Gumzo na Mwanasheria Othman: Muungano, Katiba na Mamlaka kwenye Ajenda ya Zanzibar (Silsila 3)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 78

  • @mohamedsuleiman7255
    @mohamedsuleiman7255 4 ปีที่แล้ว +7

    Eeh Mwenyezi Mungu tusimamishie haki na uiporomoshee mbali baatil

  • @alhamdulillahalhamdulillah7529
    @alhamdulillahalhamdulillah7529 2 ปีที่แล้ว

    Huyo Nyerere mwenyewe Anaomba Mungu huko aliko Zanzibar iwe huru ilinae apate uhuru kidogo

  • @harounkuchi9100
    @harounkuchi9100 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongereni sana kwa kutupa elimu hii Allah awabak ili muzd kutuelimisha, mimi kuseme kweli mumenifumbua macho, najifaham kama ni Mzanzibar na wajibu wangu kwa nchi yangu

  • @salehrasta9165
    @salehrasta9165 3 ปีที่แล้ว

    Allah akuhifadhi akuongoze,maalim othman,🤲

  • @abdizahor7212
    @abdizahor7212 3 ปีที่แล้ว

    Othman masoud hongera sana tumepata mfariji wa kuitetea Zanzibar ila usiwaachie kuhusu kitambulisho cha mzanzibari sisi niwazaliwa wa Zanzibar tusipewe kitambulisho cha mkaazitu maanayake hakuna mzanzibari

  • @mwigaali8800
    @mwigaali8800 4 ปีที่แล้ว +2

    Nalia na Zanzibar mie mungu kutujaalia Zanzibar kuwa Nchi,jamuhuri tukashiindwa kuitetea tanatetea chama (ccm) kuliko inchi yetu 😭

  • @sabrakhamis8070
    @sabrakhamis8070 4 ปีที่แล้ว +12

    Ni maoengezi muhimu kwa kila Mzanzibari hakika yanahitajika kwa viongozi wote ili wafikie maridhiano ya kweli.Njia.bora nikuepuka yale mazuri yasipotee na kurekebisha nia mbaya iwe njema ili kuukuza udugu bila athari kutoka upande wowote

    • @hebronmalatila6186
      @hebronmalatila6186 4 ปีที่แล้ว +1

      Wazanzibari ! Kudai kuwa ni Watanganyika , ndo wanaowakandamiza hadi kuwapora Uhuru , Haki na madaraka ! Siyo Kweli na Sahihi. Kinachowakabili Wazanzibari ndo kinachowakabili Watanganyika ! Jibu la bala la Watanganyika na Wazanzibari , ambalo lilianza rasimi miaka 1961 na 1964 . Suluhu IPO, lakini lazima historia itumike kuanzia pale vuguvugu la kumwondoa mkoloni ktk Tanganyika. Aliye dhurumu Uhuru , Haki na Madaraka ya Watanganyika ni mkoloni mwenyewe. Kwa Mgongo wa Vibaraka Weusi kutoka ktk nchi mojawapo ktk bara la Afrika! Ndo mkoloni aliwakabidhi Uhuru , Madaraka na Haki ya kuimiliki na kuitawala Tanganyika miaka ya 1961 na 1963 kwa Tanganyika. Hivyo hivyo Upande Wazanzibar miaka kabla ya 1963 na 1964. Vibaraka weusi waliyofunzwa hila hiyo ! Waliandaliwa na kufunzwa kabla ya miaka ya 1960 na wote walishakufa na hawapo kabisa. Hawa waliyopo ! Ni wachache kwa idadi yao hapa Tanganyika, na ni kizazi kipya , watoto wa Vibaraka weusi waliyotoka nje ya mipaka ya Tanganyika na weusi ndani ya Tanganyika kabla ya tarehe 9/12/ 1961 , na waliyokuwepo tarehe 9/12/1961 ndani ya Tanganyika. Na hapa Tanganyika ikawa Tanzania na kizazi kipya hicho kinaitwa Watanzania. Na Upande wa Wazanziba kinaitwa Wazanzibara. Kimsingi hiki kizazi kipya kilicho na damu ya Watanganyika na Vibaraka wa Wakoloni kutoka nje ya Tanganyika na Zanzibar! Uovu wake siyo wa kimaumbile , isipokuwa unatokana na mafundisho Ovu kilichorithishwa na wazazi Vibaraka weusi kutoka nje ya Tanganyika vz Watanganyka na Wazanzibari upande wa Zanzibar. Shida tatizo linalowangamiza Watanganyika waliyo wengi ndani ya Tanganyika na kuangamiza kwa Wazanzibari ndani ya Zanzibar ! Mwanzo na ilivyo ndo hivyo ilivyo sasa hivi leo.

