🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • 🔴#Live: RC CHALAMILA AUMALIZA UTATA wa SOKO la SIMU 2000 - "ACHENI KUFUNGA MADUKA TUTAYAMALIZA"...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 26

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  2 หลายเดือนก่อน +2

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hiyo inaitwa kutengeneza tatizo na kuja kulitatua mambo ya kisiasa hayo....

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 2 หลายเดือนก่อน

      Uko sahihi

    • @D.P.O
      @D.P.O 2 หลายเดือนก่อน

      Kabisa aisee

  • @phankaphares7134
    @phankaphares7134 2 หลายเดือนก่อน

    Machinga wapo sahiii sana

  • @hamadsheni8997
    @hamadsheni8997 2 หลายเดือนก่อน +1

    KITABU CHA ISAYA 10 MSTARI WA KWANZA. YEHOVA ASEMA OLE WAO WATUNGAO SHIRIE ZISIZO ZA HAKI.

  • @mamakayla6697
    @mamakayla6697 2 หลายเดือนก่อน

    Wafanyabiashara wa simu 2000 wasiondolewe jamani,😢 maeneo ya wazi yapo meeeengi, kwa nini muwafuate watu na kuwatia hasara? Peleke karakana hata kule kibaha.Huku bucha ndani ndani nyuma ya Ebonite School kuna eneo kuuuubwa lipo wazi,wapani dart huko, acheni kusumbua watu wakati misitu ipo.

  • @PeterJohn-sg4oe
    @PeterJohn-sg4oe 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uchaguzi unatumika kama rushwa

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 2 หลายเดือนก่อน

    Kamari,aje wandishi bana.kasema jmos ndo anakuja kutoa majibu na watu wengine.sio kamaliza utata.

  • @Chakol123-k7s
    @Chakol123-k7s 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wao DAT waende kuweka kalakana pale jangwani eneo lipo linajaa majani tuu eneo halina kazi

    • @NM-yl2uw
      @NM-yl2uw 2 หลายเดือนก่อน +1

      sio kalakana ni karakana

    • @Chakol123-k7s
      @Chakol123-k7s 2 หลายเดือนก่อน

      Kikubwa umeelewa nn nilimaanisha ingekuwa hujaelewa hapo sawa... Asante

    • @NM-yl2uw
      @NM-yl2uw 2 หลายเดือนก่อน

      @@Chakol123-k7s shida ilikuwa sio kuelewa nimekurekebisha ili kesho usijekosea tena. kuwa na utayari wa kupokea masahihisho

    • @Chakol123-k7s
      @Chakol123-k7s 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@NM-yl2uw okay teacher

  • @Chakol123-k7s
    @Chakol123-k7s 2 หลายเดือนก่อน

    Wanataka dar nzima ije barabara tuu 😢

  • @nurdinkassim
    @nurdinkassim 2 หลายเดือนก่อน

    Kumbe vurugu hazitokei wananchi wakisikilozwa kwa wakati hongera chalamila

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 2 หลายเดือนก่อน +1

    mbona yy hajitambulishi ni nani?

  • @Chakol123-k7s
    @Chakol123-k7s 2 หลายเดือนก่อน

    DAT Waende hata mloganzila huko kuna mapori kibao kwani lazima hapo

  • @D.P.O
    @D.P.O 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ccm tena duuh hovyo kabisa😂

  • @D.P.O
    @D.P.O 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hao wote wanaenda kupangwa kwa nini wasiitwe hapo hapo na kuulizwa mpaka uende kuongea nao?

  • @SamwelMnaga
    @SamwelMnaga 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wafanyabiashara wako sahihi

  • @Boaz-Gwanko
    @Boaz-Gwanko 2 หลายเดือนก่อน +3

    HUYU KIJANA NI KIONGOZI MZURI.

  • @gekstamina8332
    @gekstamina8332 2 หลายเดือนก่อน

    wananchi wanasema “ANATUITWA MBWA HUYOOO”…baadhi ya viongoz wanaviburi wakati ni wa kuteuliwa/kupigiwa kura

  • @edwinerick5735
    @edwinerick5735 2 หลายเดือนก่อน

    Manispaa ya ubungo ni utumbo mtupu…hakuna anayeridhishwa na utendaji wao…juzi tu apa manzese nao walifunga maduka yao…manispaa ya ubungo ni jipu

  • @PhilkevinFelix
    @PhilkevinFelix 2 หลายเดือนก่อน

    Meya anacheeeka

  • @phankaphares7134
    @phankaphares7134 2 หลายเดือนก่อน

    Charamila mtu wa maana kabisa wewe ni zao la JPM ushauli wako Machinga nchi nzima tumekuelewa