Alex and Jalang'o, Kwenye makari hata ndege,inategemea power ya horsepower. Ukimletea bibi speed zako,ohoh. Usiwaze vile unatendewa kule inje,kapeto hutaka focus aisee!
For virgin women,the sexual experience is never that top notch.We get them when they are inexperienced while we are experts at it.The best to do as a man is talk her through the new experiences she is about to encounter,prepare her mind before action.It should not be about you as a man getting to your satisfaction,get to lead the two of you into satisfaction.
hakuna kitu kama hio mda yote ya ndoa kwani hajazoea the new experience kuna wanawake kama hao bro not that they are not prepared well pia mm n9ina bb kama huyo hata um preparee vizuri theyr like that
Jalas hawa wanaume ni fake sana .Yafaa waelewe hii kitu unaitwa family planning inatuchanya sana wanawake kuna inamfanya kuwa na mioto sana na wengine inkuzimisha aki . wewe kukuwa as kwanza kufungua katiba it's your responsibility kumfundisha kila kitu coz hajui siyo kuenda kwa wale gate zao zimeachwa wazi kwa kila mwanaume. Mpango wa kando.unajua anacheza na wangapi in different stiles.Umemkosea sana mke wako
Yeye ni daktari anaelewa hali ya mwili wa mwanamke akishajifungua na kuanza family planning vitu mob hutokea like hamu kurudi chini au kuongezeka. Anapaswa kuelewa aachane na mpango wa kando. Kwa sababu yeye pia akijifungua hatakua the same.
Mwakideu reminds me of my ex gosh he was there like alikuwa Ana take time for me waaaat? Lakini huyu bwana yangu Mara ooo Gari ya viauzi imeanguka kinangofu ooo wafanyi kazi wanamuibia ooh tutaonana jioni oooh ati morning glory si ni nyibo za sofa nkt 😂😂
Alex and Jalang'o,
Kwenye makari hata ndege,inategemea power ya horsepower.
Ukimletea bibi speed zako,ohoh.
Usiwaze vile unatendewa kule inje,kapeto hutaka focus aisee!
Hapo mmeongea kama wanaume ishirini. Asanteni sana kwa ushauri mwafaka
Waluhya mtatumaliza ule jama anapiga simu mwenyewe alaf tena anauliza naongea na nani😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣 sio wote
Katiba ya mpango wa kando ni tamu sana
😀😀😀😀
Kama alikuwa boyfriend wa kwanza..alitaka afundishwe na nanani.. tena akipata ule ana experience tena anateta kuna wame wengine kando...you cant win
Kampaing very true it is a crazy time then the feeling will go
Men men.....only God can help us women!
Jalas 😂😂😂 son of a carpenter you are the most lucky man
Jesus Christ son of a carpenter 😂😂😂😁😁jalas ameshangaa katiba mpya ilitoka wapi na yeye alianza kutafuta katiba mpya since 1992 hajapata,
My hubby brought a gal in my own house from there and then my excitement with him iliiishaaa kabisa
wanna talk??
For virgin women,the sexual experience is never that top notch.We get them when they are inexperienced while we are experts at it.The best to do as a man is talk her through the new experiences she is about to encounter,prepare her mind before action.It should not be about you as a man getting to your satisfaction,get to lead the two of you into satisfaction.
Ur absolutely right
hakuna kitu kama hio mda yote ya ndoa kwani hajazoea the new experience kuna wanawake kama hao bro not that they are not prepared well pia mm n9ina bb kama huyo hata um preparee vizuri theyr like that
good advice there ,mwakideo
Good advice jalas 👍
Jalas campaign aziko 1am here 2020🤣🤣🤣
Hahaha jalas Kwanza wwe ni fisi sana
Hapa kuna shida, umejipatia bibi wa pili.
Full kipupwe full enjoyment
Haha babaaa huyo mpango wa kando pia atajifungua tu utashtuka vile pia mioto yake itapungua hehe such is life
kusoma katiba bila miwani 🤣🤣🤣🤣🤣
Katiba mpya kabsa.