    • @majidhaji8112
      @majidhaji8112 4 ปีที่แล้ว +1

      @@hebronmalatila6186 nimekuelewa lakin umeongea kimafumbo sna ila chamcng ili kuwe na aman bas kila nchi iwe huru na mambo yake na iwe na maamlaka yake bad apo na amin tanzania itazaliwa mpya ila bila ya ivo hakuna ktu

    • @FatmaAli-uu5qj
      @FatmaAli-uu5qj 4 ปีที่แล้ว

      Brother uko vizuri Allah akubarik ,

    • @FatmaAli-uu5qj
      @FatmaAli-uu5qj 4 ปีที่แล้ว +1

      Muungano unatunyonya

  • @mohamedmande3958
    @mohamedmande3958 3 ปีที่แล้ว

    الله جيبنا زنجبارنا... اللهم آمين

  • @handhalhandhal4608
    @handhalhandhal4608 4 ปีที่แล้ว +2

    I appreciate your wisdom words and presentation.

  • @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477
    @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 4 ปีที่แล้ว +7

    Baadhi ya wazanzibar wanawachukia wanaodai mamlaka ya zanzibar kwa kuwa wao nanapewa chochote kitu ili kudhulumu lkn ukweli utabakia ukweli hata wachukie tutaendelea kudai mamlaka yetu wala tusirudi nyuma

  • @laylayahya24
    @laylayahya24 3 ปีที่แล้ว

    Shukran sana .

  • @mohamedfaki1666
    @mohamedfaki1666 4 ปีที่แล้ว +8

    Othman upo vizuri tunakukubali sana,lkn kila tunapozidi kuujua ukweli nyoyo zetu zinaumia hadi zinataka kupasuka, tufanye nn sisi hata tujitowe kwenye dhulma hii ya Muungano?

    • @aminamauhfoda9201
      @aminamauhfoda9201 4 ปีที่แล้ว +2

      Nimtihani wallah lakini munguyupopamoja nasii

    • @mchezoramadha9045
      @mchezoramadha9045 4 ปีที่แล้ว

      Tuwasalie rakareni tu.mafalimu alwaa awahukumu

    • @khamismaulid6839
      @khamismaulid6839 4 ปีที่แล้ว

      Hatari haswa na nimaumivu yasio mfano

  • @sayidabdillah8505
    @sayidabdillah8505 4 ปีที่แล้ว +6

    Sisi tunajitaji nchi yetu kamili ya Zanzibar hatuhitaji kugaiwa gaiwa mamlaka na Tanganyika acheni ujinga Tanganyika sawa

  • @chaumaraali8201
    @chaumaraali8201 4 ปีที่แล้ว +1

    asante mzee

  • @amanmohd9435
    @amanmohd9435 4 ปีที่แล้ว +4

    Mambo mazito kwa kweli.

  • @abbotazimio3870
    @abbotazimio3870 4 ปีที่แล้ว +2

    Hii imekuwa kama Hong kong na Uingereza au Argentina na Uingereza juu ya visiwa vya Falklands!
    Katiba tuliyorithi Tanganyika toka 1962 tulitengenezewa na Waingereza wakatubwaga kwenye Vita baridi!!!

