Mla Nguruwe Ajibiwa Swali Nguruwe na Uisilam-Ustadh Mwalimu Shabani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 113

  • @SaidiKiemke-g2k
    @SaidiKiemke-g2k หลายเดือนก่อน +7

    Mungu akupe maisha marefu ostadhi wetu

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 หลายเดือนก่อน +3

    Shee.wangu.mungu.akuifadhi.una.elimu.adabu.huna.majivuno.unafundisha.kwa.hekima.shida.ya.wakristo..wana.chuki.na.mtume.s.w.

  • @hajiramadhanihaji355
    @hajiramadhanihaji355 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu bwanamdogo anasaidia Sana kuufundisha uislamu kutokana na maswali yake Mimi nampenda Sana.

  • @ShafiunaWaziri-vz7bi
    @ShafiunaWaziri-vz7bi หลายเดือนก่อน +6

    Ninachojua mm wakristo kazi sana kuwaeleza wakaelewa wanataka muhammadi alicho fanya basi yesu naye kayafanya ila wanashindwa elawa jabo alilofanya yesu Muhammad mingene yanalinga na hawezi kufanya yote ya mwezake kwa sababu na yeye muhammadi anayake ya kufanya na mazingira ya yesu ya wakati wake na Muhammad mazingira yake pia tofati kwa wakati yake ili waelewe ndugu zetu wa kristo kuna vitendo kafanya yesu na maneno kasema yesu je kuna vitu vinaendana wakishajua ayo naamini wataslim sasa mtu anasema yesu awezi kuwa muisla kwa sababu ajashuhudia jiwe jeusi sasa uyu inaonyesha mvivu wa kufikili yeye angetoa jeusi angebaki na jiwe alafu angeuliza je wakati wa yesu yesu akuwahi kushuhudia jiwe lolote mambo ndio yale yale nanaenda kinachowachanyaga mazingira na majukum waliyopewa na mungu sasa wanataka yafanane ilo ndio tatizo lao kubwa ndio naliona

    • @Malaikah.channel
      @Malaikah.channel หลายเดือนก่อน

      Ostadh nahisi unaeza kunisaidia... Mm nina swali langu.
      .....Ukisoma Surah Al-Ahzab 56 inasema...Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika wake wanamsalia Nabii. Enyi mlio amini! Msalieni na mumsalimu kwa salamu.
      Swali wanadamu au viumbe vyote vinapaswa kupeleka sara kwa MWENYEZI MUNGU kwa sababu MUNGU ndio TOP tena kwa kusujudu( Unyenyekevu) kama mnavoimiza.
      Je Huyo mwenyezi Mungu na malaika zake wakiwa wanamsalia nabii sara zinaenda wapi?
      Pili....Je kulingana na mafundisho mazuri kuwa ukiwa katika sara unapaswa kunyenyekea( kusujudu) je huyu mwenyezi mungu atakua anasujudu si ndio.
      .....basi Ebu nisaidie hayo majibu kwanza labda ntapata mwangaza.

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 หลายเดือนก่อน +1

      @@ShafiunaWaziri-vz7bi wewe Muhammad alifanga machafu kuoa kitoto Aisha miaka 6 na kuuwa watu ufanani na Yesu kamwe Yesu ni mwokozi wetu Muhammad ni muuaji na ni mpinga kristo ndiomaana mnamuombea rehema kwasababu ya matukio sis Yesu kristo hatumuombei chochote sis tunamuomba Yesu atusamehe atuokoe na tuingize mbinguni Kwake

    • @hamzayesu2017
      @hamzayesu2017 หลายเดือนก่อน

      ​@@prochesernest5439Kwa hiyo kumbe alieolewa ni dadako au mbona umeumwa sana hivyo, nauliza nyanya yako wanne aliolewa akiwa na miaka mingapi?

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 หลายเดือนก่อน

      @@hamzayesu2017 muombee rehema ana matukio kibao huyo mtume baada ya kujiombea rehema wewe unamuangaikia huyo marehemu Toka huko njoo Kwa Yesu kristo mwokozi wetu hupone

    • @hamzayesu2017
      @hamzayesu2017 หลายเดือนก่อน

      @@prochesernest5439 kweli wazungu walifanya kazi yao vizuri siwezi kulaumu tatizo shule...!!

