Hapa kuna issue hapa : ukija majuu Madem achana nao kabisa tongoza dem mnajuana toka Home maana hata waafrica wanafanya same thing ; they will call police mzee
Anaeza ongea kama mkenya kulingana na mazingira . Ss wengne tuko Nairobi Kenya lakn kuongea kiswahili ile ya tzania hatuwez kitokana na watu na nazingira tunayoishi hapa
Hivi siku hizi unahitaji mtanzania anaishi marekani kupata habari za watu maarufu! Au ndio wale waliotoka vijijini wakiwa na ndoto za kwenda Ulaya au Marekani ndio wanakuja kijitangaza huku kwamba wako Marekani/Ulaya!
Sem mkiambiw ukwel mnaon wat n waongo, hujui km ao wanaoish uko nd wanasem ynayoendlea kiuhalisia ila sio vy mtandaon vy mtu kupost maan n uongo tu. Bongo kul hatutajwi
Hila watu niwapumbavu kweli sasa hunajitaje mtanzania wakati wewe ni mcongomani huyo mjinga nimcongo naapa marekani akuna chausanii tofauti nakuingia mcampany nimbembe jina lake anaitwa bichwabele
Media kubwa mnasuport uongo kuishi sio kumjua p diddy makuma nyie mimi nipo marekani mwaka wa 10 sijawahi kukutana na msanii yeyote wasenge nyie acheni uongo
Mkubwa Milard Ayo hapa umepuyanga,, tunaokufuatilia tupo wa uelewa tofauti... Labda kama kuna wapumbavu bado wapo wakiskia mtu anaishi Marekani basi wanaamini anajua kila kitu.. Maisha ya P Diddy hata jirani yake anayasoma mtandaoni itakuwa huyu uliyemwokota sijui wapi?.... Ujinga mtupu...
Didy ni mtu mzuri anachafuliwa tu
Huyu muongo kwani kuishi marekani lazima amjue mtu kiundani wengine wanatafta kiki
😅😅
Na ndio sababu uko maskini kisa ujuwaji
kwakwel
Kwn ww unamjua vzr,kulko yeye
Anahaki ya kumjua vzr make yuko aliko p, wew uliyoko Tanzania utamjuaje kiundani nawakati haupo karibu naye
Hongera raisi wangu magufuli kwa vitu vyote ulivyo fanya .😢
wabongo bana😂😂kwamba mwamba Diamond hamjui😂😂
Ulikuwa wapi siku zote izo.
Mmekosa vyakupost kabisa kuishi Marekani ndio anamjua sana😊
Tanzania ngumuuu Sanaaa kiraaa mtuuu anajuaaa yeyeee
Hapa kuna issue hapa : ukija majuu Madem achana nao kabisa tongoza dem mnajuana toka Home maana hata waafrica wanafanya same thing ; they will call police mzee
Bingwa yupo sahihi,wanamziki wangangapi wameliwa na kivunja mahusiano Yao Kwa ajiri ya kutolewa kimziki? Tujikumbushe enzi za Ruge😂😂😂
Nimekuelewa
Watanzania wanamna hii niwaajabu sana..yeye huyo Diddy kamjulia wapi zaidi ya kusoma mitandaoni..au alikuwa anapididiwa ndo maaana anamjua
😂😂😂😂
😂😂😂
Hakuna kitu hapo
Kazi nzuri
Uyu man Kama mchongo rafudh ake 😂😂au ndy USA Gangster wa Chado Masters 😂😂😂
Huyu mtanzania au mkenya !! Watanzania hatuna accent hiyo ya uongeaji!! Huyo ni mkenya pure!!
Ana rafudhi ya mkenya wa Mombasa.
@@Samweli_William_Muvunyikwakweli nami najiuliza huyu anaongeaje kumbe nanyi mmeliona hilo hii sio accent ya kitanzaniaa
Anaeza ongea kama mkenya kulingana na mazingira . Ss wengne tuko Nairobi Kenya lakn kuongea kiswahili ile ya tzania hatuwez kitokana na watu na nazingira tunayoishi hapa
Sure
Ni wenu huyo wakenya hatuzungumzi hivi.
Huyu jamaa mbona Kama tumbili vile, yupo marekani kweli 😂😂😂
Kwan marekani ni peponi au
@@KulwaGuga haishi marekani huyo anatafuta kiki tu, kule hakuna mapori ya tumbili Kama huyo asiejielewa
@@laninjeje8290 basi itakua anaishi chanika
SIYO MTANZANIA UYO NI MC ONGO TENA TENA MUBEMBE...
huyu jamaa nimemuelewa sana tamaa mbaya wadau, kingine tutafute hela umasikini unaenda sambamba na roho mbaya
Unajua jinsi matajiri wana roho mbaya?
