂ati aoge vizuri na anyoe jalas utanoua siku moja
Alijiingiza kwa mtego mbaya sana 🙆♀️.
😂😂😂😂😂kiuno....am loosing my ribs
hio katiba imesomwa tena na tena...hakuna mwanaume mjinga kiasi hicho.
Eti aoge na anyoe 😂😂😂 mungu wangu!!
Hahaha,ati unisaidie tu na katiba yangu hutapata.....shidaaaa
Jalas you give me joy cheiiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣anyoe
Hii ni confession kabisa. I agree with you Jalas mwanaume hawawezi kukupatia pesa bila kutarajia kusoma katiba as soon as possible. Huyu mama ako very lucky she met a guy who didn't bother to ask for katiba before mpesa iende through. Imagine how many people goes through this in Kenya and don't have anyone to confide with for such situations. Ladies listen what Jalas said. Don't take a man's money if you're not ready kusoma katiba. If you take his money it's a green light kuingia heaven kusoma katiba. If you ask money from a guy know the terms and read between the fine prints. Grace start your journey before Friday and let the guy know umepata emergency nyumbani .
Peana hiyo kitu
Jalango is always a smile creator😂😂😂😂😂
hii imeenda mbali #Jalas ...et amelipa fee n rent
Heeeee an fan mar jalas nyaka macha ng'a
huyo mama n mkora siamini mambo yake hao watu wamelala kwa muda mwanamke hawec sema ukweli
Daktari uko sawa tu... Hakuna mwanaume atakupea pesa bure... Huyo mwanaume ako na mzazi pia na madada mbona asiwapeee akakupea wewe😂😂😂 utavunjwa kiuno kabisaa... Na pia akiambia landlord hakuna katiba akue na mzee hapo bure atapata taaabu Sana😂😂😂😂
Hahahaha hapo wanawake tujifunze kitu kwa hii story my dear sisters
Jalas, for ones you have given this lady the best advise. Families are going through so many issues man. Its so sad. The husband should man up and help his wife..... lakini hapo kwa kunyoa ... nimeshukaaa....hahahha
Ulijitia mwenyew mtegon
Ati aonge vizuri na anyoe😂😂😂😂😂jalas
Jalas aky ! Ribs zangu aty aoge na anyoe 😁😂😂
Jalas nakupenda kwa unawaabia hali ilivyo,kama huna haja na mtu hata pesa yake usichukue.utapatana na shoka wallai
Thihiiiiiiihiiiiii hi hatari fire daktari amechangamka advice nayo🤣🤣🤣🤣🤣 daktari uko Kean sana.
Saana na anasema dem aende jamaa akasababishe
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ishakua tabu. Landlord i fill for you
Alekii dawa yako freshii
Mbona alichukua pesa huo ni mtego mbaya sana
Katiba ilisa somwa kitaaambo.awache kutuchocha.ni ile leo ameambiwa hii wkend lazma ikue wknd mzima
Haki shida ni mbayaaaaaa
Jalas umenena ukweli, no more Mpesa na arudi nyumbani au aoge pia wembe ukaweze kupata kazi
Jalas your very realistic
I like your opinion
Pia mm Jalas nko na shida nitawapata vp
That lady is just lying, from rent to school fees katiba lazima ilisomwa. Mwanaume yupi mjinga kiasi hicho. Like if we have same thought.
😂😂 Jalas bana ety anyoe
Hapo ninoma sana dk
Ati afanye nini 😂😂😂😂😂😂😂😂 Jalango ifuwoga adier, the last part killed me I swear
Anyoe
Hyo mwanamke ashapeana
Am namba one, heee
am edwin fanya haya ambia landlord nimesikia vibaya naomba hunirusu niende hospitali halafu anytime nitakushitua. make sure one day when the landlord is not there uame either Kwenda nyumbani audience mtaa mwingine mbali na kwa landlord
Tamaa kitu mbaya.ure right jalas
Kabisaa
Kiuno kinavunjika hii wikendi
🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭
🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭
ukipenda pesa ya mwanaume penda yeye pia la sivyo ngoja tukusome kwa news ama gazeti
Skia jalas..
Shenzi sana😹
Tara Shi 🤣🤣 anyoe
Nikiwa uyo dem napeana. Nd nacheza chini kabisa mpaka nifungue biz yangu..mzae akijua then itakua bahati mbaya
Jalas uko ndani
Hyo Landlord naye yuko na subra sana.... MM Kuvumilia huko ni urongo... Kama Alikubali kuchukua pesa 1st ni hatoe kidude kiliwe
wao this is hot
Hatari
Hakuna la bure, hasa pesa ya mwanamme huwa haipeanwi bure lazima utalipia wewe mwanamke.