  • @JumaOmar-ku6cr
    @JumaOmar-ku6cr หลายเดือนก่อน +6

    Wallahi ukizaluwa muislam shukuru makafiri hawajielewi kabisa

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 หลายเดือนก่อน

      Makafiri ni wale wanaosujudia kuelekea Al hajar Al aswad Jiwe jeusi lililoko Makka kwenye Kaaba

    • @Malaikah.channel
      @Malaikah.channel หลายเดือนก่อน

      Ostadh nahisi unaeza kunisaidia... Mm nina swali langu.
      .....Ukisoma Surah Al-Ahzab 56 inasema...Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika wake wanamsalia Nabii. Enyi mlio amini! Msalieni na mumsalimu kwa salamu.
      Swali wanadamu au viumbe vyote vinapaswa kupeleka sara kwa MWENYEZI MUNGU kwa sababu MUNGU ndio TOP tena kwa kusujudu( Unyenyekevu) kama mnavoimiza.
      Je Huyo mwenyezi Mungu na malaika zake wakiwa wanamsalia nabii sara zinaenda wapi?
      Pili....Je kulingana na mafundisho mazuri kuwa ukiwa katika sara unapaswa kunyenyekea( kusujudu) je huyu mwenyezi mungu atakua anasujudu si ndio.
      .....basi Ebu nisaidie hayo majibu kwanza labda ntapata mwangaza.

    • @Malaikah.channel
      @Malaikah.channel หลายเดือนก่อน

      Ostadh nahisi unaeza kunisaidia... Mm nina swali langu.
      .....Ukisoma Surah Al-Ahzab 56 inasema...Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika wake wanamsalia Nabii. Enyi mlio amini! Msalieni na mumsalimu kwa salamu.
      Swali wanadamu au viumbe vyote vinapaswa kupeleka sara kwa MWENYEZI MUNGU kwa sababu MUNGU ndio TOP tena kwa kusujudu( Unyenyekevu) kama mnavoimiza.
      Je Huyo mwenyezi Mungu na malaika zake wakiwa wanamsalia nabii sara zinaenda wapi?
      Pili....Je kulingana na mafundisho mazuri kuwa ukiwa katika sara unapaswa kunyenyekea( kusujudu) je huyu mwenyezi mungu atakua anasujudu si ndio.
      .....basi Ebu nisaidie hayo majibu kwanza labda ntapata mwangaza.

    • @petromachanga5538
      @petromachanga5538 หลายเดือนก่อน

      Mhamadi nikafiri hahaaaa

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 หลายเดือนก่อน

      Waislamu ndio makafiri pamoja na kafiri mwenzao mhammad

  • @AbubakarHaji-jh1dz
    @AbubakarHaji-jh1dz หลายเดือนก่อน

    Mwalimu wangu mungu akubariki zaidi

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 หลายเดือนก่อน +1

    Uislamu ni ukafiri

  • @zuberkasim7150
    @zuberkasim7150 หลายเดือนก่อน +1

    Muislam hana shida na nguruwe shida nikumla mungu amekataza kama alivokataza usimlale mamayako na ukimlala itaingia lakini nilaana nafikiri wewe mkristo umeelewa❤

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa หลายเดือนก่อน

      Huujui uislam, mwislam ameruhusiwa kula nguruwe kwa dharula

    • @salimbahatisha3003
      @salimbahatisha3003 หลายเดือนก่อน

      Ebu taja mfano wa dharula​@@FridayMwassa

  • @KennedyKembo-n7i
    @KennedyKembo-n7i หลายเดือนก่อน +2

    Mada ni nzuri iliwote tuyafamu hayo ambao hatujui kua yesu mwenzetu mara nyingi nasikia mwamtuka yesu lakini nafikili kuna yes mwingine

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 หลายเดือนก่อน +3

    Sheikh wngu uko vizuri

    • @Malaikah.channel
      @Malaikah.channel หลายเดือนก่อน +1

      Wewe unapotea kumpa tunzo kama kweli yuko vizuri
      Anijibu swali nililouliza Al-Ahzab 56

