Dah! I really love this brother !Amenyooka sana!Watu hawawezi kumuelewa.Watu wengi wameenda shule lkn hawajaelimika.Na ktk utashi tuliopewa na Muumba wetu unaweza kusema only 5% ndo kutumoka na mwanadamu.Sehemu kubwa tunafanya hovyo hovyo tu kama wanyama wengine
Wew mzee, nakushauri ongelea mengine achana na habar za watu kumtafuta Mungu wao ,hayo ni mambo ya iman Wala saikolojia yako hiyo bila Mungu ni zero.Mungu hapa kanionesha hauko sawa , Mtafute Mungu maadam anapatikana.
Kasome yohana 8:44 Si kila anayeenda kukesha ni maskini . Tambua jambo hili ni la imani lakini pia hakuna mwanadamu anayeweza kujipa majibu mwenyewe. Kazi ya viongozi ni nyingi hata kushauri ni njia ya kumwondoa mtu sehemu moja kimaisha. Suruhu ni kutimiza kila biblia inaelekeza
@@felixrumisha5132asante ndugu mahubiri now days wooote wanasema mafanikio na kurogwa ila husikiii wakiambiwa wamtafute mungu au ufalme wake its like watu wamekuwa mazezeta kanisani
Waislam mnajionaga kama mko sahih wkt ukifatilia majizi,majambazi, watu wenye tabia chafu sna ni waislam. Wacha kujiona sahihi acha Mungu awainue na sio kujisifu. Mnajihesabia haki pumbavu kbsa
Wewe bora ungenyamanza maana haujui Ni nn tunapata tunapomtafuta Mungu. Muonekeno wako tu unaonyesha haukosawa. Maisha sivyo tuyaonavyo na sio kila kitu kinawezekana kisayansi sayansi haimkutanishi Mtu na Mungu. Acha kuchanganya mambo Imani na sayansi havifanani hata kidogo. Mtu kalogwa unampeleka kwa mwanasaikolojia atamsaidia nn?
Mwendawazimu kabisa, Hivi hamjui mwalimu wa sychlogy naye ni mgonjwa aliye athirika kimtazo kila jambo yeye anatazama kwa jicho la ugonjwa wake wa ki-sychlogy Mfano:- Kanisa uendeshwa kwa Imani Sychlgy -uendeshwa na fikra au mitazamo aonavyo mtu sawa na ugojwa wake wa Akili Ukitaka kujua walio wa somo hilo ni wa gonjwa pia Tazama mitazamo yako kisha utawaona ni wapinzani wa kila kitu hata kwa vitu wasivyo vijua watasema wanavijua nakuvipinga kwa sababu ya ugonjwa wao wa Akili pia, Nina jui ilo tatizo ila huwa hawajioni kuwa walio hao kuwa nao ni wagonjwa Jiulize chanzo cha Elimu hiyo? Kisha bisha kuwa chanzo cha chanjo yoyote Dunian ni Ugonjwa wenyewe ❤😂😂 I like it
Walio bar wanatumi tatizo liko hivi kwamba watu wanakesha kanisani wakiomba mungu awape fedha bila kufanya kaz mungu anasema atamsaidia yule anae jisaidia kwanza mi nadhani ni hvyo
HATA WASIO ENDA PIA WANAYO MATATIZO YA KISAIKOLOJIA HAKUNA AMBAYE YUPO SAWA KWA KUKASHFU ANACHOFANYA MWINGINE. GO SPECIFIC BR NOT GENERAL CZ UTAGOMBANA NA WENGI.
