Mch Moses Magembe - INJILI YA YOHANA | IBADA YA JUMATANO JIONI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 27

  • @WILLIAMCHINA
    @WILLIAMCHINA 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu Akuzidishie Umri Mtumishi Wa Mungu Sisi Turikotoka Katika Imani Za Kikiristo Na Tukajifunza Tunabarikiwa Zaidi Na Tumepata Ukweli Kupitia Maandiko Unatufundisha

  • @BenniahAkhaya-lb2jy
    @BenniahAkhaya-lb2jy 4 หลายเดือนก่อน

    Hii ndioyo injili Dunia inahitaji. Kanisa limepotea Kwa kukosa maarifa, na sio maarifa ya madonmo ya vuo vikuu Bali ni aarifa yanayotokana na mafundisho kama haya. Mtumishi wa Mungu roho yangu yakuimbea uishi miaka mingi ufikie kizazi kingine ungali hai. Ubarikiwe

  • @Sammi-hc9xb
    @Sammi-hc9xb 5 หลายเดือนก่อน +4

    Asante sana mtumishi wa Mungu nafuata mahumbili Yako Niko Kenya

  • @mugwamotema1756
    @mugwamotema1756 5 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe Sana Baba kwa kazi iyo unayo ifanya na Mungu wetu akutiye nguvu.

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana

  • @wiza2309
    @wiza2309 5 หลายเดือนก่อน

    Mko vizuri Mchungaji, Mungu awaongoze kwakweli, sisi huku hata tukiitwa kwenye bible knowlwdge hatuendi, Mungu anisamehe kwakweli

  • @PendaelHagaiMRPH
    @PendaelHagaiMRPH 5 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana Baba

  • @HappyBernard-ni7zg
    @HappyBernard-ni7zg 5 หลายเดือนก่อน

    Asante Sana pastor kwa mahubiri mazuri

  • @muhubirirwesapaul3150
    @muhubirirwesapaul3150 5 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana Mchungaji. Nakupenda kwa injili ya Mungu unayo hubiri nitofauti sana na injili za prosperity.

  • @InnocentNsengiyumva-ok9bb
    @InnocentNsengiyumva-ok9bb 5 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mchungaji, mimi wa CEPBU Burundi mwanafunzi wako wa mtandaoni, ninasubiri kwa hamu mada hiyo ya Jumapili.

  • @salimrajabu8069
    @salimrajabu8069 5 หลายเดือนก่อน

    Hakika nimejifunza kweli kweli, ubarikiwe Mtumishi wa Bwana

  • @StevenJohn-te6bd
    @StevenJohn-te6bd 5 หลายเดือนก่อน

    Ubalikiwe baba nakuelewa sana.

  • @EuniceBukokhe
    @EuniceBukokhe 5 หลายเดือนก่อน +1

    Connected from Kenya Amen pastor ,I love you so much,great in Christ

  • @IsayaSchone-kt7uq
    @IsayaSchone-kt7uq 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutunzee sana

  • @odismwanjoba5599
    @odismwanjoba5599 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera Mchungaji toka korogwe

  • @JumaJuma-js2sm
    @JumaJuma-js2sm 5 หลายเดือนก่อน +1

    Magembe uko vizur sana

  • @safarijean-pierre4918
    @safarijean-pierre4918 หลายเดือนก่อน

    Agano la kale lili Andikiwa mu kiebrania

  • @GraceNicolas-tr8sk
    @GraceNicolas-tr8sk 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera kwa kupata mjukuu

  • @wiza2309
    @wiza2309 5 หลายเดือนก่อน +3

    Hicho chuo kinafundisha kiswahili au Kiingereza?

  • @kiruhurajeremie5211
    @kiruhurajeremie5211 5 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana

  • @hemedshalua2002
    @hemedshalua2002 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kuhubiri n shule na upako.

  • @alphonsinemauwa
    @alphonsinemauwa 5 หลายเดือนก่อน

    Kabwe Mama Jeanne Hull

  • @johnmwangi4179
    @johnmwangi4179 5 หลายเดือนก่อน

    Niko Kenya nakufuata mtumishi

  • @alphonsinemauwa
    @alphonsinemauwa 5 หลายเดือนก่อน +2

    Tuko hewani tunafuata Somo

  • @FunnyDarypink
    @FunnyDarypink 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nipo matendo