  • @Ismailmusa-y6b
    @Ismailmusa-y6b หลายเดือนก่อน +2

    masha Allah

  • @samuelmweipongwe140
    @samuelmweipongwe140 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu hua nakufatilia sana katika kujibu hoja za watu lakini pia hua najifunza sana humo. Mara kadhaa unekua ukitumi hekima katika kujibu maswali ukaweka hoja juu hoja katika kujibu hoja, lakini katika hili swali limekushinda, Qur'an haijaitenga sijida ima iwe ya paji la uso ima iwe ya utii, watu hufanya sijida kwa paji la uso wanyama hutii lakini katika hao wote wamo katika kundi moja la utii wa utekelezaji wa Amri za Mwenyezi Mungu. Sasa kumuita majina ya ajabu muuliza swali na hukutoa jibu la Ndio ni Muislam ama si Muislam huko ni kukosa hekma Mwalimu, jibu lilikua ndio na ukaweka sababu ya ndio hiyo. Ama jibu sio pia ukaweka sababu ya sio hiyo. Ni bora hata ungenyamaza tu kuliko hicho ulichoongea hapo ni bida'a tupu, badala ya majibu stahiki. Kula mihogo ama kutokula mihogo hilo si jibu. Jibu lilikua ndio ama sio na sababu za msingi zifuate.

  • @Kisase
    @Kisase หลายเดือนก่อน +1

    Asant sana

  • @jasminmohamed6145
    @jasminmohamed6145 หลายเดือนก่อน

    SUBHANALLAH
    LAILAHA ILLALLAH WAHDAHU LASHARIKALAHU LAHULMULKU WALA HULHAMDU WAHUWA ALA KULLISHAIIN KADER WAANNA SAIDINA MUHAMMADIN RASULULLAHI SWALLAAHU ALAIHI WASALLIM WA BARIK ALAIHI
    ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MUHAMMADIN WAALI SAIDINA MUHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM
    Barakallahu Feek

  • @user-nm4ry8ne9v
    @user-nm4ry8ne9v หลายเดือนก่อน +2

    Ahahah kweli😂😂 uyo ni kibonz😅😅😅

  • @ayoublupande3007
    @ayoublupande3007 หลายเดือนก่อน

    Hapo mwishon nimepapenda sana Shkh wng Mungu akutangulie ujuwe watu wanaishi kwa ushabiki had kwenye kumtafta Mungu pengine nae Sasa hiyo hoja yake ilimnyima ucngizi eti nitawakamata nayo waislaam hahaha 😂 usilaam unamajib ya Kila swali ndug yng maana ndo Dini ya haqi,na Haqi siku zote hushinda

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂 kweli kibonzo huyu abeli

  • @FrankAloyce-ic6rq
    @FrankAloyce-ic6rq หลายเดือนก่อน +1

    Yan unaleta siasa ujibu swali

    • @SHOMARYHIMIRY
      @SHOMARYHIMIRY หลายเดือนก่อน

      Angalia video had mwixho

  • @AironKanduru-oi7ky
    @AironKanduru-oi7ky หลายเดือนก่อน

    HIYO KIJANA YUPO UCHI AU KAKA UTUPU

  • @FrankAloyce-ic6rq
    @FrankAloyce-ic6rq หลายเดือนก่อน

    Unajibu swali unaleta siasa tu

  • @mwinyiswaleh8388
    @mwinyiswaleh8388 หลายเดือนก่อน +1

    Baba QURAN huiwezi.QURAN nibahari.hunaelim ya Dini.

  • @Khalidmwangwai4651
    @Khalidmwangwai4651 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Abel nikama alitumia bangi sana bado ziko kichwani

    • @Malaikah.channel
      @Malaikah.channel หลายเดือนก่อน

      Ostadh nahisi unaeza kunisaidia... Mm nina swali langu.
      .....Ukisoma Surah Al-Ahzab 56 inasema...Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika wake wanamsalia Nabii. Enyi mlio amini! Msalieni na mumsalimu kwa salamu.
      Swali wanadamu au viumbe vyote vinapaswa kupeleka sara kwa MWENYEZI MUNGU kwa sababu MUNGU ndio TOP tena kwa kusujudu( Unyenyekevu) kama mnavoimiza.
      Je Huyo mwenyezi Mungu na malaika zake wakiwa wanamsalia nabii sara zinaenda wapi?
      Pili....Je kulingana na mafundisho mazuri kuwa ukiwa katika sara unapaswa kunyenyekea( kusujudu) je huyu mwenyezi mungu atakua anasujudu si ndio.
      .....basi Ebu nisaidie hayo majibu kwanza labda ntapata mwangaza.

