Hakuna sheria wanavunja kupost mali zao. Hatuwezi kuwa nchi ya kuingiliwa na serikali hadi maisha binafsi. Kama una akili utawapuuza kama huna akili watakupiga, kila mtu atumie akili zake sio kila kitu serikali.
Nyie wazee acheni makasiliko acheni watu watambe mbona watu wenye shida wakijiposti mnasema uyuu nae kila siku nguo izo izo mara anapiga picha zake nyingi anapiga uswahilini waacheni watu watambe
Serikali iingilie kati nini? Watu wanapost majumba magari makali au wanawake wakali ni kosa? We kama huna cha kupost tulia! Acha wapost ushamba ukiisha wataacha wenyewe..
Kwanza io serikali ndo inapenda hasaa uwapunguzie mzigo wa kuonekana pesa mtaani hakuna"😃 moreover it's so inspiring if you take what chief god love does towards the society in a positive way inakupa hamasa zaidi ya kutafuta pesa.. msichague kazi vijana tafuteni fursa mfanye kazi mda unaenda.
Physiology ya traders naijua hakuna trader anayefanikiwa kupitia trading alafu aogope kuonyesha kwamba kafinikiwa kupitia trading Huyo kwenye trading sidhan labda ana issues nyingine...
Huo ni ushamba tu bora sisi maskin😂😂😂❤alafu mweny hiyo tabia ni chif god love achukuliwe hatua💥💥💥💥💥kali
Unatobwa
Ameongea point,maana sahv kuna ujing mwingi sana
Uyu mzee namsikilozaga anaakili nyingi sana
Vijana wanaiga sana maisha matokeo yake vijana hawapendi kazi ngumu
Hakuna sheria wanavunja kupost mali zao. Hatuwezi kuwa nchi ya kuingiliwa na serikali hadi maisha binafsi. Kama una akili utawapuuza kama huna akili watakupiga, kila mtu atumie akili zake sio kila kitu serikali.
Je,Mamlaka ya mapato ilishawahi kufwatilia ulipaji kodi wao kwa TRA?maana hakuna ela inayopatikana kwa kuokota
Hivi nani anae penda kupata pesa ktk mazingira magumu bhna
Nyie wazee acheni makasiliko acheni watu watambe mbona watu wenye shida wakijiposti mnasema uyuu nae kila siku nguo izo izo mara anapiga picha zake nyingi anapiga uswahilini waacheni watu watambe
Sasa kwani shida iko wap🤣
Token uko
Serikali iingilie kati nini?
Watu wanapost majumba magari makali au wanawake wakali ni kosa?
We kama huna cha kupost tulia!
Acha wapost ushamba ukiisha wataacha wenyewe..
Nilikua naisoma hii comment nikahisi kama umeikosea ila ulivomaliza mwiaho nimekupata vema 🙏 kumbeh NI USHAMBA
Nakubaliana na wewe kabisa. Kutaka serikali iingilie maisha binafsi ya watu ni ujinga.
Kwanza io serikali ndo inapenda hasaa uwapunguzie mzigo wa kuonekana pesa mtaani hakuna"😃 moreover it's so inspiring if you take what chief god love does towards the society in a positive way inakupa hamasa zaidi ya kutafuta pesa.. msichague kazi vijana tafuteni fursa mfanye kazi mda unaenda.
@@ogdosho93 hapa siungani na wewe mkuu
Tuache makasiriko tuache vijana wa enjoy
Mbona kama wate mnahasila yaan mmefula wote kwani nipesa zenu
Wivu TU unawasumbua
mtastuka kumekucha wenzenu wana trade tu
Physiology ya traders naijua hakuna trader anayefanikiwa kupitia trading alafu aogope kuonyesha kwamba kafinikiwa kupitia trading
Huyo kwenye trading sidhan labda ana issues nyingine...
Pesa Zinapatikana kwenye jicho la tatu
😂😂😂😂😂😂😂😂mbavu zangu jmn😂😂