GAMBO ACHAFUA HALI ya HEWA BUNGENI - ''NI AIBU - WAGENI KILA SIKU STENDI ya KISASA HAKUNA''...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
  • GAMBO ACHAFUA HALI ya HEWA BUNGENI - ''NI AIBU - WAGENI KILA SIKU STENDI ya KISASA HAKUNA''...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 31

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @modestmshiu1492
    @modestmshiu1492 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hongera sana Mheshimiwa

  • @elizalutiga6287
    @elizalutiga6287 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Aibu sana kwa serikali jamani

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Gambo safi sana

  • @shabaniduduma8885
    @shabaniduduma8885 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Saf sana Gambo

  • @prosperitymaarifa3324
    @prosperitymaarifa3324 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Safi sana mbunge wetu kitaeleweka tu

  • @AbuuRamadhani-o7k
    @AbuuRamadhani-o7k 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Gambo anapambana san kwa kwel

  • @MashakaMagesa
    @MashakaMagesa 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hata sisi Wana Mara tunaomba Mzee wetu Wasira atujengee stendi ya kiwango Bunda au Musoma hapo Wana Mara Tutakukumbuka

    • @KayagwaElisha
      @KayagwaElisha 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Hapo mmeshapigwaa😂😂😂

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @KayagwaElisha 🤣🤣🤣🤣🤣😂😂

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu ndio mbunge kilaza kuliko wote😂😂😂😂

  • @optatusduqangw1071
    @optatusduqangw1071 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Majibu yako wapi sasa?

  • @boniventuresingino7405
    @boniventuresingino7405 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Piga Kaz mh gambo

  • @taylorkasitu3819
    @taylorkasitu3819 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wabunge wa dickteta Uchwara

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ccm siwakweli na wewe niwalewale huna lote

    • @StrongbowArrow2004
      @StrongbowArrow2004 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kina nani wakweli ndugu yangu, kwani hao unaowahisi ndio wakweli walipo pata nafasi kama ya Gambo walifanikisha nini juu ya mfuko wa jimbo au rudhuku zao? Siasa ndio ilivyo 😂😂😂

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Humo hamna mbunge jimbo lake lina kero nyingi za wizi wa fedha za serikali na yeye yupo tu anachoweza ni kupelekea majiko ya gas kwa akina mama kilombero sokoni

  • @eliaspeter1258
    @eliaspeter1258 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😅

  • @andrewmaiga4331
    @andrewmaiga4331 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Huyu mbunge gambo yaani anamambo ya ajabu sana

    • @babuloliondo74
      @babuloliondo74 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Kama yapi punguza kasumba muwache apigekazi kasumbatu

    • @hamzanjiku5255
      @hamzanjiku5255 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Yaaan anauliza Mambo ya msingi unasema hamna kitu ulitaka afanye niniii? Vilaza wapo wengi sana hii nchii

    • @babuloliondo74
      @babuloliondo74 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @hamzanjiku5255 kk watu wengine wanakasumba imewajaa mpaka wanakela yani kama anakuwa kalibuyako unaweza kumtia kibao Wana chagua aseme makonda au mtufulani uyo mtu Ata akisema utumbo wawo ewala udini ndio unawasumbua atuwezi kwenda angalia selekalini wawo ndio wamejaa lakini awana Imani wizi ndio wanao ujuwa kama kuiba wawondio wanao ibaa utanisamee kk tunaongea kwauchungu nakasumba zilizo wajaa najuwa loho zitawauma lakini uwo ndio ukweli asaniteni

    • @AbuuRamadhani-o7k
      @AbuuRamadhani-o7k 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Gambo anafanya san kaz tuachie uchadema

  • @robertmakungu5856
    @robertmakungu5856 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mbunge wa same yeye yupo tu anapunga upepo bungeni

    • @DaudJoel-th7re
      @DaudJoel-th7re 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂

    • @rosetreffert4179
      @rosetreffert4179 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😢

    • @SylvesterKameo
      @SylvesterKameo 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kama kuna viyoyozi unategemea afanye nini zaidi?