  • @mwinyiswaleh8388
    @mwinyiswaleh8388 หลายเดือนก่อน

    QURAN nibahari na Bahari hapimwi kwa mguu.

  • @سعدياقوت-ت2خ
    @سعدياقوت-ت2خ หลายเดือนก่อน +2

    Huyo kavurugwa akili na paulo kwa kulishwa mavi kanisani haelewi na hata elewa kattu kwa kulishwa mavi😂😂😂😂

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 หลายเดือนก่อน

      Bora uvulugwe na mtume Paul anayejua kusoma na kuandika kuliko kuvulugwa na mtume asiyejua kusoma Wala kuandika Quran 7:158 kilaza Paul ni msomi hiyo ya kusema anatulisha mavi ni uongo mtupu chuki hiyo

    • @mudiali4506
      @mudiali4506 หลายเดือนก่อน +1

      We kafungue tasfir y Uwo mkate, walla usi kasrike
      Jee mkate huo wanao pewa katika kuu gama zambi kanisani mbele ya padri
      Umeokwa na, kinyes
      Cha, mashondo. Sio
      Sisi, ila ni maandiko
      brother jifunzze maana. Yyani unapo u ngama zambi kwa, padri kanisani. Ndio unapewa kale ka mkate keupe. Ka aitwa
      hostiya. Pole saana. Tafakarri. Na a ku elewa. Walla usilaumu waislam.

    • @mudiali4506
      @mudiali4506 หลายเดือนก่อน +1

      Tatizo ni elimu. Hata bibliyaa, yako huielewi

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 หลายเดือนก่อน

      @@mudiali4506 Mimi Nina afadhali najua kusoma na kuandika hii ni elimu tosha sio kama wewe unayemfuata mtume asiyejua kusoma Wala kuandika na wewe upo kama yeye najua ulikuwa ujui kuwa huyo mnayejisifu naye kuwa ni mtume ukuwaikuja hizo habari zake za kuwa alikuwa ajui kusoma Wala kuandika na hapo kwenye Quran 7:157,158 ukuona hiyo Aya hacheni kumsifu Kwa uongo biblia najua kuisoma Sina shaka Kama wewe kwenye kitabu Chako kimejaa habari za majini mapepo wachafu 72:1,14na 46:29 na 6:128 heti ni wazuri

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 หลายเดือนก่อน

      ​@@mudiali4506hivi wew unajisifu na Dini ya majini mashetani 72:1,14 na majini mapepo wachafu mtume wao ni Muhammad na kitabu Chao ni Quran nionyeshe mtume mwingine aliyeyakubalia majini mapepo wachafu wamuamini na kumfuata na kuamini kitabu Chake ?

  • @vincentdaud9954
    @vincentdaud9954 หลายเดือนก่อน +1

    Shabaan .simuelewi . Aandae debate , tumuweeke ndacha

    • @USACAUDIOVISUALMATERIALS
      @USACAUDIOVISUALMATERIALS หลายเดือนก่อน +1

      Badala useme nifanye debate na wewe, unielewe, unatafuta mwanaume mwenzio akusemee😂😂😂

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 หลายเดือนก่อน

      Vincent uyo ndacha unamuona wewe ndio msomi kumbe ndio kichwa buyu kabisa

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 หลายเดือนก่อน

      Ww huwez kumuelewa sababu umeshapewa upofu

    • @obaidothmanalbulushi9196
      @obaidothmanalbulushi9196 หลายเดือนก่อน

      ​@@huseinshedrack6180jana tu kabanwa mpaka kasema ukweli yesu siyo mungu bado unataka aseme nini tena ndacha

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 หลายเดือนก่อน

      Ndacha alitoa ahadi akipewa andiko Yesu anamwita Maryam mama atasilimu, alipewa hilo andiko akanzaa kubabaika

  • @abelsuleimanshiliwa2150
    @abelsuleimanshiliwa2150 หลายเดือนก่อน +1

    Endeleeni kunitangaza ili Waislamu wazidi kunifuatilia, ila mwambie huyo mwenzenu akubali aje tufanye mjadala wa ana kwa ana ili athibitishe hayo maneno yake.

