Du mchungaji ubarikiwe muno unassidia watu wengi sana kiukweli hata mimi kwenye kila jambo mchango wakati sadaka zinatolewa nimejiuliza sana kwani sadaka zinafanya nini sijawahi kupata majibu
Mchungaji naomba unisaidie kwenye fungu la kumi kwa sasa MUNGU anataka tutoe kwa namuna ipi maana wengi wanasema kila faida tunayoipata kwenye biashara ni kweli
NAYAANGALIA SONDA MUNO HAYA MATAPELII WAO TU NDO WAJAZE MATUMBO WAAMINI WAO WAOMBE WAKIWA WAHITAJI ILA WAO WACHANGIWE CASH WAKITAKA GAR AU NYUMBA PUMBAVU HAWA JAMAA MITUMBOO MIKUBWAA
1 Korintho 9:13-14 Bibilia inasema waihudumiao madhabahu wanakula madhabahuni, sasa hii point yako kidogo sijakuelewa mtumishi umemaanisha nini unaposema mgawanyo
Kama wa madhabahuni hula vya madhabahuni . Waimbaji,wazee,mashemasi na viongozi wengine wanafanya Kazi wapi. Au wao fungu Lao litakuwa wapi. Soma vizr andiko wachungaji wengi wanatafsiri kwa faida yao
Wivu utaisha lini wewekiumbe naonahukuitwa ila umbeya ndo ulilotumwa unazeeka vibaya unajifanya kujia yote tapeli wa mtandaoni kazi kujihesabia haki mnafiki
Amen ubarikiwe sana
Hapo Bro,umegusa saccos za watu ipo siku tutaongea lugha moja!
ila kwell mtumishi mungu akubaliki sana
Mungu akubaliki sana mbalikiwa mi nakuelewa sana sana sana
Hii imenisumbua siku mingi asanti.
Very true
🎉🎉🎉🎉
Ningekuwa mbeya ningekuwa muumini wako,unaiishi kweli bila kupepesa macho wala unafiki..
Bwana Mungu na awe mtetezi wako.
Last week nimepita isyesye tamaa yangu one day nukutane na Mbarikiwa huenda akaniambukiza Upako
Kwa dodoma kanisa lako liko wapi?
Mfumu huu ungefwatwa wachungaji wangekua wachache duniani tena wakuokoteza
Yaani hapa baba ubarikiwe sana ata mimi huwa najiuliza maswali kuhusu hili Leo nimefunguliwa kabisa
Ila mm huwa sifuatilii sadaka zinaendaga wapi , natoaga tuu nikiangalia Mungu amepokea basi
Hii ni ile injili ngumu isiyoghoshiwa
Du mchungaji ubarikiwe muno unassidia watu wengi sana kiukweli hata mimi kwenye kila jambo mchango wakati sadaka zinatolewa nimejiuliza sana kwani sadaka zinafanya nini sijawahi kupata majibu
1kor9:15 nikinyamaza ntakufa nikiongea ntakufa
Mchungaji naomba unisaidie kwenye fungu la kumi kwa sasa MUNGU anataka tutoe kwa namuna ipi maana wengi wanasema kila faida tunayoipata kwenye biashara ni kweli
Bwana weeee mbona unanyosha mlemle natamani utujuzeee zaidii kuhusu mwenyezi mana tunapola mno
NAYAANGALIA SONDA MUNO HAYA MATAPELII WAO TU NDO WAJAZE MATUMBO WAAMINI WAO WAOMBE WAKIWA WAHITAJI ILA WAO WACHANGIWE CASH WAKITAKA GAR AU NYUMBA PUMBAVU HAWA JAMAA MITUMBOO MIKUBWAA
Hapoo umegusa penyewe namwengine ameame amua kuzima cm 😂😂😂 sijuwi ndo sonda mnoo
Hakika wewe ni sauti ya Mungu umelenga mle mle
Kumbe mafuta yametajwa.
Imeniumiza muda mrefu sana , ahsante.😂
Kwahiyo sitoe au
1 Korintho 9:13-14 Bibilia inasema waihudumiao madhabahu wanakula madhabahuni, sasa hii point yako kidogo sijakuelewa mtumishi umemaanisha nini unaposema mgawanyo
Kama wa madhabahuni hula vya madhabahuni . Waimbaji,wazee,mashemasi na viongozi wengine wanafanya Kazi wapi. Au wao fungu Lao litakuwa wapi. Soma vizr andiko wachungaji wengi wanatafsiri kwa faida yao
@@felixchitandagospelsongs617kweli kabisa nakama mchungaji haili ampe mhitaji ndani ya kanisa
Mungu amekuleta kwa ajili ya kizazi hiki!
Ni kweli kabisa kwamba anatakiwa kula vya mazabahuni lakini sasa si kwa ubinafisi wake tu pasipo kushiliki na wengine.
Wivu utaisha lini wewekiumbe naonahukuitwa ila umbeya ndo ulilotumwa unazeeka vibaya unajifanya kujia yote tapeli wa mtandaoni kazi kujihesabia haki mnafiki
Msikilize taratibu Kaka
Achaubishi sikiliza vizuri mbona mchungaji ana fafanua vizuri awu nawewe nimiongoni unayekula vyawatu
Mchungaji ameldnga sana, wengi ni wizi tu@@ashelikilele167
Pole sana kaka.