Milango Saba Ya Moto / Kila Mlango Unawatu Wake / Sheikh Walid Alhad
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- Milango Saba Ya Moto / Kila Mlango Unawatu Wake / Sheikh Walid Alhad
Darsa la tafsiri kichangani 2021 la mwezi nne ramadhani mwaka 1442H lilotolewa na sheikh Walid Alhad Omar kwa uzuri na ubora wa hali juu kabisa tiizama na endelea kufatilia darsa zetu na usisahau kushare kwa wingi
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/Dars...
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop...
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: /
► LIKE DARSA TV on Facebook: /
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks
ALLAH Atupe mwisho mwema
Alhamndullilah Shkh nashkur kwa elmu
Allah. atukinge na moto
😢😢 Allah atukinge na moto 😭 Subhanallah ya RRahman tujaalie mwisho mwema 🤲 Shukran sana Sheikh ❤❤
Mzaramo tena kwa maneno ila najifunza sana na nakuelewa sana zay from Iraq
Allah akuhifadhi Sheikh Walid alhad Omar
Allah akupe kila lakheri sheikh letu tupate kufaidika na wewe pia akupe umri mrefu
Shukran kwa ukumbusho
Mashallaw mungu akubariki
Shukraan nimejifunza toba za kiislam ilikua yanitatiza sana
Mashaa Allah darsa maridhawa
MASHAALLAH Allah akulipe kheri Inshaallah. Nakupenda sana shekhe Walid kwa ajili ya Allah 🤲
Shee walidi napenda sana dalasa lako
Maasha allah
Jazzaka llahu kher
اللهم إنا نعوذبك من عذاب جهنم،والسعير،والحطمة،وسقر،والحطمة وهاوية وجحيم.😅😅😅😅😅