Wewe utakua na matatzo hayo ni makanisa. Waislam hatuna mifumo hiyo, kwanza ibada zetu hazizidi dk 15. Sasa hatuahidi kitu kule sisi.sasa hapa tutake radhi, ondoa neno msikiti
Usihusishe taaluma yako na iman ,haya mambo huyawezi kuyachunguza kwenye microscope,WEWE BAKI NA MSIMAMO WAKO HATUSHANGAI MAANA HATA CHARLES DAWN ALIKUJA KUELEWA MWISHON
Kweli kabisa!anayapima mambo ya kiroho kwa akili ambayo iko kwenye nafsi.Hata mtu akivutwa kwa Mungu na matatizo yake nasikumpenda Mungu mwisho wa siku Mungu atakapotendewa atajikuta anampenda tu Mungu.Wengine ndivyo wanavyovutwa kwa Mungu kwa miujiza.Na haikuanza leo hata kipindi cha Yesu watu walivutwa na miujiza na mwisho walimwamini.Mungu anapotenda anataka atukuzwe,aheshimiwe,uvutike kwake na aogopwe pia. Hata mitume walipohubiri ishara,miujiza na maajabu viliambatana nao.Hivyo watu wenye matatizo kujaa makanisani ni sahihi ndiyo mahara pake.Mwivi haji ila aibe,achinje na kuharibu ila yeye alikuja ili tuwe na uzima kisha tuwenao tele.Wasipokimbilia kwa Mungu kutatua shida zao wakimbilie kwa nani?
Kwakweli ukisoma sana,waweza kuwa mjinga,soma maandiko bibilia imeweka wazi,kutakuwa na manabii wauongo,watakao ,fundisha kinyume na kweli yaMungu,ila madhabahu za kweli ya mungu zinasisitiza bidii,kufanya kazi,kusoma kwa bidii,ili ufanikiwe,asiye fanya kazi na asile,SASA wewe unaongelea upande upi wa manabii wa uongo,au wa madhabahu ya kweli,acha UJINGA kama dini sio yako acha kuisemea kwa kuwa hata HIVYO wewe siyo msemaji,wa wakristo
Taila mkubwa wewe mambo ya Mungu hayako kama ufahamu ulionao unategemea Academic Qualifications za TCU ulizonazo jinga kubwa wewe elimu yako bila Mungu ni Hasara kubwa usilazimishe watu wawaze kama unavyowaza wewe na akili zako za GPA
Dah! I really love this brother !Amenyooka sana!Watu hawawezi kumuelewa.Watu wengi wameenda shule lkn hawajaelimika.Na ktk utashi tuliopewa na Muumba wetu unaweza kusema only 5% ndo kutumoka na mwanadamu.Sehemu kubwa tunafanya hovyo hovyo tu kama wanyama wengine
Kwakweli .Unadanganywa et pokea mimba,pokea gari unashangilia ujinga tuuu.Wavivu
@@lydiamsheri4095analeta udini kashindwa kuupokea ukwel mchungu
From BURUNDI. Huyu Baba tunaendana kabisa kielimu. Tunakupata 100%
Huyu ni Best kuliko ile taka taka #wachokonozi
Safi sana mtaalamu wetu
Kweli kweli sana haswa wanawake wanaongoza sababu ya saikolojia
Wanapenda vitu vya urahisi vya kusadikika
Wew mzee, nakushauri ongelea mengine achana na habar za watu kumtafuta Mungu wao ,hayo ni mambo ya iman Wala saikolojia yako hiyo bila Mungu ni zero.Mungu hapa kanionesha hauko sawa , Mtafute Mungu maadam anapatikana.
hujamuelewa ww umepanic
Wengine wameacha shule shuleni hawawezi kuelewa
Acha hasira na mastress msikilize muelewe
Yamekugusa 😂Ebu badilika haraka
Amepita palepale kwenye mshono😅. Pole 😅
Profesa anaeishiiiiiii
Kuna watu wanaitwa wachokonoozi kuna wakati wanaongea facts sna 🤣
😂😂😂😂😂 ila makanisa mengine bhna ndo maana manabii nowday yamekuw wengi sana
Kweli kabisa
kweli
Kasome yohana 8:44
Si kila anayeenda kukesha ni maskini .
Tambua jambo hili ni la imani lakini pia hakuna mwanadamu anayeweza kujipa majibu mwenyewe.
Kazi ya viongozi ni nyingi hata kushauri ni njia ya kumwondoa mtu sehemu moja kimaisha.
Suruhu ni kutimiza kila biblia inaelekeza
kwa zama hiz waenda kanisan weng wamesukumwa na matatizo, ndo maana hata mahubiri yamebadilika
hajasema wote amesema wengi wao
Yohana NDO nani?
