Highlights | JKT Queens 1-0 Yanga Princess | Fainali Ngao ya Jamii Wanawake 05/10/2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • JKT Queens wameibuka mabingwa wa Ngao ya Jamii wanawake 2024 baada ya ushindi huu wa bao 1-0 dhidi ya Yanga Princess kwenye mchezo wa fainali uliopigwa Oktoba 5, 2024 kwenye dimba la KMC Complex....
    Goli pekee la ubingwa kwenye mchezo huu limefungwa na Donisia Minja dakika ya 89.

ความคิดเห็น • 33

  • @jacobnduya798
    @jacobnduya798 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mwisho wa kelele hapa mjini ❤️ more love to Jkt queen ♥️

  • @shanmlawa
    @shanmlawa 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tuliofurahi jkt queen kuchukua ngao tujuane🎉🎉🎉

  • @veelmng7746
    @veelmng7746 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Yanga princes wamecheza vizuri kuliko JKT Queens ambao walikuwa wazuri kwenyr kuzuia. Umakini kidogo umewanyima Yanga Princes ubingwa leo. JKT hawakushinda kwa sababu wamecheza vizuri zaidi ya Yanga Princes

  • @ZaharaShabani
    @ZaharaShabani 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyu Ariety wa yanga n noma kwa kweli

  • @mahadshekh398
    @mahadshekh398 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Afadhali kelele na ngebe zilianza.Bora ubora wa JKT umeziba ngebe

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hongera makamanda wenzangu

    • @LopiloMoldingtz
      @LopiloMoldingtz 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      We nmnyama atakama kamanda😂

    • @AraphaCheki
      @AraphaCheki 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@LopiloMoldingtz😂😂😂

  • @haidhabushiri9558
    @haidhabushiri9558 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Refa kawanyima yanga km penat 2

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hadi huku mna malalamiko? Utopolo mimi siwawezi😂😂

    • @HalimaMichael-x6x
      @HalimaMichael-x6x 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      ​@@Joe-tr2vkhao tena unawajua malalamiko fc 😂😂😂😂

    • @kirapadiherbalstv9953
      @kirapadiherbalstv9953 23 นาทีที่ผ่านมา

      Hakuna Penati hapo

  • @JustineMtambo
    @JustineMtambo 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Yanga nao wanderi wanashindwa hata kutoka droo jaman

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    Mmmm walipitaje kwasimba sasa au kiufigisu😂😂😂maana mpila wabongo hata Hua siuerewi kila Jambo michongo Simba kwanini walikataliwa wachezaji wa kigeni kipindi cha kwanza😂😂 JKT respect sanaaa

    • @ErickJeremiah-ry4pw
      @ErickJeremiah-ry4pw 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Utakuwa ufatilii ligi ya wanawake wewe, ivi unaijua JKT queen vizur au unaiskiaa?

    • @muhammadmuhammad5043
      @muhammadmuhammad5043 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Walishinda Kwani Hukungalia Mpira Wewe Hiligoli Ni Larefa Sio Faul ile Yakutowa Ila Alikusudia Kuwafungisha Huyu Mwanamke Kazowee Kufungiaha YANGA Hata Wakubwa...

    • @chusseboywcb2808
      @chusseboywcb2808 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@muhammadmuhammad5043 🤣🤣🤣🤣kwanini wasifunge 4kama Simba ili iwe 4kwa 1

    • @babazizu1255
      @babazizu1255 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      We akir zako zipo matakoni kwako jt unaona wabovu mburulaaaa ww

    • @babazizu1255
      @babazizu1255 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@ErickJeremiah-ry4pwachana nae mtambo huyooooo

  • @JamesCoolkid-f3s
    @JamesCoolkid-f3s 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Yanga princess kipa hawana

  • @GODFREYMBOGE
    @GODFREYMBOGE 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Utopolo poleni sana

  • @aginsagins-jf4vz
    @aginsagins-jf4vz 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wapi Ally kome 😂😂😂😂😂

  • @roseafrael75
    @roseafrael75 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yani furaha wanayoipata leo Jkt queens ndo ya yanga princess kila siku.

  • @issaadinaniissa6487
    @issaadinaniissa6487 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jkt niliwaona wspo vizuuri tsngu wamchape

  • @Economically-Growth-Musicians
    @Economically-Growth-Musicians 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Guys, wajameni vipi kuumeni nako kukawa hivi??😂😂😂

  • @alphoncealmack9240
    @alphoncealmack9240 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Jkt refa kawapa tu penat za waz kabisa refa wa kolo yule

  • @alphoncealmack9240
    @alphoncealmack9240 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Refa ovyo kabisa hafai ht kuchezesha cha ndimu

  • @geraldjames2557
    @geraldjames2557 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kolo ht km mnawaponda Yanga princes, mna kikosi km hiki? Nyinyi kila upande ni kugombania nafasi ya tatu mpk maji muite mma😂😂😂

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Simba Queens ndiye bingwa wa kihistoria na ni bingwa mtetezi,wanachukua tena ndoo msimu huu.

    • @AbdulMgude-iv1ql
      @AbdulMgude-iv1ql 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hajui huyo achana nae sisi simba ndo mabingwa wa hilo kombe mara kibao hadi tunalichoka😂​@@Joe-tr2vk

    • @HalimaMichael-x6x
      @HalimaMichael-x6x 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Shida yenu iyo mcheze nyie shobo muipe simba kweli mashoga fc noma muzoeee tuuu 😂