Aki jalas ....ampatie katiba kwani ni sabuni itaisha
Hii udakitari ulitoa wapi Jalas, hahaha
Heee kupenda pesa ya wenyewe..bwana aende atafte kazi ya mjengo
Aki ni ukweli kama upedi mwanaume usikule pesa zake..Siku moja boy akaninunulia kiatu ya thao bili Na nikamkataa weeeee semeni kuadwa😂😂😂😂
Jalas : Uko tayari kurudi nyumbani Na uache kukula pesa za wenyewe.Hapo umesema ukweli daktari.
Hahahah Aki jalas...ati kiuno itavujika this weakend😂😂😂
Landloard good man
Anne Ilado 😅😅😅
Najua alinyoa 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Jalass awuro 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Jalas ww mbinguni hutaingia🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyo landlord ni mm kama uhuamini gonga like😁😁
Hehehe
hahahahahahah kweli na anyoe
ATI Nini Motoo San Anyoe tu Asaidike Hakuna Chengine😳Ndoa Ningumu Sana Duuh!
ati usiniambie kiuno kilivunjika😂😂😂
Sasa uyo mama amekula Pesa na hajiski kupeana katiba, sasa hapa siri itatobolewa aki juu asipo peleka katiba nakuambia kutaumana
😂😂Anyoe
jalas umesema kweli but huyu mama atoroke
Just landed waiting for comoreds
Panga safari na anyoe🤣🤣🤣🤣
Hii ni ukweli hakuna mwanaume atakupatia kitu bure NI ngumu Sana😀😀😀😀 hii ni theory na haina weakness
Pia hakuna mwanamke atakupea asali bure
😁😁😁😁😁
😂😂😂😂 jalas wewe....
Tao jalas weekend K iuno itavunjika😂😂😁😅😅😅😅😅😅anyone station imefungwa walai😆😆😆
Yu neva miss the comment section 😂
@@puffy637 yes😂
Nzisa nikwithiaa kuu, kila post
@@musyokatom967 😂😂
😂😂😂😂😂
Nikusaidiye mrembo toka kwa hiyo nyumba pole pole bila huyo landlord kujuwa, na ukubali kwenda nyumbani ukae tu huko. La sivyo tutakusoma kwa vyombo vya habari. Hata usiambie hata bwana ko.
Dennis Barasa ...True ahame en she should not disclose coz italeta shida kwa ndia yake. Mwana was ingo umesema ukweli.
Kwa nyumba yake ........
I understand where this lady is coming from I really pity her. It's the up and downs of life that made her do this. I don't she is a bad lady at all. We all make mistakes in life. She should just come clean with her husband and tell the landlord this can't go on
Jalas aki ati " anyoe before Saturday "
🤣🤣🤣
Pia this lady hajaongea ukweli
Katiba yake ishasomwa kitambo na landlord
She just twist the story
Ukwli kapsaa ,mwanaume gani atafanya hayo yote bila smthg in return
Magonjwa nimingi mwanamke chunga sana kaa na bwanako hata kaa amesota
Afunge safari na anyoe😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Anyoe nini haha
Jalango Yesu Neni😂😂🤣🤣
😂😂😂
Mwanaume hufanya mambo ya kuonekana gazeti
Mie ata lollypop ya mwanaume staki. ....
wanawake wenye bahati za kuolewa nao wako na shida why cheat on your husband,kumdhalilisha mwanamume coz hutaki kuishi maisha ya chini,nani alikwambia bwanako hatajibidisha kulipa rent,na if maisha yameenda chini hameni tu life is like that kupanda na kushuka
You're a good woman. Always remain faithful to your husband.
@@muslimassociationnakuru990 i dont see any reason for her to cheat if the man has never cheated
Kizungumkuti
Utaanza aje kuambia mume wako eti amekua akiishi kwa pesa za mume ya mtu😱😱😱😱😱
Kuna nchi hzo site zimefungwa but bado wanazipata through groups
Pesa ni tama jalas ww🤣🤣😬
Hiyo ni ukweli kama hupendi mtu achana na pesa yake, 💯akiendelea kula pesa Saturday aoge vizuri na anyoe kiuno ikavunjwe poa 😆😆
Anyowhat😆😆😆😆👏🏾👏🏾👏🏾
Kwani bwanake alichizi?
Aende alafu amwambie ananyesha
Alafu tukikatwa na shoka mnaanza kulaumu wanaume, mbona ulikula pesa za wenyewe
Hahaa
Jalas una sound sensible halafu unamaliza na ushenzi , ati anyoe lol
But told her truth of the matter, coz if she has to dish it out ,the landlord should get the best for the wait and money.
lol you are as crazy as jalas mwenyewe
@trish, that man should get the best ever if she has to dish it to him.
Am also scrolling through the pics with Jalas 😂
Ahh really
Lol
😂😂😂😂
Jalang'o nono😄😄😄
Shoka😂
Wewe muruke kipetero kiyesu utajua hujui hapo aki endelea kukula hizo pesa naona shoka ikitembea
Lol ati shoka ikitembea wwooooiiiiyeee no mercy
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 marriage works