🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 28

  • @LovelyFlamingos-xk8fv
    @LovelyFlamingos-xk8fv 9 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa sanaa juma from 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦

  • @JohnLungu-y2v
    @JohnLungu-y2v 9 หลายเดือนก่อน +2

    Harmonize ameishi Maisha ya kumutukana Diamond hadi kujigeuza Popo kumuroga Diamond sasa baada ya nyimbo zake kubuma Harmonize anajileta karibu 😭😭😭

  • @godymastermind9534
    @godymastermind9534 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hiki kipindi bila juma hakinogi. Juma ndo man of the match kwenye hiki kipindi

  • @sophiekindem9071
    @sophiekindem9071 9 หลายเดือนก่อน +2

    Acha Makasiriko Juma... Ndiyo Washapatana.. Meza Wembe!!

  • @lynfredy
    @lynfredy 9 หลายเดือนก่อน

    Kila siku juma nakukubali na timu yako nzima🥰🥰

  • @ngebafaila3581
    @ngebafaila3581 9 หลายเดือนก่อน

    Hio ni kweli mimi mwenyewe mtoto wangu alivujaga computer hivo sababu ya hizo movies alihonaga wazungu wanafanya movies za kuvuja tv na computer naye akaja kuvuja ya nyumbani

  • @aishambagi7371
    @aishambagi7371 9 หลายเดือนก่อน

    Juma mnafiki

  • @sophiekindem9071
    @sophiekindem9071 9 หลายเดือนก่อน

    Juma lokile Acha Roho Mbaya... Vijana ndiyo Wameshapatana❤💯🇹🇿🎤🎼 Let's come with good Colabo!!! Wivu Tuu Juma... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @Atb300
      @Atb300 9 หลายเดือนก่อน +1

      Alafu anafunga eti😂 kufunga kufungasha

  • @sophiekindem9071
    @sophiekindem9071 9 หลายเดือนก่อน +2

    Jumaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣👎🏽👊🏽 Mnafik ni Wewe.

  • @eshymohammed8837
    @eshymohammed8837 9 หลายเดือนก่อน

    we diamond mamako

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 9 หลายเดือนก่อน

    Juma, 🐘 atakukaba hivi karibuni

  • @aishambagi7371
    @aishambagi7371 9 หลายเดือนก่อน

    Juma mnafiki mbele ya maiki

  • @aishambagi7371
    @aishambagi7371 9 หลายเดือนก่อน

    Juma mnafiki mbele ya maikihuna

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 9 หลายเดือนก่อน

    Ndo washapatana meza wembe km vip shoga weeee unafunga lkn furaha yko kuona watu wakiwa wamepishana ,,kenge ww

  • @HappyYange
    @HappyYange 9 หลายเดือนก่อน +1

    Juma chizi kweli 😂😂

  • @hanchamedia
    @hanchamedia 9 หลายเดือนก่อน

    Juma matako wew wiv haupendi maixha ya watu

  • @Jumashadhil380
    @Jumashadhil380 9 หลายเดือนก่อน

    Juma Ushoga Unamsumbua😂😂

  • @FatumaKilindo-fk6up
    @FatumaKilindo-fk6up 7 หลายเดือนก่อน

    Didah eee watahazirika sana tu mwaka huuu si kwetu pambee tuuu nisome kama mama samira kimara suka golan

  • @carolsayo6409
    @carolsayo6409 9 หลายเดือนก่อน

    Dida is right, atapigwa tena tu

  • @aishambagi7371
    @aishambagi7371 9 หลายเดือนก่อน

    Huna awamu

  • @sophiekindem9071
    @sophiekindem9071 9 หลายเดือนก่อน

    Hanang ni Wilaya, Mkoa wa Manyara. Katesh ipo Wilaya ya Hanang! Ngozi ya Nyani? 🤷🏽 😂😂😂😂😂😂 Babu idrissa 🤣🤣

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official 9 หลายเดือนก่อน

    Ulimtukana mangapi Hamisa nasasa mbona unaongea nae mda huu acha ukuma

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu msenge nae kakaribishwa sebuleni sasa anaingia chumbani 😢very stupid sasa unampangia watu wakuongea nae?Hbaba mbona alimtukana chibu lakini saaa mbona wanacheka we msenge acha upuuzi

  • @hakimataibrahim9887
    @hakimataibrahim9887 9 หลายเดือนก่อน

    Why is this one so stress about this issue. Is he shetany

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf 9 หลายเดือนก่อน +4

    Dida wacha kutia rangi ya mdomo Ramadhan mchana haram

    • @bobwhite9252
      @bobwhite9252 9 หลายเดือนก่อน +1

      Kipind cha mfungo mnakuaga kama wapumbavu...kufunga ufunge wew usumbufu uwape wengne

    • @Ms.Namwasi
      @Ms.Namwasi 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 unafki tu​@@bobwhite9252