Aeleza walichozungumza saa chache kabla ya kutoweka mchumba wake

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ค. 2024
  • Neema Mmasy, mchumba wa muuguzi wa Hospitali ya KCMC, Lenga Masunga (38) aliyetoweka katika mazingira ya kutatanisha ameeleza mara ya mwisho alivyozungumza na mchumba wake huyo akimtaarifu kwamba ametoka kazini.
    Amesema wamekuwa na utaratibu wa kuwasiliana mara kwa mara wakati wa kwenda kazini na kutoka.
    Amesema Julai 2, saa 10 jioni aliwasiliana naye na kumtaka aendelee na majukumu yake kwa kuwa wangewasiliana baadaye.
    Neema amesema ilipofika saa tatu usiku alishangaa kuona amekuwa kimya na hajamtafuta ndipo alimpoamua kumpigia simu na hakupatikana.
    Hayo ameeleza leo Jumatano, Julai 10 2024, wakati akizungumza na Mwananchi Digital kuhusu taarifa za kutoonekana kwa mchumba wake huyo.
    Muuguzi huyo wa idara ya masikio, pua na koo anadaiwa kutoweka katika mazingira ya kutatanisha Julai 2, mwaka huu nyumbani kwake Mtaa wa Rau Pangaleni, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro alikokuwa akiishi.

ความคิดเห็น • 24

  • @user-wr7wp9sl2p
    @user-wr7wp9sl2p 18 วันที่ผ่านมา

    Pole sana dada. MUNGU ni mwaminifu atapatikana tu. MUNGU amlinde huko aliko

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 19 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu amlinde huko aliko!

  • @CotridaKigwile-d6p
    @CotridaKigwile-d6p 18 วันที่ผ่านมา +1

    Pole sana hao wanaume sjuh wamepatwa na kitu gan

  • @kagombaEnok
    @kagombaEnok 19 วันที่ผ่านมา +2

    Pole sana dada

  • @chrissg4026
    @chrissg4026 18 วันที่ผ่านมา

    Pole sana!

  • @chrissg4026
    @chrissg4026 18 วันที่ผ่านมา

    Pole sana! Inauma sana!

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th 18 วันที่ผ่านมา +3

    ndo yule dokta au huyu ni mwingine

  • @Highzuru_Aman-highzuru5
    @Highzuru_Aman-highzuru5 18 วันที่ผ่านมา

    Polehn saaana

  • @teddygabriel5662
    @teddygabriel5662 19 วันที่ผ่านมา

    Sor 4 u

  • @Highzuru_Aman-highzuru5
    @Highzuru_Aman-highzuru5 18 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢my classmate lenga

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 18 วันที่ผ่านมา

    Hi inchi inaongozwa na watu wanaopenda kuumiza watoto wa wengine

  • @Sesiliangowi
    @Sesiliangowi 18 วันที่ผ่านมา

    Ni mchumba wake

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 18 วันที่ผ่านมา

    .

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th 18 วันที่ผ่านมา

    mbona nimesikia alikuwa singo huyu dada ametoka wapi tena

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 18 วันที่ผ่านมา +1

      Sikiliza vizuri basi na uelewe boss

  • @medardkihekaabel2601
    @medardkihekaabel2601 19 วันที่ผ่านมา +1

    Aweke namba yake tumpe faraja

    • @Henricovicent
      @Henricovicent 18 วันที่ผ่านมา +1

      Acha umalaya.

    • @chrissg4026
      @chrissg4026 18 วันที่ผ่านมา +1

      Acha ushetani!

    • @jizzotheking9238
      @jizzotheking9238 18 วันที่ผ่านมา

      Ahhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 18 วันที่ผ่านมา

      Hii imeenda😂😂😂

    • @abdulkarimabdallah9536
      @abdulkarimabdallah9536 18 วันที่ผ่านมา

      😅😅😅😅😅😅😅 hiyo anaijua