  • @msellemseif3102
    @msellemseif3102 2 ปีที่แล้ว

    WAZANZIBARI TU

  • @sayidabdillah8505
    @sayidabdillah8505 4 ปีที่แล้ว

    Shekh Othman massoud tupo pamoja na nyinyi viongozi wetu tunawaomba musichoke piganieni mamlaka yetu ya Zanzibar yarudi ktk mikono yetu,hatupendi kukaliwa na Tanganyika kichwani kwetu

  • @husseinali9760
    @husseinali9760 4 ปีที่แล้ว +4

    Tuntka nchi yetuu hatutkii muunganoo

  • @saidwayawaya5356
    @saidwayawaya5356 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakuafutilia kaka. Kila shmu ulipo naweza kusema nipo.

  • @mohamedmande3958
    @mohamedmande3958 3 ปีที่แล้ว

    يا ربي،،، ربنااا. تعااااابن ولله...

  • @aulidriver3102
    @aulidriver3102 4 ปีที่แล้ว +6

    The sovereign of Zanzibar Will come again inshallah. kila nchi iangalie mamlaka yake

  • @othmanjecha9375
    @othmanjecha9375 4 ปีที่แล้ว +1

    Nd. Muhammed mwalimu wangu ulinisomesha CIVICS pale TAKILUKI miaka ya 1998 - 1999 nakukumbuka sana

  • @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477
    @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 4 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe watu wanadanganjwa kweli hasa ndugu zetu wa ccm mtihani

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 3 ปีที่แล้ว +2

    Ujasiri wako wa kuitetea Zanzibar ktk tume ya maoni pendekezwa ndio kitachokupa wa Zanzibari wakupende.

  • @yahayaali980
    @yahayaali980 3 ปีที่แล้ว

    Umoja wa mataifa unapaswa kutatua hitilafu ilioko Zanzibar ikiwemo ukaliaji wa mabavu wa serikali ya Tanganyika Zanzibar ipewe mamlaka kamili iwe na jeshi Lake.

    • @gangmore9091
      @gangmore9091 2 ปีที่แล้ว

      Umoja wa mataifa ndio sababu y haya yote Marecani ndio anaongza huo umoja wa mataifa na ndio master plan yye n wengereza yalofnyika Zanzibar kesi ishapelekwa huko kwao adi leo hakuna lilofanyika

  • @didallykhamis8709
    @didallykhamis8709 4 ปีที่แล้ว

    Ni kweli mualimu wangu lakini ukiujadili tuu mara umejichimbia kisima

  • @abdulkidau3178
    @abdulkidau3178 4 ปีที่แล้ว +2

    Clip tunaipataje hii tafadhali

  • @husseinali9453
    @husseinali9453 4 ปีที่แล้ว +4

    wazanzibar tunataka mamlaka yetu kamili watanga nyika waache ubabe wanajiona mabwana kumbe niwa shamba tu.

  • @Mido-eh9vz
    @Mido-eh9vz 4 ปีที่แล้ว +6

    Kuna viongozi wachche wa Ccm ndio wanafanya znbar kukosa mamlaka yke kwasbbu wao wanapta maslahi lkn wajuwe hii dhambi ipo siku itawahukumu.

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 3 ปีที่แล้ว

      Sasa hivi inawahukumu CCM kabla ya kufa hawajijuwi wala hawajitambuwi kwa kutesa Wananchi kwa miaka. Na Nchi haikai sawa. Kikitengenezwa kichi kinaporomoka kile.

  • @jumaali2832
    @jumaali2832 4 ปีที่แล้ว +5

    tuna tak tujitawale wenyewe wa znz tushachok kuburuzwa na tanganyik

    • @ukhtyalpha1344
      @ukhtyalpha1344 4 ปีที่แล้ว +4

      Kama tunayataka hayo tuungane

    • @mohammedhamad9392
      @mohammedhamad9392 4 ปีที่แล้ว +2

      Swadakta

    • @mangofish9079
      @mangofish9079 4 ปีที่แล้ว +2

      @@ukhtyalpha1344 chini ya utawala wa ccm hilo halipo mfano bunge la katiba hebu jikumbushe hali ilijuwaje utapata jawabu.