🤣🤣🤣
Hio mawaidha nimeikubali Mwakideo & Jalas. Wisdom ndani yake
Kali sana
Wanaume kama sisi wenye hatupendi kutumia miwani,hatuogopi shida.Get ready for wife number two.
Good.
🤣🤣🤣🤣🤣
Hahaa ati kusoma katiba bila miwana! Jalas mko na maneno aki
Mmmmmh eti miwani!!!
Waniumiza mbavu Alex😂😂😂😂😂😂😂😂
+974 .... hio advice iko sawaaaa😂😂😂😂😍😍😍😍😍milele Fm iko very👌
For once advice ya jalaas na Alex imeleta shangwe kabisa kabisa kabisa iko on point.
The lady behind Alex thought😞
Nimependa ushauri wenyu ... ajiandaye bb wawili atakapopata mtoto ni wake nkt msiba wa kujitakia asilete vilio hapa
Jalas wooow ukweli ataweza kuficha mtoto wake
The wife hajui kupeana katiba vizuri ju she has no experience since daktari ndiye alikuwa wa kwanza kuisoma ...lbda amfunze
weee jackie uko na experience? come baby come
@@philipabisai4698 karibu
Very true...
Jalas hawa wanaume ni fake sana .Yafaa waelewe hii kitu unaitwa family planning inatuchanya sana wanawake kuna inamfanya kuwa na mioto sana na wengine inkuzimisha aki . wewe kukuwa as kwanza kufungua katiba it's your responsibility kumfundisha kila kitu coz hajui siyo kuenda kwa wale gate zao zimeachwa wazi kwa kila mwanaume. Mpango wa kando.unajua anacheza na wangapi in different stiles.Umemkosea sana mke wako
Hhhha napenda sana kuangalia video zenu
Dr jalas ati huezi eda kwa matibabu na clinic yako.
Vaa miwani bana ulikuwa unadhani unatazama Afro cinema wacha mchezoo
Jua kuchomoa na kumwaga inje brathe
Kabisa
Maneno ya jalas kweli kabisa, always mpango wa kando game is up so as to drive u crazy
Acana na mpango wa kando bro. Ni djukumu lako kusababisha katiba ya mke wako iwe sawa na yeye ajiskie anahitadji usome katiba mara nyingi.
Fundisha mke atakuwa sana,
Huyo jamaa anashida but mawaidha mazuri watunguyasi @Alex na Jalas
Jesus Christ son of a carpenter😂😉😉😂😉wah Huyu daktari amezingua kwa moto jalas na Alex I love you guys
Hehee diz men 🙆 aki noma
@@classyliz0608 😂😂😂😂
Nzisa Kasau naona unapenda katiba sana ww
@@walidmediadam9530 😅
Nzisa Kasau by the way ni healthy inafaa nikutafute
Bila Miwani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣LoL
Wewe ni daktari na unasoma katiba ya mpango wa kando bila kutumia miwani bure kabisa bibi wa pili Mara hiyo nyang'au
Hahaha
🤣🤣🤣
Katiba ya mpango wa kando ni campaign.. Walai nakubali
Mawaidha mazuri hapo.
Alex wajisemea ww uonekane mtakatifu
Kimeumana my friend, si miwani ni free pale hosi Jamani
Alikua na mood hadi basi akukumbuka miwani
mbu mbu mbu mbu😂😂😂😂😂😂😂
Uezi kuja clinic na matibabu yako😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂tulia utibiwe.😂😂😂😂😂😂😂
Huyo ni zawadi hapo nyuma😯😯😯😯
you guys are the best!