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 หลายเดือนก่อน

      Abel umejibiwa ujinga wako

    • @abelsuleimanshiliwa2150
      @abelsuleimanshiliwa2150 หลายเดือนก่อน

      ​@@badruseif1318Hapo umeona amejibu? hivi mfano wa kupenda mihogo au kuzaa unaenda na hoja iliyopo hapo? Mtu anasujudu na Nguruwe anasujudu, sio uislamu unasujudu; ingekuwa nimesema Uislamu unasujudu na Nguruwe anasujudu, hapo mfano wake ungekuwa sawa, au kuna sehemu umeona nimesema kuwa mtu anasujudu na Nguruwe anasujudu hivyo nguruwe nae ni mtu? huyo jamaa yenu ni muoga sana kujadili hoja za ana kwa ana.

    • @HalimaMrisho-qk1rp
      @HalimaMrisho-qk1rp หลายเดือนก่อน

      Mpumbavu kabisa huna akili ww abeli, dini yakweli ni uislamu tu

    • @salimbahatisha3003
      @salimbahatisha3003 หลายเดือนก่อน

      Abel bora utulie tuu mana huna hoja na umedharilika😅

  • @nestarnestar4520
    @nestarnestar4520 หลายเดือนก่อน

    Hilo zee nalo ovyo linaulizwa mandaz linajibu mihogo, unaanza ngojela tena wakat unatakiwa kujibu swali, hata shuleni tulikua tukiulizwa maswal kuna kujib a b c na d, sasa we mzee unaanza ngonjera, namm nakuuliza swali kama YESU mnasema alikua muislam kama alivokua anafanya matendo na ndo mnasema kulingana na matendo yake kwann mmefata tendo la kusujudu tu ila hamjafata tendo la kubatiza? Hata maneno yake aliosema kwa mdomo wake kua mkisali salini hiv BABA YETU ULIYE MBINGUNI, mbona hamumfati kwenye hayo mmefata jambo la kusujudu tu, achen uongo mnapeleka watu pabaya amini YESU uokoke we mzee wa ovyo

    • @obaidothmanalbulushi9196
      @obaidothmanalbulushi9196 หลายเดือนก่อน

      Yesu alibatiza?

    • @nestarnestar4520
      @nestarnestar4520 หลายเดือนก่อน

      @@obaidothmanalbulushi9196 YESU ailibatiza, mashehe wenu wanawasomea kwnye neno YESU hakubatiza, iyo haya sio kwmba hajabatiza Ni Kuna sehem alikokua anatembelea na wanafunz wake, kwhy Kuna sehem hakubatiza ila wanafunz wake ndo walibatiza, viongoz wenu wanachukua iyo Kama point,

    • @SHOMARYHIMIRY
      @SHOMARYHIMIRY หลายเดือนก่อน

      Sikiliza mpaka mwixho usikurupuke

    • @nestarnestar4520
      @nestarnestar4520 หลายเดือนก่อน

      @@obaidothmanalbulushi9196 alibatiza ndio ila sehem nyngine hakubatiza walibatiza wanafunzi wake, mashehe wenu wanawasomea kwenye kifungu Cha kwamba YESU hakubatiza, hupaswi kubisha omba aya gan nikupe kua YESU alibatiza,

    • @nestarnestar4520
      @nestarnestar4520 หลายเดือนก่อน +1

      @@SHOMARYHIMIRY et mnamfuata YESU kwaku Ni muislam et alitawaza na alisujudu, mbn kwenye mkate na dam amfati? Mbona hamuamini Kama alikufa msalabani, mbn hamsali Kama alivosema mkisali salini hivi

