ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Mtihani kweli mungu atupe mwisho mwema Amina
Dah huyu baba ana moyo wake mara mbili bado unaishi nae hongera zako mzee baba
😂😂KUMBE kufumaniwa sawa na kupandisha mashetani dada kanichekesha sana
Baba kiukweli una ustaarabu mzuri, mwingine angeua ,ndiyo kifo vinaitwa wivu wa mapenzi
Baba tafuta mke mwingine huyo hakufai, hii ni aibu na dharau.Pole sana
Uyo mwanamke mwenyew mcharko atar yy yupo bize na cm tena kwa saut 😂😂
Daaaah Hiiii zinahaa hadii lini jaman tuweee na hofuu ya munguu kwanzaaa
Mbona..balahaa.jamani.duu😂😂😂😂😂.pole.baba..uliyo.mfamania.panzilinauma.sanapolle..sana.baba❤
Hilo limke ni malaya hata chumba cha mchepuko,hakina hata silling bord.Acha ufala mxee kila siku wamfumania mkeo hukomi
😂😂😂
Kaka pole sana jamani mmmh
Mzaram huyo sijui mdomo sana malaya mkubwa
Mhh🎉😂dunia ni achehche man
😂😂😂Mafumanizi siku hizi nikama swagaa michepuko shkamooo😂😂😂
Wewe mwandishi mnafiki mkubwa unaalibu tasnia ya habari
Kwanza hapo shetan wauzinifu ni pombe😢😢
Huyu jamaa aibu kaumbuka mpuuzi huyu
Mbona dawa ndogo tu mkamateni huyo Bonge tafuteni mafuta halafu mfireni hiyo itakuwa dawa yake maana Mke wa Mtu Sumu, mfireni huyo Bonge.
Linajidai kujibu dry,wananchi walipige.
Jamani mmmmh Majirani zangu
Hii kali walhah
Hapa hamna mke bali kuna mdangaji 😏😏😏🙌🙌
Kaka hapo huna mke maana majibu tu ya mke tu atakusumbua inaonekana tayari moyo wa mkeo umeshabadilika
Wanawake wengine ni tamaa tuu hakuna hakuna cha zaidi ulimbukeni tuu usio maana.
Ilikua n mtaani kbx
Ulikuwa unamuonea kumpiga kwani mwna mke kaenda mwenyewe
Huyu baba mwenye mke awe mfano wa kuigwa au mnasemaje wadau.? 😁😁😁😁😁😁😁😁
Yan umfumanie mke wako na mtuy mwingine fain laki na nusu duuh angepigwa fain milion nane ndo akome
Wote.nadanganao..uyo.mwanamke..hana.balaa.sana..mtiani
Mwanaume uy jamni angekua mm amenipa mkono kuniomba msamaa ningekanyaga juu nikauvunja
Kwa hiyo mgoni anajifanya kidume. RB ichukuliwe.
Huyu mwanau ni mjinga san angepigwa na wanachi mjinga san
Mtie kwaju la mgongo
Huyu mwenyekiti ni wa mfano wa kuigwa.ametatua mgogoro.
Huyo mwanamke ni Malaya 2
Serikali naomba mumchukulie hatua mwandishi uyo kwamaana sidhani kama Kuna ulazima wa kumuoji mtu. Tena Kwa nguvu na ubabe ni jambo la kufedheheshana
Uyo mwanamke hafai kaka muache
Waandishi wa habari kiboko
Nyie wanaandishi acheni umbea fanyeni kazi nyingine
@@nassornyanyagi5126 Kazi gani
basi ufirwe wewe hujui kama mke wa mtu sumu.
Hiyo Ndo kazi Yao Sasa Wewe utapata wapi umbea Kama Bando una weka kisa kuingia mtandaoni Sasa Ndo huku kwakina Wandishi
Haya wakiuwawa huwa wanaonewa huluma hili ni tukio ambalo linaweza kuleta mauaji ila linaonekana kama kawaida duu
Ni kwel kabisa na uyu baba anahasra moyon sana
😂😂washabiki wa Asernal haooooo.daah avue hio t-shirt,, lijingaa kweli
Mkeo ndio malaya kajipeleka mwenyewe sio mkehuyo achana nae
Jamani huyo Baba ni mstaarabu sana,huyo mke ni lijinga kweli
Kama ukiona mke au mme anatoka nje ujue kuna kasoro ndani mwenu .
Sio kasoro kaka David nitabia ya mtu ndio jawabu sahihi shukran
Subir likukute alafu utajiuliza unakasoro gan?Mara nyingi wanaotendewa haya wanakuwaga naupendo wa dhati
Unakumbuka ulimchukulia wapi ili likaaba achananalo. Nyie ote apo wapuzi
Usitukane watu,kama niwewe usingekubali KUTUKANWA,acha UJINGA kijana
Waandishi tafuteni kazi za kufanya acheni uchonganishi,mtu anakwambia muache wewe unaendelea tu ndo maana mnapigwaga nyie
Wallah dunia haina khay duuh
Usichunguze bata,ww
😢
We mwandishi we ukifumaniwa utaweza kuongea? Ndo maana huwa mnapigwa sasa unataka aongee nini wakati kashakiri kosa waache watamalizana hapo mnadhalilishana tu
Huyo Mwanamke ni ibilisi muache atafute maibilisi wenzake Achana nae huyo hana Adabu kabisa huyo ni Azam tv burdani kwa wote atakupa shida
Umbea mtamu mmekuja mbio

Jamani mmmmh
Majirani zangu