Mke wangu hataki kulala na mimi kutwa yuko huko
@@felixrumisha5132asante ndugu mahubiri now days wooote wanasema mafanikio na kurogwa ila husikiii wakiambiwa wamtafute mungu au ufalme wake its like watu wamekuwa mazezeta kanisani
❤❤❤❤
Nimekuelewa
Kweli 90
Waislam mnajionaga kama mko sahih wkt ukifatilia majizi,majambazi, watu wenye tabia chafu sna ni waislam. Wacha kujiona sahihi acha Mungu awainue na sio kujisifu.
Mnajihesabia haki pumbavu kbsa
Huna lolote kafiri we
Una nini wew na pia wew nani...we pray for opportunities we are searching
Unaangamia kwa kukosa maarifa
Ni kweli kabisa 😂😂😂
This is crazy as hell ni misukule kabisa hii
95% kweli
Kwaiyo Mimi na matizo
Mbaya mbolea
Wewe bora ungenyamanza maana haujui Ni nn tunapata tunapomtafuta Mungu. Muonekeno wako tu unaonyesha haukosawa. Maisha sivyo tuyaonavyo na sio kila kitu kinawezekana kisayansi sayansi haimkutanishi Mtu na Mungu. Acha kuchanganya mambo Imani na sayansi havifanani hata kidogo. Mtu kalogwa unampeleka kwa mwanasaikolojia atamsaidia nn?
Mwendawazimu kabisa,
Hivi hamjui mwalimu wa sychlogy naye ni mgonjwa aliye athirika kimtazo kila jambo yeye anatazama kwa jicho la ugonjwa wake wa ki-sychlogy
Mfano:- Kanisa uendeshwa kwa Imani
Sychlgy -uendeshwa na fikra au mitazamo aonavyo mtu sawa na ugojwa wake wa Akili
Ukitaka kujua walio wa somo hilo ni wa gonjwa pia Tazama mitazamo yako kisha utawaona ni wapinzani wa kila kitu hata kwa vitu wasivyo vijua watasema wanavijua nakuvipinga kwa sababu ya ugonjwa wao wa Akili pia,
Nina jui ilo tatizo ila huwa hawajioni kuwa walio hao kuwa nao ni wagonjwa
Jiulize chanzo cha Elimu hiyo?
Kisha bisha kuwa chanzo cha chanjo yoyote Dunian ni Ugonjwa wenyewe
❤😂😂 I like it
Iyo psychology ulivoandika sasa 😂😂😂😂
Pumbwa 💩
comment ya mginjwa utaijua tu😅
Umeshindwa kuzungumzia wanaokesha baa
Walio bar wanatumi tatizo liko hivi kwamba watu wanakesha kanisani wakiomba mungu awape fedha bila kufanya kaz mungu anasema atamsaidia yule anae jisaidia kwanza mi nadhani ni hvyo
swali zuri sana hilo
Wanaokesha bar, wanahela tayari (wanatumia) haijalishi wamezipataje.
Wanakula jasho la mikono yao, usilazimishe mlinganyo ktk kila kitu
This is good psychological therapy
#Wachokonozi wameyasema haya long time
Kabisa
akili na ujasiri wa kusema ukweli kwa kizazi kinachonyamazia mambo ni tabia za mtu mwenye moyo mkuu.
Cc waislam hatuendi msikitini kwa tatizo la kisaikologia bali tunaenda msikitini kusali sala 5 ambazo ni lazima co hiyari na tunamuogopa Allah...
😂😂😂
Hakiliyake imefikamwisho hajuikingine
na hitaji kama ana kitabu aniuzie ana madini ya kujenga akili
Dini zimeharibu watu
Wewe bwana uko sahihi inatakiwa ujiunge na Wachokonozi
Hata wewe mwenyewe hapo ulipo una ulemavu wa kisaikolojia.. hakuna aliye salama
HATA WASIO ENDA PIA WANAYO MATATIZO YA KISAIKOLOJIA HAKUNA AMBAYE YUPO SAWA KWA KUKASHFU ANACHOFANYA MWINGINE. GO SPECIFIC BR NOT GENERAL CZ UTAGOMBANA NA WENGI.