  • @SebastianKisokola
    @SebastianKisokola หลายเดือนก่อน

    Nyiee waislam mnajipendekeza kwa yesu wapi yesu aliutaja huo huo uislam na uwislam x umekuja miaka 650 baada ya ukristo na kitabu kimekopi maneno kwenye biblia hv hamsomi hicho kitabu kazi kudanganya tu msikitini yesu ni wa kwanza na wa mwisho na kitabu chake ndicho cha misho mnaposoma eti aliingia sinagogi eti msikiti sio kweli mtafusili alikosea nionyesheni neno sinagogi kwenye kitabu kwenu Kama Ni msikiti acheni uwongo

    • @obaidothmanalbulushi9196
      @obaidothmanalbulushi9196 หลายเดือนก่อน

      Na wapi yesu kautaja ukristo tuambie tuuone

    • @SHOMARYHIMIRY
      @SHOMARYHIMIRY หลายเดือนก่อน

      Wape na andiko mwanangu kama huna kwamba ulianzishwa mwaka 650 ww ni muongo

  • @Catherine-mh8sw
    @Catherine-mh8sw หลายเดือนก่อน

    Huyu aliyeuliza swali alikuwa mwislam au?

  • @abelsuleimanshiliwa2150
    @abelsuleimanshiliwa2150 หลายเดือนก่อน

    SHAFII wewe na mwenzio akili zenu hazipo vizuri, sasa hapo unaona amejibu nini? mfano wake wa MIHOGO au kuzaa, unaingiliana na hoja ya NGURUWE kuwa muislamu? kama ningesema nguruwe kusujudu anakuwa mtu hapo angekuwa amejenga hoja vizuri, vipi hayo maelezo yake yote amenukuu kitabu gani kama muongozo wa majibu?

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 หลายเดือนก่อน

      Ww akil huna,hakuna Muislam anae mchukia nguruwe ila tunafuata Yale yote tulio katazwa

    • @abelsuleimanshiliwa2150
      @abelsuleimanshiliwa2150 หลายเดือนก่อน

      kwahiyo huyi nguruwe akiingia msikitini hamumpigi?​@@huseinshedrack6180

    • @salimbahatisha3003
      @salimbahatisha3003 หลายเดือนก่อน

      Ndugu huna hoja ebu tulia na ujifunze ndugu. Usikaze fuvu ya kichwa

    • @erishaaboumpangaje8597
      @erishaaboumpangaje8597 หลายเดือนก่อน

      Hauna bahati wewe...

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 หลายเดือนก่อน

    Yesu hawezi kuwa Mwislamu maana yeye hakusuhudia jiwe jeusi Al hajar Al aswad lililoko Makka kwenye Kaaba 😂😂😂😂 toa porojo hapa

    • @ShafiunaWaziri-vz7bi
      @ShafiunaWaziri-vz7bi หลายเดือนก่อน +1

      Kwani lazima liwe jeusi labda jiwe jiuse wakati wake alikuwepo unatakiwa kujiuliza hajawahi kushuhudia jiwe lolote yani nyie wakristo akili zenu fupi sana kama hakuwahi kushuhudia jiwe lolote sema ili nikupe Aya alipo shuhudia

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@ShafiunaWaziri-vz7biWewe ibada yako mpaka usujudu kuelekea Makka kwenye Kaaba yenye Jiwe jeusi! Kwani Mungu Yuko ndani ya Kaaba? Mungu wa Muhammad ni jiwe!

    • @Malaikah.channel
      @Malaikah.channel หลายเดือนก่อน

      ​@@ShafiunaWaziri-vz7bi
      Kaka...
      Tukisema kusari maana yake SARA yaani tunapeleka maitaji na sifa kwa mwenyezi mungu.
      Sasa ....Sura Al-Ahzab 56....
      Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika wake wanamsalia Nabii. Enyi mlio amini! Msalieni na mumsalimu kwa salamu.
      Je huyu muumba wenu inakuwaje tena anamsalia nabii au UANDISHI UMEKOSEWA?

    • @MassoudAlly-c9e
      @MassoudAlly-c9e หลายเดือนก่อน

      ​@@paulmushi2428wewe ibada yako unasujudia wapi kamkubwa ? alafu kwani we uyu Muhammad unamjua lakini au unaeopoka tu hapa?

    • @MassoudAlly-c9e
      @MassoudAlly-c9e หลายเดือนก่อน

      ​@@paulmushi2428kwani kuna tatizo gani kusujudu kuelekea Maka kamkubwa ?