  • @hajikhatib8840
    @hajikhatib8840 4 ปีที่แล้ว +1

    Muungano hauwafai wazanzibar.maana hata jembe la chato linafanya maendeleo kwai tanganyika ila zanzibar hajafanyia kitu chochote

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 3 ปีที่แล้ว

    Hamna kitu hapo!

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 ปีที่แล้ว

    Hamuwezi kuvunja muungano waanzilishi waliangalia mbali maana kanchi kenu ni kadogo sana nyie mnataka kutawaliwa na warabu tu mnapenda utumwa sana

    • @gangmore9091
      @gangmore9091 2 ปีที่แล้ว

      Bdo upo karne y kabla ukoloni nani anaetawali karne hi Ruwanda nchi ndogo Singapore nchi ndogo mbona haitawaliwi n wakoloni ifike time mujitambuwe mazezeta km ww

  • @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477
    @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 4 ปีที่แล้ว +2

    Mpka rais wakutuongoza wazanzibari Leo tuna chaguliwa na tanganyika enyi ccm wazanzibari mutafakari sana bado munaimaliza kbs

    • @majidhaji8112
      @majidhaji8112 4 ปีที่แล้ว

      Si wnaona wnajaza tumbo lao kila ktu wnakipata majtaji yote so wna was was wann ndio wakumbule wengn yan Mungu anawaona sna

  • @yahayaali980
    @yahayaali980 3 ปีที่แล้ว

    Msajili wa vyama vya siasa kazi yake ni kuvuruga vyama vya upinzani kwalengo la kunufaisha chama tawala ccm maana ndiyo iliyo mpa kazi sasa hiyo sheria umesomea ya nini? maana hujui wajibu wako
    wa kazi wewe unafuata kivuli ya ccm

  • @mlapikauma7660
    @mlapikauma7660 4 ปีที่แล้ว +2

    Ccm wenzangu tukae tufikirie hili ..Zanzibar kwanza.. Hakuna ataeweza kuiokoa Zanzibar...Maalim pekeee..

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 4 ปีที่แล้ว

    wazanzibar mnaangushwa na ccm ndio adui namba moja wazanzibar tafakarini

    • @fakihdarusi4385
      @fakihdarusi4385 3 ปีที่แล้ว

      Hahahahha haha weeew NANI KASEMA SISI TUNAUNGANISHWA NA IMANI ZA UISLAM WETU

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 3 ปีที่แล้ว

    Jamani huyu Nyerere kwani akisema kitu hakifutiki???? mpaka leo bado mnasikiliza maneno yake? Ikiwa yako mazuri watu wayafate...Sote tunajuwa QURAN TUU na vitabu vya Dini ndio vinafatwa na hatuwezi kuvibadilisha. Fungeni na chaneni pages zilokuwa hazina faida wacheni kutesa WANANCHI.

  • @khamisshaaban4599
    @khamisshaaban4599 3 ปีที่แล้ว

    mh makamo wa kwanza wa rais sasa kapige kazi ututetee hayo mambo yaa muungano yamepitwa na muda

  • @yussufhanau1872
    @yussufhanau1872 4 ปีที่แล้ว +4

    Ukweli utabaki kua ukweli tu

    • @hidayabakar7026
      @hidayabakar7026 4 ปีที่แล้ว +1

      Kweli utakuta Kaka zetu wasomi wanangangani CCM Kwa kujaza mitumbo yao tuu na maslahi Yao wengine wananganiya CCM Kwa kutukandamiza znz ili wtt wao wapate kazi jamani
      Mdomoni kuwa CCM moyoni iyondowe Kura Kwa maalim tuwe na mamlaka
      Kamil na tutoke kwenye udhalim tutadhulumiyana mpaka lini jamaniii

    • @stahamilhassan4072
      @stahamilhassan4072 4 ปีที่แล้ว

      Tukifanya masikara zanzibar twaikosa sawasawa zanzibar ilikuwa nisoko kubwa la biashara lkn sahivi wapitena mtihani kabisa

  • @samsonhaule5422
    @samsonhaule5422 4 ปีที่แล้ว +2

    Hilo jamaa Halijielewi, Kwani Anao utaka Muungano nani? Wana Nchi wa Tanganyika Hakuna hata mmoja Anao Utaka muungano.