Labda huko makanisani ila sisi miskitin hatuendi kufuata pesa ujinga huo uislam hakuna
Wewe utakua na matatzo hayo ni makanisa. Waislam hatuna mifumo hiyo, kwanza ibada zetu hazizidi dk 15. Sasa hatuahidi kitu kule sisi.sasa hapa tutake radhi, ondoa neno msikiti
Pole na huku ndo kuna ukweli nyie mnapotea kwa kupewa painkiller ili kesho utumbukie shimoni
Kaka unajua illiteracy wengi ni Muslim
Ila huyu mwenyewe mi nikimuangalia naona tayar ni mgonjwa wa mahitaji maalum,we unasema wanaokesha kumuomba Mungu aisee
Broo waislam usituweke huko situna swali kutekeleza maamrisho ya Allah Molawetu mlezi hatuna shida zozote zaidi yakutekeleza ibada zetu
Ndivyo unavyodhani
Natamn kuona uyu mtu awe anaongea TU muda ote nmskilize
Na wanaokesha kwa waganga wana matatizo gani?
Hapo pia atoe jibu kuku uyo
Ya kijambio😂😂😂
Usihusishe taaluma yako na iman ,haya mambo huyawezi kuyachunguza kwenye microscope,WEWE BAKI NA MSIMAMO WAKO HATUSHANGAI MAANA HATA CHARLES DAWN ALIKUJA KUELEWA MWISHON
Kweli kabisa!anayapima mambo ya kiroho kwa akili ambayo iko kwenye nafsi.Hata mtu akivutwa kwa Mungu na matatizo yake nasikumpenda Mungu mwisho wa siku Mungu atakapotendewa atajikuta anampenda tu Mungu.Wengine ndivyo wanavyovutwa kwa Mungu kwa miujiza.Na haikuanza leo hata kipindi cha Yesu watu walivutwa na miujiza na mwisho walimwamini.Mungu anapotenda anataka atukuzwe,aheshimiwe,uvutike kwake na aogopwe pia.
Hata mitume walipohubiri ishara,miujiza na maajabu viliambatana nao.Hivyo watu wenye matatizo kujaa makanisani ni sahihi ndiyo mahara pake.Mwivi haji ila aibe,achinje na kuharibu ila yeye alikuja ili tuwe na uzima kisha tuwenao tele.Wasipokimbilia kwa Mungu kutatua shida zao wakimbilie kwa nani?
Uko sawa kaka wajinga wengi
Kwakweli ukisoma sana,waweza kuwa mjinga,soma maandiko bibilia imeweka wazi,kutakuwa na manabii wauongo,watakao ,fundisha kinyume na kweli yaMungu,ila madhabahu za kweli ya mungu zinasisitiza bidii,kufanya kazi,kusoma kwa bidii,ili ufanikiwe,asiye fanya kazi na asile,SASA wewe unaongelea upande upi wa manabii wa uongo,au wa madhabahu ya kweli,acha UJINGA kama dini sio yako acha kuisemea kwa kuwa hata HIVYO wewe siyo msemaji,wa wakristo
Dini zimeharibu sana watu wa Africa . Hakuna tafauti Kati ya Dini na Dunia(siasa)
Taila mkubwa wewe mambo ya Mungu hayako kama ufahamu ulionao unategemea Academic Qualifications za TCU ulizonazo jinga kubwa wewe elimu yako bila Mungu ni Hasara kubwa usilazimishe watu wawaze kama unavyowaza wewe na akili zako za GPA
Ila Mungu hatukani yapaswa utumie lugha nzuri either yenye hoja kukosoa anachosema Mwalimu Madulu
Huyo Mungu anaesema utukane watu ni hatari😂
Cc waislam hatuendi msikitini kwa tatizo la kisaikologia bali tunaenda msikitini kusali sala 5 ambazo ni lazima co hiyari na tunamuogopa Allah...