Katiba boom boom😹😹😹😹😹
@Jalas si unijenge namba ya uyo madam anawaconectia calls hapo tukisonganga
Akubali tuu wanawake wawiliwote
Anatakiwa amfundishe make yeye ndiye aliye mtoa bikira , mwanamke ambaye anawanaume wengi , anajua mapenzi na wanamfundisha mapenzi
Wengine wanatufuta mpango na hawapati wenye wako nayo wanalia
Huyo ni jalas 😂😂😂😂
Alex Leo mbona hivyo kaka , unalala ama
🤣😅😂😅🤣😅😂😅🤣😂😅 Carry yr own cross doc, ulipata virgin ilhali u wanted mwenye amefanywa road test na wengine 🤣😂😅😂😂😂😂
Ad u wonder wanaume wegine Wanataka nn kaa ukipata ata virgin hutosheki
Mungu nisaidie nisiwai pewa jina " mpango wa kando" jina mbaya kweli
Ukweli mukami..mûndû wa nyomba
Kusoma katiba bila miwani, new language😂🤣
I never new but im glad to know 🤣🤣🤣
Hahaha katiba boom boom boom...imefanyiwa promalgeson mpya😂😂😉
😂😂😂Mwakideu na Jalas love you guys good advice
That lady behind Alex is so shy😅
Full dose
🤣🤣Katiba ya mpango ni tamu
saana
😂😂😂😂 okay
Jesus christ son of a carpenter 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kubali mtoto ni wako oa second wife
Wewe dakitali unamusaidiya ama unmusheka 🙊🙊🙊
Twanga vitu kwa wiki moja mpka mimba ikaingia eheee hata Sina la kusema.jalas🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣enjoyeeeement
Katiba n hiyo hiyo,
only doctor na nurce wanaotibu kila mtu
Hii life huwezi pewa kila kitu so huyo doc alitaka duka ijae stock lkn haiwezekani pole ujuwe tu iko shida angeva sokisi rijal kadhaba
Kumbe uko apa pia linet 😂
Niko nikose lol.😂
Hehe ati kusoma katiba bila miwani😂😂😂😂
Leo mumeongea
Jalas ..".Jesus Christ son of a Carpenter"
Jalas ni fisi tu ya kawaida😂😂😂
Hiuyo hanyimwe kabisa.. tapatapa utalijua jiji.
Wow
nduru palanga
🤣🤣🤣full doze
🤣🤣🤣🤣 Nick name mambo ndo haya mafisi
Wewe ndie uliaza hio shinda wakati ulikuwa na Mupago go wa kado hapo ndio alikasilika
Yeye ni daktari anaelewa hali ya mwili wa mwanamke akishajifungua na kuanza family planning vitu mob hutokea like hamu kurudi chini au kuongezeka. Anapaswa kuelewa aachane na mpango wa kando. Kwa sababu yeye pia akijifungua hatakua the same.
Kafla pin vuu!!!!!!!!! wife number 2 ,no games, just support the innocent kiddo and move on, men are born to face such.
Mwakideu reminds me of my ex gosh he was there like alikuwa Ana take time for me waaaat? Lakini huyu bwana yangu Mara ooo Gari ya viauzi imeanguka kinangofu ooo wafanyi kazi wanamuibia ooh tutaonana jioni oooh ati morning glory si ni nyibo za sofa nkt 😂😂
What's wrong with doctors, si wanahanya sana
Full doze!!Hahahaaa
jonah ronoh
🤣🤣🤣🤣🤣😱
Aishiiiiii hii nayo n noma walai, i give up
Alipo kua akinyandua bila miwani alitarajia nini
kumwaga nje
Gud question
Hahahahahaha aty jesus christ son of a carpenter😂😂😂hahahahaha
Full kipupwe😅😅
dave Asha Hiyo kali
kuna zingine za kujiletea tu
What is Katibba?
Miwani
Mayoooo
Jalas yawa
Mimi kama mganga wa mapenzi, hiyo mimba si yako.
Vipi na mwenyewe asema niake acha tusubiri mtoto azaliwe kwanza
😅😅😅Mganga
🤣🤣🤣🤣 mwanaume wa Kenya.
Haahaaahaaa
Jesus Christ son of a carpenter 🤣🤣🤣 Jalas wewe!!
Hahaa ati son ov a Carpenter
@@victorogweno1731 yesu no mtoto wa seremala n kweli
😂😂😂😂😂😂😂😂Daktari amejipa bibi wa pili ivo tu