    • @gangmore9091
      @gangmore9091 2 ปีที่แล้ว

      Sasa nani anaetaka Mungano jee ulimsikia Kusema watanganyika wanautaka Mungano???

  • @mramsayo1025
    @mramsayo1025 3 ปีที่แล้ว

    Tuwe makini waafrica,wamagharibi wanatuvuruga sana, maana hawaongei icpokuwa uchonganishi, angalieni libya yalianza haya haya wakachukiana walibya kisha wakamuua Gaddafi, mkataba wa kikasusi yeye ana access gani mpaka kujua marekani mikataba yake, mwangalieni huyu jamaa ni kibaraka wa kimagharibi

    • @gangmore9091
      @gangmore9091 2 ปีที่แล้ว

      Unaijua history ya Zanzibar??

  • @abdallajuma5371
    @abdallajuma5371 3 ปีที่แล้ว

    M

  • @joelchunga8290
    @joelchunga8290 4 ปีที่แล้ว

    Masood naona unajua kila kitu wewe mchango wako uko wapi broo

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 3 ปีที่แล้ว

      Mchango wake wa kwanza ni kukuelimisha wewe kama Mzanzibar ujue kuwa hawa ccm hasa kutoka Zanzibar hawana dhamira njema ya kutupatia maendeleo ya Zanzibar .bali ndio hutumika kuturudisha nyuma kimaendeleo.pia sio wakweli katika kuitetea Zanzibar ukishalijua hilo utafanya maamuzi sahihi wakati wa uchaguzi kwa kutompigia kura unaeturudisha myuma kimaendeleo .

  • @talibsaid8081
    @talibsaid8081 4 ปีที่แล้ว

    Mbona huseemi kuwa muunhano ndo ulowafanha wapemba kuwa mamilionea kama huamini nenda ilala kariakoo uayaone maduka ya wapemba yalibyojaa, vilevile Zanzibar haikuwa na passport yake

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 3 ปีที่แล้ว

      Acha ujinga wapemba wana magorofa mpaka Mombasa -kenya,Ungereza pia wapo ,vipi kule tumeungana nao wewe huna ufahamu na mambo wewe sikiliza tu ili uweze kupata ufahamu .

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 ปีที่แล้ว

      Uko sahihi!

    • @fakihdarusi4385
      @fakihdarusi4385 3 ปีที่แล้ว

      KWANI UNADHANI WA UAE hawana magorofa kwani KWAO?

    • @gangmore9091
      @gangmore9091 2 ปีที่แล้ว

      Sema Wazanzibar n sio wapemba Zanzibar ilikua passport n kutambulka kimataifa ilikua n kila kitu wazanzibar tupo kila kona y dunia jee marecani tupo vipi tumeungano nayo yaan Watanganyika weng hamunahoja zamana mara tupo wengi mara tunmiki ardhi

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwakeli muungano unatunyonya
    Zanzibar kwanini wao watanganyika
    Wana maamuzi yao sisi zanzibar
    Mpka tuwapigie magoti wabara

    • @fakihdarusi4385
      @fakihdarusi4385 3 ปีที่แล้ว

      YAANI ILO NDIO SWALI LANGU GUMU?

  • @didallykhamis8709
    @didallykhamis8709 4 ปีที่แล้ว

    Ni kweli mualimu wangu lakini ukiujadili tuu mara umejichimbia kisima