Safari ya Matumaini ya Doreen Odemba anayeishi na HIV+ kwa miaka 26 sasa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • Fuatilia mahojiano kati ya #UTV na Doreen Odemba, shujaa alikataa kukataa tamaa kisa kuwa na maambukizi ya virusi vya UKIMWI. Hapa anatupa historia yake fupi ya safari ya matumaini kwa muda wa miaka 26 sasa amekuwa shujaa wa maisha yake na wengine wanaomzunguka.
    Miongoni mwa mambo makubwa ambayo watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni kwamba je, Doreen amefanikiwa kuwa katika maisha ya aina gani na vipi kuhusu suala la mahusiano kwa upande wake? Majibu yote ya maswali haya ameyajibu @Doreen_Odemba kwenye mahojiano yake ndani ya #MorningTrumpet akiwa na Hilda Phoya na Goodluck Paul.
    #MorningTrumpet #HojaMezani #SafariYaMatumaini
    Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
    ► bit.ly/2wB6zmR
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

ความคิดเห็น • 6

  • @aishakhamis2996
    @aishakhamis2996 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana dada angu" MUNGU yupo pamoja na ww.... cha muhimu swali sana....

  • @fatimamtoo9288
    @fatimamtoo9288 3 ปีที่แล้ว

    Shukrani dada mungu akutie nguvu

  • @neemaloveness7210
    @neemaloveness7210 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe wepesi

  • @jamilasaid1764
    @jamilasaid1764 3 ปีที่แล้ว

    Mungu mwema

  • @Emmamusiccmb
    @Emmamusiccmb 3 ปีที่แล้ว +1

    *_TAFADHALI KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAKUOMBA ANGALIA VIDEO YA WIMBO WANGU MPYA KWA KUGUSA PICHA YANGU HAPO PEMBENI LAKINI PIA NAOMBA SUBSCRIBE KWENYE CHANNEL YANGU ILI NIWEZE KUMONITIZE CHANNEL YANG_*

  • @clementhiddi1486
    @clementhiddi1486 3 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji sentence yako ya kwanza ni ya kijinga, jipime upya.