Sio mtanzania ni mkongo uyo mimi naishi nae hapa kwanz ni muongo
Ndo maana upo fukara
Umeulizwa?
Kierehere tu
@@NyapambaSadokiSango kimekuumaeeeeh
Hivi siku hizi unahitaji mtanzania anaishi marekani kupata habari za watu maarufu! Au ndio wale waliotoka vijijini wakiwa na ndoto za kwenda Ulaya au Marekani ndio wanakuja kijitangaza huku kwamba wako Marekani/Ulaya!
Sem mkiambiw ukwel mnaon wat n waongo, hujui km ao wanaoish uko nd wanasem ynayoendlea kiuhalisia ila sio vy mtandaon vy mtu kupost maan n uongo tu. Bongo kul hatutajwi
Kiswahili cha ki Congo au Burundi huyu sio mtanzania
@@Kokafamil yani watu WEUSI sijuw mko je ubaguzi acha wazungu watuite nyani
Sahihi
@@fathers19991kbs upo sahihi sijui kwanini watu weusi hatupendani but we all black skin
Upo sawa hata wasanii anaowataja unaona
Nihatari kweli jamaa anawandanganya sana tena sana uliza kusu company tu
Yani watu wengine kuku kbs mnajifanya km ndugu kwani kila mtu ndio anatumika campany
Shame u
Nyambafu
Et naijeria😂😂😂
Hichi kiswahili ni cha watz wa kigoma bro
😀😀😀
Sio kweli
Huyu mkulima wa miwa au mihogo?
Ingewezekana uchaguzi unao fata taifa hili linge penda kaachana na chama Cha mapinduzi, na kuhamia nyumbani kwa p Diddy
Mwamba anataka upepo wa p did hana lolote
Kwani shida nini
Hila watu niwapumbavu kweli sasa hunajitaje mtanzania wakati wewe ni mcongomani huyo mjinga nimcongo naapa marekani akuna chausanii tofauti nakuingia mcampany nimbembe jina lake anaitwa bichwabele
Hayo yote unayoyanongea hapo umeulizwa ?
😂😂😂😂 yahani watu wengine bana
Wakati mwengine nibora ukae kimya ili watu wasijue uwezowako wakufikiri
Media kubwa mnasuport uongo kuishi sio kumjua p diddy makuma nyie mimi nipo marekani mwaka wa 10 sijawahi kukutana na msanii yeyote wasenge nyie acheni uongo
HataUkiishi namtu jiran baadh ya mambo huwezi yajuwa
Muongo kabisa huyo kwani kuishi marecani ndo kuwajuwa hao wa sanii? Mbona unaweza kuishi marecani miaka na usimuone msanii yeyote
Huyu ni mkongo
Mda wote ulikuwa wapi wew achakuwazuga wabongo wewe p did ni mafia
😂😂😂😂
Mkubwa Milard Ayo hapa umepuyanga,, tunaokufuatilia tupo wa uelewa tofauti... Labda kama kuna wapumbavu bado wapo wakiskia mtu anaishi Marekani basi wanaamini anajua kila kitu.. Maisha ya P Diddy hata jirani yake anayasoma mtandaoni itakuwa huyu uliyemwokota sijui wapi?.... Ujinga mtupu...
Anatafuta kiki huyo.
mwanaume kuvaa hereni mikama mbwa kuvaa viatu tu!!!
Huyo s muokota makopo tu nan anamjua
mbona mchafumchafu
Kwn amekufunua sketi?
@@rumdeesonsoa1811 we unaonaje ndugu??
Stori za uongo uongo sometimes aiseee Ulaya magharibi au Marekani mtu mweusi ukiwa bilionea lazima baada ya miaka kadhaa utafutiwe sababu wakufilisi
Mnashindwa kujadili vitu vya muhimu munajadili upumbavu nyie wachokonozi ndio saizi yenu
Mtu unakaa Buza kw Mpalange ndan Ndan unakuja kusema et uongo,semen na nyie ukwl wenu
Mjinga mmoja mweusi anamsema vibaya mwenzake bado hatuwezi kumwelewa asitushawishi
Mbwa wewe
Mjinga tens mbea kaongee ya kwako
Mjinga tens mbea kaongee ya kwako