Tulifikiria kwamba wanachama wa CHADEMA makundi waliaacha pale ukumbini kumbe kuna wengine walibebana na makundi. Tunawasihi viongozi wa kitaifa kutoa taarifa ya maandishi kwa ngazi zote kuachana na makundi kwa manufaa ya chama. Na pia kuweka utaratibu wa nani msemaji kwa kila ngazi ya uongozi. Si vema kila mtu kuwa msemaji wa chama kwenye vyombo vya habari. Nadhani kuna utaratibu wa kamati m,bali mbali katika kila ngazi. Mungu ibariki CDM.
Mimi naitwa Frank Mushi Niko Bunju nasema kutoka moyoni mwangu ndani ya miezi mitatu Chadema itakuwa imefeli Kwa 100% Tundulisu ni mwanaharakati na sio mwanasiasa
Huyo JOHN MLEMA Afukuzwe Tena Haraka Sana Wasichelewe Kabla Hajaanza Kuharibu Mifumo Mizuri Ya LISSU. JOHN MLEMA Yuko Hapo Kuhakikisha LISSU Hafanikiwi Ktk Kila Kitu Kitakachopangwa Na Chama. FUKUZA JOHN MLEMA HARAKA.
Ushauri wangu kwa mrema abaki chadema bado tunamwitaki
Tulifikiria kwamba wanachama wa CHADEMA makundi waliaacha pale ukumbini kumbe kuna wengine walibebana na makundi. Tunawasihi viongozi wa kitaifa kutoa taarifa ya maandishi kwa ngazi zote kuachana na makundi kwa manufaa ya chama. Na pia kuweka utaratibu wa nani msemaji kwa kila ngazi ya uongozi. Si vema kila mtu kuwa msemaji wa chama kwenye vyombo vya habari. Nadhani kuna utaratibu wa kamati m,bali mbali katika kila ngazi. Mungu ibariki CDM.
Ukabla sio mazuri, udin,kwanini we wa chini unahangaika kusema Sema?
Mrema atakuwa ana watu nyuma ili kudhoofisha uongozi wa lisu
Ashindwe kwa jina la Yesu
Mtu wake mkuu ni mwenyekiti mstaafu
Acheni kumsakama Mbowe keshaondoka lakini bado anawaumiza tu? Endeleeni na uongozi wenu kwa amani
@@ashaali7154 hakuna wanaomsakama huyo rafiki Yako sema nn awakataze hao wafuasi wake kutaka kuhujumu uongozi mpya, huyo mrema,Nyerere na madevu
Watajulikana mapandikizi, mlitaka mbowe awe wa milele?
KUMBE JOHN MREMA KAFA😂😂😂 ALIKIMBIA KABLA YA MATOKEO YA UCHAGUZI
Mimi naitwa Frank Mushi Niko Bunju nasema kutoka moyoni mwangu ndani ya miezi mitatu Chadema itakuwa imefeli Kwa 100%
Tundulisu ni mwanaharakati na sio mwanasiasa
Mnaivunjia heshima radio yenu kwa kusema uongo. Wewe mdada una mume kweli? Acha umbeya
Why mnadiscuss hii kitu?????
Huyo JOHN MLEMA Afukuzwe Tena Haraka Sana Wasichelewe Kabla Hajaanza Kuharibu Mifumo Mizuri Ya LISSU.
JOHN MLEMA Yuko Hapo Kuhakikisha LISSU Hafanikiwi Ktk Kila Kitu Kitakachopangwa Na Chama.
FUKUZA JOHN MLEMA HARAKA.
He must go
Mkabila huyo mrema hana jipya
Kwenye hiki Chama ukiitwa Mushi au Massawe mnaleta mambo ya ukabila lakini mkumbuke mwasisi alikuwa mchagga
Huyu Mrema imemuuma sana Mbowe kushindwa uchaguzi
Hata Mimi binafsi nilikuwa namkubari mbowe kama mwenyekiti
Mwitaji
Watanzania wengi ni madomant ndio maana Lisu alimwita Lema Mkanada na watu kupiga makofi
Mnatumika
Ni zamu ya wao kwa wao
Mzushi tu , anahisi atafukuzwa
Tunahitaji habari za maendeleo !
Leo uwe unaongea kwa step unamwachia na mwenzio dada tunakupenda sana .utafika mbaliiiii
Hana ukigogo gani? Anajisemea mwenyewe hivi maagizo utekelezwa kwa mdomo au kwa maandishi? Mrema anatafuta kiki.
Anajistukia kwa msemo wa mtaani!
Hana jipya tundu kula kichwa
Lisu ana akili huwezi kufukuza majembe.
Mrema afukuzwe
JOHN MREMA MTU MBADI
Mwanaume mtu mzima anakuws muongo na mnafiki,km amejitokeza ni vizur wawe na tahadhar
Mainzi bado wanairukia rukia ngozi ya CHADEMA.
Kufukuza au kuhama hapana.
Kweli kabisa.Hapo CHADEMA itakuwa imekomaa na pia mambo yao wajadiliane ndani ya chama siyo mitandaoni.
Hawo.wachonishi.lindeni.chama.watu.tukuja.kujiunga.chadema.wako.wengi.tujenge.nchi
Ni kweli kabisa kaka
Yani wewe mwandishi kichaa unaacha kutafuta chanzo chahabali na wewe unafatilia mtandaoni
HIKI CHAMA KITAKUFA ITACHUKUA SIO MUDA MREFU... KWA TUNDU LISSU
MICHEZO😂
Umeona eeee 😅😅
Aondoke tu wamemchoka
Kadi yangu nimeshaichoma Moto na kuomba kuwa mwanaccm
Kapumzike wewe